Lillian Mwasha: SIFA ZA KUOA WAKE WA TATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 287

  • @musamowino3674
    @musamowino3674 3 дня назад +13

    Kukosa hela ndio inatufanya tubaki na mke mmoja...lakini hakuna mwanamume mwenye hela akawa na mke mmoja....

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 3 дня назад +5

    Hii topic leo inapendeza sana ina wataalam waliobobea lakini pia imekuwa na upeo zaidi kwasababu ya jinsia zote mbili kulumbana. Kwa kuchangia tu zaidi kila kilichopo ardhini kina haki ya kujua na kufuata utaratibu wa kiimani na kwa sisi wenye imani, tunajua kuwa pia mapenzi ya Mungu kwa Mitume na Malaika hayakuwa na uwiano. Wapo waliopewa miujiza na uwezo wa miujiza na wengine walikosa hio fursa. Asanteni kwa mchango wenu mzuri sana kielimu 🤝

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 4 дня назад +27

    Vijana wenzangu hiki kipindi kina tufaa sana coz ni watu wazima Hawa wanaleta mada halisi za kwenye Maisha ❤❤❤❤

    • @rosemneney3244
      @rosemneney3244 3 дня назад +1

      Majibu ya hoooovyooo

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 3 дня назад +1

      Ni wenye pupa tu ya ngono hawana busara

    • @azizanyiranzeyimana7073
      @azizanyiranzeyimana7073 3 дня назад +1

      Hivi ile nature ni hakiyamumetu lakini siokwamwamke,yaani mwaume ikona choice, lakini mwanamke yeyeni mtumwa, hanachoice?

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 3 дня назад

      Ngumu kumeza @@rosemneney3244

    • @HidjaDejong
      @HidjaDejong 3 дня назад

      ​@@azizanyiranzeyimana7073 dada yangu una tamka maneno kama hayo kweli😢?nafikiri wewe ni mtoto wa kiislamu kwa kupitia tu jina lako SubhanaAllah umekosea sana km Allah ameamuwa iwe hivo basi Allah ni mzuji zaidi dada yangu hakika yeye ametakasika na makosa ya aina yoyote so tamaduni za ki magharib(ulaya)sio bora kuliko tamaduni za dini yetu tukufu ya kiislam dada yangu nakuomba tu ufikirie tena kuhusu msimamo wako na Allah akufanyie wepes uweze kuurekebisha inshaAllah bi idnillah

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 4 дня назад +16

    Nakupenda Dada Lily vile unakuwa emotional 😂😂

  • @HusseinTofikiJuma
    @HusseinTofikiJuma 3 дня назад +8

    Doctor mwaka & sule iyo mi mama mnayo jadiliana nayo imekumbwa sana na dunia kwanza aifanani kama inamjuwa mungu, aswa uyo alievaa wigi mmbishi kama nini

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 3 дня назад

      Kabisa kaka tena wametekwa na masuala ya usawa wa kijinsia basi hapo vichwa vyao vimejaa ligi na mashindano tu

    • @maryamanalisi197
      @maryamanalisi197 3 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂jamni

    • @josephjulio6112
      @josephjulio6112 3 дня назад

      Hawa wama vichwa vyao vimejaa ligi na mashindano

  • @dorahtwaha3574
    @dorahtwaha3574 3 дня назад +4

    Asante dr. Mwaka nimekuelewa vzr sana

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 2 дня назад

    Mwenyezi mungu alimleta Doctor sule Tanzania ili atufunze mambo mengi❤

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 День назад +1

    Kuwa na wake wengi si kipimo cha ujanadume. Kuna w’me wamekamilika na wana mke mmoja kwa kumukhofia Allah na kisimamo cha masuala dhidi ya wtto na wake zao akhera. Nakuna w’me wanawake wengi hawawawezi km mbuzi wanahangaika tu na pengine mpaka anatoka nje ya ndoa, mumewe hamuezi, kaoa bila ya elimu ya kutosha ya dini

