SILAHA MUHIMU SANA WAKATI MGUMU MAISHANI - PR. DAVID MMBAGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 157

  • @richmondclassic2014
    @richmondclassic2014 9 месяцев назад +1

    Amen pastor nimefuguka mbarikiwa

  • @AdamKisapi
    @AdamKisapi 3 месяца назад +1

    Pastor mbaga nakushukuru Sana katika Jina LA YESU maana kila somo lako linanifungua na kuniweka huru katika mambo yote nilikuwa na msongo wa mawazo mengi lakini Sasa nafanya sehemu yangu ikigoma na mwachia Yesu ashughurike nayo mimi nakaa kimya baada ya muda jibu langu linatoka na nafahamu kwa hili Mungu baba amenibu ombi langu nashauri wakristo wenzangu tukiomba tuwe na subira Mungu anajibu hakika.Naitwa Adam kisapi toka Mozambique Jina LA bwana litukuzwe hata milele kwa kuwa huwafikia watu wake kwa muda autakao kwake hachelewi wala Hawai Amina.

  • @julitapedro593
    @julitapedro593 5 месяцев назад +1

    Mchungaji nimebarikiwa Sana mm ni mkandarasi niliomba kazi na sinapesa yoyote nikamkabidhi mungu na nikawa nafatilia masomo yako kilasiku nikaongea na Mungu ni miukiza ya hajabu natamani nitoe hushuuda

  • @BathshebaNyabika
    @BathshebaNyabika Год назад +2

    Amen and Amen Mungu nisaidie kukutegemea wewe ktk hali zote barikiwa sana mtumishi

  • @marcelineshanga9811
    @marcelineshanga9811 Год назад +1

    Ubarikiwe.muchungaji.wawatu wote.ulimwenunguni.
    Yesu akutuze..sikuzote

  • @ZegroMumbere
    @ZegroMumbere 21 день назад

    Mimi zeboulon paluku toka drc butembo Mungu akubatiki mchungaji sana n'a akuongezee maarifa nanguvu kwani kila nikikufata n'a ongezwa nguvu ya Mungu ubarikiwe pasta wangu

  • @furahaaimee8898
    @furahaaimee8898 3 месяца назад

    Najutuya sana nakutumiya sana, nashukuru Mungu tangu nianze kufuatiliya mahubiri yako ndipo nimejua kama ananipenda kuliko . Mungu ananipenda sana tena sana, malgre nilimuasi ila hakuona hayoyote kwangu anaona upendo wake kwangu namimi nitampenda daima. Mchungaji Mungu akubariki sana akupe akili na maarifa nakurudisha mioyo ilio poteya nakukatishwa tamaa kurudiya zizini mwa Yesu kristo. Pia nahitaji maombiyako Mimi namwanangu

  • @furahaaimee8898
    @furahaaimee8898 3 месяца назад

    Mungu akubariki baba mchungaji, maana nilimuacha Mungu nakuiasi sabato nikakua kama mtu asiye kuwa namatumaini Imani nikaelekeza kwa mataifa , nikawaamini sana kanakwamba wataleta surulisho kwenye maisha yangu, nikasahau andiko linalosema manabii wauwongo watajitokeza nakufanya kazi kwajina langu, nakapotea kabisa nakuwaamini wawo .

  • @ChantalBinwa
    @ChantalBinwa 2 месяца назад

    Mtumishi jambo, Mungu akubariki sana , unanibariki sana wakati wote mimi nakufata sana kwenye you tube, Asante kwa mmafundisho mazuri na faraja, mimi ni mtu naumwa siku nyingi sana , Ola maimbi yako yananibariki sana. Naitwa Chantal , ni wa Congo, Naismith South Africa.

  • @fermeagro-pastoraledekaghu2589
    @fermeagro-pastoraledekaghu2589 3 месяца назад

    Amina sana. Kila ninapo sikiliza fundisho hili ninabarikiwa zaidi na zaidi. Asante Mungu kwa kunifungua kwa vifungo ambavyo vimenitesa kwa siku nyingi.

