SADAKA INATOLEWA ILI ILIWE SISI NDIYO MENO YA MUNGU "PASTOR MGOGO
HTML-код
- Опубликовано: 9 мар 2024
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
RUclips : Pastor Daniel Mgogo ruclips.net/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Barikiwa sana mchungaji wangu
Mchungaji Bwana Yesu asifiwe mahubiri yako hayachoshi yaani napenda kukusikiliza sana ubarikiwe sana
Keep living longer your teachings are helping me
Nimefurahi sana imelipa changamoto
Ubarikiwe sana mchungaji kwa maubiri l'm blessed,🙏🙏🙏
Nafuatilia nikiwa kenya
OMG umeongea kweli Bwana wetu Yesu Kristo apewe sifa hallelujah Amen xx
MTUMISHI, KWELI MWANAUME HUKUMBUKA MEMA YA HATA YA ZAMANI. AMINA.
Nikweli kabisa mtumishi wa Mungu, sema tupone baba.
Neno iendeele , Barikiwa sana Mchungaji
Bwanayesuasifiweeeeeeee ,ubalikiwebabaa
Mungu akubariki sana mtumishi ,hi imefika waziwazi
WRM kabisaaa hiyo
Une bonne nouvelle et de vérité. Que dieu bénisse mon parteur
Nashukuri muchungaji kwa mahubiri
Ubarikiwesana
Amina mchungaji, mpasho huu
Mungu akubariki Baba
You always speak the truth. You are more than a pastor
Nakubali mchungaji wangu
SAWA KABISA MTUMISHI. AMIN.
Barikiwa sana pastor 🙏
Bien sana Baba muchungaji
Ruto ni sakayo for your information
Ubarikiwe
Amina mchungaji
Zakayo my president long live papa
Amina Amina
Nikweli mchungaji ubarikiwe sana tena sana
Amina
Thank u so much
𝑩𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒎𝒄𝒉𝒖𝒏𝒈𝒂𝒋𝒊
Mungu akupe miaka mingi mtu
Nakuombea upako mwingi toka Roho mtakatifu kwa Karama hii ya kufundisha
Pastor Mgogo, leo umegusa kichwa changu, ...mimi sina hâta number moja ya polisi,
Jaman
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aki huyu pastor mungu ambariki aki❤❤❤😅😅😅😂😂😂
Amen
🙏🙏🙏🙏🙏
Zakayo wetu katajwa😂 ila wewe Mtumishi wa Mungu ubarikiwe ukweli mtupu
Mhubiri kilichokuhepa ni mahubiri ya mbinguni haiezi fanya kazi duniani. Mahubiri lazima iendane na mazingira ya wakristo. Hivyo kodi lazima iwe na ubinadamu.
😅😅😅😅 Ameni
Adi uko tz mnajua zakayo😂😂
😅😅😅😅pasternak mungo akure miaka minig unanifanyanga nacheka😅😅😅wakati nimehuzunika
Eti zakayo😅😅😅
nenda bhana tutaharibiana😆😆😆😅
Ukweli na uongo uko ndani ya mtu
Mkiacha mkiacha kuwapoza wachungaji si kondoo hawata yaona majani
Nimekwama happ kwa Make-up make up za kiroho😅😅😅😅
Zakayo😂😂😂
Pst leave zakayo alone 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂Zakayo mtoza ushuru
Barikiwa mwalimu
Mchungaji mahubiyako nimazuri ilahapo kukuomba iliusamehewe umekosea maana umesema tumuombe yesu atusamehe kwani wajuombwa msamaha nimungu au yesu maana ninavyojua mimi anaefaa kuombwa na kiabudiwa na kutegemewa ni mungutu aliyekuumba mbingu na ardhi navyote vilivyo kuemo
kwani yesu wewe unamtambua kama nani?
Mungu azidi kukupa upacko ili uzidi kuongea maneno yahakili Mungu akulinde panse zote
Neno linasema Yesu ndiye njia ya uzima kwahiyo kumba kwetu tunapiyia kwa Yesu naye anatuwakilishia kwa Mungu Baba