Dr.Mauki,, Kwa Mfano mtu anafanya hio kitu mara kwa mara,,,,na ukimuuliza anakataa kabisa hajafanya ila ukishika simu unakuta wanawasiliana mara kwa mara...........😪😪😪😪😪😪Sometimes anakublock ucku kucha Mtu kama huyo Unamfanyeje aiseee
unaaeza kumsamehe lkn hakutakuwa na mapenz kama zaman docta bora akupige utasema ni kwa sababu ya kosa langu kuliko kukucheat akiwa anajielewa alafu alud kuomba msamaha
Dr nakataa kusema kucheat ni matokeo what if hana sababu….na wengi wanaocheat hawanaga sababu….what if kucheat ndio sababu wala sio matokeo...kucheat is achoice just like any other bullshit na kuanza kusema kuwa kuna sababu na inasababishwa na yule mwenza alieumizwa ni kukataa kosa….tena mi bora useme umekosa ila ukianza kuniambia sijui mimi ndio sababu sijui nini why ulisubiri mpaka uchepuke ndio useme!! ni unafiki na mtu wa hivi ni mnafiki!!!hapo ndio kabisaaaaaaa umeniambia nenda na usigeuke nyuma...mi ushauri wangu Jitu likikucheat achana nalo banaa aaaghhh! povu ruksa
I concur With u @Vivian Charlz Keep a mile distance from the betrayer! Unless u can forgive as u r strongest person in this world to live with cheating ghost memory comfortably (or can able to forget all about worse memory)
Ukweli inaumiza sana pale mchumba wako anachepka. Mm nimejipata kwa hiyo hali ya "mume wangu alichepka wakati nmetoka kujifungua mtoto wa pili. Nilijifingua kwa jia ya operation na nikajipa muda ili nipone vizuri. Tulikaa kwa muda wa miezi mitatu mume wangu akadai tendo la ndoa na nikamwambia ni sawa ila ujue tunarisk sana kwa sababu naeza pata Mimba na akatoa maoni niende nkaone gynecologist ndio nipate kuingia kwa family planning ila huo wakati pesa zilitukosa na sikuweza kwenda kumuona gynecologist. Kwa sababu ya hiyo ikawa naepuka sana tendo la ndoa lakn mume wangu hakunielewa wakati tulikuwa tumezungumza naye. Hapo ndipo alienda akalala na mwanamke ambaye simjui na nlijua kwa kupata receipt ya lodge. Nilimuuliza lakn alikataa kabisa na kutaka kunipiga. Baada ya siku kadhaa alkuja akataka tuongee na kusuluhisha Hilo jambo. Nilimkumbalia tukaongea lakn nilishindwa kabisa kumsamee maana nilpomuuliza alikana. Nmeishi na stress sijui nifanye nn hadi Sina hisia na yy kabisa. Naomba msaada tafadhali
Mm nikimwambia twende kwa psychology cancellor anakwambiaa awo ni watu kama sisi na mtumia basi hizi video ananiambia mahusiano yanalindwa na neema ya mungu nataka nijaribu kitabu Cha najiandaa kwa ndoa ikishindikana nakuja mwenyewe na Dr Cris unisaidie ushauri
Huyu mumewangu amechepuka tena sio na mwanamke mmoja ninamwambia anakata ninaushahidi kabisa lakini yeye hakubali kabisa tena matokeo yake ananitafutia makosa ya uongo je nifanye nini natamani kumuacha lakini namuhurumia kwakua najua ataishi maisha magumu sana nime naona kasahau niliko mtoa. Hata sijui chakufanya nambayako pls unishauri Nina maumivu makali sana
Mimi akicheat then nikapata uhakika kabisa kuwa kafanya,aiseeee siwezi samehee kabisa maana huko ni kupotezeana mda alafu mnajiweka ktk risk ya maradhi. Ivo sihitaji counselor Wala chanselor.
