WAKATI UMECHOKA KUENDELEA NA SAFARI || PR DAVID MMBAGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 73

  • @eddyjefwa8607
    @eddyjefwa8607 6 месяцев назад +1

    Ni Yesu Kristo ndiye anayefaa sifa na utukufu....Mchungaji,Mungu akuzidishie na kukubariki sana....ninabarikiwa sana na mahubiri yako.

  • @LeocadiaPetro
    @LeocadiaPetro 9 месяцев назад +1

    Kati ya wachungaji ninao waelewa ni wewe tu mungu akujaalie maisha marefu uzidi kutufundisha neno la mungu. Nabarikiwa sana ubarikiwe pia pastor

  • @furahaMwaliashakashindi
    @furahaMwaliashakashindi 4 месяца назад

    Mungu akubariki pastornimebarikiwa

  • @stellamaier8265
    @stellamaier8265 10 месяцев назад +6

    Naomba no yako pastor ninamengi ya kuhutaji maombi lakini mafundisho yako yamenijenga sana toka nimeanza kukufatilia mwaka jana nimekuwa mtu wa tofauti

  • @EsperenceGilbert-w4y
    @EsperenceGilbert-w4y Месяц назад

    Amina🙏🙏🥰

  • @carinethebosslady3722
    @carinethebosslady3722 10 месяцев назад

    Utukufu na sifa zimrudie Bwana kwajili ya mtumishi wake Pastor David Mmbaga🙌

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 10 месяцев назад

    Barikiwa sana pastor unatuguza sana na utumishi wako Mungu na akuneemeshe na kukutumia zaidi. Asante Yesu Amen Amen Amen

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 10 месяцев назад +1

    May God bless you pastor abundantly

  • @rachelmaungo4413
    @rachelmaungo4413 10 месяцев назад +1

    Amina ...Tusiogope

  • @GeofreyMomanyi22
    @GeofreyMomanyi22 9 месяцев назад

    Bwana asifiwe. Mafundisho yako yananibariki sana mungu akusidishie neema. Ni geoffry nikiwa qatar

  • @jacintasyombua7512
    @jacintasyombua7512 10 месяцев назад

    Pastor umenitoa mbali kwa neno lako barikiwa sana mtumishi wamungu

  • @RoseMomanyi-d3p
    @RoseMomanyi-d3p 10 месяцев назад +1

    Plaster be blessed,l am talking from Kenya ombi langu ni hili.Nisaidie na maombi hili kibawa changu Cha kumtumikia mungu kipujike kwa maana Niko na kibali plz pastor

  • @joycethomas6619
    @joycethomas6619 10 месяцев назад

    Pastor Naomba uwaombee watoto wangu katika afya zao na pia yesu awakinge kwa damu yake thamani..Amina

  • @absalimlufyagile4974
    @absalimlufyagile4974 10 месяцев назад

    Mungu akubaliki kwa mafundisho mazuli

  • @NadineMatimbya
    @NadineMatimbya 10 месяцев назад

    Umebarikiwe sana Mutumichi wa Mungu
    Najuwa kweli nomechoka lakini nita chucha nyavvu kwa neno lako heee Mungu

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 10 месяцев назад

    Aaamen Bwana Mungu aliye juu sana anibariki na wote tumesikiza hii video.

  • @miriamsamwel9188
    @miriamsamwel9188 10 месяцев назад

    Amen be blessed pastor

  • @eustina0
    @eustina0 10 месяцев назад

    Mungu akubari pastor Kila utokapo Aminaaa

  • @franklinomwanza4335
    @franklinomwanza4335 10 месяцев назад

    Let God bless you, pastor 🙏

  • @Edinahnyaboke-b9o
    @Edinahnyaboke-b9o 10 месяцев назад

    Amen mafundisho mazuri 🙏🙏🙏

  • @HappinessTumsifu-cn5kx
    @HappinessTumsifu-cn5kx 10 месяцев назад

    Pr ubarikiwe ninajifunza mengi kupitia haya masomo, changamoto ni nyingi kwenye haya maisha kuna wakati hata mtu wa kuzungumza nae hayupo masomo yako yanatia nguvu yanatia moyo pia.

  • @purity134
    @purity134 10 месяцев назад

    Amen,barikiwa pia

  • @AbelMagesaMayenga-bo5wp
    @AbelMagesaMayenga-bo5wp 9 месяцев назад

    Amen❤

  • @SIRIZAROHONI
    @SIRIZAROHONI 10 месяцев назад

    asantee sana mtumishi wa mungu❤

  • @BonfaceChacha-sp8un
    @BonfaceChacha-sp8un 10 месяцев назад

    Mungu aniondolee kiburi pastor..na anisaidie nipate kazi

  • @jasminfrieb-preis4758
    @jasminfrieb-preis4758 10 месяцев назад

    Habari Pester, ninakusiliza kila siku kama miaka miwili sasa. Na Nina changa Moto nyngi katk kazi yangu. Somo la Leo limenifaligi sana. Ubarikiwe, Salam nyingi kutoka Germany.

  • @mainawanjiru7819
    @mainawanjiru7819 10 месяцев назад

    Niombee mungu anikumbuke mimi na familia yangu tuko na shangamoto ya biashara.

