HAKUNA ULAZIMA WA KUNG'ANG'ANIA WATU - JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 324

  • @aoman5214
    @aoman5214 2 года назад +32

    😭😭😭😭😭Kaka Kaka nimekuita mara zote Asante Sana Kwa somo zuri nilikua nalazimisha Sana mpaka ikafik Mahal najiona Mimi sio chochote,, mwanaume kubadilika kunipigia cm kunitukana 😭na mtu wake daaah ninaumia Sana ni mwezi sasa Ila nashukuru Mungu nakutana na masomo kama haya najipa nguvu ya kuendelea 🙏🙏

    • @latifaanuary4911
      @latifaanuary4911 2 года назад +4

      Unayopitia nimeyapitia

    • @latifaanuary4911
      @latifaanuary4911 2 года назад +2

      Yatapita na tutasimama tena

    • @Calvinpeter640
      @Calvinpeter640 2 года назад +7

      Nimebalikiwa sana, hakika kipind ninachopitia kwa sasa n maumiv sana , nashindwa kumuacha kwan bado nampenda na niko na ujauzito wake😭😭😭

    • @shadysankey
      @shadysankey Год назад

      @@Calvinpeter640 pole sana mwaya daaaah 😥😥😥

    • @anorddeodigard5572
      @anorddeodigard5572 Год назад

      We ni wathamani sana.
      Ishi nayo hii siku zote

  • @Judith892
    @Judith892 2 месяца назад +1

    Nilipita pagumu sana 😭 nashukuru Mungu lile pepo Mungu alinifunulia wazi niliachie now days nashukuru Yaliyomema yananirudia na kunifuata 🙏🏻

  • @lukandaguillaume4175
    @lukandaguillaume4175 2 года назад +7

    Toka nilipo achana na rafiki yangu nilie mpa nafasi ya kwanza katika mambo yangu, kutengana kwetu kumebeba faida nyingi sana kwangu Kaka. Na naisi Mungu amenitenga naye kwa nguvu ,maana mwenyewe nilimbembeleza sana Mara ya kwanza mausiano yetu yalipo yumba,bila kujua kuwa alikuwa ukuta mkubwa wa kuzuia baraka zangu.

  • @shekinahshimeni8320
    @shekinahshimeni8320 7 месяцев назад +1

    Mungu akubariki kaka yangu , yaani Mungu amekutumia kama malaika kwa hiki kizazi. Mimi nilikua na dada ambaye alinikosanisha na familia yangu, mama yangu aka nichukia, na ndugu zangu zote, kwa ajili ya ulimi wake wa kutunga uongo, niliangaika nikawa homeless nikiwa na miaka 12 nilipo fika 24 Mungu wa rehema aka nisafirisha nchi za kigeni nilipo fikia miaka 26 wamilele akanibariki na mume ivi ninayo family kwa huruma za Mungu ; na yule dada alifariki mwaka wa 2021 Mungu amulaze mahali pema peponi

  • @esthermichael3221
    @esthermichael3221 2 года назад +6

    Joel Nanauka Mungu aendelee kukutumia kama apendavyo unaokoa mioyo ya wengi

  • @goodluckjoseph3113
    @goodluckjoseph3113 2 года назад +12

    For real Mr Joel you were created by God to save people, thanks for wonderful lesson.

  • @doniziacostar1562
    @doniziacostar1562 2 года назад +2

    Ni kweli kabisa sababu MUNGU anajua tutakapo na tuendapo wewe cha kufanya jiachilie tu kwa Mungu atakutumia vema

    • @makwega0340
      @makwega0340 2 года назад

      Asante sana kwa darasa maridhawa, limeuponya moyo na kujenga ukakamavu wa nafsi. See you at the top.