  • @NaomieWema-o9h
    @NaomieWema-o9h 5 месяцев назад +1

    Asante sana pasteur wetu
    Nina kufwatiliya sana toka RDC/goma

  • @bw5650
    @bw5650 5 месяцев назад

    Good morning Mungu Awabalik 🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @LucklyAckyshey
    @LucklyAckyshey Месяц назад

    Mungu akupesikunyingi zakuishi duniani

  • @yohana-s8f
    @yohana-s8f Год назад

    Asante sana mtumishi kwa mafundisho mazuri Mungu akubariki

  • @johnmduma7689
    @johnmduma7689 Год назад +5

    Pr mmbaga barikiwa sana kiukweli unanibariki nilikua natafuta chanel ya mafundisho sasa naona nimefika penyewe

  • @ngemenyerere712
    @ngemenyerere712 9 месяцев назад

    Na barikiwa sanaaa mtumishi wa Mungu🙏

  • @gloriousnp
    @gloriousnp Год назад +7

    Nimeamka kwa ajili ya maombi ya saa nane usiku , nikajikuta badala ya kuomba nasikiliza hili somo na kweli nimepiga HATUA usiku wa Leo .
    Mungu akubariki sana pastor 🙏🏿

  • @suzanne-p9s
    @suzanne-p9s Год назад

    Ubarikiwe sana pastor mbaga. Asante kwa kututia moyo, tumtegemee BWANA.
    Nami nakuwa shuhuda, nimeacha kuwategemea watu,
    Shida zangu napeleka moja kwa moja kwa BWANA.
    Ubarikiwe mnooo

  • @kaninimuindi6470
    @kaninimuindi6470 Год назад +1

    Mtumishi kidogo kidogo ujaza kipapa mungu hatawainua na mjego ikue kubwa

  • @InnoNestory
    @InnoNestory 6 месяцев назад

    Nakuerewa sana mtumishi

  • @EsperenceGilbert-w4y
    @EsperenceGilbert-w4y День назад

    Nabarikiwa sana

  • @samweliantoni7707
    @samweliantoni7707 Год назад +1

    Amina naomba Mungu anajuwa itajilangu nahisi kuchoka mungu anitienguvu amen

  • @stephendume6277
    @stephendume6277 Год назад +11

    Umenileta katika hali halisi tena.Mungu kanituma kusikiza ujumbe huu kuna uamuzi nilitaka kufanya ambao haumpendezi Mungu.thanks alot mtumishi

  • @rahelsafiel9973
    @rahelsafiel9973 Год назад

    Pastor ubarikiwe sana

  • @kivuavenirtvdrc5124
    @kivuavenirtvdrc5124 Год назад +16

    Ni Jeremie Baraka toka inchini DRC jijini Kinshasa,nimebarikiwa sana kila Siku ninapo fwata Mafiundisho yako.mungu ajutie nguvu Baba Mchungaji.Natamani kukuona Siku moja Mungu akipenda

  • @KumbushoMbanga-hf3wx
    @KumbushoMbanga-hf3wx 9 месяцев назад

    Mungu azidi kukutumia ubarikiwe

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y Год назад +1

    Be blessed pastor, nimejifunza mengi kupitia Kwa mahubili yako

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 Год назад +1

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @MuyumbaSamy
    @MuyumbaSamy 9 месяцев назад

    Bonjour pasteur, moi,ce jean Pierre en provenance de la RDC,je suis ravi de bons enseignements que Dieu nous donne à partir de son serviteur, veuillez prier pour moi, que Dieu puisse me changer le comportement, merci beaucoup pasteur

  • @hildajohn6417
    @hildajohn6417 Год назад

    Barikiwa sana Pr Mbaga

  • @susanomwenga8882
    @susanomwenga8882 Год назад +1

    Amen pastor mmbaga we thank God for everything he has been on our side ametupitisha milima na maponde hakika ametuondoa mikononi mwahadui shetani na kwahakika tumekuwa zaidi yawashidi let's Walk with him everyday 🙏🙏

  • @msomaliwilliam
    @msomaliwilliam Год назад

    Mungu akubariki Sana mchungaji

  • @christinaanatory1962
    @christinaanatory1962 Год назад

    Nimepitia shida pr binti wa kazi kaniibia nimekuita namlaumu mungu baada yakusikia hii nimepata nguvu naamini kwa vazi la mungu nitapata hela yangu

  • @paulinamoses4457
    @paulinamoses4457 Год назад

    Amina pastar barikiwa mno

  • @innocentkaizer943
    @innocentkaizer943 9 месяцев назад

    Mungu akutunze mchungaji napenda sana mahubiri yako

  • @MedardEzekiel
    @MedardEzekiel Год назад

    Nimebarikiwa na somo.mch.naendelea.kufuatilia.masomoyako

  • @joharissa2020
    @joharissa2020 Год назад

    Amina mimi namuomba Mungu anipe mme

  • @EsperanceKitumainibigabwa
    @EsperanceKitumainibigabwa Год назад

    Kweli kabisa hii ni kweeli wala siyo ya kupinga.mungu atusamehe sana

  • @WillihelmuMassawe
    @WillihelmuMassawe Год назад +1

    Mungu wetu na Baba yetu mtakatifu ahsante kwa ujumbe huu mzuri katika kutufanya kuwa imara na kutuimarisha zaidi kiiman tujalie Karama ya Roho mtakatifu tuweze kuyaelewa maandiko matakatifu na haya mahubiri ambayo umetupatia kibali cha kuyasikiliza barikiwa sana or Mmbaga endelea kutulisha neno la Mungu lizidi kupata nafasi katika maisha yetu. Ameen

