Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam imagine nina siku tatu tu tangu nimekufahamu lakini Nina video zako zaidi mia moja kwasababu sijawahi kukinai kuziangalia maana Nina kama breaking news. Ubarikiwe sana mpaka ushangae my sister from another mother
Da Leila Mimi mwenyewe baba mtoto wng hata simuheshim hata kidogo hata afanyeje Kwasababu tu hayupo available infiziko kwaiyo namuona mbwa tu...zaidzadi namtumia...nahata mwanae hamueshim ananipenda mim mama ake kuliko...na hata kama baba ake akitoa ela kuhusu mtoto wake Wala simpi thaman Kwa mwanae...ubaya zaidi mwanae hata hamuamini kivilee namim mwenyewe simuamini kama anampenda kwel mwanae...Yan kiufupi simuheshim hata anipe nin...Kuna vitu apo nyuma alikosea Sana kwaiyo simkubali hata...Zaid namuona kama mjinga fulan ..Yan namtumia tu kihisia nakazalika...Yan namuona mbwa tu kama mbwa wengine..hata manunu anathaman kwangu...Yan namsnichi kindakndak
Mnafaidika au anawalisha matango pori tu, kumkadhibisha Mwenyezi Mungu,kuhusu kuongeza mke au ndoa za wake zaidi ya 1 madam hujui kuelimisha au kutoa mafunzo,nadhani yeye mwenyewe haijui dini vizuri
Ni kweli zipo sehemu nyingi za vivutio za mbuga za wanyama na hoteli za wageni, lakini Je hizo bei zao ni kila mtanzania anaweza kuzimudu??? Hotel za wageni bei zao siyo chini ya sh. 300,000/= au zaidi kwa usiku mmoja, Sasa kuna watanzania wangapi wanaweza kwenda mbuga za wanyama kwa bei hizo???

❤ shukran jazakaAllah

Mashaa'Allah ahsante
Jazzakum'llah kheri ❤
Madam leyla mpo wake wangi kwa mumeo......???
Uke wenza wajua vizuri kweli
Kweli madam leila K ina maana nyingi
Jazakallah khayran
🤲🏽
Ila. Madam Leo umenichekisha sana tutafute pesa sanaaa
,Allah akulipe kheri madam ,tun afaidika kupitia uwepo wako, shukrani sana
Mnafaidika au anawalisha matango pori tu, kumkadhibisha Mwenyezi Mungu,kuhusu kuongeza mke au ndoa za wake zaidi ya 1 madam hujui kuelimisha au kutoa mafunzo,nadhani yeye mwenyewe haijui dini vizuri
Shukurani.Madamu.Mungu akurinde
Ameen
Ni kweli zipo sehemu nyingi za vivutio za mbuga za wanyama na hoteli za wageni, lakini Je hizo bei zao ni kila mtanzania anaweza kuzimudu??? Hotel za wageni bei zao siyo chini ya sh. 300,000/= au zaidi kwa usiku mmoja, Sasa kuna watanzania wangapi wanaweza kwenda mbuga za wanyama kwa bei hizo???
P= pumbavu 😂😂😂 jamani
O=ondokaa😂😂😂😂
K=kwendaa😂😂😂😂 wapi utajuwa mwenyewe 😂😂😂😂😂 Hawa watu hawaa tukose nao tu ndio wenzetu lkn 😂😂😂😂😂😂
Huyu dada anakiwanja chake peponi wallah Nina ataniambia nisiende kusoma kwake km hii niyahp jee in-box
Dah njiayangu hii jmni asiguse mtu jmni alitaka ugomvi ni hp macho na masikio yanakusikiliza kipenzi
Madam tuseme kaona pepo kabla
Madam kwani ukitaka kuoa lazima mke kuruhusu au ukamuulize🤗sasa yeye amekuoa au wewe umemuoa! mbona ruksa ishatoka kwa Allah?msibadilishe hii ruksa kuifanya mke ndo anae toa, msiwalishe sumu, w/wake teyari ni dhaifu haitoshi udhaifuwalionao mnawakaririsha upuuzi 😂😂ati mke atoe ruksa'mnachekesha nyie