Amen,,ubarikuwe sana mchungaji,,,nmejifunza,,maana nlikuwa natoa baadaye nalalamika,,,,,EEee MUNGU muumba mbingu na nchi nisaidie mafundisho haya niyaweke katika matendo
Kila nikifungua Hope channel natamani mafundisho ya PST.Mmbaga mara moja billions event ya KARATU nilibarikiwa sanaa Mungu akuinue zaidi kwa vows go vya juu 🙏
Umenijibu swali langu nilokua najiuliza kila siku, kwanini ombaomba wapo nje ya msikiti tu na wanapita kuomba siku ya ijumaa tu na si jumapili au nje ya malango ya kanisa. Asante sana mungu azidi kukupambanulia neno la utoaji ni pana sana.
Amina Mtumishi wa Mungu. Endelea kutulisha mambo yatupasayo katika maisha yetu ya kiroho pia kimwili. Ninakufuatilia sana kutoka huku nchini Marekani! Barikiwa 🙏🏾
Mutumishi jisaidiye,je murokole aweza towa sadaka yakusaidiya ujenzi wa nyumba ya Mungu kwenye catholic church,wazazi wake wangali wanashiki huko catholic church ❓naomba msada wa shauri
Ndio! Yohana 10:16 Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
Katika habari ya kujenga Nyumba ya Mungu, kuna mibaraka mingi mnoo! Sijawahi kujutia kununua eneo wala kumjengea Bwana Maishani mwangu! Tujitoe kikamilifu kumkopesha Bwana kwa kazi yake!!
ANGALIA SEHEMU YA PILI KWA KUBONYEZA ruclips.net/video/_EBFpKexxE8/видео.html
Mungu akupe nguvu na miaka mingi ili uwendelee kutufundisha pastor 🙏
Mungu asante kwa neno lako kupitia mtumishi wako mbariki na umpe nguvu AMINA
Amen,,ubarikuwe sana mchungaji,,,nmejifunza,,maana nlikuwa natoa baadaye nalalamika,,,,,EEee MUNGU muumba mbingu na nchi nisaidie mafundisho haya niyaweke katika matendo
Nmekuelewa sana, Mungu atusaidie tuwe watoaji shambani mwake, Mungu akubariki Sana pastor.
Amen Amen Amen asante mtumishi kwa fundisho hili Amina
Hallelujah 🙏 mafundisho mazuri Sana nayafuatilia nikiwa uku Saudi Arabia
Pastor Mbaga na Pastor paul Semba kupitia nyinyi Yesu kabadirisha sana maisha yangu Mbarikiwe sana
Amen,
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu,
Kwa kutukumbusha mambo hayo,
Kuna vitu vingi nimepata kuziele sikuwa nimezifahamu... Asante sana mchungaji mungu aliye juu sana na akubari...
Uzidi kubalikiwa mtumishi ahsnt sana kwa maneno mazuri
Ubarikiwe kwa neno nisomolinalogusa maisha ya kiroho, hakika sijatoka bure.
Amen 🙏 ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu toka nikufaham sijahi kujuta umenisaidi sana kiroho Mungu akuinuw zaid na zaidi 🙏
Mungu akubariki mchungaji kwa neno,
Amen tunaomba pay bill .ss hatuna uwezo wa kuenda church tko saudia
Salome mm nko Dammam ww uko side gani
Barikiw kwa haya Mungu akupenguvu
Pr David; Nîmes barikiwa kwa ma fundisho
Amina mutumishi wa Mungu ubarikiwe sana na Mungu akuzidishiye nguvu.
Amina weka chanel azam tv baba wenye njaa ya neno la mungu tupo wengi na mungu akubariki sana
Ombea tufikie huko
Kila nikifungua Hope channel natamani mafundisho ya PST.Mmbaga mara moja billions event ya KARATU nilibarikiwa sanaa Mungu akuinue zaidi kwa vows go vya juu 🙏
@@MahubiriPrMmbaga tutafika kristo Yesu tunaye muamini anaweza ni zaidi ya yote!
Umenijibu swali langu nilokua najiuliza kila siku, kwanini ombaomba wapo nje ya msikiti tu na wanapita kuomba siku ya ijumaa tu na si jumapili au nje ya malango ya kanisa. Asante sana mungu azidi kukupambanulia neno la utoaji ni pana sana.
Amen, barikiwa Sana Kwa somo zuri pastor.
Amina Amina pastor uko nyumbani kwetu Mungu awabariki sanaa
Amen be blessed Pastor 🙌
Nafurahi sana katika mafundisho yako Mungu akubariki
Nabarikiwa sana na masomo yako barikiwa mchungaji nami nakuombea MUNGU azidi kukutumi watu wasalimishe maisha yao kwa maisha ya umilele AMINA
Amen
Haleluya bwana akubariki sana pastor somo linenibariki
Amina ua wanibariki sana. Kutoka Kenya mombasa
Mungu na azid kukufunulia mengi kwa manufaa ya wengi
Amina ubarikiwe Mchungaji David kwa masomo haya mazuri
Amen God bless you pastor
Amina Mtumishi wa Mungu. Endelea kutulisha mambo yatupasayo katika maisha yetu ya kiroho pia kimwili. Ninakufuatilia sana kutoka huku nchini Marekani! Barikiwa 🙏🏾
Ubarikiwe sana pr Mbaga nimeguswa na somo lako hasa la uwekezaji wa kwa Mungu
Amen. Ubarikiwe pastor Mbaga
I am so eager to follow the second part of this topic.
Very important
Amine 🙏🏻🙏🏻🙌🙌
Mungu ashukuliwe pr
Amen
Amina pr
Amen bless are you
Amen 🙏🙏🙏
Napendekeza logo design iwekwe pembeni badala ya katikati
Amina
Nimepata kujifunza utoaji hapa..Mungu akubariki mchungaji
Tupo pamoja mtumishi Wa Bwana Wa majeshi!
Shukran sana.
Mutumishi jisaidiye,je murokole aweza towa sadaka yakusaidiya ujenzi wa nyumba ya Mungu kwenye catholic church,wazazi wake wangali wanashiki huko catholic church ❓naomba msada wa shauri
Ndio! Yohana 10:16 Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
WAPIGAJI WAPO TU hahahahahaaaaa PR.MMBAGA
Barkiwa
Tunakujea nini unasema mchungaji wetu Mmbaga 🙏
Katika habari ya kujenga Nyumba ya Mungu, kuna mibaraka mingi mnoo! Sijawahi kujutia kununua eneo wala kumjengea Bwana Maishani mwangu! Tujitoe kikamilifu kumkopesha Bwana kwa kazi yake!!
Bwana atusatuweze kujenga nyumba za Bwana wetu
Pasta nahitaji nisikilize mahubiri haya mupaka mwisho
Utoaji mwingine ni matumizi
Rangi nyeupe inafanikiwa kutowa hata roho mbaya
Amen
Amina
Mungu nimwema
Amen Mungu akubariki sana mtumishi unanibariki sana nakuombea UZIMA wa YESU KRISTO uzidi kufungua wengi ZAIDI Amen
Pia ninaomba namba YAKO
APOSTLE DANIEL MWEBRANIA
Amina
Amina
Amina