UJue watu hawajielewi cz mnapenda kumuona shekhe yuko kwenye jumba bovu anaendesha basikeli ndio museme mungu awajalie sio poa allah awajalie mashekhe wt wafike mbali inshallah
Dr sule muogopeni mungu hakika ya kumuogopa, nabii suleimani Allah kampa nafasi hio ya kuzungumza na majini ila sio sababu hio ya kuwapotosha watu etii Wana nafasi ya kutumia majini kwa njia yoyote ile jmn tuombee nehema ya halali na hakika mbele ya Allah, Allah atusamehe inshaalaah
Mnamsifia tu huyu ndyo anawakashifu sana akina mwamposa je huu utajili alionao yy kaupata wap? C humo humo kwenye dini? Kama yy yupo kwenye kweli na Akina mwamposa pia wapo kwenye ukweli kikubwa kila mtu adili na upande wa dini yake
@@ndogoroedson199 Bro wanaadam tuna sir kubwa sana ktk utafutaji wetu kikubwa Sisi sio watoa hukumu hata sisi hasa Mm personal ninamatatizo yangu(mapungufu) Kikubwa ni kuombeana DUA au kufanyiana Maombi 🙏
Nili wai kukupigia cm nilikua na mgonjwa anatapika damu ukanielekeza dawa ...nikaona kama umenizalau kumbe ilikuwa dawa kweli .... inshallah Mungu akuzidishie na akupe maisha malefu
Mashallah Barakah ALLAHU fiiqum hbbi shekh wangu doctor sule kwn ss wa kenya tunakupenda kwa minajili y Allah swt akulinde na kila aina husda na balaa na akupe mwisho mwema aaamiin
Ostadhi upo vzr sana,nakupenda bure upo vzr vitabu vyadini,vyote vipo kichwani,yan mie nimkristo lkn kwawewe unavyochambuwa biblia,unatuzidi hata cye wakresto,yan kweli itabaki kuwakweli tuuu, upo sawa ostadhi maswaliyako unajibu kwamaandiko,
Huyu dr sule ni mjanja sana,kuna kijana alikua anaumwa mapepo.alipita sehemu nyingi sana ila huyu dr sule alimpa dawa yake ya fettiesupereto yule kijana alipona mapepo.Sule Ana confidence na ni mpembuzi wa vitabu
Kwa upande wa majini, umeusemea uislamu uongo jambo usilo na ilimu nalo, unataja aya za uongo, nawanasihi waislamu na wasiokua waislamu wajifunze uislamu kwa watu sahihi watu wenye ilmu sahihi ya dini. Wasikilizen mashaykh wakisalafy Shaykh Qassim mafuta, Abdallah humeid, Abuukhaulah Mbwana Abdi Allah awahifadhi
Mganga wa kienyeji anaetumia mgongo wa dini. Aqida ya ahlu sunna wal jamaa3ah hakuna mafungamano mahusiano baina ya bin Adam na jini. Wewe sule mche Allah
Simba ndo simba anamahusiano na binadamu na watu wanafuga kama kawaida sasa jini inashindikanaje? Oxygen yenyewe haionekani na watu wanaitengeza kama kawa na wanamsaidia mgonjwa
Katika uislam sisahihi mtu kuongea kitu hana ujuzi nacho.unaleta mifano ya Simba na oxygen unadhani dini hii haijakamilika katika kila nyanja? قال تعالى ما فرطنا فى الكتاب من شيئ. Hatujaacha chochote katika kitabu ( yani Quran) then anakuja mtu na mifano ya simba na oxygen. Narudia kusema hakuna mafungamano mahusiano baina ya bin Adam na jini. Na if yapo leteni dalili katika kitabu na SUNA au kauli ya wanazuoni wema. قل هاتوا برهانكم إن كنتم صادقين
ANOSEMA KINATAKIWA CHANO NI MGANGA! ANAJIDAI KUPANDISHA SHETANI KICHWANI KWAKE STI SHETANI ANATAKA CHANO! WAKATI SIO SHETANI NI HUYO MGANGA ONLY NDIE ANOTAKA KILE CHANO! WALA SIO JINNI AU SHETTANI NI MWANA ADAM NDIE ANACT TUU HUYU ANA PALACE LIKE KING! KAZIPATIA WAPI PESA HIZO KUWA YEYE AWE NA JUMBA HILO!? HUYU SHEIKH!? OR MGANGA ONLY!
