PART ONE ; UKWELI WANIKWA KAHAMA NGOME KUU YA USHOGA KAMATI YA PROF MWAKYEMBE NA KAHABI HII NI AIBU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    RUclips : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

Комментарии • 193

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 7 месяцев назад +15

    Bunge Lipo wapi ? Serikali inaogopa nchi za magharibi na marekani..Bunge la tz kazi unafiki ..Hongerani sana Mungu awalinde

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 7 месяцев назад +10

    Naungana nanyi kwa kazi nzuri na nzito bila ya uwoga, Mungu awatangulie ktk hili, 🙌🙌🙌

    • @MiriamMlele
      @MiriamMlele 6 месяцев назад +3

      Viòngozi simameni mpambane juu ya vizazi vyetu mungu asaidie

  • @MwajumaFundi-ex5tj
    @MwajumaFundi-ex5tj 7 месяцев назад +26

    Mm muislam nawakubali Sana ktk kupinga ushoga 💪💪 mungu wajaalie🙏🙏

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 7 месяцев назад

      Kwani kuwa Muislamu inakuzuia nini kupiga vita ushoga. Wakati Vatican kunaongoza mashoga Duniani.

    • @starlily07
      @starlily07 7 месяцев назад +2

      We nae, sasa sasa huyo dada anaeongea ni mwislam???? We sikiliza tu na uchukue hatua, ushoga hauna dini woiii

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 7 месяцев назад

      ​@@starlily07Unao dini bana wewe Ah!
      Ayubu 3:3 Na ipotelee mbali ile siku niliyozaliwa mimi, Na ule usiku uliosema, MTOTO MUME AMETUNGISHWA MIMBA.

    • @starlily07
      @starlily07 7 месяцев назад

      @@Sheba4651 we nae unaongea utopolo gani, kajifunze kwanza kiswahili ndo uje uandike hapa

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 7 месяцев назад +1

      ​@@starlily07heh kujieleza yy nani pia imekuuma?haya basi pope anawabariki kwa.mambo hayo..

  • @RichardMwakisale-ks3mr
    @RichardMwakisale-ks3mr 6 месяцев назад +2

    Amina Amina Mungu hana ukomo wa uwezo; ulinzi wake na ngome yake ni imara.Tutubu tumwelekee na tufunge na kuomba hakika atatushindia na kulilinda Taifa letu.Thank you Catherine for alerting the church and Nation about this nation killing disease

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 7 месяцев назад +14

    Naipenda sana kazi yenu, Mungu awape nguvu kupambana na janga hili, lakini kutaja chazo Cha taarifa zilizowasaidia kuzipata habari hizo, kunanichanganya !

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 7 месяцев назад +6

    Hongera sana kwakazi nzuri mnayofanya ila nasikitika sana sana kuona serikali haichukui hatua zozote

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 7 месяцев назад +1

    Wazazi
    Na sisi sote
    Tulisimamie hili
    Na MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI atasimama na sisi Amen 🙏 🙏

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 6 месяцев назад +2

    Serikali LegeLege Huzaa ,Raia wenye Tabia za Hovyoooo, BUNGE naSERIKALI IPOWapiii???? MunguTusaidiee Saana.

  • @WardaShayo
    @WardaShayo 7 месяцев назад +3

    Asante dada kwa kukemea maovu hayo😊

  • @shakaurembo477
    @shakaurembo477 7 месяцев назад +3

    Nakuerewa dada 🎉🎉

  • @GadiusNdiwago
    @GadiusNdiwago 7 месяцев назад

    Asante sana dada yetu na timu nzima.Hakika ninyi ni zaidi ya bunge la ndiyooooo.Mungu awalinde sana katika mapambano hayo.

  • @NEMAMnyahati
    @NEMAMnyahati 7 месяцев назад

    Mungu wambinguni awalinde Kila wakati watumishi Kwa kazi nzuri ambayo hata mungu mwenyewe anafurahia uko mbinguni Kwa kazi nzuri ❤

  • @Muneeb-x3f
    @Muneeb-x3f 7 месяцев назад +2

    Mm. Ni. Muisilamu. Uvunje. Usoga 😊

  • @OlivreKimario
    @OlivreKimario 7 месяцев назад +12

    BWANA AKULINDE DADA

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh 7 месяцев назад +3

    Mungu akubariki sana tena sana

  • @issafarajingetwa7588
    @issafarajingetwa7588 7 месяцев назад +2

    Mungu Akupe nguvu Dada yetu tunashanga Viongozi wako kmya.