  • @RisperOrina
    @RisperOrina 8 месяцев назад

    Ame barikiwa pia nmeshukuru kw neno

  • @BenardKajegye
    @BenardKajegye Год назад

    Asante mchungaji MUNGU akubariki hubiri hiri limenisaidia sana kwasababu ndoa yagu ina hatuelewane tuko wawiri nyumbani shetani ametuvuruga mno,mimi naitwa kajegye Benard niko Uganda

  • @calebmakori
    @calebmakori Год назад +8

    I thank God for your preaching . Now I know God loves me not because I know how to pray, sing or leading the bible . wonderful Love of GOD agape . thank you GOD NOW I KNOW.

    • @NasembaMjema
      @NasembaMjema Год назад

      Barikiwa sana mchungaji Mungu akubariki uzidi kukutumia vema neno lake Kwa Kila kabila

  • @upendobaina2171
    @upendobaina2171 6 месяцев назад

    Nimebarikiw@ hakika

  • @mwavitakipili5428
    @mwavitakipili5428 Год назад +1

    Ubarkiwe Sana Mchungaji kwa neno la uzima.

  • @memoapiyo4518
    @memoapiyo4518 Год назад

    I am blessed much.May God keep you long for His glory You're such a blessing.Asante.

  • @fermeagro-pastoraledekaghu2589
    @fermeagro-pastoraledekaghu2589 5 месяцев назад

    Mimi ni Juliana Mvukiyehe toka inchini DRC mjini Goma , kwa kweli nimebarikiwa sana kupitiya mafundisho haya. Yamenitiya nguvu na yananibariki sana. Basi Mungu akubariki sana na akuzidishiye maarifa. Mungu atukubaliye kukutana siku moja huko Mbinguni.

  • @NeemaMamboleo
    @NeemaMamboleo Год назад

    Ubarikiwe sanaaaaa

  • @PraxedaDominic
    @PraxedaDominic Год назад +2

    Thank u for de best preaching

  • @FrancisMaelezokitabwire
    @FrancisMaelezokitabwire Год назад

    Tume barikiwa kabisa.mungu akuongezee hekima na akili kutoka mbinguni🎉

  • @ndayishimiyeriziki8696
    @ndayishimiyeriziki8696 Год назад +1

    Amina Mungu ni mwema siku zote

  • @PrinceDavid-wn1ge
    @PrinceDavid-wn1ge 8 месяцев назад

    Yaan ukiwa na stress ingia mahubiri Tv ubarikiwee Mchungajiii karibu Mafinga

  • @amospoppe7616
    @amospoppe7616 Год назад

    Amen somo limenibariki

  • @crivermgaya3023
    @crivermgaya3023 Год назад +1

    I wanted to hear this 🥰

  • @lirubeatrice9945
    @lirubeatrice9945 5 месяцев назад

    Pastor. Mimi naitwa Zainabu Kase kutoka Kenya, Coast, Tana River,Hola town. Naomba ututembelee kanisani kwetu. Wasemaje maana mafundisho yako yananibariki sana.

  • @ZeddyOjiambo
    @ZeddyOjiambo Год назад

    Asante kwa mafundisho yako mchungaji huwa inanitia moyo sana katika ujumbe wa Kristo .Juma kutoka Kenya kisumu

  • @richmond3767
    @richmond3767 Месяц назад

    NIBARIKIWA GLANNYS KENYA NAOMBA SIKU MOJA UJE KANISANI MWETU PIPELINE SDA NAIROBI

  • @beatricenyiro5913
    @beatricenyiro5913 Год назад

    Nimebarikiwa kwa somo la leo Mungu azidi kukutumia.
    Naomba umuombee mtoto wangu Doreen hua anaumwa na kichwa sana wakati wote

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 Год назад +2

    Amina, hakika Mungu atufunike kwa haki yake tunabarikiwa sana.

  • @Neemav-c5i
    @Neemav-c5i Год назад +3

    Your blessed pastor. I'm blessed too.

  • @elizaswai332
    @elizaswai332 Год назад

    Nabarikiwa,Mungu na akubariki pia

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 Год назад

    Barikiwa sana mtumish wa Mungu

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 10 месяцев назад

    Blessings

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 Год назад

    Amina , ubarikiwe sana pastor

  • @Meshackkussaja
    @Meshackkussaja Год назад +1

    Amen! Nimebarikiwa mno kwa somo hili zuri. Ubarikiwe sana pastor

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 Год назад

    Aminaaaa kubwaaa 🙏🙏 Barikiwa sana Pastor.