Hivi mbna wachungaji Wana endesha magari makubwa wanaishi vzr wanalala majumba makubwa makubwa na maisha yanaenda vzr tuh mbna shekhe akiishi vzr na kuendesha magari makubwa munasema waislm munafuga Majin?
Ni kweli kabisa maneno yako.lkn tunapaswa kuchunguza kabla ya kujitenga hayo Maji na mafuta.ili tuweze kufuata dini ya kweli.kwani tukisubiri Hali hiyo mpaka itokee itakuwa Ni too late.hapo litakalofuata Ni moto tu.hivyo tuchunguze na kusoma Kwa undani zaid vitabu.tusijetukachelewa.mara nyingi kwenye viwili.kimoja kinakua wrong.nayo Ni dini ya kikristo.tubu mapema kabla ya kifo
Mungu wako hakujua kuwa atauliwa na binadamu wake, mission ya Mungu imefeli maana Bado tunaendelea kutenda dhambi...ukristu ni rubbish in the rubbish pit.
Ushauri wa Bure dr Sule Weee Endelea na Uganga na Uislamu wako Achana kabisa na Imani yetu Sahihi sisi hatufagilii Mashetani we endelea kupoteza waislamu Endeleeni kulea Majini tuu,na uzidi kuwazibia njia ya kuingia katika Uzima wa Milele kwa kupinga kweli,achana na Imani sahihi ya Kristo
@@muhsinihassani2805 ahaa kama unajua hukumu nikazi ya mungu hao mashekhe wako wa mchongo wanachofanya kwa harmonize ni sahihi?hao ni matapeli tu kutwa mtandaoni
Dr sule me ktk masuala ya Dini ya ukristo upo vizur sana lakini kwenye Quran tukufu sio saana but all in all nakupa big up sana ktk kazi zako za biblia
Shida tunapenda kumuona Paster anaendesha V8 lakini shekhe akiendesha inakuashida kwa watu kuna watu maostadhi wanafundisha watoto wa ma boss ila kanzu imefubaa 😢😢😢 ndio tunasikia furaha si ndio tuache kujishusha waislam tuwaombee sn kwa allah
jahadharini wanadamu hakuna majini wanaomwabudu MUNGU majini wote walimwasi MUNGU Tangu kale! huyu shehe hajui tofauti ya majini na malaika! atuulize sisi tuliosoma elimu dunia tutamfafanulia!
Ni kweli katika Quran Allah amesema amewaumba binadamu na majini lengo ni kumuabudu kama ilivyo kwa viumbe vingine ambavyo hatujui wanaabudu vipi nao ni waislam ila jini lolote likiungana na binadamu tayari hakuna lolote isipokuwa ni uovu tu maana hakuna ushirika wa jini na binadamu kisheria, wao wanaabudu kinamna yao nasi kinamna yetu. NB yoyote ambaye yupo karibu na viumbe hawa mara nyingi wote wanakuwa ni waasi na niwashirikina. Na hakuna mwislam yoyote ambaye ni Sheikh atakuja na hadith au aya ambayo ina ruhusu sisi kufungamana na majini.
