KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 221

  • @alexbushishi8342
    @alexbushishi8342 2 года назад +37

    1. POSITIVE SELF TALK (Daily Self Affirmation)
    - Zungumza kwenye singular
    - Zungumza kama kitu kiko tayari kimetokea
    2. MOTIVATIONAL SELF TALK
    - Kujitia moyo wewe mwenyewe
    - Kujiambia wewe mwenyewe utakuwaje.
    3. INSTRUCTIONAL SELF TALK
    - Kujiambia mambo unayotakiwa kuyafanya.
    - Kujiambia hatua unazopaswa kuchukua.
    💪💪💪💪💯💯💯👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 2 года назад +22

    Umebadilisha sana maisha yangu sijafanikiwa sana ila naiona nuru najiona mshindi haipiti siku lazima niingie nione clip zako na vitabu vyako vimenisaidia sana

    • @solomonbirago9639
      @solomonbirago9639 Год назад +1

      Iv ivyo vitabu napataje na mm niwez kujifunza

    • @RizikiNishimwe
      @RizikiNishimwe Год назад +2

      Naitaji vitabo nisome tavipataje?

    • @FredrickSimba
      @FredrickSimba 11 месяцев назад

      naweza kukusaidia baadhi ya vitabu vyake
      @@solomonbirago9639

  • @hashimuliloto8017
    @hashimuliloto8017 Год назад +7

    HATA MIMI HUWA NAJISEMEA NITAKUWA MILLIONAIRES..UKO VIZURI SANAA.
    ALLAH BLESS YOU

  • @dominantsawe6871
    @dominantsawe6871 Год назад +2

    Ni kitabu gani au ni document gani yenye ufafanuzi kwa undani ya haya makundi matatu. I highly appreciate you Joel

  • @NasraAlly-s8v
    @NasraAlly-s8v 3 месяца назад +8

    Mafunzo yako yamenifanya mpaka leo naitwa mama mwenyenyumba

  • @MarryMethodi
    @MarryMethodi 21 день назад

    Kind la Kwanza Na lapili natakiwa kuvifanyia kaz kila mala najitamkia Na Kwa uwezo Wa Mungu itakuwa kama ninavyo taka iwe Ameen 🙏.

  • @levinajackson2773
    @levinajackson2773 Год назад +1

    Mungu akulipe mema, hakika wewe ni tunu ktk maisha yangu. Umebadilisha maisha yangu.

  • @muniraahmed8794
    @muniraahmed8794 2 года назад +3

    Joel nanauka asante Sana . Napenda kukuskiliza hakika unanisaidia sana.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 года назад +7

    Mashaalah Niko hapa nimeweka NNE naisubiria video yenye ujumbe wa THE BRAIN FOOD

  • @pastorblessedruwaichi8102
    @pastorblessedruwaichi8102 2 года назад

    BWANA YESU KRISTO ASIFIWE MTU WA MUNGU, Nafurahishwa Sana Sana na mafundisho Yako, MUNGU azidi kukuzidisha ili Uelimishe Wengi. Aemn

  • @viviannjau9910
    @viviannjau9910 2 года назад

    Mm ninavyokupenda mm daaa kaka angu Mungu pekeee akutunze.... unanifundisha sana na ninamshukuru Mungu nakuelewa sana hata mtihan uje kwa vipind vyako vyote napasua....

  • @majidsudi2324
    @majidsudi2324 2 года назад +5

    Joel respect u,, kwa iyo kwa mwaka unavipindi 365 ubarikiwe !!

  • @danchibomnyama5461
    @danchibomnyama5461 2 года назад +7

    Mungu akubariki sana kaka Joel hakika mwaka huu 2023 niwaushindi kwangu naamini

  • @JohnDaud-sv1oc
    @JohnDaud-sv1oc Год назад

    Mungu akutie nguvu uzidi kutuelimisha Mambo mazuri Kama haya

  • @patrabrandon2365
    @patrabrandon2365 6 месяцев назад +1

    Asante kwa ujumbe mzur wakati wa Mungu nisahii nakwenda kufanikiwa..

