Aina Nne (4) Za Watu Wanaoua Ndoto Zako - Joel Nanauka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 388

  • @stevensamwel4854
    @stevensamwel4854 4 года назад +1

    Asante, nimeanza mwaka kwa kujiuliza maswali mengi, kwanini sipigi atua , mwiaka nenda mwaka rudi, watu pia uniona kama mpambanaji sana, ila sijapata utulivu ni muajiriwa mpango wangu ni kuja kuachana na ajira sijisikii amani kuishi maisha ya kuajiriwa ila kila nikijaribu kufanya jambo ninafeli kila Mara naomba msaada!

  • @justinmmbando5386
    @justinmmbando5386 6 лет назад +36

    Asante sana kaka Joel Nanauka napenda kuwakumbusha ndugu zangu hapa RUclips Mwalimu Joel Nanauka sasa anakitabu kipya kinaitwa ISHI NDOTO YAKO jitahidi ukipate

    • @mussamaulidi3918
      @mussamaulidi3918 6 лет назад

      Ni bei gani kinauzwa??

    • @justinmmbando5386
      @justinmmbando5386 6 лет назад +2

      @@mussamaulidi3918 Voice call +255 756 094 875 wasiliana na huyu yupo hapo dukani na wanaleta popote ulipo

    • @neemahonorath385
      @neemahonorath385 6 лет назад +1

      Justine Mmbando icho kitabu uku mosh 2na vipataje jaman?

    • @justinmmbando5386
      @justinmmbando5386 6 лет назад

      @@neemahonorath385 kipo mokoa yote wasiliana na hiyo namba hapo juu atakupa wakalaa

    • @neemahonorath385
      @neemahonorath385 6 лет назад

      Justine Mmbando okay hasanteh

  • @monamzonge1398
    @monamzonge1398 5 лет назад +1

    Mimi nimekutana na na hii ya kwanza Vision meckers na ya tatu vision distractors lkn namshukuru Mungu nimesimama ktk maamuzi yangu na mstari na haya mafunzo ninayoyapata hapa kaka Joel niko imara yananisaidia sana sitoki kwenye mstar

  • @JaphetCharles-md7gx
    @JaphetCharles-md7gx Год назад +1

    Nakupata Sana Kaka Mungu AKUBARIKI sana.

  • @ndoipoemanueldavid9539
    @ndoipoemanueldavid9539 4 года назад +4

    Joel umekuwa mtu bora sana kwangu...
    Mungu azidi kuwa mwaminifu kwako

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 4 года назад +2

    Daaaaah mim naona nmezungukwa na vision mokers na destructors

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 2 года назад

    Hiyo ya nne vision attackers imewakuta simba safari hii... Anahakikisha anawachafua kila kona kuwatengenezea maadui na mtu alikuwa mfanyakazi ndani ya club kazi ilipokwisha kazi ipo.. Kila simba wakipokea timu toka nje anamwaga umbea kama wote wageni wanapaniki... Kazi kweli kweli... Asante kwa somo

  • @wardw3022
    @wardw3022 2 года назад

    Shukran hawa watu niko nao kwenye maisha yako na likuwa siwajui lakin nime washawatambuwa natafuta njia ya kuepukana nao kabisa

  • @mageandrew5550
    @mageandrew5550 5 лет назад +5

    Jaman jaman kaka yaaan umesema ukwel kabisa huyo aina ya 4 imenikuta sana na bado ipo inaendelea !

  • @farhanduale2769
    @farhanduale2769 4 года назад +1

    Asante mwalmu, nimefanya kazi na watu aina hiyo wa kusema vibaya but nimewashinda nashukuru mungu

  • @hansbaraka1029
    @hansbaraka1029 4 года назад +1

    Asante sana naninajifunza mengi kukuhusu ivyo basi umwalimu wangu mungu azidi kukupea nguvu

  • @adinanijumanne772
    @adinanijumanne772 3 года назад

    Nilikutana watu hao.nilichofanya ni kuomba mungu na kuendeleza loo lilelengo langu

  • @mlay3009
    @mlay3009 2 года назад

    Nakubali kaka nakufuatilia sana unanifunza mengi kwakweli umenitoa mbali paka nilipo fikia

  • @henrysanga1087
    @henrysanga1087 4 года назад

    Joeli we kweli ni T O wa uhakika.nondo zako zinaimpact kubwa katika Maisha.unaachia jiwe juu ya jiwe hujawahi kukokosea.

