Shida Ya Aina Yoyote Amka Usiku Mkabizi Allah/Soma Nyiradi Hizi X 16641 Kil/Sheikh Hashimu Rusaganya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 70

  • @NkurunzizaAbdoulhamid-ef3ls
    @NkurunzizaAbdoulhamid-ef3ls 9 месяцев назад +11

    ❤ Allah akuongezeyeumurimurefu sheikh rusaganya
    Jaazzaqallah khaillah

  • @kaltumsharif9547
    @kaltumsharif9547 9 месяцев назад +9

    My best sheikh,Allah akupe mema sheikh hachim

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 9 месяцев назад +6

    Mashallah tabaraka Allah sheikh Mola akuajalie la kila la heri akuajalie afya na mwisho mwema inshaAllah aminthumaamin

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 9 месяцев назад +10

    Mie nampenda shekh huyu hakukopeshi hao hapo hapo anakupa tunampenda from uk🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 9 месяцев назад +18

    Shekhe Rusaganya hapo mwisho eti kila mtu asepe na mambo yake Wallah umenichekesha sanaa 😅😅 Allah akuhifadhi.

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 9 месяцев назад +3

    Mashallah, Allah akulip kheyri na atuwezeshe in sha Allah

  • @abdul-aziziomar5989
    @abdul-aziziomar5989 Месяц назад

    Mashaa Allah sheh Allah akufanyie wepes kila penye uzito in Shaa Allah

  • @sakinahassani1455
    @sakinahassani1455 8 месяцев назад +2

    MashaAllah

  • @shahnazwillis3931
    @shahnazwillis3931 9 месяцев назад +4

    Maa shaa Allah. Jazakalau kheiry

  • @WemaRamadhanMbasha
    @WemaRamadhanMbasha 9 месяцев назад +4

    Shehe nakuelewaga sana

  • @عبدالرحمن-ض9م
    @عبدالرحمن-ض9م 4 месяца назад

    الله يحفظك
    ❤❤ Tunakupenda tena tunakuombea pepo
    Tunafaidika huku tuna IMANI mungu atatu jibu tutoke salama kwenye utumwa wa saudia insha Allah

    • @umutonisandra8627
      @umutonisandra8627 2 месяца назад

      MashaAllah Allah atuongezeye umri wenye kheri na barakat

  • @abdab8466
    @abdab8466 9 месяцев назад +3

    Kukithirisha dua na kumtaja Allah pia wataka dalili,je mambo waliofanya maswahaba mtayaweza au mtachagua

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br Месяц назад

    Amiin inshaallah 🤲🤲

  • @SitiAminah-gn9me
    @SitiAminah-gn9me 9 месяцев назад +1

    Allah akuhifadhi sheikh❤

  • @NoorynMody
    @NoorynMody 2 месяца назад +1

    Sheikh nampenda hyu mashallah darsa lako akuna anaeondoka kanuna razima utacheka to arafu mwenyewe acheki yaan Allah akuifadh sheikh wetu 🤝

  • @AminaMwamba-v8w
    @AminaMwamba-v8w 9 месяцев назад +6

    Asalam Aleykum Warahmatullah wabaraqatuh
    Shukran saan kwa duaa
    Nimependa sana Sheikh Lusaganya yuko vizuri sana Allah Amhifadhi In shaallah
    Naomba Number yako ya simu 🙏🙏🙏

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  9 месяцев назад

      +255715915008

  • @IptysamRashid
    @IptysamRashid 4 месяца назад

    Mashaallah Allah barik bado sijakata tamaa japokuwa nishapambana sana nakuomba sana dua bila mafanikio yoyote

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

      Usikatetamaa ww zidishatu dua usiseme nimeomba sana dua sijafanikiwa. Utakua ufanikiwi. Allah atukubqlie Duazetu sote🤲

  • @hadyaAlii
    @hadyaAlii 9 месяцев назад +1

    Mashaallah ❤❤

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 9 месяцев назад +3

    MUNGU ATUJALIE KHER

  • @MakonkhalidiRadjabu
    @MakonkhalidiRadjabu 8 месяцев назад +1

    Mungu akuzidishiy kilalakher Shekh wetu unatupa burdan mpaka bas wallah 😂

  • @AishaIddy-y9f
    @AishaIddy-y9f 3 месяца назад

    Maashaallah

  • @AbdullRashid-f8v
    @AbdullRashid-f8v 24 дня назад

    Asalaam aleykum ya shekh ugejua jinsi gani navyopenda kuskia kisomo chako na nishaomba sn lekodi sula ..ukisoma tupate tulizo la nyoyo ya shekh pilzz