  • @maikomaiko-ks4rs
    @maikomaiko-ks4rs 10 месяцев назад

    ubarikiwe mchungaji

  • @SuzanRobert-d7o
    @SuzanRobert-d7o Год назад +1

    Ubarikiwe sana paster familia yangu tunabarikiwa sana na mafundisho unayoyatoa

  • @JacklineMoti
    @JacklineMoti Год назад +2

    Bwana Yesu hasifiwe mtumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @WilondjaTchandja
    @WilondjaTchandja 9 месяцев назад

    Nashukuru Saaaana mchungaji

  • @ElizabethMudeheri
    @ElizabethMudeheri 2 месяца назад

    Mchungaji hii ni kweli

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 Год назад

    Mungu akubariki sana pastor hakika nimebarikiwa sana

  • @raheljose9524
    @raheljose9524 Год назад

    Asante kwa somo zuri sana Pastor 🙏 ubarikiwe.

  • @estherboke3043
    @estherboke3043 Год назад

    Nimebarikiwa sana mchungaji kwa somo nzuri mungu azidi kukutumia atakavyo

  • @christinaanatory1962
    @christinaanatory1962 Год назад

    Nimebarikiwa

  • @mwavitakipili5428
    @mwavitakipili5428 Год назад

    Ubarikiwe Sana Mchungaji

  • @hassanhussein6161
    @hassanhussein6161 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @maikomaiko-ks4rs
    @maikomaiko-ks4rs 10 месяцев назад

    lucas lucas kutoka zanzibar ubarikiwe san mchungaji

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 Год назад +1

    Amen nimefuatilia na somo limenifurahisha sana. Sijaelewa tu Kanisa liko wapi? Napenda kuchangia kidogo pia.

  • @seiframadhan3387
    @seiframadhan3387 Год назад +2

    🙏 Amen pastor

  • @sperusmoraa488
    @sperusmoraa488 Год назад

    Amen and Amen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 Год назад

    I receive

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 Год назад

    Amina pastar

  • @MairaFuraha
    @MairaFuraha Год назад

    Amen 🙏

  • @ngenamangala2559
    @ngenamangala2559 Год назад

    Amen

  • @yonathanmbedule492
    @yonathanmbedule492 Год назад

    Pastor umenibariki sana😂😂 MWENYEZI MUNGU akutunze sana 🙏

  • @alfonzomungania3514
    @alfonzomungania3514 Год назад

    Pamoja pr David..nafuatilia mahubiri nikiwa Kenya

  • @marcelineshanga9811
    @marcelineshanga9811 Год назад

    Mimi.jokuku.sikia.lao.mungu.akutuze.saaaaaaaana.mwalmu
    Davide.wewenimwalimu.namuchungaji.

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 Год назад

    Amen, nabarikiwa sana na masomo ya Mahubiri TV❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shadracknyandwi3062
    @shadracknyandwi3062 Год назад

    Ningependa kupata Biblia ya Kiswahili cha Kisasa

  • @Simplylk4384
    @Simplylk4384 Год назад

    Umenena vizuri.Kanisa iongezwe imefinywa sana

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Год назад

    Emeeeen tuko pamoja sana

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 Год назад

    Jamani... Kakanisa kama sebule ya mahali flani.ongezeni viongozi oneni mbali msitazame hapo mlipo

  • @MwitaGikene
    @MwitaGikene Год назад

    Nabarikiwa sana

  • @jackschannel6556
    @jackschannel6556 Год назад +2

    Mchungaji naomba uiombee familiar yangu!

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura Год назад

    Asante sana, nabarikiwa nikiwa ZANZIBAR.

  • @merissapati9630
    @merissapati9630 Год назад

    😢😢😢😢😢😢😢Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @kwandundaki8568
    @kwandundaki8568 Год назад

    Nafikiri somo la leo lilikuwa maalum kwa ajili yangu Asante sana pastor naamini nimebadilika

  • @mussacharles5311
    @mussacharles5311 8 месяцев назад

    Mchungaji nisaidie,nikiludi nyumbani naumwa sana nikitoka napona nifanyeje nisaidie paster

  • @annamanyam2010
    @annamanyam2010 Год назад

    Amina, nabarikiwa sana na Mahubiri TV. Ombi langu naomba kupatiwa namba inayopokea Zaka/Sadaka

  • @SarahKajwaula
    @SarahKajwaula Год назад

    Kunakitu kinaitwa pi 1.1.24 kitazinduliwa pesa ya kimtandaon je ni sehem ya unabii