  • @ellykibale190
    @ellykibale190 7 месяцев назад +2

    Catherine ipo nguvu ya misaada katika sakata hili, Biden alisema namnukuu nchi ambayo haitaridhia haki za mashoga hatazipa misaada, so Marekani anafanya mambo mawili
    1) vikwazo kwa nchi zitazopinga
    2) kufadhili kwa pesa hizi taasisi ulizozitaja.
    Nini kifanyike? Kama taifa tukatae misaada kama Bukina Faso, tutafunga mikanda kwa muda ila tuta adopt.
    Point of correction: kila mwamini ana uwezo wa kutoa pepo (marko 16:17).
    Otherwise hongera kwa kazi ya utumishi

  • @radhminakitery6129
    @radhminakitery6129 7 месяцев назад

    Mungu ni mwaminifu. Hakika kazi yenu siyo bure. Anawaona na atakuwa nanyi milele yote. Amen

  • @LightnessMushi-if1lq
    @LightnessMushi-if1lq 7 месяцев назад +2

    God bless you

  • @nzeyimanaadidja7684
    @nzeyimanaadidja7684 6 месяцев назад +1

    Allah alinde vizazi vyetu

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 7 месяцев назад +3

    Mungu awalinde kwa kazi ngumu mnayofanya

  • @GlorydavidJeremiah
    @GlorydavidJeremiah 6 месяцев назад +1

    Nimekosa cha kuongea Mungu aturehemu hatukukaa katika ka nafasi zetu

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu 7 месяцев назад +10

    kazi ya selekali kukamata madada poa lakini mashoga awana shidanao 😂😂😂😂

    • @LaurentMatigili
      @LaurentMatigili 7 месяцев назад +1

      Kwakweli nastaajabu sana,mashoga wanatembea free hata hawachukuliw hatua n serikal inajua

    • @ommylax7231
      @ommylax7231 7 месяцев назад

      Ushoga umeruhusiwa kwa kwa kutumia akili kubwa sana ndiomana kuupinga kwa watu wa ngazi za juu inakuwa vigumu

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 7 месяцев назад

      Hao mashoga wanaliwa na wenyewe viongozi na ndio Maana wanazibiazibia

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 7 месяцев назад

      Kaka mumeshasaini kukubari haki za mashoga na sasa haki ya mashoga inafanya kazi. Kwa sasa lawitianeni mkoboane mko huru Uganda walikataa ushoga.

  • @ezekielslyver-sk4yx
    @ezekielslyver-sk4yx 6 месяцев назад +1

    Hata ungepewa hii nchi ukawa Wazuri mkuu na Makonda akawa Raisi jumlisha Bishop Gwajima akawa Makamo wa Raisi tutakuwa kama tuko Paradiso,ninakukubari saana dada Mungu akupe nafasi ya juu zaidi ktk kuliokowa Taifa letu.

    • @pabloLOOKMAN-m4j
      @pabloLOOKMAN-m4j 15 дней назад

      Usioni Iran inafitishwa ni kwa sabbu Sharia zao zinazingatiwa ukizingua unapelekwa Akhera TZ porojo kibao bila matendo

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 7 месяцев назад +1

    Mwenyezi mungu awasimamie make mahadui ni wengi

  • @dianamutachuba1369
    @dianamutachuba1369 7 месяцев назад

    Nakupenda sana Catherine,Unasema kweli ,MUNGU akutunze.

  • @rehemavickie6521
    @rehemavickie6521 7 месяцев назад

    Amen Catherine. Mwanaume ni mwanaume. Natamani watu waelewe

  • @YudaElisha-ju9zr
    @YudaElisha-ju9zr 7 месяцев назад

    Hongera kwa kazi ya uponyaji

  • @ClaudeChala
    @ClaudeChala 6 месяцев назад

    Mungu akutiye nguvu

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 7 месяцев назад +1

    Mimi ni wakwanza dada kukupa ongera sana tena sana ukweli umeongea na Mungu kisha kupa sawabu kwa matamko hayo Mungu awe nawe

  • @PcgtMsalato
    @PcgtMsalato 7 месяцев назад

    Ni vita kubwa sana watu hawajui tu. Mtz kabisa ananunuliwa ili amuharibu Mtz mwenzake. Ifike mahali watafutwe hao Wafilaji.

