KANUNI ZA KUBADILI JINA | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 40

  • @BrianObonyo-u7z
    @BrianObonyo-u7z 25 дней назад +2

    Pastor mbanga napenda sana mahbr zako sana....,Kama mt2 ako kimwili haezi elewa mhubr yko....,Ataona tu n kama stor

  • @Annie-mg7sz
    @Annie-mg7sz 29 дней назад +3

    Amen pastor!
    Mungu akubariki zaidi kwa afya njema na maisha marefu na yenye amani siku zote unapokuwa unaongoa nyoyo zetu.

  • @gatiestermossama1486
    @gatiestermossama1486 24 дня назад +1

    Nakuombea maisha marefu ili uendelee kutufundisha, kwa neema ya Kristo ubarikiwe maana walitetea jina la Yesu Kristo

  • @Joy-mm1ut
    @Joy-mm1ut 28 дней назад +1

    Ubarikiwe mchunganyi napokea Neema kila siku kwa kuwatch mahubiri yako mungu akujalie uzima

  • @purity134
    @purity134 29 дней назад +3

    Amina,mungu na atusaidie

  • @SadockEphraim
    @SadockEphraim 29 дней назад +3

    Amen nawapata kutokea Mkoa wa Rukwa ubarikiwe mch uzidishiwe uhai wa kusonga mbele zaidi ya hapo.

  • @shyakaandre4376
    @shyakaandre4376 23 дня назад

    ubarikiwe mupaka ushangae

  • @INJILITV-z4t
    @INJILITV-z4t 26 дней назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @newtonmgeleki1538
    @newtonmgeleki1538 29 дней назад +1

    Ubarikiwe sana. Newton from geita

  • @VeronicahAchuti
    @VeronicahAchuti 27 дней назад

    Asante pastor Kwa kututia moyo

  • @joycekajivo915
    @joycekajivo915 23 дня назад

    Hakika baraka za Mungu ziambatane nawe maana nabarikiwa na kufunguliwa fıkra kwa namna ya ufundishaji ni wa uelewa kwa kila mtu ,wakati umefika wa wokovu kamili kwa kila nafasi🙏

  • @dinahk.7622
    @dinahk.7622 29 дней назад

    Learning and learning
    God bless you Pastor

  • @evalinezacharia7872
    @evalinezacharia7872 27 дней назад

    Barikiwa sana kwa chakula cha uzima

  • @Carolyneadhiambo-e6l
    @Carolyneadhiambo-e6l 29 дней назад +2

    Asante umenivungua macho

  • @beldinemingusa.mingusa7498
    @beldinemingusa.mingusa7498 26 дней назад

    Hallelujah..

  • @PauloMole-lv4tf
    @PauloMole-lv4tf 27 дней назад

    Amina mtumishi wa mungu

  • @ElijahMosong
    @ElijahMosong 28 дней назад +1

    Ameeeni umenifukua macho

  • @EstherLushino
    @EstherLushino 29 дней назад +1

    Pr barikiwa niombee malipo yamechelewa

  • @Josephbkg1
    @Josephbkg1 18 дней назад

    🎉🎉

  • @apollobupolo9884
    @apollobupolo9884 26 дней назад

    Bwana ni mwema

  • @bibleministry7175
    @bibleministry7175 29 дней назад

    Bwana awabariki sana kwa kutupa injili wakati kama huu

  • @JamcMacay
    @JamcMacay 29 дней назад

    Mshugaji nawapata vizuri nikiwa kenya maeneo ya garissa hakika nimeona ukuu wa bwana katika mahubiri yenu

  • @calebmakori
    @calebmakori 29 дней назад

    Amen

  • @tsongonadine386
    @tsongonadine386 29 дней назад

    Amena

  • @Trizah-254-e
    @Trizah-254-e 29 дней назад

    AMINA

  • @FelixKayole
    @FelixKayole 29 дней назад

    Naitwa felix nawafatilia nkiw Kenya pongezi pr David Kwa Aya mafudisho mazuri

  • @evalinezacharia7872
    @evalinezacharia7872 27 дней назад

    Naitwa mama Frank wa nyamongo,nahitaji kuongea naww mchungaji wangu.

  • @agapemwakitosi8331
    @agapemwakitosi8331 28 дней назад

    Pastor upo wapi na Haya ni Makambi au?

  • @ReginaMatiko
    @ReginaMatiko 29 дней назад

    Pastor upo makambi wapi. Nataka kuja makambi

  • @mauricemissi1390
    @mauricemissi1390 28 дней назад

    Amen

  • @ruthmoranga5142
    @ruthmoranga5142 28 дней назад

    Amen

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 28 дней назад

    Amen

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 28 дней назад

    Amen

  • @carolinemwango5967
    @carolinemwango5967 27 дней назад

    Amen