Chukia Dhambi Usimchukie Mtenda Madhambi/Huna Ruksa Ya Kuhumu Wewe Ni Mwanaadam/Madam Leila Abubakar

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 60

  • @aminahkimwana109
    @aminahkimwana109 2 месяца назад

    Nimekupenda buuuuure ❤❤❤

  • @لوووي11
    @لوووي11 4 месяца назад +5

    Nakupenda sana Madam Lela fikra zako ni kama zangu daiman namuomba Allah anipe sah wal afya anipe uwezo niweze kujikimu maisha yangu mimi mwenyewe nimtegemee Allah sio mume ndugu watoto au jamaa

  • @zuwenaabdullah7754
    @zuwenaabdullah7754 4 месяца назад

    Mashaallah mashaallah maneno yako mazur sana Allah akubarik

  • @Muba581
    @Muba581 4 месяца назад +1

    Masha ALLAH shukran sana

  • @HaleemaOsman-r2m
    @HaleemaOsman-r2m 4 месяца назад

    Ma sha Allah

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 4 месяца назад +3

    جزاك الله خير

  • @saadaissa2253
    @saadaissa2253 4 месяца назад +1

    mashallah Allah akuzidishie afya na uzima

  • @KautharKombo
    @KautharKombo 4 месяца назад

    Mashaalllah❤

  • @Aminah-r4s
    @Aminah-r4s 4 месяца назад

    Maashallah tabarak Allah, shukran Kwa nasaha🤲🤲

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 месяца назад

    Ni kweli maneno yako madam Leila, lakini kuna watu hawataki uhusiano kwa Wema hata mtu unajaribu kuyaweka sawa hayawi, ilobaki ni kumuachia mungu tu. Shukran.

  • @JumaBinAbdallah
    @JumaBinAbdallah 4 месяца назад

    Tafadhali heshimu dada Huyu,akonafaida nzuri

  • @josiahkulwa34
    @josiahkulwa34 4 месяца назад +2

    Hakika umenena maneno ya busara madam.
    Allah akujaali

  • @hassanlibingai8811
    @hassanlibingai8811 4 месяца назад

    MashAllah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 4 месяца назад +1

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 4 месяца назад

    Shkran Kwa darasa nzr

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 4 месяца назад

    Ma Shaa Allah, Shukran kwa darsa nzuri

  • @MwacheMbegu
    @MwacheMbegu 4 месяца назад +1

    Dada Mungu kakubariki mno kwa hayo machache nimebarikiwa

  • @SawiaKamukala
    @SawiaKamukala 4 месяца назад

    Asaalaam alaikumu warahmatullah😊 wabarakatuh, nakushukuru kwa darasa zuri Sana allaah akuzidishie ujuzi, akujaalie afya njema

  • @kuluthumundalu
    @kuluthumundalu 4 месяца назад

    Shukran saaana madam

  • @ramlahamid-u7k
    @ramlahamid-u7k 4 месяца назад

    Mashaallah

  • @seifaljahury1374
    @seifaljahury1374 4 месяца назад +2

    Hakuna ulazima wa wanaopendana kuanza kujuama. Hizo ni fikra zako, na hazipo kwenye Imani ya Dini ya kiislam pia.

    • @baqirmkilindi9369
      @baqirmkilindi9369 4 месяца назад

      Ulazima wa kujuana upo..
      Soma riwaya za Bwana mtume s.a.w.w

    • @hafsamosi6628
      @hafsamosi6628 4 месяца назад +1

      Ndio mana mnafeli sana kwenye maisha baadhi yenu. Hata sheria ya dini inasema achunguzwe binti au kijana na ziulizwe Habari juu ya mwenendo wao. Na ikasisitizwa anae ulizwa kuhusu mmoja wao aseme ukweli wala asifiche baya wala kuliongeza

    • @hassanlibingai8811
      @hassanlibingai8811 4 месяца назад

      Wewe umeelewa nini kuhusu kujuana?!

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 месяца назад

      Kwani wewe unajua kujuana maanake nini?

  • @WahidaAlharthi
    @WahidaAlharthi 4 месяца назад

    MANENO ya busara kabisaa
    Subhanallah
    AO kupuuziya. Maudhi

  • @RadjabuNiyonkuru-bf9bq
    @RadjabuNiyonkuru-bf9bq 4 месяца назад +3

    Maa shaa Allaah ,may Allah bless you

  • @halimaali1157
    @halimaali1157 4 месяца назад

    Allah akubarik Madam

  • @WahidaAlharthi
    @WahidaAlharthi 4 месяца назад

    Allahumma ameen

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 4 месяца назад

    Iko wapi maana ya laailaha illa Allah na maneno yko

  • @alimlasto4122
    @alimlasto4122 4 месяца назад

    Shukuran madam

  • @mariamkai2705
    @mariamkai2705 4 месяца назад +1

    Kwel madam leila

  • @IbrahimuSaid-z7e
    @IbrahimuSaid-z7e 4 месяца назад +2

    Allah akubariki Sana
    Madam nakuona unahofu kwa mbali Sana mm mwanafunzi wako nimetambua hilo.
    Ila hongera nimebaini kwasababu unahayya kubwa kwasababu watu uliokutana nao hapo.
    Hayaa Minal Iman.
    Allah akubariki Sana
    Wallahu a'lam.