  • @PaulPoh-d8h
    @PaulPoh-d8h Год назад

    Nashukulu sana joeli,,maana nimewai kumng'ang'ania mtu mpaka bas,,ilibidi tu nimuache ila kwamaumivu😢,,sasa unajua kilichotokea baada ya muda kumuacha, ndo nakuja kuskia akisema ilibakia kidogo tu hiki kilichomo kwenye mwili wangu kiamie kwako,😭😭😭,DAh.aisee siku iyo Nilimshukulu mungu🙏🙏
    Wiki nzima ,,,,,,ndo tujifunze kutokuwang'ang'a🦷

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 2 года назад +5

    Kaka asante km umenijulia vle mana nlikuwa king'ang'anizi narushiwa maneno machafu lkn bado ila kuanzia mdahuu ntajithidi japo moyo hautaki kukubali💔

  • @esthermichael3221
    @esthermichael3221 2 года назад +15

    Pamoja na yote nashukuru kwa yaliyotokea cna budi kukubali matokeo na maisha yanasonga

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 Год назад

    Asante kwa SoMo zuri, Kuna kitu nimejifunza japo huwa sio kinganganizi, mwepesi kulipokea baada ya siku chache tuu nakaa vizuri naendelea na maisha gangu

  • @firdosoman3133
    @firdosoman3133 2 года назад +5

    Ubarikiwe kaka joel umeongea point kweli kweli,,mungu aliniondolea baadhi ya watu,,ndio hii leo nimepiga hatua kubwa katika ndoto nilionazo nashkuru sana

  • @zahramakota2198
    @zahramakota2198 4 месяца назад

    Asante Mungu kwajili ya Joel, kwakweli umenibadilisha vingi

  • @christinamichael5964
    @christinamichael5964 2 года назад +2

    Ni kweli kabisa kaka, japo kwangu huwa ni mchungu, lkn ntajitahidi kuachia kupitia masomo yako ubarikiwe sana kaka

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 2 года назад +2

    bro joel nanauka nakupa hongera nying sana,napitia kipindi kama hichi 😢😢😢😢

  • @gloriachao9735
    @gloriachao9735 2 года назад +2

    Asante doctor umenisaidia Sana nilikuwa natabia ya kung'ang'ania nimejua Mungu anasababu na mimi

  • @elimikatv
    @elimikatv 2 года назад +7

    Real coach kunabaadhi ya watu wanakuja kwetu ili tu kutupa lessons then wanatoweka ivyo hatuna sababu yoyote ya kuwang'ang'ania, kikubwa n kujifunza kwann wamekuja upande wetu.. Thank you coach

    • @officialsamg7174
      @officialsamg7174 2 года назад

      🙏🙏🙏

    • @mussaabdul3487
      @mussaabdul3487 Год назад

      Asante kwa somo zuri sana hata ndugu kuna wakati watakutenga na ulikuwa nao karibu sana mpaka unashangaa siku hizi hata salam hakuna .

    • @salwamohammed4787
      @salwamohammed4787 Год назад

      Kweli ndugu zangu mimi wamenibadilikia Mara moja

  • @AngleNelson-t8v
    @AngleNelson-t8v Год назад

    Uko sahihi broo Yan me pia yalishanikuta mzaz mwezang Yan alikua Hana mda na mm anachit sana ila nlikua nampenda sana ivyo nlikua sitak aniache Yan mwisho wa siku nkachok nkaamua nimuache ila daah Kwa alivyo saiv namshukuru Mungu nliachana

  • @NyakayiMwishagoli
    @NyakayiMwishagoli Год назад

    Ahsante sana umenibadirisha kwa kias kikubwa Sana Mwenyez Mungu akurinde nakupenda san

  • @shanilingenju3513
    @shanilingenju3513 2 года назад +2

    Nimeamua kuacha hapo katikati🙌 maana najiona naangamia ila sasa nimesema sitaki tena kuhangamia🙏

