Lillian Mwasha: SABABU ZA MWANAUME KUOA WAKE WA NNE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 94

  • @omarishabani5249
    @omarishabani5249 День назад +14

    Hakuna mwanamke yeyote anaependa ukewenza isipokua ni yule anaetambua kwamba hii ni Amri Allah..japo inauma sana .pia ukewenza ni daraja kubwa sana malipo yake..kwa mwanamke anaefuata dini kwake ni jambo rahisi..kuvumilia ukewenza..tufanye kwa ajili ya Allah..ukewenza ni Raha sana mkiishi inavyotaka dini Inshallah

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 День назад +1

      Siyo amri ya Mungu hata kidogo kwa sababu Mungu hawezi kamwe kua sababu ya huzuni ao machozi kwa wanawake.
      Mungu ni mwenye huruma na amani.
      Hiyo ni sheria ya Muhammad alie jazwa na pupa ya ngono hadi kwa mtoto wa myaka 9.
      Mungu alimuumba mwanamke mmoja tu na mwanaume mmoja tu na akasema inatosha na ni vema.
      Mengine ya ziada ni.kazi za shetani asye ridhika.

    • @brownjulius8514
      @brownjulius8514 21 час назад

      ​@@pengefeza2563Upo sahihi

    • @omarishabani5249
      @omarishabani5249 12 часов назад

      @@pengefeza2563 huzuni kwako kwa sabuba hujui

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 часов назад

      ​@@pengefeza2563asee umemjibu vizuri sana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 часов назад

      Hamna amri ya mungu hapo nitamaa tu zamwanadamu hivi mtume muhamad Kwa ujinga alioufanya enzihizo kumuoa mtoto wa miaka chini ya 10 ulikua mpango wa mungu kweli? Kamaingalikua Leo miaka 30 inamhusu muhamad aliendekeza umalaya wako akamsingizia mungu shez kabisa

  • @maase2023
    @maase2023 15 часов назад +3

    Kaa hawa jamaa kwa chini tu alhamdulilah hawajambo

  • @HassanNdauka-x1z
    @HassanNdauka-x1z 13 часов назад +2

    Lillian maneno yamemuingia hadi anataka kutuonesha kufuli

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob День назад +4

    Mabehewa ya train hata yakiwa 50 lakini huvutwa na kichwa kimoja, mwanaume ni kama kichwa cha train😂

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 13 часов назад

    Doctata mwaka mimi nipo njoo uliowe lakini pesa yangu sitowi nafanyia mambo yangu siyo hutosheki na wanawake mimi utatoosheka uko na jini siyo bure wewe docta mwaka hii ni hatari sana kwa afya yako yarabi mimi sihitaji mwaname muowaji aliekuwa hatosheki na mapenzi hayo😮

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 часов назад

      Hadija mwaka anatumia Viagra atakukomesha 😂😂😂😂😂

  • @abdallasarai6327
    @abdallasarai6327 День назад +3

    Tunaoa kwa ajili ya dini inavyotaka. Tunawapenda ipasavyo kwa ajili ya dini itakavyo.

    • @MaulidKomboza-wh2ki
      @MaulidKomboza-wh2ki 5 часов назад +1

      Nyie mnafundishwa vibaya Imani yenu. Maumbile ya mwanamke ni kumilikiwa na mwanamme mmoja ila mwanamme anamiliki wake wengi. Hata idadi ya wanawake Duniani ni wengi. Hayo ni asili ya maumbile ya wanadamu ambayo Mungu ametuumba nayo.

  • @aminajuma1435
    @aminajuma1435 9 часов назад

    Yaanihawa wadadawawili nawapendasana nahuumjadala wangeletwa wanaume wapolewapole pasingenoga. Maana kuwaelewesha hawa wadada wamini wasichokiamini sikazindogo 😂😂

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 5 часов назад

    😂😂😂😂haswa uyo mwakaa

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 День назад +1

    Wanaume wanashindana na kulipowatowa wengine maisha magumu wake4 wanawake wanahaingika na vibarua wamlishe mume,mume kazi ya maana hana mganga wa kienyeji pyuuuuuuuuuuu🙌