  • @selinalawala2270
    @selinalawala2270 7 месяцев назад

    Mungu atusaidie kwa kweli, hii vita inayoharibu watoto wetu. Mungu utete

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 6 месяцев назад

    Wenyewe wanafirwa sasa watasisimaje kupinga. Watumishi wa Mungu wanafirana.

  • @Fesary
    @Fesary 7 месяцев назад

    Uko sawa, maswari yangu, 1- vyazo vya habari izo mnatoa wap? 2- pesa za kufadhili iyo mikutano mbapata wap, sababu mnatakiwa muongeze nguvu.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 7 месяцев назад +1

    Nchi hii inaangamia ili hali serikali haitoi tamko lolote. Hongera rais wa Uganda kwa maamuzi sahihi.

  • @Eliza-gl6ri
    @Eliza-gl6ri 7 месяцев назад

    Mungu nusuru watoto wetu,na Taifa letu

  • @OmanOman-ji1iy
    @OmanOman-ji1iy 7 месяцев назад

    Dada mungu akusimamie nakupenda kwakazi nzuli

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 7 месяцев назад

    Big up sana Kwa TIMU nzima

  • @FredMasimba-jj8yz
    @FredMasimba-jj8yz 7 месяцев назад

    Mmmm mungu tunusuru na kizazi chetu

  • @SubiraNkwavu
    @SubiraNkwavu 7 месяцев назад

    Catherine songa mbele ❤❤❤

  • @RayaRashid-qc8cn
    @RayaRashid-qc8cn 7 месяцев назад

    Keep it up dear sister

  • @LukasMakala
    @LukasMakala Месяц назад

    duuuh jamani tunaelekea pabaya kwani vyongodhi wetu wakowapi ushoga umeenea kote jamani taifa letu lipopaya sana

  • @FAMILIA_YA_MUNGU_TV
    @FAMILIA_YA_MUNGU_TV 7 месяцев назад +1

    Mungu atusaidie dunia imeisha 😢😢

  • @teyllalugazia
    @teyllalugazia 5 дней назад

    HAKIKA MUNGU ANAIPENDA TANZANIA

  • @HasanSadala-rh5re
    @HasanSadala-rh5re 7 месяцев назад

    Hatari jamani,mi naona sodoma na gomora,mwenyezi mungu tuepushe na janga hili,viongozi na jamii tukemee ,inauma sana

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 16 дней назад

    Kweli kabisa,uko mahiri Catherine waambie wakumbushe watumishi na viongozi wadini zote wananguvu ya kukemea na kukataza machafu na kufanikiwa kurudisha kondoo walio potea mazizini,viongozi kemeeni uchafu huu, uchafu ni maangamizo ya wanadamu duniani na Aakhera

  • @JescaKahangwa
    @JescaKahangwa 7 месяцев назад

    Mungu awatunze

  • @nurdinmruma9326
    @nurdinmruma9326 4 месяца назад

    Wamelenga kahama sababu kuna dhahabu nyingi na watavuna wafuasi wengi ambao watakuwa mawakala wao huko badae ili kupata dhahabu ,

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 7 месяцев назад +1

    kazi nzuri dada cathe,but we are punching below weight,masskofu mashekhe wachungaji mko wapi?mbona hamja anzisha kampeni ya kupinga?

  • @AlickSiwakwi-i1t
    @AlickSiwakwi-i1t 7 месяцев назад

    Hongereni kwa kufichua maovu, lakini pamoja na kufanya hivyo mbona hatuoni hatua zikichukuliwa dhidi ya hao mashoga na wasagaji?

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 7 месяцев назад

    Dada umeolewa Mimi ni mekupenda kutoka moyoni

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 7 месяцев назад +5

    Serikali ya kishetani hii..mbona haitoi tamko na sheria kali kuhusu ushoga na msimamo wa serikali

    • @LaurentMatigili
      @LaurentMatigili 7 месяцев назад +1

      Yan Mimi mwenyewe nastaajabu n hii serikal yetu, tunaomba tanko litoke kama Uganda full stop

    • @elvisbaraka1444
      @elvisbaraka1444 7 месяцев назад

      Wamesaini mikataba ya wazungu

  • @ClintonMalewa
    @ClintonMalewa 7 месяцев назад

    Mungu tusaidie

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda 7 месяцев назад

    Kwajina la Yesu Kristo wameshindwa, dada Kristo Yesu azidi kukulinda milele yote

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 7 месяцев назад

    Kazi unayo mama kibaya zaidi ata baadhi ya taasisi za kidini zina kubaliana na hayo unayo ya kemea hususani ndoa za jinsia moja.