  • @vero57
    @vero57 4 дня назад +8

    Lily nimependa sana gauni lako nzuri sana !!! Pezi haligawanyiki pezi ni watu 2 tuuu

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q 4 дня назад +1

      Kwakweli haligawanyiki

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 3 дня назад +1

      Ndoa ipo na mapenzi yapo si umeamua kwani wanaopenda njee wanafata nini au kuzini kumeeuhusiwa ubinafsi mbaya ndo unaofanya watu wazini waone sawa ila kuoa waone penzi haligawanyiki

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn День назад

      Kwa kweli🎉🎉🎉

  • @linahmhoya1641
    @linahmhoya1641 2 дня назад

    Lilian mwasa nakupenda sana dadaangu maneno Yako Huwa Yana nipa moyo sana❤

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 2 дня назад

    Dokta suley nakukubali Masha Allah alhamndulillah ❤

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 3 дня назад +10

    Jamani rahaaa kuwa na mke zaidi ya mmoja

  • @IsmailNshimirimana
    @IsmailNshimirimana 3 дня назад +1

    Duuu Wallahi wanaumetuko juuu kisha masheikh hao nimahodari

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 3 дня назад +5

    Acheni kupotosha jamii kwa uchafu wenu wa maadili na pia pupa ya ngono.
    Moyo wa mwanadamu unampenda mmoja tuu mengine ni kujidanganya.
    Mungu mwenyewe aliijua hiyo akamuumba mme mmoja na mke mmoja tu.
    Nasisitiza zaidi ya mme mmoja ao mke mmoja ni kazi za shetani na pupa zake.

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 3 дня назад

      Wewe ndo shetan mwenyewe maan unapingana na maumbile ya mwanadamu moyo ungekuw unampenda mtu mmoja tu kvp tukikufuatilia tunakukuta una list ya watu huko nyuma😂😅😅

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 дня назад

      Upende mmoja tuy ni mam ako mzazi mam ndo anakuwag mmoja hao ni waisilam siyo wakiristo kam ww

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 3 дня назад

      Wewe ndo unauchafu unazini hovyo na wanawake tofauti unawatumia na hujawaoa unatesa vizazi chako kuzaa hovyo tu

    • @abdallahkassim9973
      @abdallahkassim9973 3 дня назад

      Hujuw unaongea nn
      Mume m1 mke m1 umeipata wap

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 3 дня назад

      @@abdallahkassim9973 Kwenye Uumbaji wa Mungu.
      Ameumbwa mwanamke mmoja tu na mwanaume mmoja tu.

  • @amidazubeda1320
    @amidazubeda1320 День назад

    Hio sio kweli mwanaume anaweza kua anawake wengi ila akapenda yule mkorofi hasikii mapenzi hayatabiriki kwa nini wampenda ninamtoto yeye ndie mchokozi kwa wote na ninampenda hatawengine watoto watoe maelezo kama anapendwa sana nabaki kusema sikweli ila najua nakapenda sana so guys hapo hakuna cha heshima wara nini kupendwa nibahati ya mtu na mwingine period..

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 4 дня назад +3

    Mnawatesa tu watot wa wàtu hamna mapenzi hapo maneno mengi ndani zero, shukuruni Mungu wanajua kuvumilia sn, eti mnawapenda sawa mwogopeni Mungu nyie mnaupendeleo wa waz waz, mkalale huko uwongo

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 3 дня назад

      Watu wanstilikw inasema wanatesa kuwa kwenye ndoa na kuwa single kupi kunamtesa mtu jitambue

  • @amosdaudi9793
    @amosdaudi9793 3 дня назад +4

    EHEEEEE!!! Leo mmekutana na majoka ya kitanzania sasa hapo lazma nanasi liliwe😂😂😂

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza День назад

    Eti Professor Shule, mmmmhhh. Hii hatari sana, hivi vyeo vya siku hizi jamani acha tu.

