Sheikh Sule Awataja Viongozi Wa Mashoga Tanzania / Ushoga Upo Tanzania / Sheikh Sule

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 274

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 6 месяцев назад +23

    MUNGU wa mbinguni akubariki sana umepaza sauti yako imesikika na kila mwenye masikio na wasikie , MUNGU akukumbuke siku zote za maisha yako

  • @SamiraMakame-w9c
    @SamiraMakame-w9c 5 месяцев назад +10

    Yaaa rabbi tuhifadhi na balaa hizi sisi na vizazi vyeti,amin.

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 3 месяца назад +2

    Kama unasoma hapa tafadhali ndugu zanguni tuacheni hili jambo Mungu haridhii kabisaa. Kuna maisha baada ya kifo tujue😢 Na huko simchezo tuacheni huu uchafu turudini kwa Muumba huyu mmoja. 🙏 Please tuacheni.

  • @Afsa-z3g
    @Afsa-z3g 21 час назад

    Dah mungu tunusuru vizazi vyetu , viongoz wamekuwa vibr hawataki kuliskia hili😢😢

  • @HemedMsangi-yy8pn
    @HemedMsangi-yy8pn 6 месяцев назад +8

    Na Dr. Sulle tunakushukuru sana na tunakuomba usichoke kuielimisha jamii na Allah atakujaalia utafanikiwa na insha allah Tutafanikiwa. Na viongozi wengine wa dini zote wakemee jambo hili kama dr.Sulle kwa nguvu zote.

  • @PriscaManyala
    @PriscaManyala 4 месяца назад +1

    Barikiwa sana Dr..Sule kwa kupaza sauti kuupinga ushoga. Viongozi wengine wa dini hatuwaelewi wako upande gani !

  • @teddymnally6136
    @teddymnally6136 4 месяца назад +1

    Mungu atusaidie Sana. Naamini watu wa serikali woote wamelisikia hili na Kama wao hawajui hayo mahoteli ninaamini wakitaka kuyajua ili kuzuia uchafu njia nyeupeee!

  • @maryamkombo2039
    @maryamkombo2039 4 месяца назад

    Allah(SWT) AKUHIFADHI NA AKULINDE DR. SULE

  • @rutahalima1400
    @rutahalima1400 4 месяца назад

    Assalaam Alaykum wa rahmatullahi wa barakatuhu
    Ya Rabi wewe ndie mwenye uwezo na adhabu yako ni kali twakuomba upokee ma lalamiko yetu
    Shukran Dr sule allah akuhifadhi na akukinge na kila bala

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 6 месяцев назад +13

    Inna lillah wainna illaih Rajiuun,,eee Mola wetu tunusur waja wako na vizazi vyetu

  • @AliiMkobe-en7df
    @AliiMkobe-en7df 4 месяца назад

    Jazaqallahu khayrah.
    ALLAH akujalie mwiishilizo mwema❤❤

  • @Afsa-z3g
    @Afsa-z3g 21 час назад

    Mungu akutie nguvu na afya na apokee dua zetu

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 6 месяцев назад +8

    Dr sule upo sawa kwa hili na tupo pamoja naweAllah akuhifadhi

  • @saidaalbarwany
    @saidaalbarwany 4 месяца назад

    Dr Sule Mungu akubariki kwa kazi nzuri unayoifanya na umesikika vizuri Mungu atusaidie sote duniani

  • @SalumMohamed-sb6or
    @SalumMohamed-sb6or 6 месяцев назад +9

    Dr sulle Allwa akupe maisha mema na yabaraka ww itakua mfano na wengine wawe kama wewe

  • @adamgobeka5664
    @adamgobeka5664 5 месяцев назад +2

    Amiin! Mwenyezi Mungu akulinde na akupe nguvu katika kuondoa uchafu huu

  • @jojobrayan1551
    @jojobrayan1551 4 месяца назад

    Innallillahi😢,subhanallah Shukran sheikh wetu 🇺🇸

  • @Hudhaimakassim-d1f
    @Hudhaimakassim-d1f 2 месяца назад

    😢😢😢 mungu
    akupe maisha marefu

  • @zuwenaseifhemed3805
    @zuwenaseifhemed3805 4 месяца назад

    Subhana llah Allah tunakutegemea ww utuokoe na majanga haya

  • @SalimAbdulla-gw5rq
    @SalimAbdulla-gw5rq 5 месяцев назад +1

    Yani serikali yetu wao wanaangalia pesa tu alaf kwa mtazamo km hawaamini Asa km kuna kifo ila umeongea kweli sana sana sana . Mungu atulinde na vizaz vyetu.

