KUIPAMBANIA NDOTO YAKO - JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 49

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 18 дней назад +1

    Wewe ni zaidi ya mwalimu MUNGU kakupa kipawa utukomboe sisi

  • @hemedichabu1089
    @hemedichabu1089 4 месяца назад +2

    Nlikuwa napenda sana vipindi vyako, ila uandaaj wa sasa unanipteza hamu ya kuvisikiliza na kuvitazama...vimepoa sana...na saut ya mzk ndo kabisaaa. Kama utaweza kufanha kama zile za zaman ntashukuru...zilikuwa na saut ya kutosha...........

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 9 месяцев назад +9

    Asante mwalimu kwani ndoto nizakufwatilia .nimejifunza menghi kupitia kwako

  • @bukuruphilibert2968
    @bukuruphilibert2968 9 месяцев назад +7

    Hii afya ya asubuh

  • @UpendoJacob-n3j
    @UpendoJacob-n3j 9 месяцев назад +4

    Asante sana kaka Joel Mungu akubariki sana

  • @citovunjabeilimitedcompany4455
    @citovunjabeilimitedcompany4455 9 месяцев назад +4

    Hii dawa ya ubongo❤

  • @ruwaidamabrouk1797
    @ruwaidamabrouk1797 9 месяцев назад +5

    Joel saut imekuwa nzito sana why inafika time kama inakuwa inaboa

    • @minaaminaa1781
      @minaaminaa1781 9 месяцев назад +4

      True mwanzoni alianza vizur sababu nakumbuka 2021 alikua akiandika pia na sauti ilikua nzuri ,,,,lkn siku hiz sauti na video ady awe kanisani tu..lkn audio ipo nzito yatia uvivu

  • @Thomas-w3v
    @Thomas-w3v 9 месяцев назад +3

    Nikikusikia. Napata nguvu zaid ya jana 🎉

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 9 месяцев назад +4

    Kaka yangu @Joel Nanauka namtukuza Mungu kwaajili yako hakika nazidi kuchipua kila siku❤❤

  • @nox_nation255
    @nox_nation255 9 месяцев назад +2

    Napenda san kukufatilia najifunza ving kupitia wewe my life coach asante san🙏

  • @theresiamateru6426
    @theresiamateru6426 9 месяцев назад +5

    Asante nimejifunza mengi kwako uwe unatusaidia kupitia Tv ukifanya hivyo utakomboa ulimwengu

  • @MosesFikiriIbrahimu
    @MosesFikiriIbrahimu 5 месяцев назад +1

    AMEN SANA 🎉🎉

  • @Justinmax-p7n
    @Justinmax-p7n 9 месяцев назад +1

    One love bur❤

  • @RosecharlesMollel
    @RosecharlesMollel 9 месяцев назад +5

    Jamani kaka joel unaniponyaga kila siku MUNGU AKUBARIKI SANAA nakuahidi sitokubali ndoto yangu isitimie na siku natimiza ndoto yangu kaka joel nutakutafuta uwe mgeni rasmi hakika ndoto yangu lazima itimie

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 9 месяцев назад +1

    Hallelujah ❤

  • @JacksonAmma
    @JacksonAmma 2 месяца назад

    Kakah inakuaje kama ulianguka ukasimama Ila kutokana na matokeo njia yako imebadilika kabisa licha ya kwamba kuna malengo ulishayaandaa

  • @ROBERTMAXIMILIAN
    @ROBERTMAXIMILIAN 9 месяцев назад +1

    Powerful and Transformative

  • @mahambagislain9618
    @mahambagislain9618 7 месяцев назад

    Nime ele wakitu sasa ku husu ndoto 🎉🎉🇨🇩

  • @LilianIsmail-os8kw
    @LilianIsmail-os8kw 3 месяца назад

    Mungu akubariki sana bro🎉

  • @FaricevitusiNkane
    @FaricevitusiNkane 4 месяца назад

    mm nmezungukwa na wat wasiopenda maendeleo ya wenzao

  • @Eziron9Vyats
    @Eziron9Vyats 9 месяцев назад +1

    Ahsante Sana Kaka Joel Kwa elim unay tufundisha see you at the top 🎉

  • @chiefsharifshrffBrwn
    @chiefsharifshrffBrwn 9 месяцев назад +1

    Thanks san bro Kwa msaada huy unao tup ,mung akubarik.

