MAMBO YA KUJIKUMBUSHA UNAPOTAKA KUFANIKIWA -JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 59

  • @RashKinj
    @RashKinj 5 месяцев назад +6

    🇹🇿Nakuelewa sana kama utatoa mtihani wa mafundisho Yako naweza pata alama juu...
    Nilianza na ufugaji kuku 2yr Nina mifugo ya kutosha .akiba ya pesa familia bora na nimeacha kabisa ulevi na kundi la walevi wapo mbal na mm❤bro joel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 месяцев назад

      Hongera sana sanaa👏🏻👏🏻

  • @HildaMassao
    @HildaMassao 5 месяцев назад +3

    Barikiwa sana Kaka Joel ,hakika Mungu husema na watu kupitia Mtu wake .Hakika wewe ni Baraka ,nimeanza kukufwatilia kwa ukaribu sana majuzi hapo lakini sipo vile nilivyo kuwa.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 месяцев назад

      Ameen Ameen, nashukuru sana

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 5 месяцев назад +1

    NINA KITU KIKUBWA NDANI YANGU
    Yusufu alikaa gerezani tena alikuwa nyapala kabisa ila ndani kabisa alikuwa anaona kabisa hii level niliyo nayo siyo mimi yaani kuna mahali bora zaidi natakiwa kuwa ndio maana alisema hivi pitia mwanzo 40:14
    japo Yusufu alisahaulika kwa miaka miwili mizima lakini alitoka na kufika kwenye yeye aliyekusudiwa na Mungu."
    Barikiwa mtu wa MUNGU.

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 5 месяцев назад

    Ahsante sana brother Joel Nanauka mungu akubariki sana

  • @NorahOnyando
    @NorahOnyando 5 месяцев назад

    MUNGU akubariki Sana Kaka Joel hakika mafundisho yako yananipa hatua nyingine kila siku🎉🎉

  • @EsitaDombo
    @EsitaDombo 5 месяцев назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa mafunzo mazr .hakika nimebadilika na mafanikio yangu nayaona kiganjani mwangu

  • @Beauty_andmore
    @Beauty_andmore 5 месяцев назад

    Asante for this

  • @RidhwanShaaban
    @RidhwanShaaban 5 месяцев назад

    Barakallahufiq

  • @eliaslusingo5220
    @eliaslusingo5220 5 месяцев назад

    Ujunbe mzuri ila sauti ya muzik ni kubwa kuliko ya mwalimu.
    Mungu akubariki sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 месяцев назад

      Nashukuru, timu yangu itafanyia kazi

  • @AbisaiBilla
    @AbisaiBilla 5 месяцев назад

    Asante kaka, mafundisho yako yananijenga kila siku nafurahia huduma yako.

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 5 месяцев назад

    Mungu akubariki sana kaka kiukweli umekua baraka kwa wengi

  • @HaniyaKisingo
    @HaniyaKisingo 5 месяцев назад

    Asante sana mwalimu mungu akubariki ❤

  • @LilianShenyagwa
    @LilianShenyagwa 5 месяцев назад

    barikiwaaa sanaa umebadilishaa maishaa ya wengi mimi nikiwaa mmoja wao

  • @abdallahsalleh57
    @abdallahsalleh57 5 месяцев назад

    Mkuu umeyabadilsha maisha yangu kabisa mungu azidi kukulinda mm nilianza kukufatiliya clous miaka mingi sana mkuu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 месяцев назад

      Ameen Ameen Ahsante sanaaa

  • @AbdalahKapanda
    @AbdalahKapanda 5 месяцев назад

    Asante sana kwamalifa makubwa ubalikiwe sana

  • @ZuberiMussa-q4b
    @ZuberiMussa-q4b 5 месяцев назад

    Mwenyezi mungu azidi kuku weka nakuku baliki 🙏🙏🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 месяцев назад

      Ameen Amern ahsante sanaa

  • @anastasiamainaministries2700
    @anastasiamainaministries2700 5 месяцев назад

    Nmbarikiwq sana sana mwalimu joe

  • @BoasMwale-i9f
    @BoasMwale-i9f 5 месяцев назад

    Nakupata nikiwa lusaka Zambia 🇿🇲 Najivunia mafundisho yako bro

  • @HamisiKianga
    @HamisiKianga 5 месяцев назад

    Obrigado pai

  • @vanessasalema6087
    @vanessasalema6087 5 месяцев назад

    Thank you so much.