  • @ummkolthumkoalthum3271
    @ummkolthumkoalthum3271 2 года назад +6

    NA comment tena yaan hijakosea ni kweli niliolewa na wanaume wenye uwezo lkn hawakuweza kufanikisha ndiyo zangu na hii ilinipa changamoto sana ktk maisha yangu.. Lkn nilipoamua kusimama mwenyewe n kumuomba mungu nimeweza kufanikisha ndiyo zangu mm mwenyewe bila ya msaada wa mwanaume yoyote.... Tena mungu alivyo n majaribu kwetu alinipa sehemu ambayo ya kazi. Ambayo sikuitarajia ktk maisha yangu kuifanya.. Nimesomea kingine nimeenda kupata mafanikio kwa kazi nyingine yenye dharau ktk jamii lkn nilisema hiki mungu ndiyo slivhonikafiroa ngoja nifanye na kweli nimefanikisha na vingine zaidi
    Kwa NEEMA tu🙏🏾

    • @mapoluchalya280
      @mapoluchalya280 2 года назад

      Pole dada na hongera pia,pesa haitengenez kila kitu

    • @ngongomamy2968
      @ngongomamy2968 2 года назад

      Shalom.mimi nakufata sana kwenye vidéo Zako.sasa nakushukuru sana ku mashauri yako na Mungu akubariki.

  • @lipembejames9387
    @lipembejames9387 2 года назад +3

    Asante kwa Somo zuri sana Brother nimejifunza jambo zuri sana sana ,Ubarikiwe sana Brother Joel nanauka

  • @pat-bog3831
    @pat-bog3831 2 года назад

    Nilikwenda safari
    Nikarudi kukuta muke amesha
    Ondoka navitu vyote
    Huko alipokwenda Aka olewa
    Huyo alie muowa akafariki
    Iyo ni mfano mmoja asante kwa mafundisho🙏

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 2 года назад +1

    SoMo zuri Asante Mungu Kwa kuniondolea wale wasio faaa katikaa maisha yangu

  • @danielymanamba8709
    @danielymanamba8709 2 года назад +4

    Always speaking facts.. reality.. reflecting what happens in daily life.. Mungu akuzidishie upeo.

  • @adelinakibejile4696
    @adelinakibejile4696 2 года назад +2

    Jaman cjui niseme nn mie,Joel Asante Sana kwa ujumbe wako maana nmeng'ang' ania Sana nilidhan sifa cjui,dah Asante kwa kweli acha waende watakuja wengine kwakweli,asante

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 года назад

      Tuendelee kujifunza. Nakutakia kila la kheri

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 5 месяцев назад

    Jambo Kaka,kilasomo lako n nazidi kunufaki najifunza saaana Saana kwakifipi ukbariki kwa byote, Love from🇧🇮

  • @madammesatalks6913
    @madammesatalks6913 2 года назад +1

    Asante sana kaka Joel hakika umenifungua ufahamu wangu kiukweli kwa akili za kibinadamu ni ngumu sana kujua haya God bless you my Brother.🙏

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 7 месяцев назад

    Asante sana Joel kw kututia nguvu......🙏🙏

  • @AlbinusChahiza
    @AlbinusChahiza 7 месяцев назад

    This subject for sure change my life 100%

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 11 месяцев назад

    Nimependa sanaa somo hili limenigusaaaaaa

  • @SarahDavid-nz8ir
    @SarahDavid-nz8ir Год назад

    Amina kaka Joel nilikuwa kwenyekipindi kigum sana lakini nipona kupitia Hili somo

  • @olivermloso2157
    @olivermloso2157 2 года назад

    Asante Sana Kaka Joely Mungu akubariki nimepata nguvu mpya umenivusha kutoka sehemu moja kwenda nyengine

  • @babybhalo8723
    @babybhalo8723 2 года назад +2

    Nimejifunza kitu kipya leo.... mungu akubariki sana.kupitia masomo yako naendelea kuwa mtu mpya na mwenye maono mengi na mazuri kwangu na wanangu... Asanteeee 🙏🙏🙏🙏

  • @mwlrobinson
    @mwlrobinson 2 года назад

    I was sick but now am ok ,I used to think my self my teacher is ok??? But thanks for it day to day God is Lord