Na mwanamke mwenye kucheat akiwa na bwana kwa nyumba . Doctor the fact will remain no cheating n marriage or relationship. Being faithful will cost u nothing
hehehe hapo maisha sidhan kama yatakuwepo lazima mtakumbushiana tu kucheat hakuna msamaha jmn never for me uwiiii nenda tu baba kwahuyo uloona ndo pumziko lako wapo wanaonitaka namm
Kabisa, Mimi siwezi msamee mjinga na mpuuzi hata siku Moja. Ukiona amecheat jua upendo hakuna hapo other wise mtaanza kuishi Kwa uvumilivu tu. Nimeshasema kama Mimi sijawahi kumcheat why yeye anicheat? Aiseeee Hilo kosa nimeshasema halinaga msamaha kabisa. Nitampa uhuru wa kuendelea na huyo mjinga mwenzie.
kweli hata mimi sinaga muda wa kulambalamba matapishi….bora nikapambanae mbele kwa mbele….maana ukijibanabana unaweza kukosa vitamu Zaidi na ukamkosa Zaidi anaekupenda
This video should take only one minute. Cheating is a choice and you should ditch a cheater as quickly as possible. This guy is always talking nonsense. And to add up, a cheating woman is a bizarre in your life. Its not even complicated, You should go if you are planning to consider yourself a man, No negotiations no exceptions
@@irenewilbard2513 hapana wapo watu wengi wenye maadili Wanaojua maaana ya uhusiano wanaume kwa wanawake. Tafuta hao na usirudi nyuma. Kama kuomba Mungu omba upate watu hao wenye upendo wa dhati . Ushauri wa watu kama Mauki unarudisha nyuma maadili kwa kulegeza principles zilizo wazi.
Dt mm mume Wang anancht Kila Mara na ni bingwa kuomba msaha nikimuuliza tatizo nni anasema Hanna tatizo wakat mwingine nikimuuliza anakua mkali kwangsijui nifunyeje doct naomba ushauriwako naomba ushaur wako
Asanteee sana Dkt mauki kwa funzo lako bado najiweka vzuri na kuomba msamaha kwa mpenz Wang Ila bado cjaolewa
Dr.Mauki,,
Kwa Mfano mtu anafanya hio kitu mara kwa mara,,,,na ukimuuliza anakataa kabisa hajafanya ila ukishika simu unakuta wanawasiliana mara kwa mara...........😪😪😪😪😪😪Sometimes anakublock ucku kucha
Mtu kama huyo Unamfanyeje aiseee
Tabu kwakwel
My favorite lecturer Guidance and councelling
Naomba namba ya whatsap
Samani sana lakin
0745089504
Asante Dr uko vzr xna,somo zuri
Very powerful advice Asante sana nimejifunza
Nimekuelewa Sana Dr Sasa shida inakuja unamuuliza tatizo Nini hasemi ukimuuliza anasema hakuna tatizo kwa hiyo una kuta mambo Yana kua magumu.
chris mauki ,yaani hayo uliyofundisha yapo kwenye maisha yangu halisi sijui mwisho wake
We ni mimi kabisaa 🙌
Thanks alot and 🙏be blessed always , naendelea kufunza coz utasaidie umati mkubwa walio taka kusaidika...🙏🙏🙏🙏shukran.
Nashkuru sana
Dr. M/Mungu akutunze na aendelee kukupa Kibal Zaid Ile tuendelee kujifunza kutoka kwako!!!
unaaeza kumsamehe lkn hakutakuwa na mapenz kama zaman docta bora akupige utasema ni kwa sababu ya kosa langu kuliko kukucheat akiwa anajielewa alafu alud kuomba msamaha
Dr nakataa kusema kucheat ni matokeo what if hana sababu….na wengi wanaocheat hawanaga sababu….what if kucheat ndio sababu wala sio matokeo...kucheat is achoice just like any other bullshit na kuanza kusema kuwa kuna sababu na inasababishwa na yule mwenza alieumizwa ni kukataa kosa….tena mi bora useme umekosa ila ukianza kuniambia sijui mimi ndio sababu sijui nini why ulisubiri mpaka uchepuke ndio useme!! ni unafiki na mtu wa hivi ni mnafiki!!!hapo ndio kabisaaaaaaa umeniambia nenda na usigeuke nyuma...mi ushauri wangu Jitu likikucheat achana nalo banaa aaaghhh! povu ruksa
Vivian Charlz 😂😂😂😂
Well said mama.. no justification kbs.
