Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri, madam mola akupe elimu nyingi Zaid, na Afya na umri wenyemanufaa Ili tuendelee kunufaika inshaallah
MashaAllah baraka wah alakulipe jitihada yako katika kufikisha elimu kwa umma.na akuzidishiye elimu nyingi zaidi na busara na au hekiman na ukupenuru zaidi shangazi yangu.
Mke wangu mm akiniagiza kitu hata kama hujampa hakasiriki anajibu inshallah rabi atatupa😂ila ikipigwa simu nikipokea akisikia sauty ya kike ugomvi unaanza 😂kumbe mara nyengine ni bimaza wangu ndio naongea nae humpa simu hio akiishika kumbe ni bimaza wangu😂
Malezi na tabia, umechagua kozi nzuri na yenye kuleta maana. Asante kwa kushea. Mahusiano mengi ya Watanzania yapo kimazoea na wapendanao wengi hawakupata elimu ya kiroho, kimwili na mazingira. Ukosefu huo ndio huleta mizozo na isipopatanishwa na kusuluhishwa, basi mahusiano hufa.
Maashallah Baarakallahu fiik Jazaakllahu khaira Katk darasa la leo Kitu kimoja umekisahau darsa hii ingetimia Wanaume tunatamani na sisi kuombwa kitandani Mara nyingi tunaomba sisi au mpaka tulazimishe kama kuku vile wanavofukuzana.
Mashallah Allah akulipe kher pamoja na wale tunao sikiliza na kwenda kuya fanyia kazin lakini pia tujitahid kutumia mkono wakulia katika kula tuepuke kumpa sheitwa nafasi
Maadam Leyla kwanza napenda vile tu unaongea kwa upole na utaratibu ukichanganya na kiswahili chako kizuri,hongera sana.Mm nimekuwa nikikufuatilia sana mafundisho /ushauri wako mzr na nimejaribu uufanyia kz na kupata matokeo,MUNGU akubariki sana kwani kila nikikusikiliza napata faida na nimekuwa wa kujirekebisha kwa kupitia mafundisho yako,Ahsante nakushukuru.Naomba no.yako
Kwa hali tuliyonayo sasa hivi kuna haja masomo kama haya kusomeshwa vijana wetu kama elimu ya lazima ili kuokoa ndoa zoa wakati watakapoingia kwenye ndoa.
Dr Leila Aboubakary, Mwenyezi Mungu akuondolee mabalaa.Akujaalie MWISHO mwema.Utafiti Wangu si rasmi,ila zipo ndoa NYINGI Wanaume angalau wanasali sala tano ila WANAWAKE Wallah WANAWAKE sala hawataki kuisikia.Mada kuu Utii kwa MUME nimekusoma sasa hili limekaaje lo saikilojia
Umeongea ukweli Ukhty, Lakni Sizani Kama Wake zetu wanayajua haya. Alla awaongoze Wake zetu wawe wenye kuyaelewa Haya. Na sisi wanaume Tujitahid kutambua majukumu yetu
Dada ndoa ngumu Kawaida mwenye ndoa ni mume.Mke mtunza ndoa. Wengi tunaoa,Mnaolewa hamjui maana ya ndoa. Kumbu kwenye ndoa mmekutana watoto wawili.Kila mtu anahitaji kubembelezwa kwa wakati wake. Wengi wazee na viongozi wa dini kufungisha tu ndoa,Lakini wanasahau kuwaweka pamoja na kuwaeleza nini maana ya ndoa kwa mapana na marefu.Wanachokumbuka akamvumilie mume kwa shida na raha.Kumbukeni shida zipo.Raha zipo hata kwenu iwe mume au mke.Jee ziada ya hayo huwaambia wanandoa?Wanandoa wengi hawaijui ndoa.Jee! Msipowaelekeza hawatoijua ndoa inataka nini kutoka kwao.Na wao wanataka nini kutoka kwenye ndoa. NDOA NGUMU JIHESHIMU MKE JIHESHIMU MUME HESHIMU MAJUKUMU YAKO HESHIMU MIPAKA YAKO. RIDHIKA NA FUNGU LAKO MTAMBUE MUMEO NA MUME MTAMBUE MKEO MTAISHI MPAKA MTACHOKANA MIILI KWA KUZEHEKA PAMOJA. فلندعو الله كثيرًا لأن عالم اليوم مليء بالامتحانات.
