Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 145

  • @smprotz
    @smprotz 6 месяцев назад +48

    Eliudi yuko smart and real. Nadhani Hii inamfanya asitumie Nguvu Kubwa kuandaa content. Ana KITU maalum atafika MBALI

  • @YayoReception
    @YayoReception 6 месяцев назад +13

    The way He acknowledges God😊

    • @beatricejoseph2784
      @beatricejoseph2784 6 месяцев назад +1

      He is the servant of God

    • @neemajohn4023
      @neemajohn4023 2 месяца назад

      Aise Tiz about his God's Acknowledgement that made me comment. He will be Blessed More in Jesus Name. AMEEN 🙏🏽.

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 6 месяцев назад +24

    Mcha Mungu , ana adabu na heshima, Mwijaku jifunze huku

  • @gwakisamwakilema
    @gwakisamwakilema 6 месяцев назад +33

    Ninachofurahia ni kuitambua Neema ya Mungu maishani, unyenyekevu na Lugha ya upendo.

    • @TunuAdam-gc9rc
      @TunuAdam-gc9rc 6 месяцев назад

      Ndosifa ya wanyakyusa wengi,wanyenyekev pia wanampend Mungu sana

  • @rehemamwakateba6687
    @rehemamwakateba6687 6 месяцев назад +21

    😂😂😂kwe jua kali waliongeza taa mbili Eliud jamani sema i appreciate ulijitoa ukampa nafasi Neema lakini Mungu akakufanyia nafasi hongera sana kwa hilo Mungu amekutambulisha!!

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 6 месяцев назад +10

    Hakuna aliyemtegemea Mungu akaaibika
    Hongera sana ghwakukajha

  • @halimamwanga4083
    @halimamwanga4083 6 месяцев назад +9

    Hiyo rangi yako ndiyo rangi ya kiume Eliud na nahisi unatambua ndiyo sababu unaitaja kwa majivuno ila nakukubali sana sana ❤barikiwa mno

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 6 месяцев назад +9

    Mtangazaji uko vzuri sn🔥maswali yenye mpangilio tumemwelewa vzr Eliud🥰💯🔥😂😂

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 6 месяцев назад +35

    Eliudi kwel mung yupo...umefika HADI BBC....da hongera br.👊👊

  • @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
    @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 6 месяцев назад +13

    Eliud una uwezo mkubwa sana, MUNGU akuinue zaidi akulinde pia, usije ukabadilisha ualisia wako

  • @Dj2nyi
    @Dj2nyi 6 месяцев назад +4

    Hahahhahaha Eliudi ni 🔥🔥🔥🔥 alistahili kuwa wa kwanza huyu anyways wote wakali

  • @pendorobert3552
    @pendorobert3552 6 месяцев назад +4

    Daaaa kaka una Imani kubwa sana...eti labda wawe wamewaua maraika wa ulinzi akina Gabriel YESU akutunze kaka

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 6 месяцев назад +4

    Kwakweli hatukani kabisa eliud akichekesha ,had raha 🎉🎉🎉unasikiliza vichekesho hadi na wazaz wako

  • @eligiverkamnde510
    @eligiverkamnde510 6 месяцев назад +12

    Unamoyo wa kupenda Eliud, kitendo cha kumpa neema nafasi umefanya kama Kristo alivoagiza..ulimpenda kuliko nafsi yako...Mungu aendelee kukuinua❤

    • @beatricejoseph2784
      @beatricejoseph2784 6 месяцев назад

      Eliud ni ushuhuda tosha asiejifunza hatoweza kuishi katika imani yake 😊

  • @Tonga994
    @Tonga994 6 месяцев назад +16

    Nimependa interview hii,Pongezi sana Mc Davy BBC

  • @ElifridaEdward
    @ElifridaEdward 6 месяцев назад +8

    Miezi ya ada na mbolea tushacheka tayari
    Hongera sana kaka
    Mungu Akuinue zaidi

  • @saysophyfarm1780
    @saysophyfarm1780 6 месяцев назад +6

    Ukimleta Da Farida hata mimi ntakuja kwenye hiyo show😂😂😂😂😂

  • @FurahiniJ
    @FurahiniJ 6 месяцев назад +2

    Wow, safi sana kwa kuweza ku acknowledge neema ya Mungu kwenye maisha yako brother!