  • @FloraPowercomputers
    @FloraPowercomputers 2 дня назад

    Hela leo mwanamke anauwezo wa hela utapata wasiojitambua na waonao kuolews mitaana wale pesa zako vzr zikiisha kwingine

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 13 часов назад

    Lilian Lilian wewe ,Lilian !!!!

  • @vero57
    @vero57 2 дня назад

    Tatizo ni hili, wanaume wengine munakosea sanaa!!! Hii ya kuwa na wake wengi alafu uwezo huna ndiyo mbaya sana,!!! On waarabu wake weza hawa ngombani hata siku moja kwasababu mume anazo!! Lakini sisi sasa !!! Wanaume wengine wanatesa watoto wao kwa ajili ya mchepuko au mke wa 2, 3, 4??????

  • @msafiridiary
    @msafiridiary День назад

    Lilian Mwasha leo kukutana na vyuma KONKII

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 2 дня назад

    Wanawake wengi huwa hawataki kukubali kuwa na Wake wenza.. Tumieni nguvu nyingi kuwaelimisha lakini waap.. Mnatwanga Maji kwenye kinu..

  • @ISACKITINDE
    @ISACKITINDE День назад +1

    Kiukweli mke mmoja hatoshi basi tu niuwezo wakiuchumi unatesa

  • @adonismuganyizi226
    @adonismuganyizi226 20 часов назад

    Dr Mwaka umesema uongo kuhusu mwanamke wakwanza kubwa neno la kwanza alilolisika sio hilo!!!
    Yeye mwenye Bibi yetu Eva anakili akimweleza shetani ya kwamba wamepewa maelekezo na Mungu kuhusu tunda hilo walilo katazwa
    je iweje Dr useme Hawa alisikia neno lakwanza kutoka kwa shetani?

  • @salimbahatisha3003
    @salimbahatisha3003 4 дня назад +3

    Dr sule anatema madini naona midomo inakunjwa tuu na migino ya hapa na pale😂😂😅😅😅

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 4 дня назад +5

    Dr Mwaka kafanana na Queen Masanja

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 4 дня назад +2

    Hapo Dr ni mmoja mwaka mwingine kajibatiza udr

    • @EricaBizuru-jp9by
      @EricaBizuru-jp9by 4 дня назад +1

      Maskini unaongea vitu usivovijua alafu uko serious kweli pole

    • @salimhamesa9136
      @salimhamesa9136 3 дня назад

      Sule daktari kweli kama profession yake.

    • @bijou5038
      @bijou5038 3 дня назад

      @@salimhamesa9136doctor gani kwanini mwizii tu anaiiba pesa zawatu

    • @EricaBizuru-jp9by
      @EricaBizuru-jp9by 3 дня назад

      @@salimhamesa9136 Hajui huyo anaongea to kujifurahisha

    • @RehemaAbas-v8m
      @RehemaAbas-v8m 2 дня назад

      Hujafika offidis kwake kwa doctor sule uone huo ni ushamba kukosoa mtu humjui kwanza offise ya doctor sule gorofa je huoni kashinda hata serikali majengo ya zahanati mengine kama ya shule

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 День назад +1

    Magwiji wamekutana darasa Zuri sana hili

  • @jacquelinerayamu3187
    @jacquelinerayamu3187 4 дня назад +1

    Lilian napendaga sana show zko sauti nzuri mashAllah halafu hawa wanaume wana 😂😂 maneno sana

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q 4 дня назад

      Yaaniiiii

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 4 дня назад

      Tatizo lake Lilian hapendi ukweli nasababu hiyo ni mkristo maana wakristo asiliyai niubishi hataukimtilea maandiko ndani ya bibilia yalio Ruhusu mwanaume kuoa wakezaidi ya mmoja ataikataatu sijui wanashidagani maana ukisema bibilia hatamwanamke haruhusiwi kua mchungaji au askofu au pasta lakini yeye nimchingaji nakimuambia atakubishaia mara miamija na maandiko yapo nasiokwamba hawayaoni hata kulangurue wamekatazwa na maandiko yapo sasa Mimi najiuliza sasa yaliandikwa kwasababu Gani yesu mwenyewe alifundisha tumuabudu mungu pekeyake lakini Leo wanamuabudu yesu na yesu mwenyewe alikua akimuomba mungu naukiwauliza hatahawakupi majibu ya maana