  • @mchungajijacksonmlowe.mlan502
    @mchungajijacksonmlowe.mlan502 2 года назад

    Mungu AKUBALIKI SANA SANA MTUMISHI WA MUNGU na African Academy MANAGING Director

  • @mackjack9294
    @mackjack9294 4 года назад

    Nimekuelewa sana kaka watu kama hao nimekutana nao pia ila nilipogundua nimekaa nao mbali sana nilijua nimekosea ila wewe umenifanya nione nikosawa asante sana brother

  • @patrickmlingwa3193
    @patrickmlingwa3193 5 лет назад

    Iko vizuri Sana unatupa ujumbe na kuweza kutufikisha malengo

  • @gerardamos5689
    @gerardamos5689 5 лет назад +1

    Nashukuru sana kaka kwa masomo yako kiukweli nmebezwa sana na watu kuusu ndoto zangu lkn wengi wao ni vision mockers and vision attackers

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 5 лет назад

    Sio kuwahi kukutana nao tu,ninafanya nao kazi Joel,yaani nawaona kabisa!,lkn nilichojaliwa ni kunyamaza,wengine napunguza ukaribu(kuwa nao pamoja),pia hata ktk maongezi,huwa makini sana kuchagua maneno ya kuongea nao.Asante kwa somo lako ,nifundishe namna ya kukabiliana nao

  • @rehemamwasomola4362
    @rehemamwasomola4362 6 лет назад

    Mafundisho yako yananisaidia saana I thank God maana hao watu napambana NAO saana Asante YESU huwa haniachi na pia niko makini NAO sasa

  • @imanimwashiuya223
    @imanimwashiuya223 Год назад

    asante sana kaka. ironariona ninapofanyakazi ironariona kwa bosiwangu umenisaidia sana. nachukuwa hatuwa

  • @sophiamwasonga5289
    @sophiamwasonga5289 2 года назад

    Ubarikiwe sana jaman, mm nimewah kutana na vision distractor alinishaur niingie kwenye fursa ambayo naona alitaka yeye afaidike hakujal kuhusu mm baada ya kutoa kiingilio nikakosa aman kabisa coz hakuna nilichopata niliamua kuachana nae na kumwabia ukwel tabia yake haifai nikaendelea na mambo mengine

  • @allytimbanga2774
    @allytimbanga2774 3 года назад

    Asant kaka kwaelimu nzuli ila ukijua nn unacho fanya wala awakupi shinda kwakua ili ufanikiwe lazima uwepo mtian ila tumuombe mungu pia asanten mungu Awabaliki

  • @elibarikishukya-lf3sk
    @elibarikishukya-lf3sk 9 месяцев назад

    Kweli wengi sana ,aina hizo za watu nimewaona, Itabidi ninunue kauntabook niandike hayo .Ngoja niandae pesa za kutosha ninunue vitabu vyako vyote .We need people like you

  • @gracesamwel1338
    @gracesamwel1338 3 года назад

    Mungu akubariki tunajifunza vyema Mungu azidi kukupa upeo

  • @mwanaheriddy1444
    @mwanaheriddy1444 2 года назад

    Yaaani nimekuelewa sana na yote nimekutana nayo na yanaendelea🙏🙏🙏

  • @emmanuelelphace115
    @emmanuelelphace115 4 года назад

    Kaka asant kwa neema mungu aliyoiweka juu yako

  • @dicksonsomarjosesomarjose3843
    @dicksonsomarjosesomarjose3843 2 года назад

    Asante kwaushauli wako sasa ninaswali je akiwa mume wangu

  • @kennedysono7388
    @kennedysono7388 3 года назад

    Bro nakufatilia sana unani elimisha sana asante sana Mungu akupenguvu

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 лет назад

    Kila topck inanigusa kaka joel asant sana mungunakupe afya uendelee kutufunua vichwa hayo mambo yapo na nimeshskumbana nayo sana.