  • @abuibra
    @abuibra 4 месяца назад

    Sawa hakuna tabu ulio ya sema bi layla lakini jaribu kukaa na adui yako mbali kidogo maana ukimweka karibu yako atakudhuru.

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 4 месяца назад +2

    Sina maana yakupinga mtazamo wako lakini nukta ya kusema mtu asi semwe kwa muonekano huenda ana unye nyekevu wa ndani apo kdg nashangaaa! Japo inawezekana sn
    Kw7bu inawezakuwa mwema ktk muonekano watu wakakusifu kumbe unamaovu yasiry lakini huwezi kuwa nawema wasiry ukawa muonekano wa ovyo watu Waka kusema au kukudhani sivo ulivo. Kama nineelwa huoni ni mtazamo ngu tu.

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 4 месяца назад

    Busara ila sikujuana katika mapenzi

    • @hafsamosi6628
      @hafsamosi6628 4 месяца назад

      Wengi tu wameowana bila kuanza kujuana Na baadae wamejutia Sana sana. Kujuana huku nikupi ? Ni kuzitambua zile tabia yake angalau kwa uchache ili uanze kumfaham ni baba au mama gani ambae unamuandalia watoto wako

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 месяца назад

      ​@@hafsamosi6628dini yetu ya kiislamu inafundisha kuangalia shina la huyo unayetaka kuoana nae.
      Kwa maana wazazi na familia iliyomlea.
      Kuna uwezekano mkubwa mtu huyo akawa na tabia nzuri au mbaya kulingana na familia ama wazazi walivyo.
      Hata hivyo watu hubadilika anaweza kuwa alikuwa mzuri akawa mbaya na anaweza kuwa mbaya akaja kuwa mzuri.

  • @AbuuMtoka
    @AbuuMtoka 4 месяца назад

    Huyu madam kama alikuwepo wiphas

  • @mwajabumunna6398
    @mwajabumunna6398 4 месяца назад +1

    Madame hujamjua wifi yangu mm tushafanya vikao kadha wa kadha na bado amebaki kwenye roho mbaya huyu hata umsamehe Leo kesho anarudia kosa kubwa zaid

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 месяца назад

      Pole.endelea kumsamehe.

    • @mwajabumunna6398
      @mwajabumunna6398 3 месяца назад

      @@ahz6907 nmeshaacha tuishi atakavyo maana nna miaka 7 Sasa kwa kaka angu siend na nishaona n kawaida nauli n elf 3 tu nishaumia na nishazoea

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 4 месяца назад

    Wew ni saikologia sio dini usizungumz pumba kwanza sauti ya mwanamke ni uchi umepata wp rukhsa ya kufanya dawah

    • @hassanlibingai8811
      @hassanlibingai8811 4 месяца назад

      Kama ungeelewa basi ungesikiliza na ungeongea kwa kiasi😅

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 4 месяца назад

    Nini maana ya alwalau wal barau

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 месяца назад

    Hiyo saikolojia yako ya kipumbavu usiinasibishe na uislam utapatia saana kwa sababu haujui dini ila unautukanisha uislam mjinga saana huyu mama

    • @JamilaKweka
      @JamilaKweka 4 месяца назад

      Huna haja ya kumtukana kama ujapenda mada bora ukae kimya.

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 4 месяца назад +1

      @@JamilaKweka siwezi kaa kimya labda kama hatojinasibisha na uislam anatuchafulia dini

    • @SamiraMakame-w9c
      @SamiraMakame-w9c 4 месяца назад

      @ Jamila mtume pia hakutukana mtu wala kumkejelu mtu kama kakosea mpe nasaha.hakuna mkamilifu.

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 4 месяца назад

      @@SamiraMakame-w9c mie sijamtukana nyie hamjui tu hawa watu wanavyovuruga uislam wallahi subiri tufumbe macho tulishamwambia saana hayo maisakolojia yao wanasoma wasichanganye na uislam kwa sababu elimu zao zinaupungufu mkubwa ktk uislam na uislam umekamilika sasa wanapochanganya ndio wanaharibu

    • @Stavanger-cr3ee
      @Stavanger-cr3ee 4 месяца назад

      @@selemankishema5780 Nini maana ya MPUMBAVU?

  • @mariamkai2705
    @mariamkai2705 4 месяца назад +1

    Kwel madam leila