  • @ezrajoseph3666
    @ezrajoseph3666 2 месяца назад

    Eliud, una ubunifu mkubwa sana, unajaribu kutumia true story na kuchekesha watu kwa kutumia baadhi ya uhalisia wamaisha uliyopitia, safi sana.

  • @GladnessSamson-xk2ii
    @GladnessSamson-xk2ii 6 месяцев назад +13

    Hadi BBC kaka hongera sana home boy❤

  • @rehemamgowe4131
    @rehemamgowe4131 6 месяцев назад +5

    Hongera Sana kaka Mungu azidi kukuinua.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 6 месяцев назад +9

    Hongera sana Mr eliud unapambana sana kijana wangu mwaisa

  • @mailakanani1171
    @mailakanani1171 4 месяца назад +1

    Huyu msaniii ana neema ya mungu

  • @Tintonny
    @Tintonny 5 месяцев назад +2

    Nafurahishwa sana!! Mungu awabariki sana akina Eliud

  • @LoveAron
    @LoveAron 6 месяцев назад +5

    Eliud barikiwa mpaka ushangae mdogo wangu i love you 😍 💕💞♥️♥️♥️😘😍👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @miriammagupa
    @miriammagupa 5 месяцев назад +2

    GRACE OF GOD,
    🙇🙇🙌🙌🙏🙏

  • @HannahRichard-ru3rj
    @HannahRichard-ru3rj 6 месяцев назад +10

    Kumjua Mungu raha sana❤

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 6 месяцев назад +10

    Safi sana Eliud,simama na imani

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 6 месяцев назад +3

    Kweli Eliudi ni neema ya Mungu"hongera kwa wazazi waliomzaa na kumlea

  • @AngelAfric
    @AngelAfric 6 месяцев назад +8

    😂😂 Nimempenda sana mtangazaji anacheka sana lakin kisomi kistarabu haboi kabisa ❤

  • @michaelmwaweza1060
    @michaelmwaweza1060 5 месяцев назад +2

    Nakukubali Sana home boy

  • @polepolelucas
    @polepolelucas 6 месяцев назад +9

    Kujieleza kwake tu anaonekana ameiva big up dogo

  • @MatridaLinus
    @MatridaLinus Месяц назад

    Nakupenda sana eliudi mungu akulinde sana kaka yetu uzidi kutuuwa mbavu zetu Kwa kucheka😂😂

  • @iskiji1240
    @iskiji1240 6 месяцев назад +9

    Mwaisa mwaka BBC umetoboa mzee. Mungu akubariki ufike mbali zaidi

  • @FrancisJames-i8f
    @FrancisJames-i8f 6 месяцев назад +1

    Natamani sana eliud na profesa hamo kenya kubali sana

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 6 месяцев назад +10

    Duh.. huyu kaka!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 6 месяцев назад +3

    Namkubali sana kilasa oyooooo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 6 месяцев назад +1

    Uko vzuri eliud nimejifunza ktu kikubwa sana mungu akubariki nakufuatilia sana

  • @janethmwansasu5847
    @janethmwansasu5847 6 месяцев назад +5

    Hongera kijana uko vzr mwaisa

  • @WilliamMbwilo
    @WilliamMbwilo 6 месяцев назад +1

    Mtangazaji jau kweli,unarekebisha mike ya Eliud wakati ww ndio husikiki

  • @RachelLyimo-x4b
    @RachelLyimo-x4b 14 дней назад

    Kwa kweli nikikuangalia wewe na senga ni watu ambao mnanifanya nishikilie mbavu zangu. Ni shauku yangu kuwa siku moja mkae kwenye jukwaa moja.