  • @jameskitheka5791
    @jameskitheka5791 Год назад

    Nikiwa 254 ,Mafunzo yako nimazuri sana brother Joel ,ubarikiwe sana Brother 🙏

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 2 года назад +1

    MUNGU Akubariki kwa Kutufundisha mambo mengi haswa Kujitia moto na Kujiamini Mr.Joel ni

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 2 года назад +1

    Niko darasan namsubiri mwalimu

  • @magrethdicson8577
    @magrethdicson8577 Год назад

    Ubarikiwe sana! Huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako yananifanya nisonge mbele kila siku

  • @asifiwesamson2977
    @asifiwesamson2977 Год назад

    Ubarikiwe sana Joel haya ndo mambo Mungu akupe maisha marefu yenye baraka

  • @SamsonNyamakohe
    @SamsonNyamakohe Месяц назад

    Good bless you for your liberation to our generation

  • @Proonline29
    @Proonline29 7 месяцев назад

    Nakushukuru Sana kupitia wewe nimeweza kufikia mambo mengi ambayo nilihis sitaweza hongera Mungu akubariki

  • @Daudi-sg7wv
    @Daudi-sg7wv Месяц назад

    Hakika nanufaika sana kukujua na kufatilia Mungu akulinde na mabaya yote ❤

  • @joycemsigwaministry2422
    @joycemsigwaministry2422 2 года назад

    Yaan Mungu akubariki Sana we kaka yaan Mimi zote zinanihusu Hali n mbaya

  • @naibethRafael
    @naibethRafael Год назад

    Ahsante kwa mafundisho yako Mungu akubaeiki sana uendelee kuelimisha jamii

  • @endpoint4580
    @endpoint4580 2 года назад +3

    Shukran mtumishi.

  • @Nkhanga-dz8zn
    @Nkhanga-dz8zn 21 день назад

    Ahsante sana umenipa suluhu

  • @GLORIANYIGU-mk1ey
    @GLORIANYIGU-mk1ey Год назад

    Nashukuru kwa mafundisho mazuri ambayo yananipa matumaini naweza kufanya zaidi ya hapa

  • @mustafamnape9808
    @mustafamnape9808 2 года назад +3

    Mm nafurah sana yangu wamtwara nilikua sijuw kama unatoka mtwara kumbe mtwara Kuna vipaj vikubwa sana kaka
    Ongera sana kaka
    Pia napenda ukiwa darasan kama hivi bas mungu akubaliki kaka

  • @UpendoJacob-n3j
    @UpendoJacob-n3j 10 месяцев назад

    Kaka Joel Mungu akubariki sana kwakweli umeni saidia sana kujiona wa tofauti

  • @RuwaidaAyoub-q6k
    @RuwaidaAyoub-q6k Год назад

    Asante Cana Kaka hata mm mwenyewe nimekuchagua kuwa ni mtu unaenipa moyo na matumain

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 2 года назад +8

    NANAUKA FOR LIFE💡💚

  • @AbdulmarickIbrahimu
    @AbdulmarickIbrahimu Год назад

    napata faraja sana kukuskiliza mungu akubariki sana

  • @GLORIANYIGU-mk1ey
    @GLORIANYIGU-mk1ey Год назад +1

    Postive self talk ndo natumia zaidi

  • @naswiluhassan1878
    @naswiluhassan1878 2 года назад

    Sina Cha kupa Bali namuomba mungu akupe maisha marefu yenye heri

  • @neemameshack8946
    @neemameshack8946 2 года назад

    Kaka Joel Mungu akubariki Sana kwan umefanyika Baraka San kwangu maombi yangu uwe na Maisha marefu na yenye Baraka tele

  • @denssimon5585
    @denssimon5585 Год назад +1

    Wewe ni mwamba👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿😁👏🏿

  • @norahmateru4312
    @norahmateru4312 3 месяца назад

    Asante sana Mungu akubariki❤

  • @uziategela6923
    @uziategela6923 2 года назад

    Mungu akupe hekima na uelewa

  • @hakizimanamoise8754
    @hakizimanamoise8754 2 года назад +1

    Asante kaka Kwa elimu nzuri nimetuma pasa katika ofa ya mwaka

  • @libeafyapoint9815
    @libeafyapoint9815 2 года назад +1

    Hakika Mimi imenusaidia Sana afframation kwenye biashara yangu mana nikijiambia ninauza na kweli nauza Sana .