  • @zaynabhussein6825
    @zaynabhussein6825 4 года назад

    Mungu akuhifadhi na maradhi na kilashari pia ili uzidi kutupatia elimu

  • @florakaaya4559
    @florakaaya4559 3 года назад

    Huyu wa mwisho daa🤔 alinichafua kwa maneno ya Uongo watu wakaamini. Lkn tangu niache urafiki nae mambo yangu yananinyookea nashukur Mungu

  • @lutegemahano817
    @lutegemahano817 8 месяцев назад

    Ulivyo fundisha ni kweli namba 4 inanisumbua sana wapo wengi

  • @yusuphwilliam5283
    @yusuphwilliam5283 5 лет назад

    Asante Sana kaka watu wa ainahiyo sasa nimeanza kuwaona katika maisha yangu nimejifunza mengi kupitia wewe nimeweza kupambanua akili yangu sasa nayaona mafanikio yangu asante

  • @samweldaniel3774
    @samweldaniel3774 2 года назад

    Kaka napenda Sana masomo yako haya uliyosema yapo na nakutana nayo Sana Asante Sana Kaka joel

  • @shedrackmbaluka6723
    @shedrackmbaluka6723 3 года назад

    Mtumish ktk maisha yangu nishawahi kukutana na mchungaji ambae nilikuna muamini sana lakini tulikuwa tunapanga mipango mingi hatukuwahi kufanikisha hata mmoja.

  • @farhiyaally8412
    @farhiyaally8412 2 года назад

    Wonderful je kaa n mama mzazi anauwa ndoto zako

  • @irakozemaissarah4325
    @irakozemaissarah4325 6 лет назад +1

    somo la leo limenigusa sana kaka,mana nimekuta na watu wa aina ya tatu,najaribu kuwasahau mana nikiwakumbuka naumia kweli kweli.ubarikiwe sana kaka yangu

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 6 лет назад +5

    VISION DISTRACTORS aina hii ya watu walinisumbua kipindi cha nyuma nikayumba kidogo nilipowagundua nimekaa nao mbali na wanajua nimewandua nia yao mbaya zidi yangu.. Sasa ivi nipo makin sitaki kuruhusu tena maumivu niliyopitia yajirudie.. Thank you broo Joel 🖒🖒🖒

    • @kekjshaiphigenia8854
      @kekjshaiphigenia8854 6 лет назад +1

      Kwakweli watu nimekutana nao wanafurahi lakini wanakusema vibana unapokuwa haupo nao

  • @brightgabrieli8235
    @brightgabrieli8235 4 года назад

    Dah!!!!!ilo suala linanikabili sana kazn kwangu

  • @hashimkiluwa5434
    @hashimkiluwa5434 6 лет назад +1

    nimekutana katika maisha yangu na vision attackers ..
    kiukweli waliniweka kwenye hard time, ilinichukua muda mpaka kuja kuamua
    kuwapuuza na kuendelea na maisha, haikuwa rahisi kukabililiana nao

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 2 года назад

    Asante Sana, nimekutana na vision distractors wengi, wanajifanya kuzipa macho yangu na vitu vizuri hili niachane na ndoto zangu na kuwafuata. Maana nafanya kilicho tofauti na wao, mimi nikiandika wao wanalala.

  • @AnneKinuthia-i3p
    @AnneKinuthia-i3p Год назад

    Hizo zote nimepitia nitaomba mungu anisaidie

  • @omarikhatib1717
    @omarikhatib1717 3 года назад

    Nakukubali sana broo bug up kwa sanaaaa

  • @mahabalimkungu5053
    @mahabalimkungu5053 4 года назад

    Asante san mr joel nanauka miongoni mwa watu wanao jaribu kuuwa ndoto ya maisha yangu ni vission atakers kwa kueneza habar zinaz nifany nidharaulike katika maisha
    Wanathubutu kusambaz habar ya kuwa ni mwenda wazim au goigoi (mental disorder ) hili ni jamb linalo kandamiz fursa nying san katik maisha yang some time even young children call me crazy but the main answer from me is to remain quiet because I dont have another option

  • @vailetmapunda106
    @vailetmapunda106 6 лет назад

    Asnte kaka nakupenda cna unatusaidia sana tangu nisnze kukusikiliza nimebadilika sana kila nachofanya nakua makini mno kupitia madarasa yko ubarikiwe mno kakangu.

