Kiukwer tokea 2023 mwez wa tatu ad leo siachi kuku fatilia kiongoz na asilimia 90 naishi maisha ya kufunzwa na wew mungu akubaliki sana na aenderee kuku weka dunian utu badilishe maisha
Brand bring trast and trast bring moneny nikwelii kabisa ur righty brother joel nanauka ubarikiwe na nitazidii kuendeleaa kujifunza na kubadilisha maisha
Sina neno Zuri la kusema ila me nakuombea kwa Mungu akutunze pia akupe umri zaid ukatimize siku alizosema lil ukatimize kusudi lake Mungu kaka uso wa dunia
Nmeirudia tena hii video maana kuna sehemu imenigusa zaidi na kunizindua 👏👏👏,,,,kweli unaweza ambatana na mtu ukadhani anakusaidia zaidi ,kumbe anakusaidia kiasi na kukufanya ufocus kwenye maono yao na wewe uvutiwe na anachofanya ili na wewe ufanye 🙌
Nahitaji hyo course mentor wangu najiungaje....nlihitaji kuanzia mwezi wa tano ila naona nachelewa hatakama Sasa muda umenibana swezi kuvumiliw naomba niunge ntaisoma hata saa name usiku😢😢😢😢 nahitaji kuingia darasan kaka Joel....
Asante! sana brother kwa somo zuru. Kua na nguvu ya focus kwa Mimi ninafanya kazi ya swimming pool coach. Na mambo ya swimming pool treatment. Kati ya ivi viwili naweza kujulikana kwa vitu vyote viwili yani usafi wa pool na training?
Thanks kwa somo
Kiukwer tokea 2023 mwez wa tatu ad leo siachi kuku fatilia kiongoz na asilimia 90 naishi maisha ya kufunzwa na wew mungu akubaliki sana na aenderee kuku weka dunian utu badilishe maisha
Be blessed brother I wish to be motivation speaker like you
Brand bring trast and trast bring moneny nikwelii kabisa ur righty brother joel nanauka ubarikiwe na nitazidii kuendeleaa kujifunza na kubadilisha maisha
Amina
Kitu kingine nakiona kama mavi, kweli kabisa!
🙏🏽
Sina neno Zuri la kusema ila me nakuombea kwa Mungu akutunze pia akupe umri zaid ukatimize siku alizosema lil ukatimize kusudi lake Mungu kaka uso wa dunia
Ameen, Ahsante sana sana.
Safi sana brother Joel
Kaka yangu namtukuza Mungu kwa ajili yako, umekua baraka kwa wengi, Mungu akubariki zaidi wewe na familia yako 🙏🙏
Ameen nashukuru sana sana.
Ahsante sana kwa elimu, haya masomo ungeyaweka kwenye sehemu Moja maalum yaani mtu akihitaji hizi series azipate kwenye eneo moja
Ya salam ya salam, mashaalah
Asante sana mwenyezi MUNGU akubariki kwa kutuelimisha asubuyi ya leo
Ameen, ahsante sana.
Siku njema huonekana asubuhi.... thanks so much for being there tò make our Life Better.....Ur the best among the best Joel ♥️
Nashukuru, tuendelee kujifunza.
Asante sana Joel kwa ushauri huo wenye busara.
Nmeirudia tena hii video maana kuna sehemu imenigusa zaidi na kunizindua 👏👏👏,,,,kweli unaweza ambatana na mtu ukadhani anakusaidia zaidi ,kumbe anakusaidia kiasi na kukufanya ufocus kwenye maono yao na wewe uvutiwe na anachofanya ili na wewe ufanye 🙌
Ni kweli kabisa
Una nijenga sana
Toka DRC
I'm already joined
Kl Mkubwa ❤
Asante coach nimepokea....🙏
Asante sana professor Mungu akupe umri mrefu na afya njema Inshaallah tuzidi kuelimika na darasa zako❤
Ameen Ameen
Nipo na kufatilia kila hatua hakika wew unaweza na unanifundish meng
Karibu sana.
Holy Spirit Amen 🙏🏼
Asante sana mwalimu Joel, God Bless you, Amen 🙏🏼
Ameen, nashukuru sana.
🙏🙏❤️
Mungu akubariki sana wallah akuongezee maalifa zaid kaka. Unatufaa sana❤
Noted. Noted. Noted. Thank you so much my lovely brother
Tuendelee kujifunza.
Asante kwa elimu nzuri kaka nanauka
Nashukuru tuendelee kujifunza🙏
@@joelnanauka yeah..education is the endless process
My no 1 online mentor 🏆
Ahsante sanaa
Asante Kaka tunaendelea na chai yetu.see you at the top.
Hongera sana kwa kuendelea kufuatilia🙏
Mungu akubariki sana
Ameen nashukuru sana.
Shukrani sana
May God bless you brother Joel
AmeennAmeen
Life wisdom
Barikiwa sana kaka
Ameen.
Shukran kiongozi
Thanks
Nakufuatilia kutoka nchini marekani state Dayton Ohio
Ahsante Elias, tuendelee kufuatilia🙏
Asante kaka ubarikiwe, damu ya YESU izidi kukufunika nakupata nikiwa Brazil 🇧🇷
🙏🙏🏆🏆🏆
Nahitaji hyo course mentor wangu najiungaje....nlihitaji kuanzia mwezi wa tano ila naona nachelewa hatakama Sasa muda umenibana swezi kuvumiliw naomba niunge ntaisoma hata saa name usiku😢😢😢😢 nahitaji kuingia darasan kaka Joel....
Piga namba ambayo imetolewa hapo.
Thank you Brother.
Ameen, Karibu sana🙏
Hello I would like to get your books but I don't how to text you and get since am in gulf
Tunashukru kwa hekima hii ya asubhi
Ameen Ameen🙏
Asante! sana brother kwa somo zuru. Kua na nguvu ya focus kwa Mimi ninafanya kazi ya swimming pool coach. Na mambo ya swimming pool treatment. Kati ya ivi viwili naweza kujulikana kwa vitu vyote viwili yani usafi wa pool na training?
Ndio inawezekana kabisa.
Balikiwa nanauka nina vitabu vyako nane navisoma bado v4 nimalize nataman neonate na ww kaka
Karibuni sana
Thanks