  • @rachelwazir4304
    @rachelwazir4304 2 года назад

    Ninapopitia changamoto kauli ambayo huwa inaakuja haraka ni Asante Yesu najua umenipitisha katika hili ukijua naliweza na huwa linanipa nguvu sana yakuovercome the problem ni kutoka katika wimbo wa Ambwene...naona naww umeliongelea ubarikiwe sana na Zaburi 23:4🙌🏽🙏😇

  • @CharlesMabula-u5o
    @CharlesMabula-u5o Год назад

    Mungu akulide sana joel nanuka

  • @MariaCosmas-uj9vi
    @MariaCosmas-uj9vi Год назад

    Asanteee saaana Joel Nanauka nitaanza kufanyia kazi hatua ya kwanza

  • @MosesMussa-b8s
    @MosesMussa-b8s Год назад

    kweli kak nitaendelea ! mume zaliwa kutujenga sis asiye elewa atoelewa tu mm binasfi napenda kusiliaz naimani mungu atasaidia asnt

  • @African511
    @African511 2 года назад +2

    Nanauka asante kwa mambo mazuri

    • @nellyirankunda1466
      @nellyirankunda1466 2 года назад

      Hii positive self talk kunipa nguvu zaidi ya kupata moyo ya mafanyikio kwenye biashara yangu,asante sana

  • @abgailmwadena7122
    @abgailmwadena7122 2 года назад

    Asante kaka kw kunitia moyo naniposikiza maneno yako yananisongesha hatua nyengine barikwa sana

  • @PendoBukuru
    @PendoBukuru 4 месяца назад

    Positive talk
    Kujizungumzia mimi mwenyew (singular)

  • @stellaraiton6429
    @stellaraiton6429 2 года назад +1

    Be blessed bro Joel hakika mwaka huu naamin utakuwa wa baraka kwangu maana Kila siku najifunza kutengeneza maisha yangu 🙏

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 года назад +3

    Savi sana

  • @veronicawilsonmbwambo1054
    @veronicawilsonmbwambo1054 2 года назад

    Asante sana umekuwa mbarak mkubwa sana Kila ninapokuw na changamoto ya biashara

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa 4 месяца назад

    Somo zuri Sana nimejifunza

  • @SaidMsuya-hb7to
    @SaidMsuya-hb7to 8 дней назад

    Motivation self talk kaka nimejifunza

  • @FrankHamis-hc3pd
    @FrankHamis-hc3pd Год назад

    Hongera sana kaka mkbwa kwa madin yako, najivnia kkjua mung akpe maisha maref ili uzid ktpa hamasa vjana

  • @NasmaHamisi-fs8bq
    @NasmaHamisi-fs8bq Год назад

    Nakubali barikiwa Sana kak ety

  • @JacksonNdahani..
    @JacksonNdahani.. 25 дней назад

    2., Motivation self talk
    Kujiambia maneno ya kujitia moyo

  • @pulcheriamayombo5780
    @pulcheriamayombo5780 Месяц назад

    Postive. Selfe talk mimi ni na akili nzuri.wawo Joel wewe nikiongozi wangu wa Roho.

  • @CareenPanga-un7xx
    @CareenPanga-un7xx 9 месяцев назад

    Even in bible speaks about what you speak and that is faith

  • @zarnatmohd6635
    @zarnatmohd6635 2 года назад +2

    Hongera sana kaka

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 2 года назад +1

    Niko hapa mapema sana kupata madini💎

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 Год назад

    Great teacher toka nianze kusoma

  • @SurprisedGreyhound-qy1ky
    @SurprisedGreyhound-qy1ky 9 месяцев назад

    Toka niamze kuangalia video zako RUclips niamebadilisha maisha yangu kabisa

  • @peninahmuthoka8667
    @peninahmuthoka8667 2 года назад

    Thanks good idearvto alway positive in our l lifes

  • @GaudensiaByakanwa
    @GaudensiaByakanwa 2 месяца назад

    Natakiwa kuanza na kundi namba Moja. Positive self talk.

  • @neemamsaki1111
    @neemamsaki1111 2 года назад

    Asante sana Coach Joel, nataka kufanyia kazi kundi la kwanza Postive self talk na kundi la tatu instruction self talk nitaweza nitaweza kwa uwezo wa Mungu, Barikiwa mno🙌🏾.

  • @mwamvitamyombo4466
    @mwamvitamyombo4466 2 года назад

    Mungu akubariki kaka Joel kwa mafundisho yako yananijengea kujiamini

  • @dafrosasaturuminmarandu1095
    @dafrosasaturuminmarandu1095 Год назад

    Okay brother Joel nanauka.