Wamebarikiwa vipi watumishi wa Kikristo ambao wanaamini na kuhubiri Uungu wa Yesu,Utatu mtakatifu haya mambo 2 ni makubwa ni laana kumshirikisha Mungu na viumbe
Nabii suleiman alikua ni yeye ndio alipewa cheo hicho cha kuwaendesha ama kuwatawala majini,na usijifananishe na wewe mzushi kwa vile unaitwa sule sio, Ama jini lako ni la mahaba hilo labda linaitwa jini p Diddy limekutunza na kukupa utajiri
Sule unawaambiya ukweli waislam kwamba majini ni wenzenu na wanajua huo ni ukweli kbsa ila wamejificha Kwa hema ,ila cc tunajua hakuna jini mzuri popote wote ni waasi na ni watumishi WA shetani na kamwe hawaendi peponi, na yeyote anaeshirikiana na majini hawezi Kuwa mcha MUNGU, MUNGU ni Nuru isiyo karibiwa na Giza majini ni watumishi WA shetani ambae ni Giza MUNGU wetu ni Nuru hachangani na Giza popote
Nawalikua wanaume katika binaadamu katika binaadamu wakijikinga kwa wanaume katika majini wakawazidishia wao wasiwasi Huyu ni mfuasi wa shetani Hii sikatika imani ya kiislamu
Ukisikia kufuru kwa Mungu ndio hiyo sasa, Unaamini Miungu kuwa ina Mali nyingi, lakini binadamu ndie ananguvu kubwa zaidi kuliko huyo Jini kwasababu jini lolote limelaaniwa, ndugu zetu wanakufuru sana bila kujijua,
Ndio tatizo la kutosheka mapema yaani nyie hamutaki kusoma mkidhani kwamba mnajuwa.weye acha ujinga tafuta elimu ujuwe uumbaji wa Mungu hautasema tena eti majiini yote ya melaaniwa
UJue watu hawajielewi cz mnapenda kumuona shekhe yuko kwenye jumba bovu anaendesha basikeli ndio museme mungu awajalie sio poa allah awajalie mashekhe wt wafike mbali inshallah
Ewaaa watu wengi ndio fikra zao
Amen
Binadam mawazo yao mabovu sana majin viumbe kama viumbe vingine kuna majini wapotovu kama binadamu kunawema wanaomumcha mwenyezi mungu
MashaALLAH mwenyezmungu azidi kukufanyia wepec kwenye na kheri nyingi za Dunia na akhera mm nakukubali Sana sheikh. Doctor SULE.
Mambo! Naomba namba ake please!!!
Dr sule muogopeni mungu hakika ya kumuogopa, nabii suleimani Allah kampa nafasi hio ya kuzungumza na majini ila sio sababu hio ya kuwapotosha watu etii Wana nafasi ya kutumia majini kwa njia yoyote ile jmn tuombee nehema ya halali na hakika mbele ya Allah, Allah atusamehe inshaalaah
Allah anajua zaidi ..... Allah tupe mwisho mwema waislam wote tulioko kwenye mgongo wa ardhi... Allah humma ameen🤲🤲
Amiin
Amiin😊
Allah akupe afya,Siha,na kila hitajiko lako na Allah aweke barka ktk harakati zako
Dr sule Allah amekujaalia hakika.
Mnamsifia tu huyu ndyo anawakashifu sana akina mwamposa je huu utajili alionao yy kaupata wap? C humo humo kwenye dini? Kama yy yupo kwenye kweli na Akina mwamposa pia wapo kwenye ukweli kikubwa kila mtu adili na upande wa dini yake
@@ndogoroedson199 Bro wanaadam tuna sir kubwa sana ktk utafutaji wetu kikubwa Sisi sio watoa hukumu hata sisi hasa Mm personal ninamatatizo yangu(mapungufu) Kikubwa ni kuombeana DUA au kufanyiana Maombi 🙏
No coment bro🙏
Dk sule naomba mawasiliano yako sheikh wangu
Naaam
Nnachompendea dr sele.ni mfasaha wa mazungumzo kupita kiasi.humshiki kirahisi kwenye mazungumzo.huyu mtu Allah kampa kipaji kikubwa.mashallah
Mungu anisaidie kupata jini mwema
Allah gani wewe,hakuna Cha Allah Wala nn,mshirikina mtupu
@@YamunguMuhasiku ukimjua Allah ndio utajua makosa yako
Nyie wabongo si mnapenda watu wanaongea sanaaa ndy marole model wenu
@@Famao-dg3ul kabisa yani.👍👍.hajamjua Allah Nani mpaka siku ya Kufa ndo atamjua.Allah ajaalie aslkm kabla ya mauti yake.hajitambui bado
Allah akuzidishie kira raheri kwa kuokoa nafsi za wajawake Allah kwa kuamrisha heri na kukataza mabaya
Nili wai kukupigia cm nilikua na mgonjwa anatapika damu ukanielekeza dawa ...nikaona kama umenizalau kumbe ilikuwa dawa kweli .... inshallah Mungu akuzidishie na akupe maisha malefu
Kwanini ulozani kakuzarau au dawa ilikua ya ajabu
Ndugu naomba namba yake
Ilikua daw gn hyo jamn
Daw gn alikupa
Naomba namba ake
Mashallah Barakah ALLAHU fiiqum hbbi shekh wangu doctor sule kwn ss wa kenya tunakupenda kwa minajili y Allah swt akulinde na kila aina husda na balaa na akupe mwisho mwema aaamiin
Ameen
Kichwa cha stori ulicho andika hapo ni tofauti na alivyo ongea Dr Sulle. Sio vizuri kupotosha watu muogepeni Mwenyezi Mungu.