  • @mazwichannel2120
    @mazwichannel2120 11 месяцев назад

    Kaka joel nakuelewa sana na video zako zinanifundisha mambo mengi mno..Mungu akubariki mno

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 10 месяцев назад

    Leo nimekuelewa zaidi. Hayo mambo yamegusa sana maisha yangu

  • @malisianosanga590
    @malisianosanga590 6 лет назад

    Asante sana kaka kwa somo zuri binafsi nimeshakutana nao ila ninamshukuru Mungu niliwagundua mapema sana nikaanza kuwa mbali nao na ktk lile walilonipinga nilifanikiwa kwani niliamini kuwa nipo sahihi

  • @nathanmateow9455
    @nathanmateow9455 6 лет назад +10

    Kaka Hapa umenisaidia Sana nahisi nimepiga hatua Mara elfu, Mimi sehemu zote nimepitia na ni watu wa Karibu sana

    • @veronicadeogratius6632
      @veronicadeogratius6632 4 года назад

      Kaka hayo unayoyasema nikweli kabisa kuna mwanangu mpaka ameacha shule kwasababu ya maneno ya kuzushiwa na dugu zake upande wa ndugu kwa baba take na upande wa ndugu wa mama yake kumzushia mambo kibao ambayo hayafanyi imepelekea kuacha shule na kukimbia sijui huyu tunamsaidiaje

  • @elibarikishukya-lf3sk
    @elibarikishukya-lf3sk 9 месяцев назад

    Nakuombea kwa Mungu akulinde pande zote

  • @missmfinanga3000
    @missmfinanga3000 6 лет назад

    Aiseeeeee mtumishi umebaliki sana tena imekuwa wakati sahhi maana niko napitia katika uo wakati sasa

  • @petrolemba5427
    @petrolemba5427 6 лет назад

    kweli bro, hapo umezungumza vyema kabisa, Mungu akubariki sana kaka yangu kwa mafundisho mazuri sana, Mungu akuzidishie zaidi kipawa chako maana kwa kupitia ww nnajifunza vitu vingi sana, hakika unastahili baraka za mwenyezi Mungu.

  • @jacklinentabo2380
    @jacklinentabo2380 2 года назад

    Asante Sana kaka Joel, kumbe awa watu wamo Tena Kwa wingi Sana, nmejua mengi Sana kutokana na mafunzo yako na nitakufualitia Kila mara Ili nipate maarifa kamili. Be blessed.

  • @marlomalopa3117
    @marlomalopa3117 5 лет назад +1

    Your the best Mr Joel nananuka mungu akubariki

  • @zubazubas5366
    @zubazubas5366 5 лет назад +2

    Asante sana kiongoz somo nime lielewa sana

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 5 лет назад

    Nimewai kutana nayo iyo aina ya tatu,Binadamu acha tu Mungu ndo ajua

  • @janethdamian1260
    @janethdamian1260 4 года назад

    Asante saana ubarikiwe. Sijui nitabakiliana nao aje

  • @abdallahissa2839
    @abdallahissa2839 4 года назад +1

    Ww ni Bora sanaaa kwangu. Thanks mentor

  • @makaramayatibamrmichaelkih3683
    @makaramayatibamrmichaelkih3683 6 лет назад +1

    Wananisumbua sana anaweza kujifanya rafiki rakini anatafuta taarifa zangu

  • @michaelngomeni3679
    @michaelngomeni3679 5 лет назад

    Haya mambo mr yapo yame nipata umekuwa kama tulikuwa wote asante nimejifunza kitu

  • @muadhbinjabaltv
    @muadhbinjabaltv 6 лет назад

    Ndugu Joel shukrani Sana hawa uyasemayo ni kweli kabisa shukrani Mola akuzidishie

    • @muadhbinjabaltv
      @muadhbinjabaltv 6 лет назад

      Hayo uyasemayo ni ukweli mtupu thanks alot

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 3 года назад

    Kaka Joel we acha tu, Mungu akibariki sana

  • @rweyemamukiobya4569
    @rweyemamukiobya4569 6 лет назад

    Nimesha kutana nao, WAMENIFANYA kupoteza ramani kabisa, nasasa nimeamua kuanza life upya, nasasa nastep kwa tahadhari sana, ila naamini one day yes ✔️, god bless you bro

  • @josedorothea7939
    @josedorothea7939 6 лет назад +1

    Ofisin kwetu nmezngukwa nao , wanaongea mambo niliofer mwaka juzi ila mimi huwa naishia kucheka au kuondoka kabisa mwanzo walinisumbua ila kupitia mafunzo yako hawaniwez 💪 #see_you_at_the_top

  • @francekibele7736
    @francekibele7736 6 лет назад

    nakukubari saaaana kaka Joel toka nimeanza kukufatilia nimepiga hatua saaana barikiwa saaaaana kaka

  • @ianmwambwalo7844
    @ianmwambwalo7844 3 года назад

    Nimeipenda Sana hii Mr J.nanauka

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 6 лет назад +1

    Asante nakuelewa sana mkuu... Mungu akubariki sana

  • @emmanueldaniel2599
    @emmanueldaniel2599 4 года назад +1

    Ndoto Yangu haitakufa kabla ya wakati AMEEN.