  • @تةامممن
    @تةامممن 2 года назад +2

    Nikwer kabisa kama umeniongeleya kabisa 💔💔💔💔💔🖤🤲🤝💯

  • @herminachrispas888
    @herminachrispas888 2 года назад

    Daa 😭😭we baba ubarikiwe Sana nimejifunza kwenye kumshukuru kwa kila Jambo,watu wanapotea kwa dhumuni la MUNGU 🙏 Asante Sana nimepata ahueni ya Moyo.😭😭

  • @joycegodfreycharles1828
    @joycegodfreycharles1828 7 месяцев назад

    Amina kaka Joel nakuelewa sana Mungu akubaliki

  • @juliuschacha6352
    @juliuschacha6352 2 года назад +3

    Kaka MUNGU akuinue juu zaidi maneno Yako yananijenga sana

  • @ismailmathias147
    @ismailmathias147 2 года назад

    Asante sana Kaka JOEL NANAUKA.
    Naomba kuwasiliana nawe Kaka Joel. 🙏

  • @hakizimanakassim7123
    @hakizimanakassim7123 2 года назад

    HELLO sir Joel !
    Kassim kutoka BURUNDI, sina mengi zaidi ya kumuomba Mungu azidi ku kuongoza kwenye haki, pia akuzidishie malengo makubwa zaidi katika jamii... Kila lenye heri katika kazi zako !

  • @fatumaabdalla2580
    @fatumaabdalla2580 2 года назад

    Ni kweli kila unaejuana nae sio kwa bahati mbaya ila wanatupa changamoto ya kujifunza🙏 God bless you bro👊

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 7 месяцев назад

    Nisadie je...kama aliondoka na watoto na kupata mutu mwengne....na....htataki n...watoto....

  • @IdrissaBakar-w1u
    @IdrissaBakar-w1u 9 месяцев назад +1

    Katika mada nzuri sijawai ona ulizo zitoa moja ni hiiii

  • @work24onme
    @work24onme Год назад

    Holy Spirit, Amen 🙏🏼
    ASANTE SANA!

  • @pilichuli4449
    @pilichuli4449 2 года назад +1

    Kaka Leo umenigusa yaani ni kweli kabisa baadae unasema ningekua na huyu nisingefika hapa mungu anasababu yake na mtu akikusikiliza fundisho lako hata maumivu yote yanapotea Tena unaishi kwa fulaha zote

  • @nuratbadru5315
    @nuratbadru5315 Год назад

    Asante kaka Somo lako limenipa funzo,

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 Год назад +1

    Ameeeen 🙏🙏🙏 Mungu akubariki sanaaaa kaka Joel.

  • @theresiabukuku9821
    @theresiabukuku9821 2 года назад

    Amina kaka,nmepona mno,nilikata tamaa kabisa baada ya kuona nmempoteza mtu muhimu ila Mungu n mwema,asante

  • @hamisjuma8524
    @hamisjuma8524 2 года назад

    Hili somo Limenigusa Sana Ulijuaje Kwanza Brother Nanauka

  • @Dimitry-cb5tb
    @Dimitry-cb5tb Год назад

    Kaka Mungu akubariki umenitoa gerezani nikuwa mfugwa niliachika bila sababu yeyote niliteseka sana kukubaliana namatokeo ila kupitia somo hili nimekuwa mshindi

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 2 года назад

    Joel kila mara nikituma comment zangu huwa nasema MUNGU Ameweka kitu kikubwa ndani yako,Asante kutuelimisha "BARIKIWA".