Mim nahukuru nipo kwa bahari naogerea mpaka nakalibia kuzama na utam alhamdullilah ila mie tu ndio bado nqzingua allah aniongoze niwe mume bora zaidi inshallah
Nikiridhia anachojali mkewe wangu(yeye Ni darasa kwangu zaidi ya mwalimu),namjali kwa kujifunza kwa uchanya/uhasi-simu ikiita siulizi kwa zuri ama baya Lina makusudi(nafsini mwake)mie Ninaangalia usalama zaidi ya maono ya amani yake kuliko( yetu)
Sawa, kutoa ushauri unaolenga kujenga mahusiano baina ya wanandoa sio jambo baya kama itachungwa misingi ya kisheria kwa kuzingatia MZUNGUMZAJI, PAHALA ANAPO ZUNGUMZIA, WALE ANAO ZUNGUMZA NAO na WAKATI ANAO ZUNGUMZA. Lakini pamoja na hivyo, 'SASA MAPICHA YANINI????!! MCHENI ALLAAH.
Mimi nimepata mke ananidharau kweli kweli,hataki kuswali,hasikii,anaondoka bila ruksa,anajifanyia anachotaka biashara,anaongea na mimi kama mtoto wake,hana adabu hata kidogo,mshirikina kweli,mikopo kila kona wallah,kauza kila kitu nyumbani sababu ya vikoba, kweli,NIMEMWAMBIA SIKO RADHI NAE DUNIANI MPAKA AKHERA
Nimefuatilia saanaa mada zako hakika wewe mwenyezimungu akulipe pepo kwani unaongea ukweli na uhalisia WA maisha ya wanandoa Kwa mujibu wa misingi ya dini.
Tunakuwa tamaa kwa chakula cha nje kutokana na mapishi ufundi na mikao tafauti kitandani usafi na umbo limejaa.sio mlalo mmoja Tu ukiambiwa ubadilishe hamuwezi ukiweza hayo mume haendi kula nje
Mm nimeowa lkn kiukweli mm huwa sipende kelele kabisa, yani nikitoka kazini natamani akili yangu ipoe, lkn mmh utulivu haupo, bora nirudi jioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooni
Ahsante mama siye wazee tumeyashuhudia hayo. Mungu akuzidishie kwa darsa hizi.
Dada kweli kabisa Maneno yakoo, unajuwa, Mungu akuongozee vema katika maisha yako yote
Mashallah nimepata mume Asante mungu Kwa hii zawadi
Jazakillahu Khaira Ya Ukhti Kwa Kutupa Elimu Mubasharatan Allah Barik
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri, madam mola akupe elimu nyingi Zaid, na Afya na umri wenyemanufaa Ili tuendelee kunufaika inshaallah
MashaAllah baraka wah alakulipe jitihada yako katika kufikisha elimu kwa umma.na akuzidishiye elimu nyingi zaidi na busara na au hekiman na ukupenuru zaidi shangazi yangu.
Masha'allah nimepata lafudhi. Yake kama MTANGA ivi.. ahsante kwa darsa.mungu akulipe kheri ❤
🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤
Mke wangu mm akiniagiza kitu hata kama hujampa hakasiriki anajibu inshallah rabi atatupa😂ila ikipigwa simu nikipokea akisikia sauty ya kike ugomvi unaanza 😂kumbe mara nyengine ni bimaza wangu ndio naongea nae humpa simu hio akiishika kumbe ni bimaza wangu😂
Malezi na tabia, umechagua kozi nzuri na yenye kuleta maana. Asante kwa kushea. Mahusiano mengi ya Watanzania yapo kimazoea na wapendanao wengi hawakupata elimu ya kiroho, kimwili na mazingira. Ukosefu huo ndio huleta mizozo na isipopatanishwa na kusuluhishwa, basi mahusiano hufa.