  • @poulstringguitar7691
    @poulstringguitar7691 2 года назад

    Kaka niko nao nakuna kipindi nikataka kukataam ila navumilia nakuomba mungu kunipa moyo uvumili najauwa haya nimapito, 😢😢😢

  • @tunumazito6346
    @tunumazito6346 5 лет назад

    Yes kaka nakutana na hawa watu wawili VISION MOCKERS na VISION ATTACKERS

  • @googkweka3527
    @googkweka3527 3 года назад

    Hao watu nimekutananao katika maisha yangu na wakakanikiwa Ila nilipo kuja kugundua nimeachananao japo wameweka pendo LA kutokuaminiwa

  • @festoantony4673
    @festoantony4673 3 года назад

    Mimi nimekutana nao sana tena, walezi wangu na niwatu wa kubwa tuu serikalini lakini kila unapomwambia kuhusu ndoto zako anaona ni ndoto kutimiza nachokisema.

  • @evelyndaniel4770
    @evelyndaniel4770 5 лет назад

    Mm nilishawahi kukutana na watu wa namna hiyo kwenye maisha yangu kwa kweli iliniumiza sana mpaka nikafanya maamuzi niliyoyatarajia

  • @s.simponda138
    @s.simponda138 6 лет назад

    Ahsante sana brother, nimefikia hatua nzuri Katika mipango yangu, kwa kufuatilia vipindi vyako, namuomba mungu azidi kuniongoza zaidi ili nifikie lengo langu.

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 6 лет назад

    Kiukweli Mimi nimekutana nao kaka ila na mshukuru mungu kwakunipa uvumilivu na kunionyesha njia nyengine yakuwakwepa kaka ulio sema yapo hapo katika vitu ivyo vinne 4 ukitowa hao watu wakukuchafuwa wazi wazi hao walio baki nimesha kutana nao naninaendelea kukutana nao na katika watu mia mwenye kuku sapoti wazo lako ni mmoja tu kwangu Mimi kwakwel kaka hii ndo dunia ase

  • @marangujoy9313
    @marangujoy9313 6 лет назад

    Asante sana MWALIMUNANAUKA.Umegusa moyo wangu kwa namna ya kipekee.this has come to me at the right time.

  • @richardkamaumungwe9633
    @richardkamaumungwe9633 5 лет назад +4

    Thanks alot bro to share with us a good gifts uhv it's really a blessing to me..

  • @kadijakhadija1599
    @kadijakhadija1599 4 года назад

    Ni kweli kakangu wako watu aina iyo mi nishapatana nao

  • @grantmwakyusa1961
    @grantmwakyusa1961 4 года назад +3

    Ahsante kwa somo kaka #Joel# actually I met with vision mockers & vision attackers during my o level and high level studies, It was a difficult time to me because even though i decided to react against them but i didn't have strength to fight. I decided to remain silent huku nikiendelea kuumia moyoni na nikiwaza haya yangeisha lini,! Hata ivo ukimya wangu ulinipa nguvu ya kuendelea mbele zaidi bila kujali what they said negatively about me.
    Sikukatishwa tamaa, I moved on because I didn't let their feelings stopped me. I went the extra mile until I achieved success. That's was the best revenge I did.

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 5 лет назад

    Ni wengi sana watu wa aina izo na huwa hawataki kusikia ushauri unao toa ila wanataka atakacho kushauri ndo ukifanye na sio kuoana unafanya ulicho pang wanakasilika

  • @jessemlaki6130
    @jessemlaki6130 3 года назад

    Yes kaka joel mm nimekutana na mtu wa namna hiyo. ila ni kwenye no.4

  • @mwelamalibila8988
    @mwelamalibila8988 6 лет назад

    Wapo wengi sana,,, hasa kundi LA kwanza,,, niliwakwepa na kuvunja urafiki

  • @theresiabukuku9821
    @theresiabukuku9821 6 лет назад +1

    Asante mwalim,kwa upande wangu umenigusa aslimia mia,God bless you

  • @sheillachisika2600
    @sheillachisika2600 6 лет назад

    Kazi nzuri kaka nimejifunza vile nitakabiliana na Hao ma-he rode.