I concur With u @Vivian Charlz Keep a mile distance from the betrayer! Unless u can forgive as u r strongest person in this world to live with cheating ghost memory comfortably (or can able to forget all about worse memory)
Dah unaongea Kwa hisia Sana pole Kwa matatizo yaliyokupata
Kbs jitu likichepuka liache kabla halijakuambukiza ugonjwa 😆😆😆😆😆😆
Ukweli inaumiza sana pale mchumba wako anachepka. Mm nimejipata kwa hiyo hali ya "mume wangu alichepka wakati nmetoka kujifungua mtoto wa pili. Nilijifingua kwa jia ya operation na nikajipa muda ili nipone vizuri. Tulikaa kwa muda wa miezi mitatu mume wangu akadai tendo la ndoa na nikamwambia ni sawa ila ujue tunarisk sana kwa sababu naeza pata Mimba na akatoa maoni niende nkaone gynecologist ndio nipate kuingia kwa family planning ila huo wakati pesa zilitukosa na sikuweza kwenda kumuona gynecologist. Kwa sababu ya hiyo ikawa naepuka sana tendo la ndoa lakn mume wangu hakunielewa wakati tulikuwa tumezungumza naye. Hapo ndipo alienda akalala na mwanamke ambaye simjui na nlijua kwa kupata receipt ya lodge. Nilimuuliza lakn alikataa kabisa na kutaka kunipiga. Baada ya siku kadhaa alkuja akataka tuongee na kusuluhisha Hilo jambo. Nilimkumbalia tukaongea lakn nilishindwa kabisa kumsamee maana nilpomuuliza alikana. Nmeishi na stress sijui nifanye nn hadi Sina hisia na yy kabisa. Naomba msaada tafadhali
Mm nikimwambia twende kwa psychology cancellor anakwambiaa awo ni watu kama sisi na mtumia basi hizi video ananiambia mahusiano yanalindwa na neema ya mungu nataka nijaribu kitabu Cha najiandaa kwa ndoa ikishindikana nakuja mwenyewe na Dr Cris unisaidie ushauri
Maashallah shukrn Sana
asantee je inatokea mtu anakili kosa unamsamehe lakin ukichunguza mienendo bado inaendelea ileile
Asante kwa ushauri wako nimejifunza kitu
Asante Sana kwahili mmi silipizi achepuke tuu
Asante Sana Dr.
Asante sana God bless you
Aisee ni kweli huyu Dr anavyosema ni kweli kabisa
Nashukru Sana doctor Chris
Asante sana
Asante kwa kunielimisha Dk,
Asante sana kwa ushauri mkubwa
Mungu akubariki kwa ushauri mziri
Asante dokta nimejifunza kitu
Asante sana doctor ubarikiwe Sana
Mhh!, yaan mm cwez kusamehe kbs, yaan moyo wangu mgumu Sana. Bado nahitaj counsel ya saikoloj
Unaposamehe unaanza kusahau Tu japo utakuwa unakumbuka ila kinachotakiwa hapo ni kujua sababu
Ila kwa alieumizwa kwa kweli kusahau ni tabu Ila pia jaribu kusamehe coz yanaweza wewe yakakukuta zaidi ya kosa lake tena alilokutendea wewe
Ishu Apo ni kusahau ulichotendewa,
Asante Sana dk mauki
Nashukulu sana kwa mafundisho yako hakka na enjoy mno
Ahsante sana Dr.nimepata kitu kipya
Mungu akubariki Sana kaka somo zuriiiiiii
HAISEE NIMESAMEHE LKN MTAANI WANASEMA NIMEROGWA😂😂😂
God bless you brother
hogera sana drmauki💯💯💯
Hongera Sana Dr mauki
Huyu mumewangu amechepuka tena sio na mwanamke mmoja ninamwambia anakata ninaushahidi kabisa lakini yeye hakubali kabisa tena matokeo yake ananitafutia makosa ya uongo je nifanye nini natamani kumuacha lakini namuhurumia kwakua najua ataishi maisha magumu sana nime naona kasahau niliko mtoa. Hata sijui chakufanya nambayako pls unishauri Nina maumivu makali sana
Kama aliyechepuke hataki kukiri makosa ili mkakaa sawa hii inakuaje Mr Chris?