  • @shukrathhamza4298
    @shukrathhamza4298 2 года назад +2

    Nasubr madini darasan

  • @ednaj.b6232
    @ednaj.b6232 Год назад

    Hongera Kaka @Edna joseph

  • @EliyaJames-zp5ow
    @EliyaJames-zp5ow 5 месяцев назад

    Hakika tangu nikufahamu maisha yangu yamebadilika

  • @RoseMlelwa-t6h
    @RoseMlelwa-t6h Год назад

    Unatubadili Sana kifikra zetu

  • @agnesyjoseph3906
    @agnesyjoseph3906 5 месяцев назад

    Asante kwa SoMo, kundi langu Mimi Ni la kujiambia maneno chanya bila kujali mazingira yangu ya sasa

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 4 месяца назад

    Asante sana Mwalimu

  • @mlapemwasenga7460
    @mlapemwasenga7460 Год назад

    Kundi la kwanza ni jema zaidi kwangu mimi

  • @Visa_222
    @Visa_222 7 месяцев назад

    kaka asante sana umekuwa msaada sana kwangu

  • @RivasonJohn-x3q
    @RivasonJohn-x3q Год назад

    Big up nakuelewa

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 4 месяца назад

    God bless u my teacher❤

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 года назад

    Ahsante sana

  • @suleyjr2100
    @suleyjr2100 Год назад

    ahxante xana kaka mungu akubaliki xn

  • @JoyceHaule-v7t
    @JoyceHaule-v7t Год назад

    Shukrani Joel

  • @richardmadede9974
    @richardmadede9974 2 года назад +1

    Mimi Natakiwa kuyafanyia yote kazi at time to time

  • @WilliamJulius-p1q
    @WilliamJulius-p1q Год назад

    Asante sana kaka pamoja sana

  • @elizaelias5350
    @elizaelias5350 Год назад

    Barikiwa Sana kutia moyo

  • @asifiwesamson2977
    @asifiwesamson2977 Год назад

    Kwakweli Joel toka nimeanza kutazama crip zako nimeongeza hali ya kujiamini na kuona kuwa ninaweza na malengo yangu naona nitayafikia2 maana nimeanza kuchukua hatua

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 года назад

    Sauti yako
    Ni Furaha yetu
    Amin

  • @saraphinandale3256
    @saraphinandale3256 2 года назад

    Barikiwa sana kupitia wewe mimi nimekuwa mtu wa tofauti

  • @kifuramukono6330
    @kifuramukono6330 Год назад

    ubarikiwe sana Joel, unanibariki sana

  • @hashkhantantrasiraji118
    @hashkhantantrasiraji118 2 года назад +1

    Kaka Kaka Kaka Ubarikiwe kwa kweli 🙏

  • @pineappleplanet2250
    @pineappleplanet2250 Год назад +1

    Big up bro

  • @shaffihsiraji3141
    @shaffihsiraji3141 2 года назад

    Shukrani Mwalimu

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 Год назад

    Ameena unanipa nguvu sana

  • @MalumeDiofu
    @MalumeDiofu 6 месяцев назад

    unanita supdi yamaisha nashukulu sana uwepo wako kaka mungu asimame naww

  • @neemaibrahim4900
    @neemaibrahim4900 2 года назад

    Asant sana kwa mafundisho yako barikiwa sana, je tutapataje vitabu vyako tafadhali ????

  • @AnthonyMakamo
    @AnthonyMakamo 3 месяца назад

    Kaka mungu akubaliki mimi lindo lapili

  • @HamenyaLameck
    @HamenyaLameck Год назад

    Live longer more my brother love you

  • @anselemimchulo4084
    @anselemimchulo4084 2 года назад +4

    Ahsante kaka Joel kwa nondo matata ya kusafisha akili

  • @ElijahDavid92
    @ElijahDavid92 Год назад

    Thanks be blessed kaka Joel

  • @edinasanga776
    @edinasanga776 2 года назад

    Ubarikiwe sana,,Unanitia Moyo

  • @jacklinechahilu6659
    @jacklinechahilu6659 5 месяцев назад

    Kundi la kwanza lapili na la tatu Niko hapo.. thanks and God bless you bro 😊

  • @BeatriceJosephshafuri-pd3yp
    @BeatriceJosephshafuri-pd3yp 9 месяцев назад

    Kundi la pili Mungu anisadie