  • @virginiav4595
    @virginiav4595 10 месяцев назад

    Barikiwa.sana.pastor

  • @yakobofumbuka-ry4mh
    @yakobofumbuka-ry4mh 10 месяцев назад

    Barikiwa pastor

  • @rabanmwallah214
    @rabanmwallah214 10 месяцев назад

    Ubalikiwe man of god. Raban Toka Zambia Kitwe

    • @reginahmwanza7887
      @reginahmwanza7887 10 месяцев назад

      He is not a man of god but a man of God 👍

  • @stellamaier8265
    @stellamaier8265 10 месяцев назад

    Pastor Mbaga MUNGU akubariki sana ujumbe huu ni wakwangu kabisa ninapopitia sasa hivi ni pagumu kwenye mahusiano yangu ya ndoa , kwenye uchumi hili jambo linatuchanganya sana mume wangu anastress yaani hatuelewi kufanya nini napona kupitia neno la leo

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  10 месяцев назад

      Mungu akutendee makuu

    • @heavenkingdom8157
      @heavenkingdom8157 10 месяцев назад

      ​@@MahubiriPrMmbagam chungaji naomba no yko namengi yakuuliza

  • @priscadenis-p5q
    @priscadenis-p5q 10 месяцев назад

    Nabarikiwa sana

  • @mbukejackson1600
    @mbukejackson1600 10 месяцев назад

    Ninabarikiwa sana nina changamoto ya kutopata mtoto tangu kuumbwa kwangu niombee mchungaji na biashara yangu

    • @Jeremiahchambiri
      @Jeremiahchambiri 10 месяцев назад

      Nitafute mama nikusaidie dawa hata mimi mke wangu alikuwa na shida

  • @MWANZEBISNESS
    @MWANZEBISNESS 10 месяцев назад

    Asante kwaku mumenipa ushindi mkubwa

  • @RebeccaSomolo
    @RebeccaSomolo 9 месяцев назад

    Pr naomba umuombee mume wangu kasimamishwak kazi na mie bishara imekoma kabisa mumgu atusaidie

  • @tiemukashamavuroger7044
    @tiemukashamavuroger7044 10 месяцев назад

    Tunakufuata vizuri kutoka Malawi. Tunabarikiwa Sana.

  • @rachelcharles5929
    @rachelcharles5929 10 месяцев назад

    Amina

  • @Calton898
    @Calton898 10 месяцев назад

    Amen 🙏

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 10 месяцев назад +2

    Naomba uniombee mume wangu aijue sabato yabwana naabadilike tafadhal

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig 10 месяцев назад

    AMINA

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 10 месяцев назад

    AMEN

  • @Danielcherwon888
    @Danielcherwon888 10 месяцев назад

    Amen Amen Amen

  • @RuthOkeyo-n7t
    @RuthOkeyo-n7t 10 месяцев назад

    Kweli mtumishi was mungu ni lazima tuombe shetani anafanya kazi usiku

  • @umutesiaimee3489
    @umutesiaimee3489 10 месяцев назад

    Nimebarikiwa na fandisho lako ubarikiwe.

  • @StanfordChim
    @StanfordChim 10 месяцев назад

    Amen

  • @janetwambuchi830
    @janetwambuchi830 10 месяцев назад

    Nimekuwa na uoga wa kuansisha biashara lakini sasa baada ya kuskiza haya maubiri niko tayari sasa 😊

  • @EdinaEnock-c7u
    @EdinaEnock-c7u 10 месяцев назад

    Nahiraj naombi sana past ninamengi kwakwel

  • @JuliaLumande-r4p
    @JuliaLumande-r4p 10 месяцев назад

    Ameeen🤲

  • @agneslaurent9866
    @agneslaurent9866 10 месяцев назад

    🙏

  • @doctrinesofreligions5673
    @doctrinesofreligions5673 10 месяцев назад

    Mtuatajiungaji na iyo atape

  • @ElijahMosong
    @ElijahMosong 10 месяцев назад

    Emeni. Pester nimebalikiwa.naombA no yko

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 10 месяцев назад

    Aimen

  • @alicekadzotsofwatsofwa8618
    @alicekadzotsofwatsofwa8618 10 месяцев назад

    Amy

  • @karagaijudy5358
    @karagaijudy5358 10 месяцев назад

    Pia mimi naomba number yako mchungaji

  • @roswitaalex
    @roswitaalex 10 месяцев назад

    Je Mungu aweza kutumia watu kukutia moyo wakati huu wa kuchoka? Kama njia ya kuongea nawe? Naomba kusaidiwa hapo maana nahisi kuchoka

  • @zabronemmanuel-eo1om
    @zabronemmanuel-eo1om 10 месяцев назад

    Amina

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 10 месяцев назад

    Amen 🙏

  • @agneslaurent9866
    @agneslaurent9866 10 месяцев назад

    🙏

  • @Neemacs.
    @Neemacs. 10 месяцев назад

    Amen

  • @NashoniKihombo
    @NashoniKihombo 9 месяцев назад

    Amina

  • @ritaaktar594
    @ritaaktar594 10 месяцев назад

    Amen

  • @Marianamsafiri-sm2vx
    @Marianamsafiri-sm2vx 6 месяцев назад

    Amina

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 10 месяцев назад

    Amen

  • @vivianong8404
    @vivianong8404 10 месяцев назад

    Amen