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 11 часов назад

    Wazinifu tuu. Mtoke huko

  • @abdallasarai6327
    @abdallasarai6327 3 дня назад +1

    Wenye wana hoji si waislamu, wanao hojiwa ni waislamu. Mbali na hisia, dini ndo inaruhusu! Fulstop!

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 3 дня назад +3

    Ukewenza ni raha sana ukiuwelewa ila ndugu zetu wakiristo wanawake wameaminishwa ukewenza ni azabu wala sivo nikawaida sanA

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 3 дня назад +1

      Lkn bibilia inaruhusu uke wenza ila wanafuata wazungu

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 дня назад +1

      San tuy mkikutan wote mna khofu ya mungu na mkapata mme mwenye kujitambuw pananoga mno

  • @suleimanhamad2396
    @suleimanhamad2396 2 дня назад

    Huy doctor sule mtihan sana hasa hasa apo kakaa na sura ya kama sheikh kwa watu wasio na elim inasikitisha sana muna mkosea sana allah

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 3 дня назад

    Ukweli upendo haugawanyiki ukimpenda mmoja ni huyo tu ila wengine ni viburudisho,Mim pia siwezi kaa na mwanamke mmoja

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 4 дня назад +2

    Mh tunainjoy dada lily

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 дня назад +4

    Hata watoto huwezi kuwapenda wote sawa hata haki huwezi kuwapa haki sawa.

  • @omarishabani5249
    @omarishabani5249 3 дня назад +2

    Anae Oa kwa ajili ya Allah na anae olewa kwa ajili ya Allah. Hua ni kwepesi kuvumilia machungu ya ukewenza ..ukiishi inavyotaka nafsi yako utaona ukewenza ni tatizo kubwa sana .lakini ukifuata taratibu za m/mungu na mtume wetu M.s.w.utaona ukewenza ni Raha sana..Mimi ninao wake wanne na wanakaa nyumba Moja kwa uwezo wa Allah.wanaume tuoe wake zaidi ya mmoja kwa ajili ya Allah

    • @ZuwenaSalumu-e5i
      @ZuwenaSalumu-e5i 3 дня назад

      Mashaa Allah....Allah akibarikie

    • @omarishabani5249
      @omarishabani5249 3 дня назад +2

      @@ZuwenaSalumu-e5i Ameen.. atubariki sote inshallah..jombo lolote la kheri inatakiwa kuilazimisha nafsi kwa ajali ya Allah..hakuna jambo ambalo linashindikana..hii Dunia tutaiacha..

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 3 дня назад +1

    Uuyu lilian anaongea had anapoteza mvuto

  • @bijou5038
    @bijou5038 3 дня назад +2

    Huyo Sule ni mwizi anazirumu watu pesa zao alafu anaenda kujivinjali na wanawake 😢😢😢😢😢😢😢eti ni muganga mwiziii

    • @Mrsalt-z9m
      @Mrsalt-z9m 2 дня назад

      Acha husda

    • @bijou5038
      @bijou5038 2 дня назад +1

      @ Kwenda husda ganii naongereya yaliyo nipitiya mwizii

  • @AdicoRashidi
    @AdicoRashidi День назад

    Hii mada inaonekana inaenda kwa waislam lakin hawa wanawake inaonekana wote wakisto ss hp kwasbb doctor sulle