    • @babuafya3446
      @babuafya3446 День назад

      Unamanisha Mganga wa kienyeji siyo kazi au namna gan

    • @omarishabani5249
      @omarishabani5249 День назад

      Hakuna mwanadamu Ambae Hana mtihani ktk hii Dunia..isipokua sisi tumeacha njia ya Allah tukahangaika na dunia.tumesahau kwamba mda sii mrefu tunafariki kwenda akhera..pia wanaume tulio wengi tunaoa kwa matamanio tu na sio kwa utaratibu wa Allah na mtume wake m.s.w...na pia nafsi zetu ziko kwa upande wa shetani..ndio maana tunapinga haya .jambo lolote la kheri ni kuikandamiza nafsi inshallah

  • @UpendojohnTango
    @UpendojohnTango День назад +1

    Ila Dr mwaka mlaku

  • @rizikiwakibale8760
    @rizikiwakibale8760 День назад

    Mume, ataacha baba na mama, nakuambatana muke wake, apana wake zake.

  • @rizikiwakibale8760
    @rizikiwakibale8760 День назад

    Musijisumbuwe bure, wale wanaume, niwa malaya tu, hiyo si neno la Mungu

    • @ramakizito4934
      @ramakizito4934 19 часов назад

      Sawa Jesus hakuoa ww mbona unaoa, lakini mitume yote kuanzia hapo ilikua na wake zaidi ya wanne

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 10 часов назад

      Kweli ni malaya hakuna kingine

    • @nadiabernard6573
      @nadiabernard6573 2 часа назад

      Kabisaa wamalaya tu hawa wababa

  • @rasheedkansimba5839
    @rasheedkansimba5839 2 дня назад +2

    Dr mwaka namuelewa

  • @rhodajackson2213
    @rhodajackson2213 15 часов назад

    mmenichekesha jamani hahahaha , Vai hujalipwa ?

  • @Mariam.kassiva
    @Mariam.kassiva День назад

    Weka full video. Am such a Dr. Sulle fan.

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 День назад +1

    Kanuni ya maumbile imegoma.😂😂jamaniii.

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 6 часов назад

    😂😂😂😂wambiyeni

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 День назад +4

    Nauliza mwanaume anaeowa mke wa pili na kugawa zamu, leo anakwenda kulala kwa bi mdogo, unafikiria nani atamhudumia mke mkubwa usiku ule?
    Au mnadhani mahitaji ni ya wanaume tu?

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA День назад

    madokta hongeren shida kwa hao.dada na mama zetu makelele mengi tunakosa faida coz kipindi kinamuda mfupi so tunakosa faida.kama vp kiongezwe muda

  • @vero57
    @vero57 2 дня назад +4

    Nyie wanaume oweni hata 100, lakini , toeni huduma!!!! Hata kwa mtoto wakoo!!!

    • @vyaduoj
      @vyaduoj 2 дня назад +1

      Mwanaume mwenye pesa nilazima awe na wake wengi tu hiyo sio sira na matumizi anatowa sawa sawa cuz uwezo hupo .

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q День назад

      Hahahaaaaa eti kenge nyie Hahahaaaaa

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi День назад +1

    Hata sisi wafilika tunadini zetu kwanini munatazama mifano yadini zakigenituu

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 10 часов назад

      😅😅😅😅😅😅dini ya kiafrika ni ipi 😅😅😅😅😊😊😊😊

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 День назад +5

    Ningekwepo apo tungepigana na ao wanaum Nina asira

    • @joventjohansenmushwaimi1988
      @joventjohansenmushwaimi1988 День назад +1

      Pole sanaaa kama nakuonaaa

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q День назад

      Hahahaaaaa unanichekesha ungepigana. Wanakera kwakweli

    • @EricaBizuru-jp9by
      @EricaBizuru-jp9by День назад

      😂😂😂😂😂 punguza hasira

    • @bisibo27
      @bisibo27 День назад +2

      Awana eshima kwa wanawake

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q День назад

      @bisibo27 kabisaaaaaa kabisaaaaaa hawana heshima kwa wanawake eti ukiwa na mifugo kama mbuzi . Wanafananisha mwanamke na mfugo. Useless men.