Huyu muandishi sio mwislamu
Umekosea maana ya haram na halali
Kasome tena maana hiyo ya halali na haramu
Kweli kabisa
We unauliza swali moja.mwamba anakujibu majibu kumi.aaa weee.asante Allah kwa kutupa huyu mtu.dr.sule nchini tz.alhmdulillah
Interview nzurii sana big up...MTANGAZAJI UNAJUA
Dr. Sule, Nakuombea kwa Allah(SWT) akulinde, na akupe Maisha Marefu yenye Afya Kamili, Ili uzidi kuelimisha Umma. Shukran.
Dr Sule Allah akupe umri ugekuwa Rai's ugedelesha Ichi Sana vizuri Sana mashaallah
Ostadhi upo vzr sana,nakupenda bure upo vzr vitabu vyadini,vyote vipo kichwani,yan mie nimkristo lkn kwawewe unavyochambuwa biblia,unatuzidi hata cye wakresto,yan kweli itabaki kuwakweli tuuu, upo sawa ostadhi maswaliyako unajibu kwamaandiko,
Huyu dr sule ni mjanja sana,kuna kijana alikua anaumwa mapepo.alipita sehemu nyingi sana ila huyu dr sule alimpa dawa yake ya fettiesupereto yule kijana alipona mapepo.Sule Ana confidence na ni mpembuzi wa vitabu
Kaka, nipe number ya Dr SULE please.
Doctor Sule unadunisha dini pia unatukana dini,Allah mpenda haki atakudhalalisha mbele ya watu InshaAllah
Nilianza kumkubali huyu bwana tokea miaka ya 2003 nikiwa Mbeya, alisilimisha watu wengi pale, Allah ampe wepesi
Kawaunganisha Kwa majini majini wote wamemuasi Mungu
@@audifansisafari5587hovyooo
Docta sule nikidhidisha ibada mambo yangu yanakuwa verygood
Uoj kisomi zaid nimependa uko vzr xan allah akujalie ❤
Shida ya sis elimi hamna mtu akiongea tunasema vitu vote viko kwenye quaan ❤❤❤❤❤❤
Allahu Akibar Allah akupe hidayat kama unataka kufaidi nakujuwa mengi kuhusu ilimu ya dini watafute Wana ilimu ya dini
MashaAllah,wanyumbani wazee walikunyima ubunge wa CCM,kule kwetu Rufiji,umetoboa kwa njia nyengine
Kwa upande wa majini, umeusemea uislamu uongo jambo usilo na ilimu nalo, unataja aya za uongo, nawanasihi waislamu na wasiokua waislamu wajifunze uislamu kwa watu sahihi watu wenye ilmu sahihi ya dini. Wasikilizen mashaykh wakisalafy Shaykh Qassim mafuta, Abdallah humeid, Abuukhaulah Mbwana Abdi Allah awahifadhi
kweli kabisa huyu ni dr wa nguvu za kiume sasa ukimfanya ni sheikh unapotea
Baarakallah fiyk.
Docteur Sule nakukubali sana Sheikh wangu
Allah akulinde kwa Kila Shari uzidi kutangaza elimu ya dini❤
Bro una maswali critical sna umefit kabisa kuwa presenter Allah akufanye bora zaid ufikie ndoto zako❤
Mganga wa kienyeji anaetumia mgongo wa dini. Aqida ya ahlu sunna wal jamaa3ah hakuna mafungamano mahusiano baina ya bin Adam na jini. Wewe sule mche Allah
Soma ujue kama una muweza mfate ilala ustake kiki
Kwahio mtu akikomenti anatafuta kiki sindio?
Hahahahaha ضعف الطالب والمبطلوب
Simba ndo simba anamahusiano na binadamu na watu wanafuga kama kawaida sasa jini inashindikanaje? Oxygen yenyewe haionekani na watu wanaitengeza kama kawa na wanamsaidia mgonjwa
Kweli bro naanza kuwa na tashwishi naye
Katika uislam sisahihi mtu kuongea kitu hana ujuzi nacho.unaleta mifano ya Simba na oxygen unadhani dini hii haijakamilika katika kila nyanja?