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 7 месяцев назад

    Kweli kabisa

  • @JaniffarKavutu
    @JaniffarKavutu 6 месяцев назад

    Nadhani huu mkoa uko Kenya,,maana wengi wenu wanaamini ayo mambo yapapatikana tu Kenya

  • @hamadimadisa9346
    @hamadimadisa9346 7 месяцев назад +1

    Dada sema ukweli maana yake sisi huku tuna shida

  • @Rennyanselim
    @Rennyanselim 5 месяцев назад

    Amennn

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 7 месяцев назад +2

    Hiyo inawezekana kwa sababu ya madini, maana sehemu zenye wazungu ndiyo hayo

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba 5 месяцев назад

    Mmeona vijarida vya ushoga kwanini msiwashitaki

  • @AnthonyKomba-o5f
    @AnthonyKomba-o5f 7 месяцев назад

    Sijawahi kumuona mwanamke jasiri kama huyu: Bila shaka ni Mungu alimpaka mafuta

  • @barackbrysonramsey
    @barackbrysonramsey 7 месяцев назад +3

    Hali tete sana kizazi kimeharibika

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 7 месяцев назад

      kumbuka makonda alivyoongea wakati Magu ni Raisi, Marekani ilivyomjia juu, jibu lako ni misaada, nguvu ya kuineza haya ipo katika misaada

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 7 месяцев назад

    Iko Tanzania yetu?

  • @nzeyimanaadidja7684
    @nzeyimanaadidja7684 6 месяцев назад

    Africa yangu sijuwi inaelekea wapi jamani

  • @CharlesMafwimbo
    @CharlesMafwimbo 7 месяцев назад

    Please niruhusuni niwajoin mimi ni mhamasishaji jamii

  • @melkiorykweka438
    @melkiorykweka438 7 месяцев назад

    Jamani hawa watu walindwe sana nakumbuka magu alianzisha vita ya uchumi lakini bahati mbaya hatukumlinda jamani,sasa hawa wanaopambana na ushoga tuwalinde xana.

  • @octiminja5260
    @octiminja5260 7 месяцев назад

    Mungu weta HAJAFA YUKO HAI KIAMA NA KIFO CHAO KIPO KARIBU

  • @sofiamsuya2254
    @sofiamsuya2254 7 месяцев назад

    Acha tu ninyamaze Mungu atatenda siku moja kulikomboa taifa langu dhidi ya wasaliti

  • @adelaidemghase7600
    @adelaidemghase7600 7 месяцев назад

    Sema mama watu wapone jamani . Sijui watoto wataenda wapi?

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 7 месяцев назад

    Haya tuliyasema hawa wazungu sio watu shida makanisa ni yao kwani mingu ana jinsia 😳😳😳😳😳

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 7 месяцев назад

    Mlisha wapokea tumuombe mungu atusaidiie

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 7 месяцев назад

    Daaaah wasukuma kweli wanamchezo mchafu?

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 3 месяца назад

    Kahama kuna mgodi usisahau

  • @gladysnaul5832
    @gladysnaul5832 7 месяцев назад

    mwendelezo pls (part two yake)

  • @Rennyanselim
    @Rennyanselim 5 месяцев назад

    Yaani ili bunge amna kitu

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 7 месяцев назад

    sasa serekali siingilie jamani 😭😭😭😭

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 7 месяцев назад

      Wamejaa mashoga mle hawawezi

  • @denismahlangu
    @denismahlangu 7 месяцев назад

    Kule mkinga mkoa wa Tanga ipo hotel moja inaitwa sea eagle ni maarufu kwa mashoga na watu wa kuendeleza ushoga

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 7 месяцев назад +1

    Viongozi wengi wanakuwa waoga wakutoamaamuzi hasa Afrika hayamashirika yanajipenyezaji hapa Tanzania nakuanxa kuharibu jamiiyetu pasiposhaka yoyote kanakwamba nchi hazinadheria wala dola ?