  • @KabwikaIbrahim-ld8vf
    @KabwikaIbrahim-ld8vf 5 месяцев назад +1

    Inshaala,hoja ni nzuri na imeeleweka .Kila la kheri Asante

  • @twebechachamegera5925
    @twebechachamegera5925 5 месяцев назад +1

    Amina Dr. Sulle. Ubarikiwe sana na BWANA!!

  • @albahsans
    @albahsans 5 месяцев назад +2

    Allah awape laana na awavunje UTI wa mgongo wote wenye kufanya na kufanyiwa liwati

  • @mozaalmahruqi4252
    @mozaalmahruqi4252 5 месяцев назад

    Maneno mazuri na ya kweli sana in sha Allah Allah hatowapa nguvu hao wanotaka kuharibu watoto wetu . MOLA AWAANGAMIZE..TUNAKUSHUKURU KWA NASIHA ZAKO..

  • @SimonMaregge
    @SimonMaregge 5 месяцев назад +1

    Hongera Sana shekhe hakika ww ni mjumbe wa mungu sio viongozi wengine wa dini wapo kimyaa mungu akulinde shekhe,

  • @mozakhalfansaid7246
    @mozakhalfansaid7246 5 месяцев назад +1

    Subhana Allah, Allah atuhifadhi namabalaa hayo, Allah awahifadhi wtt wetu na jamii islamu, Allah atakuwezesha atakupanguvu na elemu yenyekunufaisha

  • @J.Anyauba
    @J.Anyauba 4 месяца назад

    Allah akujalie miaka mingi shekhe

  • @evvyyurek1862
    @evvyyurek1862 5 месяцев назад +3

    Allah akusimamie lnshaallah tuko pamoja Inshaallah

  • @MudyAimary
    @MudyAimary 4 месяца назад

    ❤❤ Allah akupe umuri mrefu na azidi kukupa ulinz uzidi kuelimisha jami

  • @mussamathayomadole8401
    @mussamathayomadole8401 5 месяцев назад

    Nimekukubari kwa hili, umeisema kweli ya Mungu, ya kukataza uovu huu, hata mimi naulaani kwa jina la Yesu.

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 5 месяцев назад +1

    Asante mtumishi wa Mungu.
    Hatutaki ushogaaa .Wabunge nawawe serious na jambo hili.
    Mungu ingilia kati jambo hili baya .

  • @hemeditessua289
    @hemeditessua289 5 месяцев назад +1

    Dr swile Allah akusimamie kwa kusimia jamii

  • @magnet-mt7nt
    @magnet-mt7nt 6 месяцев назад +39

    Wote tupaze sauti kukemea ushoga kwaajili ya MUNGU na kwaajili ya vizazi vyetu

    • @rauhiyahassan5498
      @rauhiyahassan5498 5 месяцев назад +3

      Tunaomba mpaka zanzibar ufike hali tete sheikh

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 5 месяцев назад +2

    Hatutaki USHOGA🙏😭

  • @RachelAbel-d4v
    @RachelAbel-d4v 5 месяцев назад +2

    Mungu sikia sauti ya Mtumishi wako,tuma malaika kama ulivyotuma Sodoma na Gomora wapo wa Tanzania wengi kweli hatutaki tendo hili la shetani Mungu uwe Nasi kwa jina la Yesu kristo mwokozi wetu tuokoe sauti hii ikubalike kwako .Amini Mungu amekusikia.