  • @HappyJohn-h8q
    @HappyJohn-h8q 4 дня назад +2

    Mwanaume akifika mwisho huwa hatafuti tenaaaa. Ukiona hata kwa wakristo ukiona analala na wengine ujue badoooo kuna anachopata hukoooo. Hivyooo. Usijifariji unapendwa wakati mpo wengi. WE VUMILIA TU ILA UJUE ANACHO ANACHOPATA HUKO NA WEWE HUNAAAA. TUVUMILIE TU SISI WANAWAKE ILA INAUMAAAA

    • @azizanyiranzeyimana7073
      @azizanyiranzeyimana7073 3 дня назад +1

      Nyinyi wanaume wa ki Islam Nyinyi ni watesi mumeumiza miyoyo ya wake zenu wazizi nyinyi, kwaajiyatamaa zenu mume badili amri ya Mungu, kuhusu ndowa mna wachukulia wa kewenu kama matumishitu

    • @azizanyiranzeyimana7073
      @azizanyiranzeyimana7073 3 дня назад +1

      Nenola Mungu linasems wawili wanapo owana wanakuwa mwili moja na tena mume ao mke hana amri kuhusu mwili wake bali mwenza ke yaani mwenzi wako anapo kuhitaji haunahaki yakumsumbua, sasainkuaje wakati mkewako anakuhiji, hukuwewe ukiwa kwamke mwengine huku yeye akijuwa wazininikiendelea huko? Hivi kweli nyinyi mnajua maanaya mtu kumpenda mwengine, aotu mnawatumia mwanawake, wanafiki nyinyi mnastahilikubadilika.

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q 3 дня назад

      @azizanyiranzeyimana7073 asanteeeeee

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q 3 дня назад

      @@azizanyiranzeyimana7073 kabisa

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q 3 дня назад

      @@azizanyiranzeyimana7073 asanteeeeee

  • @anneanji4818
    @anneanji4818 Час назад

    😂😂😂 kwani kabla ya tunda. Adam hakuwai ongea na hawa

  • @kristinmpoli3586
    @kristinmpoli3586 8 часов назад

    Huyu mwaka kabakia na mke mmoja saivi wawili walisha achana naye

  • @janethKamazima
    @janethKamazima 4 дня назад +2

    Kuzimu jamani tumpokee Bwana tuache kuoa oa mwili huu jamani

    • @yahayaomary5639
      @yahayaomary5639 3 дня назад

      Unajua kuabwewe ni mke mwenza? Reasoning inaonesha wanawake wa kikristo ndio wake wenza zaidi ya wakiislam. Unajua hilo?

    • @omarishabani5249
      @omarishabani5249 3 дня назад

      @@janethKamazima Hawa wanafikisha ujumbe tu hawasemi kwa matamanio yao .hii ni amri ya Allah.tuoe wake zaidi ya mmoja..ktk imani ya kiislam..kama wewe sii muisalam hayakuhusu

  • @rosengiloi9381
    @rosengiloi9381 3 дня назад +3

    Dr Mwaka asha maneno ndio maana Queen alishindwa akaondoka

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 3 дня назад +3

      Wengine si wamebaki wanaojua thamani ya ndoa mwanamke mjinga huwa anavunja ndoa yake mwenyewe.

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 2 дня назад +1

      Yule alitaka uhuru ili awehuru na mambo yake

  • @nuhumwikwabe2647
    @nuhumwikwabe2647 3 дня назад

    Wanaume kama mwaka wajiona kama kimungu flani hivi,asee kuna iman za hovyo

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 дня назад

    Hakika mpo Sawa historia ya bunadamu mwenyezi mungu hajasema kuoa mke mmoja hizo ni tamaduni za wazungu hii haijafundishwa kwanini ,hao wanatamaduni zingine tena mbaya tuwe tunawaambia watu

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 3 дня назад

      Hata wazungu wanazaa njee ya ndoa , na wakiachana nawake zao wanawoa😂😂

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 4 дня назад +1

    Ndio lilian!

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 2 дня назад

    Hawa wanazungumzia mahaba na kwa bahati mbaya wanachanganya Kati ya mahaba na upendo....

