Nabarikiwa sana na ibada za hapa. Hasa ukuzaji wa watoto kuwafundisha njia ya Mungu kupitia kwaya hadi hao watoto kabisa nabarikiwa sana na kujifunza pia
Mimi ni mkatoliki lakini kila jumatatu niko mbele ya TV KUFUATILIA mahubiri yako pia nayarudia kwenye U TUBE. .Natamani Mungu anitendee na malango yangu yafunguke. Mungu akubariki sana.
Pst mastery MUNGU anakupa mafunuo makubwa kiasi Cha kwamba watuunao wafundisha na sisi tunao kusikia MUNGU Atusaidie tuelewe maana ,kumbe matatizo yetu yameanzia mbali sana , hatukujua

Amen nabarikiwa kutoka india, Nafurahia hii madhababu
Mimi ni mkatoliki lakini kila jumatatu niko mbele ya TV KUFUATILIA mahubiri yako pia nayarudia kwenye U TUBE. .Natamani Mungu anitendee na malango yangu yafunguke. Mungu akubariki sana.
🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana watu wa mungu mnaimba vizuri neno zuri madhabahu ya kweli asante
Amen 🙏 🙏 🙏
MUNGU amtunze mwalimu mastai
Nimebarikiwa
AMEN 🙏
Nimebarikiwa mnooo na hii ibada siku ya leo