Toka nimekujua kaka sijawahi ona kama napoteza MB zangu,thanks much stay blessed Mungu akupe mbawa za tai uruke mbaali na maadui wote,tuzidi tupate elimu zaidi.
Ikiwa ningejuwa hii miaka saba iliopita singekuwa jinsi nilivyo. Nimekutana na maadui wote hao maishani mwangu hadi sasa nina maumivu yalio sababishwa na maadui. Kwa kweli hili ni somo kubwa kwa wale hasa hawajakutana na baadhi ya maadui hawa. Hata na mimi itazidi tu kunifungua macho. Asante sana Joel N. Tuko pamoja sana kk nikiwa hapa 🇺🇸.
Mungu akupe maisha marefu maan umenipa hamasa zaidi juu ya ujasiri I thought that I was nothing in this world but through your videos,now I see the greatness inside me
Namshukuru Mungu kwa ajili yako japo dunia imefika nyakati zilizosemwa Mungu hajatuacha ameleta watu kina Joel Mungu asante bado unatupenda ubarikiwe JOEL
Tangu nimepata kazi kwenye hii kampuni, nimekutana na maadui watatu wa kwanza. Ila Mungu kanipigania na sasa niko ktk kitengo ambacho, hawana access kubwa ya kuniathiri. Ila Namshukuru Mungu sana.
Daaaaahh yaani kaka Joel mm hao wote nimekuta nao pia nimebaki Na maumivu moyon ,Ila ninaamini kupitia makala zako nitapona kwa haraka zaidi ,pia nimepata njia ya kuwaepuka kaka,ubarikiwe kaka Joel kwa mafundisho yako maana napata faraja kubwa sn .....
Asante kwa somo zuri sana.Huyo adui kaini nimekutana nae ameniumiza sana sana ila nimemgundua nimeamua kukaa nae mbli ,asante kwa kunikomboa fikira zangu ubarikiwe kwa somo zuri
Kwa kipindi ninachopitia inawezekana kabisa kwamba kuna adui. Ni nani adui wangu kusema ukweli sijui. mambo ni mengi na kama unavyo jua huu wakati hatuambatani na watu. Mimi nafuata ushauri wa Mungu kwamba nipende watu wote na kwamba adui wangu ni adui wa Mungu wangu, na naamini kwamba Mungu atamshughulikia. Ahsente kwa maeleyo ninajifunza mengi. ubarikiwe
Asante kaka !! adui yangu no moja Ni penina alikua karbu sana kila nitakachofanya anajifanya mwema kwangu kumbe ni Mt mbaya kwangu, no mbili ni kaini ni mtu ambaye nilikua nashea nae changamoto zangu za biashara anasikitika na mm kumbe ni muongo moyoni anajua anachokifanya na hata kama Nina shida na pesa kiasi ananipatia kumbe ni kaini hatari ila namshukulu mungu nimemfahamu
Nilichogundua ndio maan hata wealth people huwa hawapendi sana kuwa na watu ovyo ovyo.....nafkr ni kwa sababu ya kuminimize that enemies.......tunahitaji kumuomb sana mungu juu ya hili kwenye kuliepuka....
Nimekutana na Huyo adui penina juzi tu wananichafu Kwa magrp yao wananiongelea vibaya ila yote nimemuachia Mungu Nina imani ipo siku Allah Atanilipia Kwa Yote🙏🙏🙏
Kaka Joel mmh!yaani ni kweli kabisa !unachosema ndivyo ninavyokutana nao,mie nina adui Delila na Kaini,yaani tena wa karibu sana.Asante kwa kunifungua macho zaidi,yaani wakati mwingine unajiuliza kwani kuna shida gani?
Kaka kaka Mungu akubariki adui Kaini alinitesa saaaaaaana! Yaaaani walinitesa jamani ! Niliwapenda ndugu zangu wa damu niliwasidia! Ila mwisho wa siku hiiiiiii walichonifanya kina kaini! Hadi mamaangu , kumbe nilikuwa sijui kama huwa wananiombea mabaya ndugu zangu! Hadi wakanitamkia kabisa, una nini nawewe, mshahara wako wenyewe wakununua pedi tu! Anayesema hivyo, nimemsaidia jamani ! Uwiiiiii ni mdogo wangu kabisa! Nimelia jamani! Ndugu zangu wameniliza, nilipambana kusoma na wao hawakusoma! Basi uwiiiiiiii ! Jamani ila kwa sasa baada ya kujua vizri kwakweli nimeamua kupambana na maisha yangu huku nikifuata ushauri wako! Kwakwelinimekuja kwako wakati sahihi! Naomba nipone nina majeraha yanamwaga damu nyekundu mno! Halafu nilipoharibikiwa wakanitenga!!!! Wakamshawishi mpka mama, nae akanichukia, wakaingia mpka kwenye ndoa yangu! Mpka kwa majirani! Uwiiiii mwalimu! Itoshe tu kusema Mungu akuinue zaidi!
