Hatamimi pia nilitengana kimahusiano na dada mmoja sababu alikuwa ananilaumu hata kwa vitu ambavyo sijavifanya ilikuwa inanikera sana nikashindwa kuishi nae na hatimae tukawa mbali.
Salama kaka zipo dalili nilikutana nazo na mutu huyo ivi tunawongeya tayari nimeacana naye moja alikuwa mutu wakulaumu kila mara ya Pili tukikosana kadogo basi siri zote anaweka wazi
Hii kaka imekua kama ndy tabia yangu lkn nakua Sina Nia ya kumdhulumu mtu lkn leo koneksheni zangu muhimu kwenye biashara zangu hii tabia ya kukopa bila ya kurejesha imeniangusha sana
Brother J umeupiga mwingi sana, kwenye namba moja hapo Sasa, na hiyo namba mbili ,ahaa,kuna jitu moja nililikopa hela yangu yaani hata halitaki kulipa nikasema hata nikute anatembea kwa mguu sitoi hata senti yangu moja
Brother hiyo imenikuta mie watu wabaya mno Yani mtu unamsaidia alafu baadae mie sasa nimegeuka adui dar acha alafu sio mara Moja kumsaidia zaid ya mara nyingi mno
Nanuka-Joel. Mungu akupe zawadi ya neno lake na akuongoze..tunakuhitaji sana..Mungu akulinde
Asante sana joel kwa ulimishaj wko, umensaidia meng sana,
Shukurni zote Tamiya izo tunazo camuhimu tujitadhimini asante
Asante Joel nimejifunza 🙏🙏
Uinuliwe kama vile Mimi ninavyo muomba mungu aniinue 🙏
Hakika Mungu atusaidie tulio wengi hatuna vifua vya kuhifadhi Habari za watu walio tuamini
Watu ni mtaji kaka!! Miongoni mwa best video na mafundisho hii kaka ,umeeleweka vizuri sana na ni Funzo! Barikiwa sana sana
Shukurani Sana nimejifunza kitu 🙏🙏
Asante sana kaka Joel huu ni ukweli mtupu.
Somo Lako. Lipo Daima
Nataman mwaka huu ntembee na vision yako inanisaidia sana
Zote NNE zimegusa kila eneo
I real love you my mentor. ukiwa na envet dodoma I must attended any where.
Be blessed.
Nakufatiriia kaka angu sana sana
Broh Huwa unaongea mambo ambayo yanatokea kwenye maisha yetu kwa asiliamia zote Hongera Sana Kwani Kuna changamoto Huwa napitia
Somo zuri sana linaelimisha
Nimejifunza sana ubarikiwe na Mungu azidi kukutunza daima 🙏
Hatamimi pia nilitengana kimahusiano na dada mmoja sababu alikuwa ananilaumu hata kwa vitu ambavyo sijavifanya ilikuwa inanikera sana nikashindwa kuishi nae na hatimae tukawa mbali.
Somo zuri sana hili uzidi kubarikiwa brother
Dash kweli kabisa hili yambo tupo wengi sana mdogo wangu
Nitakua nakusikiliza mara kwa mara mzee
Hii inanitesa sana sana
Asante sana kaka mkubwa hili ni somo kubwa kwenye maisha yetu UBARIKIWE SAANA
Kaka mkubwa elimu Yako inatusaidia sana sisi vijana mungu azidi kukupa roho ya kuendelea kutufanyia haya 🙏🙏
Aisee 🙄 brother nanauka. MUNGU Aendelee kukuweka. Zaidi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kaka hiyo point ya kwanza "Wapo watu hata ufanyie nn kazi Yao ni kulaumu tu !!
Somo zuri sana My God bless you 🌺
Kweli nimekupata Kwa ufasaha kabisa
Asante ubarikiwe
Kabisa
Asante kwa mafundisho , ubarikiwe!
Tukopamoja mwalimu
nakuelewa Sana bro na natani nikutane na ww broo🙏🙏
Asante sana kwa nasaha hizi
Shukran Ndugu Nanauka 📚📚📚🎙️
kitu kzur Sana
Mungu akubariki sana kaka joeli
Salama kaka zipo dalili nilikutana nazo na mutu huyo ivi tunawongeya tayari nimeacana naye moja alikuwa mutu wakulaumu kila mara ya Pili tukikosana kadogo basi siri zote anaweka wazi
Nashukuru my mentor kwa mafunzo mazur
Leo nimewahiii jmn😊😊😊
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bro Joel
Tunashukuru Kwa darasa zuri
Somo zul Mungu akubalik kaka
Tunashukuru brother nanauka
U never dissapoint
Hii kaka imekua kama ndy tabia yangu lkn nakua Sina Nia ya kumdhulumu mtu lkn leo koneksheni zangu muhimu kwenye biashara zangu hii tabia ya kukopa bila ya kurejesha imeniangusha sana
Thank you Sir
AMEN
Best video 🔥🔥
#JoelNanauka Jenius by Discovery
Chifu hii workshop asee nondo juu ya nondo. nimejifunza.I'm extraodinary speechless on this topic.
#bless up Mr.Joel Nanauka
#JoelNanauka
I preciate you bro Nanauka💕
Unatisha Sana mtaalamu enderea kutupa madini tuje majitu ya badae😅
Ahsante
Pamoja sana
Asante.
Thanx br!
See you at the top Bro
Joelnanauk💕🔨
Nice coach
respect
Brother J umeupiga mwingi sana, kwenye namba moja hapo Sasa, na hiyo namba mbili ,ahaa,kuna jitu moja nililikopa hela yangu yaani hata halitaki kulipa nikasema hata nikute anatembea kwa mguu sitoi hata senti yangu moja
Hahahaha Kaka aya yapo
Hata mm cmpend mtu wakulaumu,,Yan ukwa hvyo tu nakupunguza
👍
Huko nyuma nilikuw narafik ila baada ya kuazima pesa hakurudisha hivyo nilikata mawasiliano nae
🙏
Hiyo ni ukweli kabisa
✍️✍️✍️
👏😎
Samaha naomba kuuliza kunanamba inatoa matangazo ya kulipia sh 10000 upate vitabu ni yako maana nataman lkn naogopa matapeli
Napenda kuwa kiongozi bora nifanyaje??
Kitabu chako naweza kipata soft copy?, kuhusiana na mada ya uongpzi au kiongozi bora
Karibu unaweza kukipata 0742 112 946 tuwasiliane kwa watsapp
@@joelnanauka sawa,
Kuna tabia ya kudogosha,yaani mtu Kila ukiongea nae haoni jema ni kukuharasi tu,tunawaweka kundi Gani?
Brother hiyo imenikuta mie watu wabaya mno Yani mtu unamsaidia alafu baadae mie sasa nimegeuka adui dar acha alafu sio mara Moja kumsaidia zaid ya mara nyingi mno
Asante sana bro