Mkopo hauna kodi lakini una riba tena riba kubwa, hakuna benki inayotoa pesa bila riba labda benki za kiisalam. Na kupata mkopo kutoka bank za Kiislam ni shughuli
Hapo sijanfahamu Dada aliposema bank haina tax Kisha akasema ukichukuwa nusu glasi utarejesha Ile ile nusu glasi na hii sidhani bcz bank yeyote ukikopa milioni moja kwa mfano wewe ukirejesha utarejesha milioni na zaidi Sasa sijui mimi sijafahamu makusudio yake au Aina ya mkopo wake.. Nani atanisaidia jamaa
Mashallah mashallah lecture yako ina mafundisho mazuri na yaret ningeyasikia miaka 10 ilopita Leo ningekuwa na mafanikio makubwa
UKO SAWA SANA DADA. Mola Akulinde
Jazakallah khayran
Mash Allah tabarak Allah feeq, Jazzak Allah kheri maadam
Darsa swahih na adimu kuongelewa na akina mama,,maneno yako madam Leila na yakubali saana.
Mashallah mashallah 🙏
Mkopo hauna kodi lakini una riba tena riba kubwa, hakuna benki inayotoa pesa bila riba labda benki za kiisalam.
Na kupata mkopo kutoka bank za Kiislam ni shughuli
Barakallahfik
❤❤
Nimekuwa wakwanza🎉❤
Samahani nahitaji number yake madam leyla u student from wal ul asr plz really need u help
Mkopo huu kwa wanawake tu au
Shukra madam
Hapo sijanfahamu Dada aliposema bank haina tax Kisha akasema ukichukuwa nusu glasi utarejesha Ile ile nusu glasi na hii sidhani bcz bank yeyote ukikopa milioni moja kwa mfano wewe ukirejesha utarejesha milioni na zaidi Sasa sijui mimi sijafahamu makusudio yake au Aina ya mkopo wake.. Nani atanisaidia jamaa
Bank Za huku zinariba Mamaa.
Wewe dada acha uhuni.hujui maana ya tax?
msikilize vizuri then ndio umuhukumu
Pengi betli mali
Hakuna bank ambayo haina riba tusidanganyane
Nadhani hujamsikiliza vzr meongelea Kodi ya mkopo hajaongelea riba