Asante sana kwa somo zuri lakini pia ninamna ipi sasa ya kuishi na aina ya hao maadui maana ni watu ambao wapo kwenye maisha yetu ya kawaida wakati mwingine ni watu wa karibu sana kwenye maisha yetu.
Kwa kweli hao ndo wanaotufanya kufeli maisha mm naona nikuwa nao makini tu kwa ongea maana wengine anakuuliza maswali kila sku yaleyale wakati ulishamjibu tena hao mm ndo nakutananao sana nikubaki kimya tu au kuwajibu hujui bas
Kweli kabisa Mimi ninandugu yangu ila utasjabu unakuta mtu ananiulizia anataka tuonane akiulizwa tu huwaambia jamaa amesafiri mara unapokutana nahuyo anayekutafta anabaki na mshangao kweli.
Toka nimekujua kaka sijawahi ona kama napoteza MB zangu,thanks much stay blessed
Mungu akupe mbawa za tai uruke mbaali na maadui wote,tuzidi tupate elimu zaidi.
Kwanza asante Sana kwa kutupatia elimu kweli binafsi nashukur, mim nimeshakutana na Hawa maadui ila Adui Kaini daaa anatisha saana
Ikiwa ningejuwa hii miaka saba iliopita singekuwa jinsi nilivyo. Nimekutana na maadui wote hao maishani mwangu hadi sasa nina maumivu yalio sababishwa na maadui. Kwa kweli hili ni somo kubwa kwa wale hasa hawajakutana na baadhi ya maadui hawa. Hata na mimi itazidi tu kunifungua macho.
Asante sana Joel N. Tuko pamoja sana kk nikiwa hapa 🇺🇸.
🙏🏻🙏🏻 pamoja sana
kaka huwa nakuelewa sana mungu akubarki sana
broo naomba utusaidie sana maana hao ndoo tuko nao ktk maisha yetu
Mungu akupe maisha marefu maan umenipa hamasa zaidi juu ya ujasiri I thought that I was nothing in this world but through your videos,now I see the greatness inside me
Nimekuelewa brother' ww nimkombozi wa fikra mungu akupe maisha marefuuuuu!
Dah!!! Haya yote yamenitokea kwenye maisha. Asante kwa mafundisho yako mazuri ndugu.
Sawa brother
Hao wote nishakutana nao ila nimewapiga na chini na kwa sasa naishi peke yangu naamini rafiki wa kweli ni Allah
Namshukuru Mungu kwa ajili yako japo dunia imefika nyakati zilizosemwa Mungu hajatuacha ameleta watu kina Joel Mungu asante bado unatupenda ubarikiwe JOEL
I appreciate......Natamani pia kufahamu tunawezaje kuishi nao au kukabiliana nao wasilete madhara kwetu....Thank you very much.....
Tangu nimepata kazi kwenye hii kampuni, nimekutana na maadui watatu wa kwanza. Ila Mungu kanipigania na sasa niko ktk kitengo ambacho, hawana access kubwa ya kuniathiri. Ila Namshukuru Mungu sana.
Sasanasana uyu hamani uyu ndio yupo ananizingra
Daaaaahh yaani kaka Joel mm hao wote nimekuta nao pia nimebaki Na maumivu moyon ,Ila ninaamini kupitia makala zako nitapona kwa haraka zaidi ,pia nimepata njia ya kuwaepuka kaka,ubarikiwe kaka Joel kwa mafundisho yako maana napata faraja kubwa sn .....
Asante sana kutusaidia zaidi na zaidi kufafanua, kuielewa Biblia na kuhusuanisha na maisha. Mungu akubariki sana.