Maashallah Baarakallahu fiik
Jazaakllahu khaira
Katk darasa la leo
Kitu kimoja umekisahau darsa hii ingetimia
Wanaume tunatamani na sisi kuombwa kitandani
Mara nyingi tunaomba sisi au mpaka tulazimishe kama kuku vile wanavofukuzana.
Hahahahaha nimecheka sana Allah awapatie maelewano naomba muongee na mkeo atajirekebisha
Mashallah Allah akulipe kher pamoja na wale tunao sikiliza na kwenda kuya fanyia kazin lakini pia tujitahid kutumia mkono wakulia katika kula tuepuke kumpa sheitwa nafasi
Waalaykumussalaam warahmatullah wabarakaatuh
Shukrani dada❤❤❤ nimepata SoMo nakaribia kuongea kwenye doa🎉🎉
Asalam alykum pia na mimi natafta
Ahsante dada kwa ili somo nategemea wanaojielewa wakilifuatilia watamaliza migogoro ndani ya familia
Maadam Leyla kwanza napenda vile tu unaongea kwa upole na utaratibu ukichanganya na kiswahili chako kizuri,hongera sana.Mm nimekuwa nikikufuatilia sana mafundisho /ushauri wako mzr na nimejaribu uufanyia kz na kupata matokeo,MUNGU akubariki sana kwani kila nikikusikiliza napata faida na nimekuwa wa kujirekebisha kwa kupitia mafundisho yako,Ahsante nakushukuru.Naomba no.yako
❤❤❤
Nashangaa kwa hii elimu nzuri sana. Bahati mbaya walio wengi haya hawayajui kabisa. Wake wetu wameolewa jina tu
Mashaallah Allah akupe umr mrefu dada
Dr uko vzr, nimekusoma sana tena umenifanya nijue namna kuka na mke wangu
maahaallah .maudhui straight to the points.allah akubariki
Madame leila wewe nimwalimu mzuri ninazipenda sana mada zako zinaelimisha sana
💞💞💞 allah akulipe kheri yaan masha allah
Kwa hali tuliyonayo sasa hivi kuna haja masomo kama haya kusomeshwa vijana wetu kama elimu ya lazima ili kuokoa ndoa zoa wakati watakapoingia kwenye ndoa.
Mm nakupenda tu mwanangu unabusara sana
Masha Allah mafundisho mazuri
Dr Leila Aboubakary, Mwenyezi Mungu akuondolee mabalaa.Akujaalie MWISHO mwema.Utafiti Wangu si rasmi,ila zipo ndoa NYINGI Wanaume angalau wanasali sala tano ila WANAWAKE Wallah WANAWAKE sala hawataki kuisikia.Mada kuu Utii kwa MUME nimekusoma sasa hili limekaaje lo saikilojia
Wanaume wako pia wabishi wa swala...Allah Atuongoze Yarrab
Madam umenishushia gunia la misumari kichwani apa kwenye kupekua simu hatari asante madam
😂😂😂gunia la misumari
Hahaha
Ma Shaa Allah
Mashallah, hongera sana
Mashallah sister it's good advice
Asante sana kwa elimu
Mashallah mashallah akhsante sn nimepata SoMo alhamdullialh
Mashallah namkubali sanaaaa huyu ❤❤❤❤
Ata ukipiga kwa madam lela kutaka ushauri ashakupigia kukufokea 😂😂😂
Hahaha hatar
Umeongea ukweli Ukhty, Lakni Sizani Kama Wake zetu wanayajua haya. Alla awaongoze Wake zetu wawe wenye kuyaelewa Haya. Na sisi wanaume Tujitahid kutambua majukumu yetu
Amiyn yaa Rabby
Jazakallah khayran
Dada ndoa ngumu
Kawaida mwenye ndoa ni mume.Mke mtunza ndoa.
Wengi tunaoa,Mnaolewa hamjui maana ya ndoa.
