Mimi Kwa sasa imekuwa kama dozi haipiti siku bila kusikiliza mahubiri ya Pastor Mmbaga . Kiukweli yananijenga Sana na yamenisaidia mambo mengi Sana hasa kukua kiroho. Mungu akutunze na Akupe maisha marefu.
Jambo pasta naitwa kwa jina ya Léon songolo .mimi ni mkahaji wa uvira Drc ,kila Mara nakuwa nikikufata kwenye mtandao na nakuwanikiona mukuu ya Mungu . Kuhusu hii somo kwa Siku ya Léo ilinitiya nguvu na nikapata kufanikiwa katika katika kazi yangu ya byashara katika Siku hii ya Léo .mubarikiwe pasta

Kweli kabisa na ukipita sikuu kadhaa bila kuyasikia utajihisi umepotea😅
Yani Mungu amtunze Kwa ajili ya watu wake amekuwa baraka Kwa wengi
Sasa huyo ndio mm kabisaa @@Lavish4K
Same here ,
Jambo pasta naitwa kwa jina ya Léon songolo .mimi ni mkahaji wa uvira Drc ,kila Mara nakuwa nikikufata kwenye mtandao na nakuwanikiona mukuu ya Mungu . Kuhusu hii somo kwa Siku ya Léo ilinitiya nguvu na nikapata kufanikiwa katika katika kazi yangu ya byashara katika Siku hii ya Léo .mubarikiwe pasta
Amina mchungaji MUNGU azidi kkutumia 🎉🎉
Amen 🙏 ❤
Ameen Pastor David Mbaga Mungu akubariki sana binafsi unaimarisha imani yangu siku hadi siku❤🎉
Amina.Asante Mchungaji Mmbaga.Somo limenibariki sana
Hakika wewe ni wa samani sna Mungu akubariki
Msaada wa namba ya pastor
Natamani pastor undelee na hili somo kwakweli
Asante kwasomo mungu akubari mutumichi wa mungu.
Amen, am blessed 🙌
Amina tunaendelea kubarikiwa
Amen
Amen❤
Aminaa.aki hpo kwa Imani n uchumi😅😅
Amins
Amina