    • @salumushungu
      @salumushungu 4 месяца назад

      Mungu tunusulu sisi na vizazi vyetu

  • @BahatiUkoko
    @BahatiUkoko 4 месяца назад

    Mungu akulinde uendele kukemea maovyu
    Mungu inusuru tanzania

  • @khamisikhamisi2501
    @khamisikhamisi2501 5 месяцев назад

    Mwenyezi mungu azidi kukubariki nakukupa pumzi zaidi natupinge wote kwapamoja nakumuomba mungu yeyote anaekubali swala hili mwenyezi mungu amuondoe hapa Duniani yani wafe haraka wote wanaokubali ushenzi huu

  • @suhailaidarousahmed2879
    @suhailaidarousahmed2879 5 месяцев назад +3

    Mashallah umeongea point sana umaskini ni wa Mungu na utajiri ni wake ili tumpende Mungu na tulaani ushoga Tanzania

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 5 месяцев назад +1

    Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema

  • @annaerineo2388
    @annaerineo2388 4 месяца назад

    Mungu akutie nguvu uzidi kupaza ssuti Amina Amina Amina

  • @richardmichaelshekoloa8302
    @richardmichaelshekoloa8302 6 месяцев назад +2

    Sawa kabisa dk sule saidia watu kwakua upewa sauti na mwenyezi mungu

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 4 месяца назад

    Sijawahi kukuelewa ila Leo. Mungu akubariki.

  • @mashakhamiskh8880
    @mashakhamiskh8880 6 месяцев назад +4

    Na Zanzibar tunakukaribisha Dr sule
    Karibu sana

  • @OchinotzTZ
    @OchinotzTZ 6 месяцев назад +1

    Mungu aiponye nchi yetu kwa ushoga amen

  • @PaschalMakubi
    @PaschalMakubi 6 месяцев назад +2

    Mwenyezi mungu akutie nguvu katika hilo

  • @FikiriMgonanze
    @FikiriMgonanze 4 месяца назад

    Mungu akulinde na Mungu awaangamize wote wenye maslahi na ushoga Tanzania mungu

  • @kasigwaedgar5415
    @kasigwaedgar5415 5 месяцев назад

    Dkt. Tumakusikia vizuri, binafsi niko nawewe katika kulipinga hili. Mungu akutie nguvu kutimiza wito huo aliokupa moyoni mwako. Ameen Ameen.

  • @elihaikamrema1693
    @elihaikamrema1693 5 месяцев назад

    Ubarikiwe mtu wa Mungu. Wazazi Muda wa kukemea swala hili ni Leo na sio kesho. Tupazeni sauti ili Mungu asikie.

  • @mashakhamiskh8880
    @mashakhamiskh8880 6 месяцев назад +1

    In shaa ALLAH Allah tujaalie hili jambo liindoke katika taifa hiliii, Ya- Rabbi tuvue katika hili janga

  • @RosemaryMayunga
    @RosemaryMayunga 5 месяцев назад +1

    Dr sule mungu akubariki sana na azidi kukutia nguvu na ulinzi mkubwa kulikomboa taifa hili

  • @JoyceRichard-u7q
    @JoyceRichard-u7q 5 месяцев назад

    Asante Dr Sule, ubarikiwe mno, Mungu azidi kuingilia kati, ushoga hauna nafasi Tz kabisa

  • @KassimKinyashi
    @KassimKinyashi 5 месяцев назад +1

    In shekh mungu akuzidishie nguvu kamahawajakuskia hawatakuskiatena

  • @maggiedtp5524
    @maggiedtp5524 5 месяцев назад

    Ubarikiwe sana sheikh Sule, umenene atakae sikia na asikie tusubiri moto wa Mungu yanayoshuka kwani binadamu mioyo yao ni migumu.

  • @RehemaPanton-kg6lf
    @RehemaPanton-kg6lf 5 месяцев назад

    Walahi mungu akubariki na kizazi wako umefanya kitu cha muhimu sana kusema jambo hilo

  • @GodfreySanga-un8cd
    @GodfreySanga-un8cd 5 месяцев назад +1

    Mungu akubariki sana! Mtumishi.

  • @issamahmad665
    @issamahmad665 4 месяца назад +1

    Allah sw Hakatazi jambo kwa qaumu yaani watu ila jambo hilo lina madhara makubwa.
    Sasa binadamu asiye na fikra za maumbile ya kibinadamu, Allha sw asingaliumba mke na mume,hivyo kufanya hivyo hatari kwani chembe hai zilizomo ktk mkojo wa mimba unakwenda kuharibu mfumo mzima wa mumbile ya binadamu mume au mke. Njia ya kupotisha haja kubwa ikapitishwe manii nimadhara makubwa.Kunakisa muhim watu kukijuwa hicho anachosimulia Dr Sule. Ieleweke hiyo si simulizi, bali ni Ujumbe wa kweli ktk zama zilizopita

  • @nzeyibless3280
    @nzeyibless3280 5 месяцев назад

    Allah akufishe haliyakuwa amekuriziya mwisho mwema kwako inshaallah

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 6 месяцев назад +1

    Allah akusaidie Dr na watu wafahamu ubaya wa laanahii

  • @martharugwana2130
    @martharugwana2130 5 месяцев назад

    Dr Sule Mungu azidi kukutia ujasiri 🙏 komesha mapenzi ya jinsia moja!!!