  • @EmmanuelMathayo-f1c
    @EmmanuelMathayo-f1c 27 дней назад

    Unatisha mtumishi Mungu azidi kuku inua

  • @AsibatikeMgaya
    @AsibatikeMgaya 6 месяцев назад +6

    Yaani pamoja na interview, yaani nimecheeeka sanana

  • @ShidaMgala
    @ShidaMgala 6 месяцев назад +3

    Af navomuona tu Eliud, aaa😂😂😂😂 namuwaza Aunt Ramota😂😂😂😂

  • @neemajohn4023
    @neemajohn4023 2 месяца назад

    😂😅😂🤣🤣🤣😂😅😂.. Nimecheka Jamani... Eti mm nimeumbwa kwa Mfano wa Mungu... Sijiskii vibaya😅😂😅😂MIMI NI BWANA WA MAJESHI TUKO HIVI HIVI... Halisi Ya Picha Ya Bwana Yesu😂😂😂
    😅😂😅😂😅😂😅😂
    Mwee
    Nimefurahi kukuona. Kwa kweli Make Up za Farida... Kiboko.
    Mungu Akupendaye Aendelee Kukutunza na Kukubariki kwenye Kazi yako. Ameeen 🙏🏽.

  • @EmmanuelKunzugala
    @EmmanuelKunzugala 6 месяцев назад +10

    aseeeeeeeeeeeee Eliud 🔥🔥🔥🔥

  • @Ismaëlbiringaninejeje
    @Ismaëlbiringaninejeje 6 месяцев назад +2

    Samuel my brother 🎉

  • @idatonymassawe
    @idatonymassawe 6 месяцев назад +8

    Very intelligent man. Congra bro

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 5 месяцев назад

    Kingereza ni Lugha yetu ya taifa pia. Yani huwezi kuchaguwa kama hujui lugha ya Kingereza jifunze. Ahsante Sana Eliudi 😅😅😅

  • @monicapeter9065
    @monicapeter9065 6 месяцев назад +2

    Kawaida yang huwa spendi interview ndefu ila hii tamu sanaaa yaan hata schoki jaman

  • @johnjulliusntwenya4713
    @johnjulliusntwenya4713 6 месяцев назад +4

    Nice interview brother

  • @luluray2115
    @luluray2115 6 месяцев назад +3

    Hii interview nimecheka sana mwanzo mwisho

  • @esthermtinangi7776
    @esthermtinangi7776 6 месяцев назад +2

    Nakukubali Sana bro

  • @ritiaskayanda
    @ritiaskayanda 6 месяцев назад +1

    Amen sana

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo 6 месяцев назад +14

    Uyu jamaa ana kipeo😆😆😆 ati ata kwenye Jua kali waliongeza Taa mbili

  • @TukusumaAngolile
    @TukusumaAngolile 6 месяцев назад +1

    Nakukubali mwaisa

  • @NijalieMlungu
    @NijalieMlungu 6 месяцев назад +4

    Jamani Eliud samwel hadii rahaa

  • @focus140
    @focus140 7 месяцев назад +6

    Am wait

  • @godrichmwatindila5690
    @godrichmwatindila5690 6 месяцев назад +4

    MBEYA CITY ✊🏾🔥🔥🔥

  • @FPJofficial
    @FPJofficial 6 месяцев назад +17

    Eliud to the world! 💪

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv 6 месяцев назад

      ❤❤❤❤

    • @happynessmathayo3278
      @happynessmathayo3278 6 месяцев назад +1

      wakati wa Mungu ni sahihi

    • @anorderick7162
      @anorderick7162 6 месяцев назад

      Eliud mkono wa Bwana Yesu Utakuongoza - Utafika Juu dumu ktk kumjua Mungu wa Kweli....?!

  • @AllyNtimanyongo
    @AllyNtimanyongo 6 месяцев назад +1

    Kazinzuri Eliudi

  • @mtangag774
    @mtangag774 6 месяцев назад +9

    😂😂😂😂huyu jamaa comedy sana

  • @Tintonny
    @Tintonny 5 месяцев назад +2

    Eliudi jamani!! "🤣umefanana na Mic?""🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 6 месяцев назад +1

    Kuja miji2 inajua kuiba kipaji cha m2,pole Eliud hill mbwamuoxo alivoiba kipaji chako,hadi Mungu akaingilia kati.