  • @ShamsaSalim-wi6js
    @ShamsaSalim-wi6js 6 месяцев назад

    Ma sha Allah

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 9 месяцев назад +3

    Assalamualaikum warhamatulah wabarakatuh! Jaman niliomba namba ya shekh Rusanganya sijapata bado

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  9 месяцев назад

      +255715915008

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 9 месяцев назад +4

    Enyi mnaouliza maswali ya kinafiki mbona nyinyi hamfundishi watu nanma gani wanaweza wakajikinga na mambo kama hayo mnakaa kimy mnasubir mafundisho ya watu wengingine ndo mnaanza mijadala ya maswali huo ni unafiki

  • @brutzuberi
    @brutzuberi 8 месяцев назад +1

    mashallah

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 9 месяцев назад +5

    Km ww huamini unayetaka dalili .unalazma gani kumfuatilia shekh.kwann wapenda kuwa mpinzani

  • @Amal-ez6xs
    @Amal-ez6xs 8 месяцев назад +2

    Anaejua iyo aya jaman

  • @saudakayanda
    @saudakayanda 2 месяца назад

    Asslam alykum hali yako number yako ya sim unayotumia whatspp maana nataka kukuliza kwenye sim

  • @saudakayanda
    @saudakayanda 2 месяца назад

    Asslam alykum ustadhi naomba mimi number yako ya sim unaitumiwa whatspp masuwala mengine nataka kukuliza kwenye sim inshallah

  • @Zafarmohamedy
    @Zafarmohamedy 2 месяца назад

    Eet swali la tiktok 😂

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 9 месяцев назад +2

    Mimi naomba namba zako za simu shekh

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  9 месяцев назад +1

      +255715915008

    • @Amal-ez6xs
      @Amal-ez6xs 8 месяцев назад +1

      Iyo aya tuandikie anaejua

  • @rehemasuleiman7683
    @rehemasuleiman7683 8 месяцев назад

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh,samahani sheikh nina nyumba yangu ninaiuza huu mwaka karibu wa sita hainunuliki je nisome dua gan ili ipate kununuliwa?

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  8 месяцев назад

      ruclips.net/video/lYK4qa7fiYw/видео.html

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 7 месяцев назад

      Ya nabii yunusi au ipo swala unasali saa tisa mchana

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Месяц назад

      ​@AbdullahOswalagani hiyo ya saatisa mchana inaitwaje na inahusu nini hiyo swala. Nifahamishe na mm?mar-be4wy

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 9 месяцев назад +1

    Shekhe tupe dalili ya namna uradi huo ulivyofanyika km unavyoelekeza
    Ni muhim tuonyeshe ni wapi umechukua hayo usemayo
    Najua ni ugomvi huo nstafuta lkn ni kwa ajili ya Allah

    • @dulaseif5001
      @dulaseif5001 9 месяцев назад

      tupe dalili kwanza wewe ya kuowana wazaz wako ukapatikana wewe kisha tukupe nasi dalili

    • @RosyKaemdin
      @RosyKaemdin 9 месяцев назад

      Kumekucha 😂watanzania toka mjue mambo ya dalili bas Kila kitu mwataka dalili😂 Achen ubishi usiokua na maana na pia tafuten elimu sio kubisha Kila kitu

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e 9 месяцев назад +3

    16641 ibada hio hata maswahaba hawaiwezi, dini hio kazi kweli ,fundisha kitabu uwe na dalili, ya latwif ya latwif, ya latwif uradi huo haupo kwa ismu mufradi

    • @naimasheikh3055
      @naimasheikh3055 9 месяцев назад +9

      Wewe usisome mwache atakae some. Muna utashi mpaka kwa utajo wa Allah. Sheikh haja kwambia lazima wala haja kushika koo kukulazimisha. Hutaki usisome

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 9 месяцев назад +9

      Watu wanakesha katika maasi, unashangaa watu kukesha kwa ajili ya kumbembekeza Allah.

    • @zenaahmedi8857
      @zenaahmedi8857 9 месяцев назад +1

      @@jamalkishangu kweliii kabis

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 9 месяцев назад

      Mwenyezi mungu akulipe ​@@jamalkishangu

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 9 месяцев назад +5

      Mbona masharit magumu mkipewa mnayafanya tena kwa Siri?

  • @sakinahassani1455
    @sakinahassani1455 8 месяцев назад +3

    MashaAllah