Kwangu Mimi takribani mahadui wote wanne wamegusa maisha yangu. Ndio maana mpaka sasa sijui nani wakumwamini. Tunashukuru sana kwa somo na Mada hii
Hao tunao huku mtaani
Naona kuna mmoja kabeba kombe kaka Joel maana aina zote 4 zinamuhusu, namshukuru Mungu nimemjua, ubarikiwe Kaka
😂😂😂 eti kombe
@@joelnanauka ndio maana kabeba yooote 😅😅😅
Asante Kwa mafundisho mazuri jinsi ya kukaa na marafiki Mungu akutunze na kukupa mafunuo zaidi.
Brother be blessed sana MUNGU anakutumia kuwakomboa vijana katika fikra na uchumi
Asante kwa somo zuri sana.Huyo adui kaini nimekutana nae ameniumiza sana sana ila nimemgundua nimeamua kukaa nae mbli ,asante kwa kunikomboa fikira zangu ubarikiwe kwa somo zuri
Asee! Hiii imenigusa sana kama Unanijuwa Mungu akutangulie popote Uwendaka!Joel Nanauka.
Kwa kipindi ninachopitia inawezekana kabisa kwamba kuna adui. Ni nani adui wangu kusema ukweli sijui. mambo ni mengi na kama unavyo jua huu wakati hatuambatani na watu. Mimi nafuata ushauri wa Mungu kwamba nipende watu wote na kwamba adui wangu ni adui wa Mungu wangu, na naamini kwamba Mungu atamshughulikia. Ahsente kwa maeleyo ninajifunza mengi. ubarikiwe
Asante kaka !! adui yangu no moja Ni penina alikua karbu sana kila nitakachofanya anajifanya mwema kwangu kumbe ni Mt mbaya kwangu, no mbili ni kaini ni mtu ambaye nilikua nashea nae changamoto zangu za biashara anasikitika na mm kumbe ni muongo moyoni anajua anachokifanya na hata kama Nina shida na pesa kiasi ananipatia kumbe ni kaini hatari ila namshukulu mungu nimemfahamu
Yàaani advice zako ni dawa na tiba tosha M/Mungu akuzidishie Kwa kile ulichonacho kaka angu 🙏.
Asante Mungu ,kwa zawadi hii ..kutoka kwa kaka Joel Nanauka
Nskupenda sana kwa elimu unayotupa kwa kwelibinatisaidia sana asante sana kaka. Mungu akubariki. Amin
😭😭😭😭😭uwiih Kain na Delila Penina Ni mtu mmoja ana tabia za hao wote .....ila nimejifunza Asante...
Kaka wote hao ekutana nao,wmenifanya nilie sana na kukosa tumaini ila now namwamini Mungu tyu ndio rafiki mzazi mshauri ubarikiwe kaka Joel😓😓
Nilishakutana nao maadui hao nilichofanya ni kuwapuuza
@@saidiramadhani2883 yaan wanachochea ungovi pia na roho za chuki
Usilie
Adui penina nomekutana NAYE nimuepukaje
Haman pia NAYE nomekutana NAYE hasa KWENYE mambo ya kiroho
Na ni kweli lazima kuomba Mungu sana,ili akujuze na kukuepusha maadui hao,ni hatari!
Asante Sana Bro Joel Nanauka MUNGU aendelee kukulinda Sana 🙏
Ameen, Charles
Asante sana kwa mafundisho yako nimejuwa aina za maadui
Asante sana brow nimikubari waminitokeya watu kamawo
Kaka kaka be blessed umekuwa msaada sana in mylife
Nashukuru sana, tuendelee kujifunza
@@joelnanauka kweli mtumishi wa mungu jmn ni kweli kbs MUNGU niponye
@@joelnanauka minimewahi kukutana nap wote Mtumishi wa MuNGU
Ni kweli kaka maana unayoyazungumza kwenye makala hii nayaona ktk mazingira ya kaz, nakutana na kila aina ya maadui hawa, asante mungu akubarki!
Nilichogundua ndio maan hata wealth people huwa hawapendi sana kuwa na watu ovyo ovyo.....nafkr ni kwa sababu ya kuminimize that enemies.......tunahitaji kumuomb sana mungu juu ya hili kwenye kuliepuka....
