Nachompendea mwalim nikua masomo yake niya mda mchache tu dkk 6 adi 10 Ila kama kwl wewe unahitaji kubadilika unabadilika kwa kujifunza mda mchache Mungu akupe maisha marefu saana
Mimi pia, tena upekee wake ni anaenda moja kwa moja kitu ambacho sikijui na harudii rudii vitu tunavyovijuwa au tulivyokwasha elewa na hasa wakati wa kipindi
Shukrani Sana Mtumishi kwa matashi mema na ushirikisho, Hakika Mungu akujalie afya Njema na kila laheri Ktk Utume mwema wa kujali na Kuwajibika,nawaelewa Sana Pamoja Na Mtumishi Denis Mpagaze Mungu awalinde Sana kaka zangu.Tumsifu Yesu Kristo...!
Naitwa william .napenda kujifunza zaidi nimekua nikikufuatilia sana. Umenifanya nimepiga hatua sana lakini nahtaji kusoma vitabu na sijui pakuvipata .bila shaka mungu amekuleta duniani ili uje utuinue sisi.asante nahtaji ukaribu wako
Moja ya vitu vilivyo nitambukishaga na kunipa jina mpaka leo hii, nilikuwa nafanya kitu ambacho hakuna aliweza kufanya kitu kwa ubora na kiwango cha rami, mpaka boss akawa anajisifu nje kuwa nina kijana huyo ukipiga cm usiku na kuuliza bidhaa fulani inebaki kiasi gani majibu napata bila wasiwasi, ahsante sana 🙌🙏
Naongea kutoka moyon siku ya msiba wako endapo nitafanikiwa kuwa dunian nitalia sana baba yangu... Umenutoa mbali san #muumba akupe maisha marefu naomba rithisha vizaz vipya baba yetu... Dah nakupenda san baba yangu @ by Abaykado
Je inakuwaje sehemu ambazo unakuta unapoonyesha kwamba unaweza kufanya kazi yako,inakuwa sababu ya Bosi kukukomoa kwa namna moja au nyingine. Unakuta badala ya kupewa nafasi nzuri badala yake wale ambao huonyesha kushindwa ndio hupewa nafasi nzuri na mbaya zaidi unakuta hata wale unaowasaidia kwenye eneo la field yako huwa wanabaki wanashangaa why hujapewa nafasi fulani badala yake amepewa fulani. In short uwezo wako mzuri kwenye kazi unakuwa ndio nyundo yako.
Usiwahi badilisha the music tune ,which accompanies your talks.. inatufanya tuwe makini,unapotoa hoja zako
Mungu akubali kaka unanifungua sana ufahamu wangu🙏
Nachompendea mwalim nikua masomo yake niya mda mchache tu dkk 6 adi 10 Ila kama kwl wewe unahitaji kubadilika unabadilika kwa kujifunza mda mchache Mungu akupe maisha marefu saana
Mimi pia, tena upekee wake ni anaenda moja kwa moja kitu ambacho sikijui na harudii rudii vitu tunavyovijuwa au tulivyokwasha elewa na hasa wakati wa kipindi
Namshukuru Mungu kwa jinsi alivyokutengeneza kwa ajili ya UTUKUFU WAKE MUNGU.YEHOVA MEKADDESHEM (Zaburi 19:12)
Kwel maarifa ni muhim sanaaaa,,,,,mawazo ya kuchangia ktk vikao,,,, waliza uwe wa kitofaut,,, unatoa mawazo yanayoendana na ofis yako
Shukrani Sana Mtumishi kwa matashi mema na ushirikisho, Hakika Mungu akujalie afya Njema na kila laheri Ktk Utume mwema wa kujali na Kuwajibika,nawaelewa Sana Pamoja Na Mtumishi Denis Mpagaze Mungu awalinde Sana kaka zangu.Tumsifu Yesu Kristo...!
Naitwa william .napenda kujifunza zaidi nimekua nikikufuatilia sana. Umenifanya nimepiga hatua sana lakini nahtaji kusoma vitabu na sijui pakuvipata .bila shaka mungu amekuleta duniani ili uje utuinue sisi.asante nahtaji ukaribu wako
Upo Sawa bro nipo s. A ni Mara kwanza kuona ujumbe wako mzur Kwakweli nipo impressed Sana Allah ukuzidishie ilimu na ufaham
Leo tarehe 25/06/2022 umenifanya mtu mwingine kabisa, ubarikiwe kaka , ready to take over🙏
God bless u brother jukumu letu ni kukuombea uendelee kuliishi kusud lako kwa ww kuchangia sisi kufika hatma ya maisha yetu
Asante sana kaka mkubwa ,kuna kitu nimepata na unazidi kutukumbusha sehem tunapolega lega...