Kumbu kwenye ndoa mmekutana watoto wawili.Kila mtu anahitaji kubembelezwa kwa wakati wake. Wengi wazee na viongozi wa dini kufungisha tu ndoa,Lakini wanasahau kuwaweka pamoja na kuwaeleza nini maana ya ndoa kwa mapana na marefu.Wanachokumbuka akamvumilie mume kwa shida na raha.Kumbukeni shida zipo.Raha zipo hata kwenu iwe mume au mke.Jee ziada ya hayo huwaambia wanandoa?Wanandoa wengi hawaijui ndoa.Jee! Msipowaelekeza hawatoijua ndoa inataka nini kutoka kwao.Na wao wanataka nini kutoka kwenye ndoa.
NDOA NGUMU
JIHESHIMU MKE
JIHESHIMU MUME
HESHIMU MAJUKUMU YAKO
HESHIMU MIPAKA YAKO.
RIDHIKA NA FUNGU LAKO
MTAMBUE MUMEO
NA MUME MTAMBUE MKEO
MTAISHI MPAKA MTACHOKANA MIILI KWA
KUZEHEKA PAMOJA.
فلندعو الله كثيرًا لأن عالم اليوم مليء بالامتحانات.
Kweli bro.
Dada Leila Mungu aendelee kukubariki nakukujalia afya ili tuendelee kujifunza mengi kutoka kwako.
Asante sana madam leila
Somo zuri dada mashallah ila wanaume wanachipuka sn ndio tukaangalia cm zao
Al'hamdulillah kwa mashauri mazuri sana
Nkweli dadaa ubarikiwe sana kwasomo
Really tunapenda kweli kuwapelekesha mkitufuatilia
Mashaallah dada ipo haja hata walimu wetu wa dini wafundishe sana mambo hayo maana hali ilivyo kwa Sasa kila mmoja ywajua hakuna kuambiana😂
Mim nahukuru nipo kwa bahari naogerea mpaka nakalibia kuzama na utam alhamdullilah ila mie tu ndio bado nqzingua allah aniongoze niwe mume bora zaidi inshallah
Nimependa sana darasa lako.
ASALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATU madam Layla naomba nitafute kawaida kwahisani Yako.
Mungu waajabu sana huyu pia saingine ana mkera mume wake madamu uko poa sana
Nikiridhia anachojali mkewe wangu(yeye Ni darasa kwangu zaidi ya mwalimu),namjali kwa kujifunza kwa uchanya/uhasi-simu ikiita siulizi kwa zuri ama baya Lina makusudi(nafsini mwake)mie Ninaangalia usalama zaidi ya maono ya amani yake kuliko( yetu)
❤
Umebarikiwa sana mashaalaah
Madam lela zanzibar waja lin?😊
Fact ❤
Masha Allah
Madam nakuelewa sawa
❤❤nikikaribia kuolewa nitakuita unipe somo kwaza
Ebu tuoane sasa
@@mundhirustvonline2511 haya njoo hahahahaha
Madam leilah changa moto katika ndoaa nikawaida lkn tunapitia mitihani sana
Ubarikiwe
Sawa, kutoa ushauri unaolenga kujenga mahusiano baina ya wanandoa sio jambo baya kama itachungwa misingi ya kisheria kwa kuzingatia MZUNGUMZAJI, PAHALA ANAPO ZUNGUMZIA, WALE ANAO ZUNGUMZA NAO na WAKATI ANAO ZUNGUMZA.
Lakini pamoja na hivyo, 'SASA MAPICHA YANINI????!!
MCHENI ALLAAH.