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 5 месяцев назад

    Asante sana

  • @mahambagislain9618
    @mahambagislain9618 5 месяцев назад

    Asante Kaka 🎉🎉🕊️✍️🇨🇩

  • @ROBERTMAXIMILIAN
    @ROBERTMAXIMILIAN 5 месяцев назад

    Transformative

  • @AsiaPandu
    @AsiaPandu 5 месяцев назад

    Ahsante kaka upo sahihi n unachokiongea

  • @HildaMassao
    @HildaMassao 5 месяцев назад

    Mafanikio yanahitaji maarifa ,hakika unavusha wengi broo.

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 5 месяцев назад

    Shukurani 🙏🙏🙏

  • @aminalumbi7031
    @aminalumbi7031 5 месяцев назад

    Shukrani sana

  • @mchattachattanoga7795
    @mchattachattanoga7795 5 месяцев назад

    Mungu akubariki sana kaka

  • @kuruthumukondo7149
    @kuruthumukondo7149 5 месяцев назад

    Shukrani kaka ❤❤

  • @IMANIMKWATA-ty7cc
    @IMANIMKWATA-ty7cc 5 месяцев назад

    understood

  • @RonaJumanne
    @RonaJumanne 5 месяцев назад +3

    Mimi simsikii Mwalimu au ni simu yangu jamani😢😢😢😢

    • @HaniyaKisingo
      @HaniyaKisingo 5 месяцев назад

      Anasikika vzr sana dear labda cm yako😊

    • @minaaminaa1781
      @minaaminaa1781 5 месяцев назад

      Restart simu au settings imejaa itakua

  • @marwanyahori3566
    @marwanyahori3566 5 месяцев назад

    joel love u adi nimemwiita mwanangu jina lako

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 месяцев назад

      Nashukuru sana kwa hiyo heshima uliyonipa🙏

  • @CharityFelician
    @CharityFelician 5 месяцев назад

    Asanteee

  • @makabyaanicet4047
    @makabyaanicet4047 5 месяцев назад

    Hi wewe nibaraka kwa mataifa yote, ninge omba kila subject utumiye kwa kuandika kwa sababu ukiandika tuna andika ukiongea tuna sikiliza asante

  • @hildamushashu5056
    @hildamushashu5056 5 месяцев назад +1

    Pongezi,ila tunaomba ongeza sayti make nimeongeza kwenye simu yangu bado.kazi njema.

  • @RashKinj
    @RashKinj 5 месяцев назад

    🇹🇿neno namba tatu..💐

  • @abdallahsalleh57
    @abdallahsalleh57 5 месяцев назад +1

    Niko kenya mkuu nitakupata vp nataka nionane na ww uso na macho brz pls pls nisaidie

  • @makabyaanicet4047
    @makabyaanicet4047 5 месяцев назад

    Tumia kwa kuandika

  • @HamadiRsima
    @HamadiRsima 5 месяцев назад

    Ile, niendelee au nisiendelee

  • @IsmailKhamis-b9v
    @IsmailKhamis-b9v 5 месяцев назад

    Mr mi naomba kujua vitabu vyako ntavipataje

  • @Rashkidechannel
    @Rashkidechannel 5 месяцев назад

    Mimi point no 4 🔥

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 месяцев назад

      Hongera sanaa👏🏻👏🏻👏🏻

  • @francjose9596
    @francjose9596 5 месяцев назад

    🎉

  • @ChristopherMkomwa
    @ChristopherMkomwa 5 месяцев назад

    Tangu nimeanza kukusikiliza najiona mahali pengine kabisa but still nahitaji kitu cha ziada kutoka kwako kutoka kusikiliza hadi kutenda

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 месяцев назад

      Karibu sana 0762 31 21 71

  • @dominickntajinya1550
    @dominickntajinya1550 5 месяцев назад

    %Usiache Kutabasamu%