  • @tiffarqueen2712
    @tiffarqueen2712 2 года назад +1

    Yani Kaka unagusa palepale dah mungu akupe maisha malefu uzidi kutuelimisha🙏

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 2 года назад +1

    Ahsante sana tena sana Mungu akubariki Uncle joel🙏🙏

  • @ibrakyambo6266
    @ibrakyambo6266 2 года назад +1

    *Wameondoka na Hali haikuwa rahisi ilinichukua muda Sana kuzoea hii Hali ila baada ya yote kupita nimeona umuhimu*

  • @novathmalisel7049
    @novathmalisel7049 Год назад

    Mungu akubariki kwa somo zuri 6:18

  • @rahelsamson7692
    @rahelsamson7692 2 года назад

    Barikiwa sana Teacher wetu mzuri Mungu aendelee kukutunza na kuturinda na kukuongoza daimaa unyekekevu ukawe vazi lako🌹🌹🌹❤❤❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @goldianrwihula6423
    @goldianrwihula6423 2 года назад

    Kaka Joel ubarikiwe sana na Mungu yaani mpaka napata maarifa mengi kwako thanks so much

  • @aminasuleiman8120
    @aminasuleiman8120 2 года назад

    Nilikua na mahusiano na mtu ambae nilidumu nae Hana Kaz nimemvumilia kwa jinc alipopata kazi tuu!akabadilika cm mpaka nipige mm message nitume mm Yuko kimyaaa!!co yule wa zamani tenaaa!! nimeumia sana lakin umenipa faraja kaka hasante nimekuelewa sanaa na nitawezaa!

  • @hawarutha5580
    @hawarutha5580 2 года назад

    Singangqnii Tena Mungu nisaidie Ahsante bro

  • @afizabubacar19
    @afizabubacar19 2 года назад

    Kaka yani ww unajua had unakera mashallah

  • @rhodarobin8086
    @rhodarobin8086 2 года назад

    Thank you mr Joel, kuna kitu umeniongezea kwenye ufahamu wangu

  • @تةامممن
    @تةامممن 2 года назад +1

    Mungu anitia nguvu katika mayisha yangu amin amin 💯💯💯💯💯💯🤲🤝💣🙏

  • @jovinmutakumwa9611
    @jovinmutakumwa9611 2 года назад +1

    Mungu Azidi kukuweka maisha yate yenye Nguvu na uweza mkubwa 🤝

  • @maestrolaizer1201
    @maestrolaizer1201 Год назад

    Nashukur sana nilikuw Na MTU nampenda ila nilikuwa tukitengan ndonafanikiwa ila nikiwa naee mambo yote yanafunga mambo hayaendi

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Год назад

    Asante sana bro usimeyo nkweli kbxMungu akubariki❤

  • @batattomachugu5361
    @batattomachugu5361 Год назад

    I love this guy life teacher genius

  • @octaviangeorge2012
    @octaviangeorge2012 2 года назад

    Umenisaidia sana kaka Joel. Jambo ili limenitokea jana jioni sikulala vizuri kabisa lakini asubui nikapata msukumo wa kusikiliza vidio zako bahati Nzuri nikakutana na hii akika nimejifunza asante

  • @gchalijabiri3845
    @gchalijabiri3845 Год назад

    Najifunza sana #karansi inanidai

  • @verohmkami4502
    @verohmkami4502 2 года назад

    Nashukuru kwa somo hilo limenijenga sana

  • @mussakhamis2377
    @mussakhamis2377 2 года назад

    Ahsante my life coarch uko uzur tumejifunza mengi

  • @bonita329
    @bonita329 Год назад

    😭😭😭yaani sielewi mambo ya Dunia hii dah nawakati mgumu sana ndio maana nipo natizama video hii😢

  • @UshindiNathanael
    @UshindiNathanael Год назад +1

    Asanteeh mwl

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 года назад

    Mungu wangu,kweli mbele yetu Kuna vinaendelea,Asante Sana🦾🦾

  • @helmanjoshua2500
    @helmanjoshua2500 2 года назад

    daaaaah hiyo hatari hakika leo namshukuru Mungu

  • @roseomari7115
    @roseomari7115 Год назад +1

    Ubarikiwe 🙌🙌🙌

  • @salomekombo215
    @salomekombo215 2 года назад

    Asnte sanaa Broo joel MUNGU azid kukuweka uzid kutupa Elimu 🙏🙏nimejifunza kitu asnte sanaa😘

  • @nyongesabenjamin3762
    @nyongesabenjamin3762 2 года назад

    Be blessed brother, vipi naeza kipata kitabu chako Cha Timiza Malengo yako niko kampala

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 2 года назад +1

    Shukran Ndugu Nanauka 📚📚📚📚📚🎙️.....