  • @sonilyemily523
    @sonilyemily523 7 месяцев назад

    ukizoea kuomba omba utapewa hata mavi hatuna viongoz kaz nikukaa viti vya mbele tuu na matumbo makubwa

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 7 месяцев назад

    Mashoga hamjakamata wanaolawiti watt hajakamatwa mnatesa waschana ubungo walinyimwa dhamana mashoga hamjakamata mafisadi hawajakamtwa,

  • @KhalfaniChuma-kv5mk
    @KhalfaniChuma-kv5mk 7 месяцев назад +3

    Hiyo bendela si yaa kule uyaudini

    • @MOSESIMCHUNGUZI
      @MOSESIMCHUNGUZI 7 месяцев назад

      Hiyo ndiyo bendera ya Taifa takatifu la Israel

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 7 месяцев назад

      ​@@MOSESIMCHUNGUZIUtakatifu upi, msichanganye mambo, watakatifu ni wale waliopewa mafundisho na kuyashika, sas hivi hawapo, Paulo aliwamaliza wote.

  • @manumunemanumune-uj6jq
    @manumunemanumune-uj6jq 7 месяцев назад

    Ushetani unapandikizwa kila kukicha

  • @SokeSongela
    @SokeSongela 6 месяцев назад

    WACHUNGAJI MPAMVANE BA JABGA LA USHOGA

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 7 месяцев назад

    Hao wazungu ndio waliokuleteeni ukristo mkaubeba sasa na hayo wanayoyaleta si myakubali tu. Oneni mambo hayo!!

  • @athumanikajembe4585
    @athumanikajembe4585 7 месяцев назад

    Mimi nawashauri muishauri serekali ifunge balozi hasa usa ambazo zinatulete misaada hata scholar ships zao za bure zichunguzwe mmarekani na wazungu wengine hawatoi misaada bure ni maradhi ili wauze madawa yao na mashine matibabu.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 7 месяцев назад

    Wabunge Wana gongwa kwahiyo na wasukuma wameanza kugongwa nchi imeisha itungwe sela wapigwe mawe

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 7 месяцев назад

    Kwani sheria inasemaje?

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 7 месяцев назад

    Dawa ya kuliponya taifa letu,ni kuamua sisi kama taifa,kukataa waziwazi ushoga na kupiga vita ushoga kwa vitendo" kuwaachia hii vita watumishi wa mungu huko ni kuleta utani"ikumbukwe kuwa huu ushoga umeletwa na wazungu kwa mpango maalumu wa kudhoofisha uzazi duniani"hasa afrika,kwahio serikali ni lazima itunge sheria kali dhidi ya uovu wa aina yoyote ile"

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 7 месяцев назад

      Mashoga wauawe

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 7 месяцев назад

      Mliposaini kutambua haki za mashoga hapo ndo mambo yalipoaribika

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 7 месяцев назад

      na tukatae msaada, misaada ndiyo nguvu ya kueneza haya

  • @LaurentMatigili
    @LaurentMatigili 7 месяцев назад +1

    Sasa kama mashirika yanayofanya hivi vitendo kwnn serikal isitoe kauli Moja tu kama Uganda?!,Kila siku tunasomewa ripot za mashoga nchini ili iweje sasa

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 7 месяцев назад

    Huu ni msiba mkubwa sana

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 7 месяцев назад

    Na mashoga wanaonekana wanajidai.na.wala hawana shida ndan ya.nchi hii lkn.wale.wadada.poa ndo.wanaonekana wabaya

  • @Benjaminkakamasha662
    @Benjaminkakamasha662 7 месяцев назад

    Vipi muda wote kuongelea jambo hili hamna linginehamani

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 7 месяцев назад

    Biblia zao lazima wafanye watakavyo papa kasha waambia waka pate baraka kwao

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 7 месяцев назад

      Mwz wa pili kunakiongozi wa juu Tanzania alienda Vatican kupata upako wa kutambua haki za mashoga, umesaahu?

  • @PrettyMsangi
    @PrettyMsangi 7 месяцев назад

    Siwauliwe Sasa MUNGU bariki kizazi changu na vya wote jmn

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 7 месяцев назад

    Wanawake ndio matatizo makubwa nnchi hiii akisawa akunaa

  • @KulthumRashidmusa
    @KulthumRashidmusa 7 месяцев назад

    Nikweli.wape.chai.yao.makanisa.wanazidikupoteza.watu

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati 7 месяцев назад

    Huyo auawe aliyewafundisha watoto

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 7 месяцев назад +1

    USHOGA UTAISHA TUKIACHA KUKOPA HAYO MATRILIONI ULAYA

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 7 месяцев назад

      kweli

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 7 месяцев назад

      kweli kabisa, tukatae misaada, tutaishi tu...Burkina Faso wamekataa misaada na maisha yanaendelea.

  • @TatuHaji-k8s
    @TatuHaji-k8s 7 месяцев назад +1

    Mungu atunusur na watot wetu