KUMTAFUTA MUNGU WAKATI WA VITISHO-PR.DAVID MMBAGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 40

  • @purity134
    @purity134 25 дней назад

    Amen. Uko sahihi mr.Mmbaga

  • @KaumbaKaumba-th8lw
    @KaumbaKaumba-th8lw 2 месяца назад +9

    Amina pastor, Mimi Nilo hapo drc nataka Yale vitabu, ta vipata je? Ubarikiwe na Mungu nahitaji number Yako .

  • @kaitirajosephat
    @kaitirajosephat Месяц назад

    Pr.leo nimekuelewa tena,Mungu akubariki

  • @lydiamuturi-yp6hx
    @lydiamuturi-yp6hx 2 месяца назад +1

    Asante Mchungaji ubarkiwe sana nimejifunza jambo 🙏

  • @SporaKiondo
    @SporaKiondo 13 дней назад

    Mungu azidi kukutuza

  • @JosephMpangala-wd5mp
    @JosephMpangala-wd5mp 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe na Bwana, umesema kweli, Mungu akubariki sana.

  • @mamajd251
    @mamajd251 2 месяца назад +1

    Bwana nipe hekima❤Mungu utukuzwe.

  • @magdalenawerema1658
    @magdalenawerema1658 2 месяца назад +1

    Hakika na kweli kabisa Pastor Ubarikiwe Sana

  • @SashaOscar
    @SashaOscar Месяц назад +1

    Ubarikiwe sana mchungaji🙏🙏 sijui nilichelewa wapi siku zote kukufatilia ningekuwa mbali sana kiiman

  • @EmmanuelMatoto
    @EmmanuelMatoto 2 месяца назад +1

    Mungu a tukuzwe kwakugtuya kama combo yake katika Yesu !

  • @TeddyPaul-j3g
    @TeddyPaul-j3g 2 месяца назад +1

    Pastor mmbaga ukimsikiliza vizur utajifunza mengi sana

  • @JuliaLumande-r4p
    @JuliaLumande-r4p 2 месяца назад +1

    Alléluia asante mungu kwa kumtumia mtumishi wako🙏

  • @AnnWanjiku-g8y
    @AnnWanjiku-g8y Месяц назад

    Amen asante sana mutumishi ubarikiwe sana

  • @golasrichard4400
    @golasrichard4400 2 месяца назад +1

    Yes pr David Mmbaga, blessings be upon you

  • @esperancedenice7547
    @esperancedenice7547 6 дней назад

    Thank you pastor 🙏

  • @hansmarymwasulama1974
    @hansmarymwasulama1974 2 месяца назад +1

    Asante pastor kwa neno zuri cana

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 2 месяца назад +1

    Amina .Ubarikiwe Pastor Mmbaga

  • @danielmwakatumaakimu1050
    @danielmwakatumaakimu1050 Месяц назад +1

    Paster ubarikiwe.

  • @hellenConstantine-gx7vy
    @hellenConstantine-gx7vy Месяц назад

    Baba Bwana YESU asifiwe naomba kitabu Cha kufunga nipo daresalaam. Naomba Mimi nasali jumapili lakini nakusikiliza sana nisaidie nikipate

  • @EverlyneAwinja-x1n
    @EverlyneAwinja-x1n 2 месяца назад +2

    Good teachings, nimebarikiwa sana. Thanks pastor

  • @yohanasamwel1539
    @yohanasamwel1539 Месяц назад +1

    Nakupnd xn pastor uko njema mno

  • @DavidOnguka-ol3wx
    @DavidOnguka-ol3wx 2 месяца назад +1

    Mungu akubariki pst hivyo vitabu navitamani kuliko ninavyotamani kuku choma Niko Kenya migori ni pst mwe nzio nielekeze nivipate jamaniiii,,,,,

  • @NyakwesiZacharia-xo6js
    @NyakwesiZacharia-xo6js Месяц назад

    Ameen mchungaji

  • @Mungu2741
    @Mungu2741 Месяц назад +1

    Mimi na pitia Vita vigumu sana

    • @magamboguje8152
      @magamboguje8152 Месяц назад

      Badilisha namna ya kuomba ndugu
      Na utashinda kwa jina la alie juu
      Alie muweza wa yote
      Nae ni mwenyezi Mungu akusaidie

  • @dieumeKivuku
    @dieumeKivuku 2 месяца назад +1

    barikiwa

  • @lucynyigana2801
    @lucynyigana2801 2 месяца назад +2

    AMINA MUNGU ATUSAIDIE SOTE

  • @Trizah-254-e
    @Trizah-254-e 2 месяца назад +2

    AMINA

  • @ruthmoranga5142
    @ruthmoranga5142 2 месяца назад +2

    Pastor naweza pataje hizo vitabu emetaja hapo kenya

  • @jofreymahenge9472
    @jofreymahenge9472 2 месяца назад +1

    Amina

  • @tusebwenekenani4467
    @tusebwenekenani4467 2 месяца назад +1

    Amina pastor.

  • @boazmusumba7949
    @boazmusumba7949 Месяц назад +1

    Nahitaji vitabu vyako, naishi Kinshasa DRC

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 2 месяца назад +1

    Amen

  • @johntchomba7577
    @johntchomba7577 Месяц назад

    J'ai besoin du contact de Pasta Mbaga DAVID

  • @judyachieng5316
    @judyachieng5316 Месяц назад

    Tafadhali msizipe mahubiri majina tofauti ila ni sermon ile ile
    This sermon has different titles
    It makes you download same sermon almost 3 times with different titles but same content

  • @AlbanusNzyoka-ew4gh
    @AlbanusNzyoka-ew4gh 2 месяца назад +1

    Amen

  • @kimmary-jc9vx
    @kimmary-jc9vx Месяц назад +1

    Amen

  • @perissmoraa7040
    @perissmoraa7040 Месяц назад +1

    Amen