  • @jastinimajaliwa
    @jastinimajaliwa 5 лет назад

    Kuna rafiki mmoja nimemjua ni #VisionDistractor ameshindwa kwa jina la Yesu

  • @shebbyditopile1405
    @shebbyditopile1405 6 лет назад +2

    Asante sana bro Joel, kwakweli hii imenigusa sana sana sanaa.. Asante kwa somo hili..
    Mungu akubariki.

  • @eliezermtokoma2057
    @eliezermtokoma2057 6 лет назад +2

    Kweli ma-herode wapo wengi saana. kiukweli nimejifunza vingi hapa na watu wote hawa wamenizunguka. ila maadamu nimewajua nitawakabili.
    asante kaka Joel. God bless you

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 4 года назад

    Shukran kaka naelimika zaidi pia napenda Sana sound ya video kabla ya kuanza nzuri mno

  • @cheruiyothillary5847
    @cheruiyothillary5847 6 лет назад +5

    Exactly my brother am touched by your mentorship you always share with us,,,,it really makes me change in my life

  • @latiphakasimu6481
    @latiphakasimu6481 4 года назад

    Asante sana bro, umenifumbua kitu na nimejifunza kitu kupitia wewe , hata mie yamenikuta hayo nimebaki na majuto na maumivu ya moyo

  • @JaphetCharles-md7gx
    @JaphetCharles-md7gx Год назад

    Kaka mm nimekutana na vision mockers Ila nashukuru Mungu nimepata kufahamu ko nitakuwa Malini na kusimamia ndoto zangu.

  • @dornekapufi6417
    @dornekapufi6417 3 года назад

    uko vizur sana kaka kwa somo

  • @imeldampama5074
    @imeldampama5074 6 лет назад +1

    Ndiyo kazini. Nasubiri mwisho wake ni nini?maana wananichafua na walidhamilia wazi.

  • @businessideas.1350
    @businessideas.1350 5 лет назад +10

    Ndugu zangu mm nina mawazo ya biashara alhamdulillah
    Kwahio ukihisi unamtaji lkn huna wazo basi usisite kunitafuta tutafanya biashara,
    Na kwavile nina taluma yakutosha basi hata uwe na mtaji kuanzia kiasi gani tutafanya biashara mm na ww na faida biidhnillahi utaiyona .
    Makubaliano yetu mimi na wewe nikua mtaji wako utabakia kua mtaji wako lkn faiida itakayoingia tutagawanya 50% of course , karinbuni sana.
    Kuna biashara inahitaji 1m tu kuanza na faida yake ni l00,000. Na
    Hio laki moja nikila mzungumko moja na kwamwezi mmoja tunapata mizungumko isiopungua minne (4) inamana kwa mwezi tunatengeneza laki nne (400,000)
    Bada ya miezi mitano (5) tushatengeneza faida ya milioni mbili 2,000,000. Itakua umewekeza pesa zako vyakutosha .
    Samahanini kwa kutumia fursa hii hapa lakini pia nimeona sisi niwajasiria mali, hivyo mkulima hachagui jembe , asanteni kwakuniskiliza.
    For business please send me an e mail 📩 salum.zantel03@gmail.com
    Or contact📞 +255623049494
    +255776666603.

  • @phanuelpaul3785
    @phanuelpaul3785 6 лет назад

    Ahsante sana nitatafakari kwanza juu ya hawa vision distractors nadhani nishawahi kukutana na watu watu wa aina hii mara nyingi sasa ntaelewa namna ya kuishi nao

  • @olameonline3259
    @olameonline3259 6 лет назад +1

    Duh,umenifungua Joel. Kweli unafanya kazi kubwa. Kama tungepata masomo haya mapema,....

  • @gracegrace2561
    @gracegrace2561 10 месяцев назад

    Amen mungu akubariki sana 🙏

  • @mwajumamwishehe3423
    @mwajumamwishehe3423 6 лет назад +1

    👏👏👏👏kweli hao watu wa kukatisha tamaa wapo wengi sana mpaka wanabowa ukitaka kufanikiwa lazima uwe💪💪💪lasivyo watakuwangusha Asante kaka 🙏🙏🙏

  • @joaneruvenge2275
    @joaneruvenge2275 4 года назад

    Umetisha sana brother .