Joel sina Cha kusema zaidi ya kuomba uzidi kua mzima
najifunza mengi zaidi kutoka kwako mentor wangu
Asante sana kabisa unachokisema ni ukweli ! Tunakupenda san From Burundi
Napenda sana mawazo yako mengi yametugusa sawasawa asante sana brother.
Moja ya vitu vilivyo nitambukishaga na kunipa jina mpaka leo hii, nilikuwa nafanya kitu ambacho hakuna aliweza kufanya kitu kwa ubora na kiwango cha rami, mpaka boss akawa anajisifu nje kuwa nina kijana huyo ukipiga cm usiku na kuuliza bidhaa fulani inebaki kiasi gani majibu napata bila wasiwasi, ahsante sana 🙌🙏
Asante kaka nimejifunza kitu hapa nilikuwa nakwepa majukumu ya ziada kuona Kama nazidiwa na kazi nitarekebisha eneo hilo.Barikiwa sana.
Nimekuelewa kaka alafu Mungu akubariki uzid kutufundisha
Kuwa mtu wa suluhisho,♥️ it hits so hard to the brain
Asante sana Sana maaana nimepata SoMo kubwa Sana.
Ahsante joel nanauka tumejifunza mengi kwako na hasa ktk suala zima la kuweka bajet
Somo la maisha ni zuri sana
Shukran Sana kaka mungu akupe nguvu.
Nafurah sna kwakurud kazin
Nimeipenda hii,nimejifunza
No Moja nimooo shukrani nilianza kuchukia kwani nilikuwa au huwa nazidiwa najiuliza mbona tuko wengi sana kwani Nini mimi SASA umenijibu.
Naongea kutoka moyon siku ya msiba wako endapo nitafanikiwa kuwa dunian nitalia sana baba yangu... Umenutoa mbali san #muumba akupe maisha marefu naomba rithisha vizaz vipya baba yetu... Dah nakupenda san baba yangu @ by Abaykado
Wengi kwenye vikao ni kuchangia kwao ni kusema "Nakubaliana na yote yaliyosemwa"
Well said,
Ila nyongeza
1... Pantuality
2.. Tambua scope ya majukumu
3... Communication (instant, full /detailed, flow and feedback)
Nimemuelewa vzr,
Ubarikiwe sana tatu za mwisho
🤝 uhakika
Hiyo ni kweli kabisa
Mwalimu mm ninatatizo lakuanza upya nifanyenini
Ubarikiwe sana I'm getting something different when am listening you
Wait and see
Asante NANAUKA. Rafiki yako MANASE MLONGANILE yuko wapi?
asante sana brother🙏
My brother♥️♥️💯
Nashukuru sana Mungu akubariki
Pamoja sana kaka
Wow that is great
Ahsante kwa hili somo
Its was very great full massage
Ubarikiwe brother
Solution provider
Hongera sana kaka masomo Yako ni mazuri🔥🔥🔥
Thanks Coach, naomba ku share hii
Ahsante kaka
Kwamimi muhushimiwa naona kujitengeneza kuwa Expart
1, 2 & 4 nimoooo!!!
Sawa kaka Mkubwa
Amazing brother 💕
.... Uaminifu
.... ukweli na uwazi
Nashukuru Sana Brother Joël
Ubarikiwe san broo👏💯
Vizuri
Genius
Mmi kwenye kaz yangu ni position yangu ni upishi
wewe nimwisho sasa uko nabi
Shukrani sana mwalimu! Je naweza kuwa expert kwenye field zaidi ya moja?
Umejifunza
At the top
Powerfully
Yes
Naomba namba yAko kaka
Thank You Brother
Thank You Sir
Nice
Thanks
How can I get your " timiza malengo yako " from tranzoia county kenya
#JoelNanauka Jenius by Discovery
Nataka vitabu kaka joel
Safi sana Mr Joel Nanauka
✍️✍️✍️✍️
Je inakuwaje sehemu ambazo unakuta unapoonyesha kwamba unaweza kufanya kazi yako,inakuwa sababu ya Bosi kukukomoa kwa namna moja au nyingine. Unakuta badala ya kupewa nafasi nzuri badala yake wale ambao huonyesha kushindwa ndio hupewa nafasi nzuri na mbaya zaidi unakuta hata wale unaowasaidia kwenye eneo la field yako huwa wanabaki wanashangaa why hujapewa nafasi fulani badala yake amepewa fulani. In short uwezo wako mzuri kwenye kazi unakuwa ndio nyundo yako.
Asante
MUNGU NISAIDIE NIJE KUWA EXPERT MZURI
👏
Konk
Thanks brother 🙏