Hata mimi nataka majibu ya hili swali hataki kukiri sasa utazungumzaje
Kaka Chris aksante Sana mafundisho mazuri
Mimi akicheat then nikapata uhakika kabisa kuwa kafanya,aiseeee siwezi samehee kabisa maana huko ni kupotezeana mda alafu mnajiweka ktk risk ya maradhi.
Ivo sihitaji counselor Wala chanselor.
😂😂😂
Smart,wewe ndo Mimi,sihitaji counseling Wala counselor.
Wewe wasema,hayajakukuta
Na mwanamke mwenye kucheat akiwa na bwana kwa nyumba . Doctor the fact will remain no cheating n marriage or relationship. Being faithful will cost u nothing
Love you so so much,wishing one day my love will make a different🤗🤗🤗
Asante saana
@@ChrisMauki1 naomba namba ya whatsap doktar pleas nashida sana
Asantee sanaaa
Asante sana Dr
Daah hii hali inasumbua sana ndoa 😭😭😭
hehehe hapo maisha sidhan kama yatakuwepo lazima mtakumbushiana tu
kucheat hakuna msamaha jmn never for me uwiiii nenda tu baba kwahuyo uloona ndo pumziko lako wapo wanaonitaka namm
Kabisa, Mimi siwezi msamee mjinga na mpuuzi hata siku Moja.
Ukiona amecheat jua upendo hakuna hapo other wise mtaanza kuishi Kwa uvumilivu tu.
Nimeshasema kama Mimi sijawahi kumcheat why yeye anicheat?
Aiseeee Hilo kosa nimeshasema halinaga msamaha kabisa.
Nitampa uhuru wa kuendelea na huyo mjinga mwenzie.
It rains everywhere😂
Dor nimependa sana mafundisho yako
Wala hakubali kabisa
Nataman mme wangu haya mafunzo ayaone màana Ana Mambo endelevu,,
Tuunde group hata wangu ni kaziiendelee
😂@@abigaelopiyo2066
Kweli kabisa ubarikiwe
Naomba no zako bro nahitaji ushauri mnoo nateseka Sana
Pole
Nakuelewa Sana Dr mauki
Kwahiyo tusiendembalikufanyakazi kwasababuyayeye, utamkulayeye
Mara mia bora kuanza upya kuliko kulea kidonda
Ahsante sana,heri kuanza upya haijalishi utaanza mara ngapi
@@babyhamisi5331 penzi huwa linaisha utamu kabisa hata mkisameheana utabaki unafiki na maigizo tu
@@babyhamisi5331 penzi huwa linaisha utamu kabisa hata mkisameheana utabaki unafiki na maigizo tu
kweli hata mimi sinaga muda wa kulambalamba matapishi….bora nikapambanae mbele kwa mbele….maana ukijibanabana unaweza kukosa vitamu Zaidi na ukamkosa Zaidi anaekupenda
@@franksospeter5221 kweli kabisa
Je kama alie cheat mwenyewe haombi samahani walah haongei chochote mimi nifanye nini
Mtihan vo wanaume wanatutesa sana
Ni kweli kabisa kabisa
Dr mnazungumza lakini bado anaendelea sasa unafanuaje apo
Ikifikiaga hapo ndo natamani nirudi shule nikasome psychology
Its wealth.n its a right time
Tupo wengi
Psychologically tunahitaj somo la emotional intelligence
Kaka Chris naomba utuwekee namba yako....nahisi tukiongea unaweza kututibu zaid kuliko kusikia maelezo tu.