Umenitoa mbali sana my brother from another mother ubarikiwe Sana mpaka ushangae
Yes...you are a great Man... perfect
Duh shukrani Sana nimejifunza
Dah,,,,ahsante Sana, hasa haps nibora kua mwenyewe mwenyewe tu
Jomn uyu Kaka namuelewa mmpk namuelewa tena mashallah Allah akupe siha na afya ilokua mzr
Amen 🙏🙏🙏 nikweli.nimejifunza utofauti wa maadui
You are a professor of the reality.
Mungu wambinguni naomba uniepushie maadui zangu
Ameen
Kaka God bless you kwa kweli Mungu amekuleta kwa kusudi hapa Tanzania
Asante kwa ujumbe ubarikiwe
Jaman kweli umenifundisha Sana kuhusu Hawa maadui hasa huyu Kain. Napenina mungu akupu miaka mingi uendelee kutufundisha hakika wewe no doctor
Cna cha kusema juu yako♥️♥️♥️mungu akuweke zaid uzid kutupa madini🙏🙏🙏yang dua tu my lovely broo🙏🙏🙏
asante kutufumbua macho delila mbaya sana unajua mwenzio kumbe mbaya du
Dh kaka asante sana nakuelewa hayo yote unayo yasema yapo kweri mungu akubaliki kutukumbusha na kutuelimisha
God bless u mom nimekuta a sana na kain na penina
Kaka hakika asante sana wapo na tupo nao mimi nimeshawaham kwa sasa nipo mbali nao sana na naendelea kuondokana nao
Asante kaka uzidi kuwa bora na uje na mada ya ujana maji ya moto.
Asante kwa kutujuza
Mwalimu ahsante Sana huyo adui wa tatu alikuwa ni mama yangu mkubwa,aisee alisimama ila hakuweza mungu akanipa ushindi.
Mimi nimekutana na hao maadui wote wanne Asante kwa kunipatia elimu
Nimekutana nao Sana hasa adui hamani,,, ubarikiwe sana kwa masomo mazuri
Ubarikiwe sana kaka,najifunza mengi sana.Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu
Ni kweli kabisa
Jamani sina chakusema mungu pekee ndiyo tumaini langu pekee mungu akubaliki kaka endelea kututia moyo tulio vijika 🙏🏼🙏🏼
Aise nimepitia sana,nilistushwa kusikia maneno yamtu nilie msaidia sana,akisema vibaya sana kuhusu mimi
Nipo nao maadui wa namna hiyo wote kabisa kama ulijua ulijua bro asante sana.
Haya nakutana nayo JEHOVAH NISS ,WARUMI 8:37 Atatushindia Mungu akuinulie watu sahihi wa kukuombea Siku zote
aisee somo la leo limenigusa sana kaka joel endelea hivyohivyo
Thanks kwa elimu yako kubwaa
Nafurahishwa katika mafundisho yako
Wote nimekutana nao watu wa namna hii.Mungu akubariki
Ubarikiwe mpendwa joel
Mungu akuzidishie nguvu Zaid coz masomo yako kwakweli yanamafunzo makubwa Sana mkuu
Asante braza nimeelew
Naona ni wote ninekutana nao lakini kwa mipango ya mungu nimesimama.tena asante
Tunaishi nao Sana hao.
Nimekutana na Huyo adui penina juzi tu wananichafu Kwa magrp yao wananiongelea vibaya ila yote nimemuachia Mungu Nina imani ipo siku Allah Atanilipia Kwa Yote🙏🙏🙏
Kwa kweli haya yote nimesha kutana nayo. Huyu wa nne nimekaa naye muda mrefu sana,ila Mungu alikua upande wangu.
Kaka Joel mmh!yaani ni kweli kabisa !unachosema ndivyo ninavyokutana nao,mie nina adui Delila na Kaini,yaani tena wa karibu sana.Asante kwa kunifungua macho zaidi,yaani wakati mwingine unajiuliza kwani kuna shida gani?