  • @NeemaHamissi
    @NeemaHamissi День назад

    Huyu mwaka anacheza na akili za wanawake anawajua ni wadhaifu na wanapenda pesa

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 2 дня назад

    Dr sulle 😂😂kanuni ya mwanaume 😅😅😅

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 День назад +3

    Lily usibishane na mtu aliyeitwa Dr Ikiwa wewe huitwi DR

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 День назад +3

    Tukubali tukatae cc wanawake tuna EXP tunaisha fashion😂😂😂 Mwanaume ndo kusema kwa hii dunia nyie wanawake tuvumilie tu😢

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu День назад

      😂😂😂

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 10 часов назад

      Ww ndoo umeisha fashion sio wengine

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 10 часов назад

      @Ayuminchasi ita depends kama uko 18 22 24 mwisho utakua kwa fashion lakin kama ni juu ya hapo na mitoto kibao mwili umelegea kila mahali miziwa imelala chali acha mwanaume aoe tu kama ana uwezo inauma lakin mjikaze😂😂😂

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 9 часов назад

      @hanifa9153 kwani hao atakao oa wataishi kuwa vijana au yy atakuwa kijana mda mda kuwa na akili kila kitu kina mda wake maziwa kulala mungu kaumba mbona hata mboo hulala cha ajabu kipi pia kuongeza wake kuna taratibu yapo masharti kma huna utabaki na mmoja kuwa na kauli nzuri kenge ww

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 9 часов назад

      @hanifa9153 c kila mwanaume ana sifa za kuwa na wake wengi ww mwenyewe hapo jiangalia toka ulivyozaliwa uko vile vile eti wanawake nyookooo nyookooo nyookooo

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk День назад +1

    ujue lilian kakaa kama dakika moja na sekunde 30 bira kuongea chochote baada ya kugundua kua gauni limemuumbua nguo ya ndan imeonekana

  • @shellanshimirimana5171
    @shellanshimirimana5171 День назад

    Kwahiyo mwanamke ni kama mbuzi ?🤥💀🤣😅😂

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod День назад

    Napenda kipndi chenu mda mfupi hauchoshi hiv ntatizama😂😂😂
    Wanaumee tamaa ztawaua kenge nyie

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 День назад

    Je mnatulipa? Na mkiowa hata 2 tu hiduma ni mtihani acheni hizo.kuoa sio kazi kuhudumia

  • @smb430
    @smb430 День назад

    KUNA KABILA MOJA LA WAHINDI WANAWAKE WANAOLEWA NA WANAUME 2

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf День назад

    ❤❤❤

  • @BashirMatola
    @BashirMatola 2 дня назад

    Mwanamke anazeeka mwanaume azeeki mwanamke miaka hamsini chali

  • @evelynekaneza
    @evelynekaneza 2 дня назад +1

    Dt mwaka unatowa huduma kwa wa toto wa Queenie?

  • @OmanOman-v2g
    @OmanOman-v2g День назад

    Kipind kitamu sana

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 День назад +1

    Hahahahhahaa ninyi wanawake mnachekesha ,mnashindwa kuelewa ninyi hamjawahi kuwa wanaume ,its biological sio ya kupingana nayo

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 День назад

      Hiyo ni nature, ata Banda la kuku jogoo mmoja anakaa na mitetea 30 😂😂😂

  • @pastorbarakangata606
    @pastorbarakangata606 2 дня назад +7

    uongo mtupu wa dr mwaka

    • @danieljeremia8629
      @danieljeremia8629 День назад +2

      Ni ukwel mtupi

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 День назад

      Tatizo lenu wakristo waongo sana na kukataa maandiko hatasijui kwanini huyu Lilian kwanza bibilia imekataza kuwa pasta nakini yeye ni pasta kwani niwapi katika bible au bibilia mungu amekaza wanaume kuoa wakezaidi ya mmoja naje niwangapi wameoa wakezaidi ya mmoja je walikatazwa au mafuta Sheria zawangutu mnafosiwa kua mke mmoja mchepuko kibao na mnaruhusiwa mapenzi ya jinsia Moja mifano katoliki na Angrykan namengine kibao yameruhusu ushoga LGBTQ makanisani

    • @pastorbarakangata606
      @pastorbarakangata606 День назад +1

      ukweli ni huu mke mmoja

    • @lutufyodixon9997
      @lutufyodixon9997 День назад

      ​@@pastorbarakangata606 mke mmoja ni mila za wazungu ili kudhibiti uwingi wa watu wanaotawaliwa

    • @danieljeremia8629
      @danieljeremia8629 День назад

      Uthibitisho ni upi