  • @RuqayyahMushema
    @RuqayyahMushema 2 месяца назад

    Jazaakallhaahu khairan

  • @SalmaMrembo
    @SalmaMrembo 5 месяцев назад

    Allah akujaalie Dr sure Allah atujaalie watanzania ushoga uondoke Tanzania

  • @RamadhanRamadhan-cx3tj
    @RamadhanRamadhan-cx3tj 5 месяцев назад +2

    Allah bless you for the true speech . Pia umetuwakilisha

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 5 месяцев назад

    Mungu akubariki Dr sule ukweli inatisha loo hata vyombo muhimu vina wanahusika na ushoga na ubasha mungu tusaidie taifa letu

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 6 месяцев назад +2

    Mwenyezi mungu utuhurumie. Lihurumie taifa letu baba mungu. Iangalie nchi yetu na viongozi wetu wajalie kutambua kwamba hilo ni chukizo mbele zako wewe ulituumba na ukatujalia utashi wa kutambua mema na mabaya tunakuomba uwajali wote wanaojihusisha na chukizo hilo awaacha kwani hatutaondoka na kitu hapa duniani. Tutaambatana na matendo yetu mema tu.

  • @saimonrodgers8262
    @saimonrodgers8262 6 месяцев назад +1

    Mungu akubariki sana Sheikh

  • @nassorkhalifa4923
    @nassorkhalifa4923 5 месяцев назад

    Mungu akubariki na akulipe kwa bidii yako hii

  • @nzeyimanaadidja7684
    @nzeyimanaadidja7684 5 месяцев назад

    Mtihani sana, Allah atulinde kwakweli

  • @davidmpesa2201
    @davidmpesa2201 6 месяцев назад

    Hongera tuko pamoja kulipinga swala la ushoga hatutakiiii washindwe Kwa jina la YESU

  • @HassanOmary-f3z
    @HassanOmary-f3z 6 месяцев назад +3

    Do k Sule wewe unatoa elimu nzufi san.mungu
    Akulinde

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 месяцев назад

    Dr Sule , baba mungu hadhihakiwi, hakika kama hakuna adiyetaka kukusikia, adhabu ipo. Umri wako uwe Khera, afya yako iwe Khera, Familia yako watoto na uzao wako uwe Khera, umenena kwa msisitizo Sana baba, na Dr. Mwakyembe smeekezea Sana jambo Hioli sijui. Sema, Sema Sema, mbona tunakimbizana tu na wabakaji, tena ni wachache na wanafungwa 30nyrs kabisa. Na Hilo nalo likemewe. Umaskini wetu usiguangamuze . Tunaipenda afya, na maisha 120 yrs.

  • @umislam9203
    @umislam9203 5 месяцев назад

    Allah Akubariki sheikh wetu

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 4 месяца назад

    Ubarikiwe sana Dr Sulle

  • @mashakhamiskh8880
    @mashakhamiskh8880 6 месяцев назад +6

    Hakika adhabu ya ALLAH haichagui hata siku Moja.. na inaangamiza sote.. Ya Rabbi tujaalie khatma njema na kizazi chetu

  • @jeniphermyingajeniphermyin8029
    @jeniphermyingajeniphermyin8029 5 месяцев назад

    Mungu akubariki Sana mtu wa Mungu

  • @AmdiniChungulu
    @AmdiniChungulu 4 месяца назад +1

    Mungu atunusuru sana

  • @jafarimsigwa277
    @jafarimsigwa277 5 месяцев назад

    Umeeleweka sana shehe Mungu aturehemu. Tunaochukizwa na tendo hili.

  • @jochachallengetv7061
    @jochachallengetv7061 6 месяцев назад +1

    Hakika Dr. Sule hili jambo linachukiza sana, nakushukuru KWA kufungua mdomo wako juu ya jambo hili.. sauti y'ako ni sauti ya mungu.. mungu wa mbinguni akulinde.