قال تعالى ما فرطنا فى الكتاب من شيئ.
Hatujaacha chochote katika kitabu ( yani Quran) then anakuja mtu na mifano ya simba na oxygen. Narudia kusema hakuna mafungamano mahusiano baina ya bin Adam na jini. Na if yapo leteni dalili katika kitabu na SUNA au kauli ya wanazuoni wema. قل هاتوا برهانكم إن كنتم صادقين
Kama unamkubali doctor sule gonga like hapa
Doctor sule amemutapeli babangu mukwe alimudanganya atamutumia dawa akadanganya hadi akafa hadi mbele akateroho akaomba wakutane kiama
ANOSEMA KINATAKIWA CHANO NI MGANGA! ANAJIDAI KUPANDISHA SHETANI KICHWANI KWAKE STI SHETANI ANATAKA CHANO! WAKATI SIO SHETANI NI HUYO MGANGA ONLY NDIE ANOTAKA KILE CHANO! WALA SIO JINNI AU SHETTANI NI MWANA ADAM NDIE ANACT TUU HUYU ANA PALACE LIKE KING! KAZIPATIA WAPI PESA HIZO KUWA YEYE AWE NA JUMBA HILO!? HUYU SHEIKH!? OR MGANGA ONLY!
WEYE SIO SHEKHEE! ABADAN!
@@hanifamasudi9732 huyu ni mganga wa majini ya Muhammad ndiye mnayemsifu ....
KUMKUBALI KWA LIPI?KWA UCHAWI AMA KWA LIPI?HAWO WOTE MOTO WA JEHANNAM UNAWASUBIRI
Dr. Sule ni MTU NA NUSU. Allah akulinde Sana🤝🙏
Tumuombe sana allah atujalie mwisho mwema hiz ni dalili zakiyama
Dr Sule mimi nakuombea kila la kheri duniani na akhera
Sherehe. Naomba mwasiliano Yako shidayangu tiba
Hivi mbna wachungaji Wana endesha magari makubwa wanaishi vzr wanalala majumba makubwa makubwa na maisha yanaenda vzr tuh mbna shekhe akiishi vzr na kuendesha magari makubwa munasema waislm munafuga Majin?
Nikweli selle mungu amempa kipaji cha haliajuu...
Mtangazaji big Up sana
Tafazali scheih achana nayule nitumie nambalakokilamarza mutuasiye kuwanaujuzi fulani anakuwa mbishi sana,
Huyu mtangazaji nimemkubali sana anajua sana kutengeneza maswali
Dr. Shule naomba namba Yako kwa maswala zaidi
Dr mungu akubariki sana
Khekh wang mm nataman sana siku nikutane na ww nitafuhi sana nakupenda kwa ajili ya Allah
Mtangazaji ana maswali mazuri sana.. watching from Kenya
Dr.sule mashaallah ,Allah akuhifadhi
Asante sana Sheikh wangu , WE mkweli kabisa
Alhamdulillah Allah akutengenezee mambo yako
Mungu ni mwaminifu pia mvumilivu sana,siku moja maji na mavuta yatajitenga kuhusu Imani zetu
Ni kweli kabisa maneno yako.lkn tunapaswa kuchunguza kabla ya kujitenga hayo Maji na mafuta.ili tuweze kufuata dini ya kweli.kwani tukisubiri Hali hiyo mpaka itokee itakuwa Ni too late.hapo litakalofuata Ni moto tu.hivyo tuchunguze na kusoma Kwa undani zaid vitabu.tusijetukachelewa.mara nyingi kwenye viwili.kimoja kinakua wrong.nayo Ni dini ya kikristo.tubu mapema kabla ya kifo
Yameshajitenga tayari, Uislamu ni haki na ukristo ambao Mungu ameuliwa na akasulubiwa ni batili. Mungu amezaliwa na binadamu? Lol
Hizi dini tumeletewa watu wengi sasaivi wamerudi kwenye asili zao, jamani turudi kwenye asili zetu 😂😂😂 jamani hivyo vyote vyawezekana
@@Rmkh88 dini za majini na mapepo na mizimu zimekuwa haki. Ama kweli hekima ya mwanadamu kwa Mungu ni upumbavu
Mungu wako hakujua kuwa atauliwa na binadamu wake, mission ya Mungu imefeli maana Bado tunaendelea kutenda dhambi...ukristu ni rubbish in the rubbish pit.