  • @VickyWilly-h8v
    @VickyWilly-h8v 6 месяцев назад +1

    Nampenda sana eliud

  • @neemakisaka4089
    @neemakisaka4089 6 месяцев назад +3

    Hongera sana❤

  • @sirajisalai149
    @sirajisalai149 6 месяцев назад +2

    God bless you Samwel

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 6 месяцев назад +1

    Kumcha Mungu chanzo cha maarifa

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 6 месяцев назад +3

    Nakubali kutoka kahama Tanzania

  • @salmangwila8062
    @salmangwila8062 6 месяцев назад +7

    ushakuwa wa viwango vingine

  • @bahatimwaitenga4488
    @bahatimwaitenga4488 6 месяцев назад +10

    😂😂😂😂😂kwao tulikuwa tunangalia video jamani Eliud MUNGU awe nawe

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 6 месяцев назад +9

    Dah eti ht jua kali waliongeza taa mbili yaani mtoto wa Kilasa unajua sana😂😂😂😂😂

  • @RachelChengula
    @RachelChengula 6 месяцев назад +1

    We love you, anganile

  • @ev.eliezangiruketv8902
    @ev.eliezangiruketv8902 6 месяцев назад +2

    Hongera sana ndugu

  • @NoelKimaro-l3i
    @NoelKimaro-l3i 6 месяцев назад +2

    Yeeea

  • @jofreymwampamba1236
    @jofreymwampamba1236 6 месяцев назад

    Kaka Mungu akubaliki kaz yako njema

  • @LizzyMbegga
    @LizzyMbegga 6 месяцев назад +1

    Mimi mwenyewe nampenda farida

  • @luluray2115
    @luluray2115 6 месяцев назад +2

    Hongera sana kaka

  • @bahatichambo46
    @bahatichambo46 2 месяца назад

    Grea

  • @MargrethMloka
    @MargrethMloka 6 месяцев назад

    Aisee kaka we noma

  • @johnjulliusntwenya4713
    @johnjulliusntwenya4713 6 месяцев назад +2

    Too smart brother eliudi

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 6 месяцев назад +4

    Namkubali mwamba

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 6 месяцев назад +2

    Jamani hapa tu ushanichekesha😂😂😂

  • @neemasalysaly4332
    @neemasalysaly4332 6 месяцев назад +5

    Mimi pia msistue farida akija

  • @sayozmediatv6021
    @sayozmediatv6021 6 месяцев назад +3

    Nice nice ❤

  • @GladnessSamson-xk2ii
    @GladnessSamson-xk2ii 6 месяцев назад +63

    Kitendo Chakumpa nafasi Neema... Ndicho kimekufanya uwe na mafanikio kias hicho kaka nmejfunza kitu

    • @talentshow2024
      @talentshow2024 6 месяцев назад +7

      Kweli Eliud alipata Neema kupitia Neema ni somo kubwa kwangu

    • @beatricejoseph2784
      @beatricejoseph2784 6 месяцев назад +2

      Duh hata mm huwa sisahau ile siku eliud alipompa nafasi yule dada duh Mungu hana mshindani 🙌

  • @Winnywinner-no9xx
    @Winnywinner-no9xx 6 месяцев назад +1

    😅😅😅😅faridaa on town

  • @jastinmkama8548
    @jastinmkama8548 6 месяцев назад +1

    Ni neema tu

  • @PETERKIJANGA
    @PETERKIJANGA 3 месяца назад

    homeboy 💪

  • @WellingMerry
    @WellingMerry 6 месяцев назад

    Uko vizur bro

  • @anitadamas3342
    @anitadamas3342 5 месяцев назад +1

    Anachekesha au unamcheka😂😂😂

  • @0610John
    @0610John 7 месяцев назад +6

    🎉🎉🎉❤

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 6 месяцев назад +4

    Et watoto wangu wanyime tu samaki 😅😅😅ila maharage

  • @RoseMwakibete-qx8pw
    @RoseMwakibete-qx8pw 6 месяцев назад +1

    Taaa is typing ✍✍

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 6 месяцев назад +13

    Unaweza nichekesha nikacheka kumbe nakucheka 😂😂😂😂😂

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 5 месяцев назад

    Your black and handsome

  • @YuliSenkoro-c8j
    @YuliSenkoro-c8j 2 месяца назад

    Jamn mnamlet lin farida nawapend saaan

  • @LovenessSumuni-u4j
    @LovenessSumuni-u4j 6 месяцев назад +2

    Mm napeda unahvo ogea

  • @vumiliarobert1880
    @vumiliarobert1880 6 месяцев назад +1

  • @stellabwiza8158
    @stellabwiza8158 6 месяцев назад +1

    Ni interview ila nimecheka sana😂😂😂