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 дня назад +4

    Lillian tunataka muendelezo haraka wa huu mjadala 😂

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk День назад

    yaani akili zangu nikajua jj mwaka atakosa la kusema mbele ya dr suleh maana dr sure ni noma katika vitu hivyo

  • @estergidion8390
    @estergidion8390 3 дня назад +1

    Wanaume mnajidanganya na mnapoongea juweni mnafundisha jamii msijihalalishie uzinzi msiwaelekeze wenzenu kwenda motoni someni maandiko yamekataza msiwapoteze wenzenu😮😮

    • @estergidion8390
      @estergidion8390 3 дня назад

      Alafu nimeumia sana maana ni watu wazima maskini lakini maarifa hakuna embu jiulize mtu kama huyu anamuandaa vipi kijana wake kuja kuwa baba mzuri wa familia mungu atusaidie.

    • @omarishabani5249
      @omarishabani5249 3 дня назад

      @@estergidion8390 Kwanza utambue sisi tumeumbwa halafu takapewa misingi ya kuishi hapa duniani..sisi tunaimani yetu yakiislam ni nyinyi mnaimani yenu ya kikirsto..kwa haya mambo lazima ushangae nyinyi mnaimani yenu..

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 дня назад

    Ww sule mjinga Sana uyoo mama lakaa uchi jinga mkubwa lime jipura kakaa vibaya

  • @djtiffa9664
    @djtiffa9664 8 часов назад

    Mngemuhoji na mume wangu mwenye wake 5 ningefurahi sana maana kawazidi wote sasa tunaelekea 6 nyie mnashangaa wanne? Wakati wengine tunakimbilia 6

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 дня назад +1

    Kwa uhalisia wake wakubwa wanajijua hawapendwi lkn ndo kujiaminisha wanapenda,tunajua mume mpaka anaongeza mke niwazi hafurahishwi na mkewe na hawatakiwi kusema tu,ukweli ni kwamba kuna mapungufu makubwa kwa mke mkubwa! Na anayependwa zaidi niyule anae ongezwa

    • @shasha12-y2h
      @shasha12-y2h 4 дня назад

      mke mdogo kwenye ubora wako

    • @lazzR1935
      @lazzR1935 4 дня назад

      Madoctors wameongea kweli ila tunapo feli,uzwaifu wawo unatufanya tutereze anapojua anapendwa hua anapirikisha wengine ao wana pirikishana kisha kukuletea usongo wa hasira na kukufanya unamzira alie kua na visa kihisia,kingine wanawake hawana ladha mmoja pia maumbili ya muelekeo mmoja na hilo ndilo lafanya mwanaum kuapenda wakeo kijumla,sababu anapoku kwa mmoja wao hupata mahaba taofauti kuliko mwingine bali hua wanaharibisha mwanamke anapojishusha kimsimamo kwa mmew kwa kufikiria hapendwi huvunja hisia dirict na mmew kupoteza hamu kwak.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 дня назад

      @@lazzR1935 nakibaya zaidi mke mkubwa akiona mume kaoa hataki kukubali kuwa yeye amefeli,anaanza matusi kwa mke mdogo kuwa amefuata mali,kasahau kuwa ni mumewe ndio kamtafuta, kingine bi mkubwa akisha zaa huwa anaweka amri kwa mumewe akijua anasikiliza yeye ni mama watoto na husahau hapo yupo kwa ajili gani, hashuuliki tena na mume, amejimilikisha hataki kusikia chochote,mume ana anzisha uhusiano na mke mungine lkn anajua anampenda nani, kwa bimkubwa ni heshima tu ya mama watoto wangu, mapenzi kwa bimdogo, huo ndo ukweli

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 4 дня назад

      ​😂😂😂😂😂😂 Aiseeee ndio maana mnashea sana na wanaume wenzenu ,kwani nani aliwadanganya kuwa ninyi wanaume mko perfect 100%😂@@lazzR1935