  • @manfredmasiko4444
    @manfredmasiko4444 2 года назад +4

    Ahsante kwa somo zuri sana! See you at the top professor 👏👏

    • @gracejerome7147
      @gracejerome7147 2 года назад

      Yaa nikweri tupu nimepitia hayo yamekuwa yakinisumbua leo nimepata jibu Barikiwa

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 2 года назад +1

    Mhhh God bless you. Somo zuri sana, ubarikiwe

  • @rosewere1317
    @rosewere1317 2 года назад

    Nmejifunza kitu hapa.Asante sana kaka joel.

  • @dorahmatitu2554
    @dorahmatitu2554 2 года назад +1

    Ni true my brothers. Mungu akubariki sana.

  • @hamzermahundu6371
    @hamzermahundu6371 2 года назад

    Hii imeni gusaa saaana aisee ni nomaaa

  • @rahimaamour2756
    @rahimaamour2756 Год назад

    Nakiamini hiki kk hakika mungu anakusudi lake

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 Год назад

    Ni kweli kabisa nina ushuhuda huu

  • @mohammadhassanmohammad8559
    @mohammadhassanmohammad8559 Год назад

    Asante kaka Joel nimejifunza

  • @zankid9692
    @zankid9692 2 года назад

    Ubarikiwe sana bro joel, this video umeongea point sana my brother, na nimejifunza vitu ving sana kupitia this video

  • @faustinejustine6816
    @faustinejustine6816 11 месяцев назад

    SoMo kubwa sana hiilii

  • @MariamChidaga-cf4rg
    @MariamChidaga-cf4rg Год назад

    Uwiii 😭😭😭nimejifunza kitu kikubwa sana

  • @lilianmpagama8273
    @lilianmpagama8273 2 года назад

    Mungu aendelee kukutumia

  • @abdumadaha5348
    @abdumadaha5348 2 года назад

    Shukrani sana kutupatia chakula kizuri cha ubongo

  • @JosephJacobo-yc3xh
    @JosephJacobo-yc3xh Год назад

    Asnte Sana kaka kwa somo lako

  • @nyakwesimagoma7121
    @nyakwesimagoma7121 2 года назад

    ninakuelewa Kaka Mungu akusaidie usaidie wengi

  • @gracemarwa6175
    @gracemarwa6175 2 года назад +4

    Nice speech..bro
    I'm grateful for ur speech..
    I have been experiencing hard situations many times....but for ur speech...I m cured

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 года назад

      Thanks Grace, all the best, keep going.

    • @dismasstanslaus5985
      @dismasstanslaus5985 2 года назад

      @@joelnanauka unaakili nyingingi mpaka umepitiliza ,joel tafadhali naomba namba yako nataka NIKUTUMIE hata hela ya soda niridhike

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 Год назад

      Kaka Mungu akubariki yote uliyoyangea ni yangu Mungu anisaidie niweze kusahau na kuendeleana maisha yangu Asante kwa ushauri

    • @golden0mondi
      @golden0mondi Год назад

      Kweli nimeelewa Mr joel nanauka asnti 🇰🇪

  • @frankkiondo8386
    @frankkiondo8386 2 года назад

    Barikiwa sana kwa mafundisho mtumishi wa mungu

  • @daviesimba818
    @daviesimba818 Год назад

    Asante sana mku mungu akubaliki

  • @johnsonpyuza0404
    @johnsonpyuza0404 2 года назад +3

    Woow this is the greet lesson to my current situation, thank you so much Sir.Joel Nanauka🙏

  • @nadiaseif
    @nadiaseif Месяц назад

    Shukran kaka Joel

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 2 года назад +2

    We jamaa MUNGU akubariki mpaka ushangae