Daah wote hao tunaishi nao kwa akili sana maana ukikaa vibaya tu🐍🐍 kaka Joel Mungu akubariki sana nazid kujifunza zaid
Kaka kaka Mungu akubariki adui Kaini alinitesa saaaaaaana! Yaaaani walinitesa jamani ! Niliwapenda ndugu zangu wa damu niliwasidia! Ila mwisho wa siku hiiiiiii walichonifanya kina kaini! Hadi mamaangu , kumbe nilikuwa sijui kama huwa wananiombea mabaya ndugu zangu! Hadi wakanitamkia kabisa, una nini nawewe, mshahara wako wenyewe wakununua pedi tu! Anayesema hivyo, nimemsaidia jamani ! Uwiiiiii ni mdogo wangu kabisa! Nimelia jamani! Ndugu zangu wameniliza, nilipambana kusoma na wao hawakusoma! Basi uwiiiiiiii ! Jamani ila kwa sasa baada ya kujua vizri kwakweli nimeamua kupambana na maisha yangu huku nikifuata ushauri wako! Kwakwelinimekuja kwako wakati sahihi! Naomba nipone nina majeraha yanamwaga damu nyekundu mno! Halafu nilipoharibikiwa wakanitenga!!!! Wakamshawishi mpka mama, nae akanichukia, wakaingia mpka kwenye ndoa yangu! Mpka kwa majirani! Uwiiiii mwalimu! Itoshe tu kusema Mungu akuinue zaidi!
God bless you kaka maisha yangu yameanza kubadilika kupitia videos zako ninazo ziangalia Kila siku
Unapendwa na MUNGU BABA siyo bure uwezo huo alikuandaa kwa namna yake I trust you our Kaka
Ahsante sana Nanauka kwa mafunzo yako mungu akupe maisha marefu enye uzima ndaniake 🤞
Umetisha kaka Amini watu Hawa wapo Sana wanaturudisha nyuma
Shukrani kaka kwa tupa elimu
Mungu naomba nisaidie kuwashinda madui zangu
Mungu awe msaada wa ulinzi wa maisha yetu
Hasante sana kaka joel . Mungu aendeleye kubariki kazi zako Amen. Maaduyi wote uliyo zungumzia ninawo. Na kupata toka Ufaransa.
shukran sana na ubarkiwe sana...naomba kuuliza kama inawezekana kufanya kitu ili raciki wangu wa karibu asiwe na wivu na hali niliyo nayo
Yani kweli kabisaa wanawivuu sana
Ubarikiwe sana kaka
Yaani nimejifunza kaka asante sana
Kaka mungu akupatie maisha malefu kaka ili uwendere kutupatia mafunzo napenda sana kufatiria mafunzo yako napia najifunza mengi sana kaka
Asante sana kwa somo zuri lakini pia ninamna ipi sasa ya kuishi na aina ya hao maadui maana ni watu ambao wapo kwenye maisha yetu ya kawaida wakati mwingine ni watu wa karibu sana kwenye maisha yetu.
Kwa kweli hao ndo wanaotufanya kufeli maisha mm naona nikuwa nao makini tu kwa ongea maana wengine anakuuliza maswali kila sku yaleyale wakati ulishamjibu tena hao mm ndo nakutananao sana nikubaki kimya tu au kuwajibu hujui bas
Nashukuru sana kaka una tupa seaport ya tunako kwenda
MUNGU AKUBARIKI SANA,,,,ILA HUYO ADUI HAMANI NI HATARI KWA KWELI.....BIG UP JOEL
Kabisaa
Adui Kaini, Adui Delila na Adui Penina hao nimekutana nao sana tu ila Mungu kaniepusha nao sasaivi
Daaaah nimekutana nao wawili ila asante kwa kunifumbua
Nimekutana na kaini,Delila na hamani hivi Sasa ananitesa sanaaa
Uko sawa bro 🙏nimewaona sana watu kama hao .
🙏inataji marifa ju badotunaitaji kukaa nao awa marafiki
#JOEL_NANAUKA
*WATU WENGI HUWA TUNASUMBULIWA SANA NA WIVU WA KIMAPENZI SO, NINGEPENDA UTUPE ADVICE JINSI YA KUEPUKANA NAO*
Asante sana kwakutuonya
Asante kaka joel
Unajua kuwasilisha ujumbe you are at top
mimi kaka wote hao mwingine mzazi mwezangu xaxa nimemtambua,
Nakukubali Sana officer Wang
Barikiwa zaidi kaka wengine nindugu kabisa
True💯 kikulacho kinguoni mwako pia hao rafiki wanafiki pia ni rafiki maslahi
Kweli kabisa Mimi ninandugu yangu ila utasjabu unakuta mtu ananiulizia anataka tuonane akiulizwa tu huwaambia jamaa amesafiri mara unapokutana nahuyo anayekutafta anabaki na mshangao kweli.
Aisee Maadui hawa nimekutana nao hasa Penina habil na Naamani ni wauaji kabisaa