  • @FahadiDuran
    @FahadiDuran 3 дня назад

    Ila wanajitahidi sana kutufanya kila 1 ajione special tushazoea ukewenza tayari

  • @danieljeremia8629
    @danieljeremia8629 День назад

    Shida ao wamama awakunali ukwel any way Dr sule na mwaka mmetishaaa af waislamu wenzutu mmetishaaa mpo vzr ndugu zangu SS wakristo mke Moja kwel but but uko nje michepuko kibao ila mbona mfalme Suleiman alikua nao kibao na xo uyo tu na walikua wakiongea na Mungu laive sembuse kina SS

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 4 дня назад +2

    Lillian leo utakoma, umekutana na DKS

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 4 дня назад +2

    Yan hapo hata kina Lilian wangekua 10..,Ila kuhusu hao mabwana kuwa na mke zaidi ya mmoja mtakeshanao😂😂😂😂😂

  • @SamiraMakame-w9c
    @SamiraMakame-w9c 3 дня назад +1

    Wenye chini ya c 1 na d 2 hawatowafahamu waume jao hap💕♥️💕🥰💕🥵❣️❣️💯💋💯💯💯💯

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 4 дня назад +13

    Hamuwawezi hao mwaka na sule kwa kuongea😳👀

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q 4 дня назад

      Ndiyoooo hawa wawili wanajua kuongea mnooooo kuwaweza ngumu

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 3 дня назад +1

    Tuwekeni part2

  • @omaryntagala3740
    @omaryntagala3740 3 дня назад +1

    Leo wanawake mmechagua wanaume wanaongea sana drsure na mwaka hamtawaweza hao

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 дня назад

    Saf.san sheikhe sule hata ingewezekan ungeongeza wa 5 wanawake tumehaa tunahitaji ndoa na hatupat waume

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 3 дня назад +2

    Doctor mwaka anampenda qeen😂😂

  • @Aishajohn-o3m
    @Aishajohn-o3m 3 дня назад

    Anae mpenda san Dr mwaka namjuwa😂

  • @bernadopaul5494
    @bernadopaul5494 День назад

    Tatzo hamna weledi wakuongea tulizen monkari

  • @SAIDMAPALALA
    @SAIDMAPALALA 3 дня назад

    Dk sule na dk mwaka mnasumbuka kuwaelewesha hao

  • @maase2023
    @maase2023 3 дня назад +1

    Basi shughuli ni chini tuuuuuuuu hakuna moja la maanna

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 2 дня назад

    😅😅😅dr.mwaka mbn kama mmemtibu ilo swal la yup anampenda zaid yaan km unataka kumponza kwa wakeze

  • @DevidiCosmas
    @DevidiCosmas 2 дня назад

    Kipindi hiki nimekikubali sn ukweli kinafundisha hasa kwa wale wenye nyumba nyingi

  • @bas2823
    @bas2823 3 дня назад

    THEN IF!? A MAN LOVES ONE OF THOSE 2OR 3 OR 4" FOR WHAT HE IS GOING TO MARRY 4!? YHIS NONSENSES U MEN TALK"! ONLY.

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 дня назад

    Ukweli uliopo unaweza kuwa na mke mmoja tu na huja kuwa na mwengine kutokana na tabia zake ukashindwa kumpenda aina maana huyo mke mmoja uliyenaye unampenda kwa sababu ni huyo mmoja wendwa huoendwa kabisa lakini upo kwenye nyumba

  • @maryamomar2034
    @maryamomar2034 4 дня назад +4

    Wanaume mna maneno nyie😂😂😂😂😂

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q 4 дня назад

      Ndo walivyoumbwaaaaaa ndo maana tuliagizwa kutii sio kuwapenda ukiwapenda hawa utaumia moyoooooo. Mtii tu basi

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 4 дня назад

    Mwanaume lazima uwe unajiweza kiuchumi, hekima, uwezo wa kuhudumia ndoa ni jambo jema upendo na nidhamu pia ni poa

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 3 дня назад +1

    Ukiwa sio muislam huwez elewa hii

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 4 дня назад +2

    Hivi hamjui kuwa JOgoo mmoja ni kwa tetea 16?