Wengine wanaomba msamaha na kesho anarudia yale yale
Nakuelewa sn Dr
Je kama hauko tayari kusababu
Asante kwa ushauri ila kama mwenzi wako hataki kukaa ktk mazungumzo unafanyaje kaka
Hiyo inaumizaga sana na unakuta wako deep sana. Untmni ardhi ipasuke uingie tu
Dah apo penye kulipza kisasi nahisi
Na mwanaume akichipuka kila wakati ukimwuliza anakuwa mkali tena anakuambia ukitaka kuniacha nenda zako huyo unaeza msamehe kweli?
Mengine nimagumu Dr unaumia kila siku
Kweli aiseee mwingne kila siku yale yale hii ni wazi hakupendi msanii tu
Jamaniiii ili nichukue haya mafunzo yaje kwenye CM yangu kawaida nifanyeje maan nadownlod inagoma
It’s all true
Duuuuu yaani nahitaji somo ili zaidi
Doct mi nashida napataje namba zako
Kaka unayoyasema nikwer mke wangu nimemkuta mja mzito ila nimeamua kumsamehe
😅kaka wewe ni mtu na nusu
Hapooo kwenyeeee makosaaaa jamaniii mm nikamaa yoteeee jamaniii janiii
Japo swala la kumuomba mtu aombe msamaha kwa kosa lake mwenyewe tena kosa kama usaliti inauma mno na haisahauliki
kuchepuka ni tiketi ya kuachana mi sijawahi kuweza na ninavojipenda and very selfish siwezi kuishi kwenye uhusiano wa hvo wai!!
Kweli inauma sana
Kitabu cha malezi napataje arusha
Kaka mee ni m1 walotendwaa nakuelewa cnaa
This video should take only one minute. Cheating is a choice and you should ditch a cheater as quickly as possible. This guy is always talking nonsense. And to add up, a cheating woman is a bizarre in your life. Its not even complicated, You should go if you are planning to consider yourself a man, No negotiations no exceptions
Basi utabadilisha dunia nzima ndugu😂😂. Mwombe mungu atakusaidia.
@@irenewilbard2513 hapana wapo watu wengi wenye maadili Wanaojua maaana ya uhusiano wanaume kwa wanawake. Tafuta hao na usirudi nyuma. Kama kuomba Mungu omba upate watu hao wenye upendo wa dhati . Ushauri wa watu kama Mauki unarudisha nyuma maadili kwa kulegeza principles zilizo wazi.
Umenigusa daah
Dr na kama amechepuka ukamsamehe lakini moyoni halijatoka. nini kifanyike kusahau
Utakuwa hujamsamehe Sasa na wewe khaa
Nyie acheni tu haya mambo unajikuta mwehu hivhvi
Suluhisho nikumwacha
Dr naomba namba yako me nimuhanga wa ili swala mwenzangu hataki mazungumzo kabisa mpaka ananiblock
Dt mm mume Wang anancht Kila Mara na ni bingwa kuomba msaha nikimuuliza tatizo nni anasema Hanna tatizo wakat mwingine nikimuuliza anakua mkali kwangsijui nifunyeje doct naomba ushauriwako naomba ushaur wako
Duuh
Naomba namba yako daktari
Kmaumemsamehe Ila anakwambia hawezi kumuachaaa huyo mtu aliyechotinaye
Duuuh
Naachana nae kwan shingap
My ex n malaya utashinda kumsamehe noooo
Kweli unasamehe hadi mwisho anakuonesha life
Nahitaji no yako ili unipe ushauli zaid
🙌
Y
👀👀👀👀
Hi
Hello
Pana kaugumu hapo
Kwel hasa kwa mtu anaerudia yale2
Kumbe kusalitiwa ndo kunauma ivi pole wote waliosalitiwa
Kama ni mke akichepuka ukiakikisha kabisa ni kumuacha tu na vitabu vya dini haviruhusu msamaha katika hilo anayesamehewa ni mwanaume tu
vipi unasamehe halafu anarudia tena lilelile
Hakuna kumsamehe awee mwanamme au mwanamkee tupaa kulee
@@elizabetjmillel3351 ja
🤣🤣🤣🤣
Dk kwenye kuchepuka Kuna mambo mengi kama akichepuka mkaamua kupima mara ukimwi umo tayari msamaha wake ni nini?