Lakini Dada yangu kipenzi madam Leila wivu ni muhimu sana katika maisha ya ndoa kama hakuna wivu hakuna maisha ya ndoa naomba unijibu
Mimi nimepata mke ananidharau kweli kweli,hataki kuswali,hasikii,anaondoka bila ruksa,anajifanyia anachotaka biashara,anaongea na mimi kama mtoto wake,hana adabu hata kidogo,mshirikina kweli,mikopo kila kona wallah,kauza kila kitu nyumbani sababu ya vikoba, kweli,NIMEMWAMBIA SIKO RADHI NAE DUNIANI MPAKA AKHERA
Pole sana
Mamboooooooo7 Ni mengiiii punguzaa iwe 3 hayooo Ni mengi😢
MashaAllah uko na mawaidha mazuri
Jambo tuko pamoja Mimi Michael kutoka America Arizona
Jazaqallahu kher
Hakika ukhti leilah.maneno yako kuntu..ila mwanamke au mwaume.akiwa nakushuku shuku sana.basi ujue nisaliti.no.1.huo ndio ukweli
Hongera sana dada
Asaante madam wangu Leyla nakupenda Sana.
mashallah dada
Wajifia😂😂
Mashaallah mawaidha mazuri sana
😂😂😂😂 ashaowa😂😂 kazi kwel
Mashallah ❤
Mm ndio niko kwenye shimo lamoto lenyewe maana hasikizi hizi mada kabisa 😢
usiache muombea Dua
Sio fungu lako hilo ila unajipa moyo kuamini kuwa ata badilika. Kumbuka ngozi ya futi kujikunja ni maumbile yake
😂😂😂
unapigwa kaka
Nimejifunza Allah akulipe
Maashanlla dada hongere sana
Mash Allah Dada Leila unajua
Upo sawa
Badala ya kuita makungwi kuwafunda vijana ni vema vijana wakapewa hii elimu na Dr Leila.
Maa Shaa Allah. Allah akubarik. Namba yako please
Mashaallah
Madame umejitahidi mno kutuelimisha khs mienendo ya wapendanao au wapenzi mume na mke.
Hamna lolote bin Adam hata umfanyie nini hashukuru
Eee ni ukweli madam leila tuko na tamaa sana na iyo ni mbaya sana tamaa ya fisi ata mimi huwa na iyo ugonjwa ya tamaa
mi napenda sana ulivyo mstafi una stara na staha
Madam Leyla. Leo ndoo awali,kukuskiza,umenigusa n ningependa nipate contacts zako kwa msaada w kibinafsi.nitashuru
Mzee baba kwenye Heshima,+cm ,ndoo balaaa,babaangu,,ucpime balaalake,
Madam Leilya naomba namba yako ya simu tafadhali
Nikweli dada mambo yote nikweli
Vp ww mzungumzaji tyr umeshaolewa
Nimefuatilia saanaa mada zako hakika wewe mwenyezimungu akulipe pepo kwani unaongea ukweli na uhalisia WA maisha ya wanandoa Kwa mujibu wa misingi ya dini.
Assalamu alaykum naomba namba za madam leyla nnahitaji kujifunza zaid masomo yake insha allah
+255 757 643 746
Tunakuwa tamaa kwa chakula cha nje kutokana na mapishi ufundi na mikao tafauti kitandani usafi na umbo limejaa.sio mlalo mmoja Tu ukiambiwa ubadilishe hamuwezi ukiweza hayo mume haendi kula nje
Utamaliza dunia nzima kwa hilo ndugu yangu bado wanazaliwa na wanaendelea kuzaliwa. Ningekushauri bora hata usiowe.
Sema Mumeo hafanyi
Kwani we Bi Layla umeolewa.? 🙈
Hawa wajuwaji ndo wanatesa sana wanaume
Hupo vizuli kwa kutoa elim
Dada angu nisaidie mimi nahitaji mke mwema mwenye tabia nzuri na dini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi niko
Dr mungu akujalie nimepata daraza nzr sana
Hakuna mambo ya kufanya mkadumu daima hapo utatudanganya tu,ndoa inadumu kwa kuvumiliana tu mengine blah blah blah tu.
Si kweli hizo ni fikra zako finyu na bado hujaijua maana ya kuvumiliana.
@@jumaseifjuma4185 matusi hayatakusaidia kitu jibu hoja mm sijatusi
Mm nimeowa lkn kiukweli mm huwa sipende kelele kabisa, yani nikitoka kazini natamani akili yangu ipoe, lkn mmh utulivu haupo, bora nirudi jioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooni
😂😂😂😂😂😂😂😂 kwamba jioooooooooni