  • @MwlGano
    @MwlGano 3 дня назад

    Mnaongea point ila hawasikilizi kwasabb hawapendi ukweli

  • @McT-m1m
    @McT-m1m День назад

    Wamekutana wataalam wote dokta mwaka na dokta sule

  • @wizkidayo390
    @wizkidayo390 2 дня назад

    Ukiona mtu ana wake zaid ya wanne ni mnafki ajabu amini nini nachowambia

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 2 дня назад

    😂😂😂wanavyokutazama sasa

  • @queenkitonka2321
    @queenkitonka2321 3 дня назад +1

    Haki sawa za wapi unakaribisha majungu ktk familia

  • @hopechidera
    @hopechidera 3 дня назад

    Mbona ka video kafupi sana jaman🥺 nashtuka kanaisha. Hiyi somo ni ya saa nzima hata na zaidi...

  • @mwalimuomari9981
    @mwalimuomari9981 3 дня назад

    Sasa hapo mnatupa elimu au kuzodoana mm naona wanahoji wanaonyesha tayari majibu wamekuja nayo kuwezi kuwabadilisha kipindi ovyo hiki sasa hii sio elimu ni kubishana tuu

  • @OmanOman-f7r2p
    @OmanOman-f7r2p День назад

    Sul kibok ❤❤❤

  • @nuhumwikwabe2647
    @nuhumwikwabe2647 3 дня назад

    Maisha yalivyo magumu hivi mnakazana na ndoa 4 magonjwa ya ngono ya yalivyojaa mnakazana na iman za hovyo

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 4 дня назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 ila kweli sote ni wake wenza

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 3 дня назад

      Hilo halina ubishi

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c 4 дня назад

    Dr sure ni kichwa

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 4 дня назад

    Ndivo moyo ulivo umbwa ata ukiwa ba watoto wa4 kuko mmoja atakua zaidi ya wote

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 3 дня назад

      Nikweli kabisa unakuta mtoto ni mwizi ila mzazi anapenda sna kuliko wengine

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 4 дня назад +1

    Kwa hiyo na nyie wanaume mnaowadanganya wanawake ni maibilisi

  • @kingwandeinvestment8002
    @kingwandeinvestment8002 3 дня назад

    Hiii miamba hata mngekua wanawake mia msinge waweza

  • @Aziza-z4f
    @Aziza-z4f 3 дня назад

    Kabisa wallah

  • @HasanOmani-v4s
    @HasanOmani-v4s 4 дня назад +1

    Kipindi. Kizur masha Allah lkn kifupi

  • @queenkitonka2321
    @queenkitonka2321 3 дня назад +2

    Hizo ni tamaa hazina mashiko tulia na mkeo.moja

    • @AbdullahOmar-be4wy
      @AbdullahOmar-be4wy 3 дня назад

      Humuwezi mume pekeako

    • @LydiaIsangi
      @LydiaIsangi 3 дня назад

      Nakuunga mkono na nakuelewa kwenye hilo@@AbdullahOmar-be4wy

  • @HusseinJumaa-y6x
    @HusseinJumaa-y6x День назад

    Vidume vimebananishwa hhh,ila tunao penda wake wengi tunawakilishwa na watu sahihi apo,sule na mwaka hhhh hawanaga shooo mbovu

  • @OlipaWaya
    @OlipaWaya 4 дня назад

    Ila Lilian Mwasha

  • @fbfabien4709
    @fbfabien4709 3 дня назад

    TIA full movie

  • @MariaWema
    @MariaWema 4 дня назад +2

    Yaan wanavyo muangalia wanatamani kumnyonga😅

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 дня назад

    Awa ma Dr Malaya jamani 😢