hizi zote njia sita mimi binafsi nimeshajaribu kuzifaata but still mpaka sasa sijaweza kutoka kwenye kesi za madeni, namaliza mwaka sasa na sijui nifanye lipi la zaidi.. pls forks i need some help!
Bro msomo Yako yamekuwa yakinipa nguvu lakin mm Niko kwenye changamoto ya teni yaliyo Fanya nikosa uhuru na sijui ni namna gan nitalipa kwasasababu biashara niliyokuwa nikifanya nimetapeliwa nikiwa na pesa za watu so saivi nimekosa kuaminika juu ya hiyo pesa
We Baba mungu Akuweke sana Aki unatuokoa sana shuklan sana
Asante sana mwl nime faidika sana.
Nice sana kaka
Hellow!! Good, advice!
Mtumishi mungu akubaliki Zaid na azidi kukutumia Kama chombo chake ili usaidie watu maanaa maden changamoto kwa watu mungu atusaidie tutokemo,
Fact!... Yaani Coach Jo! Niliyokuwa nayafikiria ndio umekuja kunipigia mistari kabisaaa... Thanks for this!
Big up bro. Unajitahidi sana kutufundisha jamii
💗good luck
Sawa braza ila nitatoka tu kwa hiz point unazotoa
Ubarikiwe sana kaka🙏🙏🙏🙏🙏
Asant
Nataka kupanga Semina kanisani kwangu nipo Arusha.
Thank you so much. I had to subscribe to your channel. I am going to put this into practice and I'll come back with my testimony. Following from Kenya
Ubarikiwe
shukran sir.
Perfect said, thank you for the advice.
Stay blessed Sir
mungu akubarik
Pamojaaa
Mungu Akubariki Sana Kabisa
Kaka pole sana na majukumu lkn pia ahsante sana kwa darasa zako hakika zimenibadilisha sana
Kweli
Thank you
Darasa la leo zuri Sana kiongozi
Asante sana mwl.
Kweli nimezoea kudaiwa mpk kama sidaiwi nahisi kama siko hai
😂😂😂
Tunashindwa kukulipa kwa elimu napokea kwa mikono 2 elimu unayo tupa
Kaka ukija mbeya nitakuwepo kwenye semina
🙏🙏🙏🙏
Jamani nahitaji namba ya Joel Nanauka please mwenye nayo naiyomba jamani.
hizi zote njia sita mimi binafsi nimeshajaribu kuzifaata but still mpaka sasa sijaweza kutoka kwenye kesi za madeni, namaliza mwaka sasa na sijui nifanye lipi la zaidi.. pls forks i need some help!
Yani me mwenyewe sielew
Hakuna haja ya kuishi MAISHA ambayo bado hujayafikia ..... increase your income,punguza matumizi na ongeza namna za kuongeza kipato chako
Bro msomo Yako yamekuwa yakinipa nguvu lakin mm Niko kwenye changamoto ya teni yaliyo Fanya nikosa uhuru na sijui ni namna gan nitalipa kwasasababu biashara niliyokuwa nikifanya nimetapeliwa nikiwa na pesa za watu so saivi nimekosa kuaminika juu ya hiyo pesa
Pole Sana ,kaka
Ninayojifunza kwako ni zaidi ya niliyosoma shule