  • @ZainabRashiid
    @ZainabRashiid 4 месяца назад +1

    Kwa kweli Hali ni ngumu tumuombe mungu atuepushe na laana hizi nawaomba viongizi wa dini, viongizi wa serikali msilifumbie macho hili ni janga kubwa kuliko corona pazeni sauti Hali ni mbaya kwenye jamii zetu

  • @KennedyKway
    @KennedyKway 5 месяцев назад

    Nakubali sana shekh Mungu akupe uhai mrefu

  • @boazmpazi260
    @boazmpazi260 6 месяцев назад +1

    Safi sana hongera sana baba karibu Mwanza.

  • @teddymnally6136
    @teddymnally6136 4 месяца назад

    Nina ushauri Mimi Kama Mimi kwa maneno mazuri aliyoyasema huyu mtu was Mungu, viongozi wa dini zote zinazomuabudu Mungu was Kweli aliyeiteketeza Sodoma na Gomora Kwa uchafu huu wajipange pamoja wafanye maandamano ya amani kwenda Ikulu kumuona rasmi Raisi wetu msikivu na mchapa kazi wamueleze wampe majina ya mahoteli yanayofuga uchafu huu ili yafungwe nk. Ili tuwe salama na vizazi vyetu. Maandamano haya yakafanyike na Tanzania visiwani Kwa amani vilevile. Asante

  • @mohammedgulam9274
    @mohammedgulam9274 6 месяцев назад +3

    Shukran Dr.❤

  • @KengwaSaad
    @KengwaSaad 5 месяцев назад

    mungu akujalie shekhe wachane

  • @SaidiKiberenge
    @SaidiKiberenge 5 месяцев назад

    Allah akubaliki akupe nguvu,binafsi nimekuelewa..msg send

  • @SalmaMrembo
    @SalmaMrembo 5 месяцев назад

    Mama Samia raisi wetu ebu sikuliza sauti za watanzania ebu tupinge ushoga na ubasha na usagaji yarabi tunusuru watanzania tuepushe yarabbi Mungu inusuru Tanzania yetu

  • @richardmichaelshekoloa8302
    @richardmichaelshekoloa8302 6 месяцев назад +1

    Sawa dk mungu akusaidie kupaza sauti

  • @khadijajamaly
    @khadijajamaly 4 месяца назад

    yarab tuongoe cc waja wk tunapotea sana 😭😭

  • @ndenengomwende4915
    @ndenengomwende4915 5 месяцев назад

    Mungu akutie nguvu, aliyekutazamisha haya, wengi tuko nyuma yako kwa hili

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 5 месяцев назад +1

    Lahaula walaakuwat ilabilah inalilahi wainailahi rajiiun 😢😢😢😢😢

  • @jackietogwa7957
    @jackietogwa7957 5 месяцев назад

    Eeh Mwenyezi Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu kwaajili ya utukufu wako.tuepushie jambo hili baya.

  • @khamisMussa-yx1ld
    @khamisMussa-yx1ld 5 месяцев назад

    asw. hakika dk. sule. Allah aikubali hii kauli . aipe nguvu na malengo yafimiwe uozo huu uondoke

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 5 месяцев назад

    Kuna wakati nakusapoti sana Allah akuongoze na sisi pia atuongoze

  • @Elesciahmdugo
    @Elesciahmdugo 4 месяца назад

    Mungu akubariki umesema kweli tupu

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 5 месяцев назад

    Mungu akulinde Shekhe

  • @amermakeny5505
    @amermakeny5505 5 месяцев назад

    Mungu wa Mbinguni akutunze na aendelee kukutumia vizuri kukemea maovu. Sema kweli Taifa lipone.

  • @3jaysroyal
    @3jaysroyal 5 месяцев назад

    Umesema vyema Mungu aendelee kukutumia kwa ajili ya kizazi chetu.

  • @shebatimathayo8471
    @shebatimathayo8471 5 месяцев назад +2

    🎉Docta Sule uko vizuri Bwana Yesu akulinde.

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s 5 месяцев назад

    Mungu akubariki

  • @Rooney1184
    @Rooney1184 5 месяцев назад +1

    Nakusapoti kwa hili safi sana

  • @awenamohamed6522
    @awenamohamed6522 5 месяцев назад

    Hasbunallah waneemal wakil