Mashaallah tabarika allah mungu akubariki zaidi sheikh
Ushauri wa Bure dr Sule Weee Endelea na Uganga na Uislamu wako Achana kabisa na Imani yetu Sahihi sisi hatufagilii Mashetani we endelea kupoteza waislamu Endeleeni kulea Majini tuu,na uzidi kuwazibia njia ya kuingia katika Uzima wa Milele kwa kupinga kweli,achana na Imani sahihi ya Kristo
Allah azidi kukubariki Dr Sulle ama kweli neema za Allah zitangazwe
MAZINGE ,SULLE SHEKHE MWAIPOPO SHEKHE MAJINI NK WOTE NI JEHANNAM INAWASUBIRI MATAPELI NA WANAPOTOSHA UMMA
Kwa chuki zako tu
Duuh Mungu ndiye anaehukumu
Kwaiyo wewe una pepo na una moto wa kuwapa watu duu Pole sana tubia mda bado unao
We kama nani mpaka umuhukumu mwanadam mwenzio kua ni wa motoni acha habari zako bwn hiyo ni kazi ya mungu mwenyewe si binadam
@@muhsinihassani2805 ahaa kama unajua hukumu nikazi ya mungu hao mashekhe wako wa mchongo wanachofanya kwa harmonize ni sahihi?hao ni matapeli tu kutwa mtandaoni
Nampenda sana YESUKRISTO mimi jamani nampenda kuliko maelezo
Muongo wewe , unampenda mtu usimuona, na hakujui, eti kuliko maelezo,🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tukusaidiaje na huyo ndiyo bwana yako uliyomchagua.
Kuna siku utang'ata kidole
Endelea kumpenda ila elimu haina mwixho soma ujiue njia sahihi❤
Kumpenda ni huko kumwita mwana wa Mungu ndio Kumpenda
Mungu akuhurumie Sheikh!
Uhurumiwe wewe ambaye huna akili
@@erastoshedrackhaule9211 huna akili wewe unayetaka kumiliki Hela za majini!
Mungu wako katailiwa na binadamu wake, biblia inasema.
Marahaba ❤🎉
Dr Sule safi sana watu wamezowea kuwaona mashekhe wanamaisha ya chini sana lkn ww umeweka wazi safi sana
Doctor Sulee you vzr sanaa Allah akuzidishie elmu na ufahamu
Majini hayo maana nayo ni waumini waislam
Doctor tuzidi kutuelimisha na tuna zidi kukupenda sana ❤
Dr sule me ktk masuala ya Dini ya ukristo upo vizur sana lakini kwenye Quran tukufu sio saana but all in all nakupa big up sana ktk kazi zako za biblia
Mnapenda sana waisiraamu majini Sisi tunashamga
Na mwamposa ni mwislam anaetapeli watu kuwaombea ?
@@uwimana6533Mwamposa ndio kiboko yenu nyinyi na Majini yenu kuiba Pesa, kuloga,maradhi n.k
Waisiraamu ndo kina nani. Inaonyesha ww zuzu mmoja usojijua
@@uwimana6533 Mwamposa ndio kiboko yenu Wafuga Majini na Majini yenu
Haya nyie mnae sema mlimoona Mungu amuoni kuwa mnamkufuru Mungu sikiliza maneno mjielew mlipoteya kiasi gani nyie
Mm n mkristo lkn huyu jamaa nimemuelewa vzr, jamaa ni Doctor kweli kweli
Sjui unanielewa❤❤❤❤
Koloani inasema wakristo niwacha mungu
MAA SHAA ALLAH
Mtangazaji uko vizuri unauliza ukijitoa big up for that kwasababu uislamu unauchawi wingi 😢😢😢😢 Bali ulipotea sana kwenye mada
Uisilam hakuna uchawi were punda mtu
Shida tunapenda kumuona Paster anaendesha V8 lakini shekhe akiendesha inakuashida kwa watu kuna watu maostadhi wanafundisha watoto wa ma boss ila kanzu imefubaa 😢😢😢 ndio tunasikia furaha si ndio tuache kujishusha waislam tuwaombee sn kwa allah
Haahaahaahahhahha
Ya majini
jahadharini wanadamu hakuna majini wanaomwabudu MUNGU majini wote walimwasi MUNGU Tangu kale! huyu shehe hajui tofauti ya majini na malaika! atuulize sisi tuliosoma elimu dunia tutamfafanulia!