  • @GeraldElias-s7j
    @GeraldElias-s7j 4 месяца назад

    Amina kaka joel nanauka

  • @FrankMathius
    @FrankMathius 3 месяца назад

    Asante San kaka angu

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 9 месяцев назад

    Elimu yako unayotoa ipo wazi kabisa Arthur, maneno ya Mungu yanasisitiza hivi;
    Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako bali yatafakari maneno yake usiku na mchana upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyo andikwa humo maana ndipo utakapoifanikisha njia yako kisha ndipo utakapo utakapositawi sana.

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 6 месяцев назад

    Ahsante Sana

  • @dulesame1193
    @dulesame1193 9 месяцев назад

    🎉🎉🎉see you at the top@@++ BrO

  • @marymkamwa3779
    @marymkamwa3779 9 месяцев назад +1

    See me at the top🎉

  • @FrankNgasa
    @FrankNgasa 9 месяцев назад

    Mungu akubariki sana kaka #JoelNanauk, Mungu aendelee kukutunza wewe ni hadhina kwa Watanzania.

  • @NZAMUYEJoseph
    @NZAMUYEJoseph 5 месяцев назад

    Knoweledge connecter kwangu kakq

  • @MalongoRichard-md5dv
    @MalongoRichard-md5dv 9 месяцев назад

    #Joelnanauka nimebarikiwa umenitia moyo sana Rafiki Mungu Nisaidie 🙏🙏🙏

  • @furahasweya7433
    @furahasweya7433 9 месяцев назад

    Asantesana kaka Joel na Mungu akubarikisana . Ninauona mkono wa Mungu juu yakoo utakaonitoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine

  • @goldiegranted5501
    @goldiegranted5501 9 месяцев назад

    Hii yenyewe kabisah ✊💯🏆

  • @edsonedmond6919
    @edsonedmond6919 9 месяцев назад +1

    Asante sana kwa mkate na chai ya asubuhi

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад +1

      Tuendelee kujifunza 🙏

  • @julianalaly2095
    @julianalaly2095 9 месяцев назад

    Tunakufuatilia kaka yetu.

  • @pialafrance7922
    @pialafrance7922 9 месяцев назад

    Asante sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu 🙏

  • @DanielaSanka-ns4tv
    @DanielaSanka-ns4tv 9 месяцев назад

    🎉😊😊asante kwa motisha

  • @HeavenSumari
    @HeavenSumari 9 месяцев назад

    Uzidi kubarikiwa broo

  • @HalimaAmadi
    @HalimaAmadi 9 месяцев назад

    Asante sana ❤ mungu akubarik sana

  • @CatherineJacob-yt5sy
    @CatherineJacob-yt5sy 9 месяцев назад

    Asante Kwa kutuelimishaa asubuh asubuhi

  • @deogratiasmazangi-mk4fp
    @deogratiasmazangi-mk4fp 9 месяцев назад

    Thanks brother Joel

  • @MarryJulius-wq3eg
    @MarryJulius-wq3eg 9 месяцев назад

    Asante Sana kaka maisha marefu

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 9 месяцев назад

    Asante 🙏.. nakufatilia joel...naku share

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад +1

      Nashukuru tuendelee kujifunza na kushare na wengine

  • @lovenesslubilo1218
    @lovenesslubilo1218 9 месяцев назад

    Sasa nitajuaje kama ndoto yangu ni kitu flan