Tupe ushahidi vitabuni❤
Mungu Tusaidie sana Hizi zama ni Hatar Sana
Sana walai...
Fitna kila kona, Allah atujaalie uongofu na tufe ilhali tupo katika uongofu
Dr sule i'm proud of you 4rever❤❤❤
Daah hapo kazi kweli kweli, Masheikh wanatakiwa wasome tawd sana wanapotosha watu haswa wale ambao wanataka kuingia kwenye uislam
kwann unasem ivo
ndo ukweli huo wa Doctor Sule ndugu
@@DOCTORYKAGUFAAnaogopa tumejua ukweli ndani ya Uislamu
Ni kweli katika Quran Allah amesema amewaumba binadamu na majini lengo ni kumuabudu kama ilivyo kwa viumbe vingine ambavyo hatujui wanaabudu vipi nao ni waislam ila jini lolote likiungana na binadamu tayari hakuna lolote isipokuwa ni uovu tu maana hakuna ushirika wa jini na binadamu kisheria, wao wanaabudu kinamna yao nasi kinamna yetu. NB yoyote ambaye yupo karibu na viumbe hawa mara nyingi wote wanakuwa ni waasi na niwashirikina. Na hakuna mwislam yoyote ambaye ni Sheikh atakuja na hadith au aya ambayo ina ruhusu sisi kufungamana na majini.
Misunderstandings tupu
Dokta sulleh naomba nambal zako zassim
Dr. sulle nakukubali unajua kunyoosha maneno adi raha
Dini yenu hiyo ya mashetani
@@samwelmatemu8873
Kwa maono yako
@@samwelmatemu8873kwa nn
@@samwelmatemu8873yenu yakishoga sio
Kwa kufuga mashetani sio
Mungu akuhidha sheikh.
Watumishi wa Mungu wamebarikiwa bhana wanadamu sisi tuache maneno
Wamebarikiwa vipi watumishi wa Kikristo ambao wanaamini na kuhubiri Uungu wa Yesu,Utatu mtakatifu haya mambo 2 ni makubwa ni laana kumshirikisha Mungu na viumbe
@@nassoroyahaya821 mwenyezi mungu anawarehemu wema na waovu hapa duniani, ata uwe kafiri vipi mwenyezi mungu anakubariki2
Nabii suleiman alikua ni yeye ndio alipewa cheo hicho cha kuwaendesha ama kuwatawala majini,na usijifananishe na wewe mzushi kwa vile unaitwa sule sio, Ama jini lako ni la mahaba hilo labda linaitwa jini p Diddy limekutunza na kukupa utajiri
Asante Yesu kunifiliya, ni hatari viongozi wa ma dini
shekhe wangu hakuna jina la kiislamu, labda la kiarabu.
Hapana, jini? No plz!! Kwa mimi Michael siwezi kabisa kumwamini jini!! Yesu Kristo ananitosha. Ni hivo kwangu.
Wallaah ustadhi mada zako mawaidha yako yanitowaga machozi kila cku
Baki kuwa mganga tu...uislamu Bado hujausoma vzr
Wewe ndio mpumbavu kabisa maana mtume s.a.w. anasema fikisha ujumbe angalau kwa aya 1, yeye anatekeleza wajibu wake, wewe endelea na majungu
Soma dini ww utajua uganga umetokea wap mbakurupuka tu kuandika ushuz
Ase hi ni pigo duniani watu wa aina hii ila atakayejiunga nae ataenjoy sana na atakayepambana nae anatakiwa awe amejipanga😮😅
Sule nakupenda bro
Nilimuheshimu sana Sulle kwa maswali ya elimu ya Biblia ukilinganisha na Qur'an ila sikujua ana udaktari wa kishirikina,Allah amuongoze
Kufuga majini
Mungu ni mmoja tu na asili yake niyeye mwenyewe,Ametuumba kwa mfanano wake
Unaposema mungu katuumba kwa mfano wake hayo ni mawazo potofu mungu hafanani na chocho wala hana mfano
Kwa hiyo yupoje? @@salimsaleh9354
Sule unawaambiya ukweli waislam kwamba majini ni wenzenu na wanajua huo ni ukweli kbsa ila wamejificha Kwa hema ,ila cc tunajua hakuna jini mzuri popote wote ni waasi na ni watumishi WA shetani na kamwe hawaendi peponi, na yeyote anaeshirikiana na majini hawezi Kuwa mcha MUNGU, MUNGU ni Nuru isiyo karibiwa na Giza majini ni watumishi WA shetani ambae ni Giza MUNGU wetu ni Nuru hachangani na Giza popote
Mmi nakukubali sana Dr sure, even though am a Christian
Unasubur nn😂
MashaAllah shkh Allah bless you
Tapeli Tu huyu anatuma dini kuibia watu
Natamani nisome kwako na nifanye kazi ya Allah unaniispare sana
Mkweli mungu tu ata wewe tapeli
Kweli au unamdharirisha2 kaka
Kwan naww umeibiwa
Uislam ni upagani wa kistaarabu/Mw/ Mungu awasaidie🎉🎉🎉😢😢😢
Ukristo ni pagani wa kiteknologia
Naamini katika Islam.
Mwenyezi Mungu akusamehe na akujalie elimu yenye manufaa.
@@aziziamimu6011Manufaa gani bro hivi Quran huwa unaisoma na kuielewa kweli?
@@israelthomas8621
Jibu rahisi ni ndio. Ulikua na swali lingine?
Nenda kalale huko we nyau
Huyu ni Mganga tu wa Kienyeji aliyechangamka, mkiambiwa Waislam mnafuga majini mnakasilika.
na nyie hamuabudu mpka muonyeshwe miujiza😮
JUMBA LENYEWE halionekani maneno tu umetumia KICHWA CHA HABARI HAPO Cha uongo.
Huyo Dr sule ni mganga wa Kienyeji
Oho jamaa wana shida sana awataki duniani atakumuon Mkristo duniani
Audhu Billah huyu Dr sule ...Allah ndio ajuaye
Nipe ya ndani
Upo vizuri hujakosea.
Nawalikua wanaume katika binaadamu katika binaadamu wakijikinga kwa wanaume katika majini wakawazidishia wao wasiwasi
Huyu ni mfuasi wa shetani
Hii sikatika imani ya kiislamu
Ukisikia kufuru kwa Mungu ndio hiyo sasa, Unaamini Miungu kuwa ina Mali nyingi, lakini binadamu ndie ananguvu kubwa zaidi kuliko huyo Jini kwasababu jini lolote limelaaniwa, ndugu zetu wanakufuru sana bila kujijua,
Binadamu mwenyewe kalaaniwa ndomana tunakufa
Vizuri nawe njo hapa utupe ya kwako tukuskie utatafsir vipi hayo maswali.
We mwenyewe umelaaniwa
Ndio tatizo la kutosheka mapema yaani nyie hamutaki kusoma mkidhani kwamba mnajuwa.weye acha ujinga tafuta elimu ujuwe uumbaji wa Mungu hautasema tena eti majiini yote ya melaaniwa
Huna unachojua ......Kwa kifupi ww ni mjinga
Ni uongo kwamba majini yalijenga hekalu la suleiman.uongo mchana kweupe ila siwashangai. ndivyo mlivyo
Asante Kwa ujasiri wako . Hekalu la Mungu aina uhusiano na majini. Mungu akubari 🤜
Ustadh Gani ananyoa Ivo?
Naomba unipe sheli ya kunyoa ww nilujibu mm sawa ww
Aisee mwenyewe nashangaa sana,kwann ananyoa panki
Doctor su anajua anachokifanya mwenyezi Mungu amlinde inshaallah
Hahahahahaa dah Bwana Yesu urudi tu
Sema karibuYESU moyoni mwangu
Sema karibuYESU moyoni mwangu
Mwenyezi Mungu aki kubariki ,jivunie na utangaze,mbone wenye watatoa kwa jina zengine wanatangaza!?