Nalisubilia hili SoMo kwa udi na uvumba ,, hakika umekuwa ufungu0 katika maisha yangu,,, ipo siku nitakuja kutoa ushuuda mbele yako kwani nmeehapiga hatua Sana kupitia ebook ya MONEY FORMULA,,, ishi miaka mingi Sana boss joel
Katika familia yetu upande wa baba na mama kulikuwa na utumwa wa ujinga i mean ule wa kutokusoma na kama mtu amisoma sana basi anaishia la saba, ilipofika kwetu Kuna mtu alikuja kutamka maneno kuwa hatutakiwi kwenda secondary lakini mama yangu alimpinga na akatamka maneno ya ushindi, wapo waliofika Hadi chuo kikuu, hivyo kushinda utumwa inawezekana kabisa Thanks brother Joel Kwa SoMo zuri
Da! Bro umenigusa Sana hiyo aina Ya tano utumwa wa kitabia hakika naamini umenifungua akili yangu upya MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU ZAIDI Lakini pia Mimi nitaendelea kuwa barozi wako katika mafunzo yako kwa wengine 🙏🙏🙏✍️✍️✍️
Asante sana Mwalimu wangu professor Joel mwenyezi Mungu akutunze duniani na akhera Mm nipo zaidi kwenye utumwa wa infamily slavery huwa nasumbuka sana hapo yaani kwenye kila jambo langu jema lazima litokee jambo baya kama kuumwa , ajali yaani taarifa mbaya yeyote Ili MRADI furaha yangu inaishia njiani na hata kama nitafanya Kwa kulazimisha tu mpaka huwa nawaza kwani mwenyezi Mungu nakosea wapi au Nina makosa gani
Hapo kwenye behavioural slavery na Sin behavioural, emotional &mental slavery duu nahic naingia pote. I don't know how i can move from these challenges!
Spiritual Slave hiyo inanirudisha nyuma saana, nimejitahid kutafuta, kufanya biashara lkn nikianza kurud nyuma utanionea huruma, had sielewi
Nalisubilia hili SoMo kwa udi na uvumba ,, hakika umekuwa ufungu0 katika maisha yangu,,, ipo siku nitakuja kutoa ushuuda mbele yako kwani nmeehapiga hatua Sana kupitia ebook ya MONEY FORMULA,,, ishi miaka mingi Sana boss joel
Na wish na mim nikipate hicho kitabu
Asante sana mwalimu.utumwa mutu huupata pale anapokuwa hana chochote chakufanya sasa inabidi ujikaze 2 njapo umechoka ama hupendi
Katika familia yetu upande wa baba na mama kulikuwa na utumwa wa ujinga i mean ule wa kutokusoma na kama mtu amisoma sana basi anaishia la saba, ilipofika kwetu Kuna mtu alikuja kutamka maneno kuwa hatutakiwi kwenda secondary lakini mama yangu alimpinga na akatamka maneno ya ushindi, wapo waliofika Hadi chuo kikuu, hivyo kushinda utumwa inawezekana kabisa
Thanks brother Joel Kwa SoMo zuri
Joel hakika unafundisha adi yanayo tufunza kila siku, Cha Zaid ni kwamba endelea na masomo kurudisha Elimu ya fedha ambayo watu hatuna, ahsante sana
Securing ur freedom::::::
1: spiritual freedom
2: Professional slavery
3: emotional slavery
4: Sin slavery
5: Behavioral slavery
6: Mental Slavery
7: health slavery
Nimejifunza kituuuuu,,asant broo,
Mh asilamia 70 Umenigusa Mungu anipe Neema ya kutoka katika utumwa
Barikiwa zaidi kaka Joel, naanza sasa kjitoa kwenye baazi ya utumwa ,Mungu anisaidie
Asante kaka Joel mungu azidi kukubariki nimejifunza...Nita share kwa ndugu n marafiki 🙏
Kuanzia leo naondoka kwenye utumwa wa kisasa .....se me at the top
Mungu akulinde bro….60% umenigusa now its a time to change my mind
I see me at the TOP! Kuna viwango ninakwenda kwa kujifunza kutoka kwako kaka Nanauka!
Najifunza sana kwako kwa miaka 6 sasa nashkuru nimewavuta watu wangu wa karibu nao pia wamekuwa wakikufuatilia na kukuamini unachokisema
Mwl. Nanauka mungu akubariki. Watu ni watumwa kwa kiwango kikubwa hasa kidini...na kitaaluma
Ubarikiwe sana yaani uliyazungumza yananigusa
Ubarikiwe sana kaka Joel ni mda sasa wa kujitoa kweny utumwa flan....
Da! Bro umenigusa Sana hiyo aina Ya tano utumwa wa kitabia hakika naamini umenifungua akili yangu upya MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU ZAIDI Lakini pia Mimi nitaendelea kuwa barozi wako katika mafunzo yako kwa wengine 🙏🙏🙏✍️✍️✍️
Kaka tuongee kidogo
Utumwa wa kihisia 😢😢😢😢😢
Naomba unifundishe dalili za watu wanaotaka kukutawala ahsante sana
Samahan sana mimi nahitaji tuonane
God bless you so much servant of God
Habar yako mwalimu nilipotea online lakini sasa nimerudi naendelea kufatilia mafundisho yako mungu akubariki 👏
Kaka mm kila siku lazima nipate SoMo lako barikiwa sana
Spirutal freedom 4:46
Kwenye roho hapo imegusa kwangu kwenye maeneo kadhaa
The big brain "Joel Arthur Nanauka"
Daaaah!
Thank you,, naamini Ni mahali Mungu amekutumia kutufundisha🙏
Bro Joel naona masomo yako yananifumdisha Sana Ila naomba mawasiliano yako niweze kujua jinsi ya kufanya hasa ktka swala la family asante sana
kuna busara nyingi sana humuu
A very powerful message📌, thanks for sharing 🙏🏽
Asante sana Mwalimu wangu professor Joel mwenyezi Mungu akutunze duniani na akhera
Mm nipo zaidi kwenye utumwa wa infamily slavery huwa nasumbuka sana hapo yaani kwenye kila jambo langu jema lazima litokee jambo baya kama kuumwa , ajali yaani taarifa mbaya yeyote Ili MRADI furaha yangu inaishia njiani na hata kama nitafanya Kwa kulazimisha tu mpaka huwa nawaza kwani mwenyezi Mungu nakosea wapi au Nina makosa gani
Zainabu, Mpokee Bwana Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako unapata amani
Amen
Tuko pamoja
Yesu akutunze
Asante kaka joel leo nimejifunza sana kitu cha msingi nipo hapa nasubil somo la kesho maana najiona kila mahali nipo aisee
Kaka Joel nanauka umebadilisha sana maisha yangu mungu akutimizie hitaji la moyo wako
Thanks brother ubarikiwe umenibadilisha sana
Hapo kwenye behavioural slavery na Sin behavioural, emotional &mental slavery duu nahic naingia pote. I don't know how i can move from these challenges!
Shukran
Nakukubal sana brorher
From Kenya watching...
Tunakusikiliza kaka.
Nina tatizo la kutetemeka mikomo, Hali hii imeniharia kwa kiasi kikubwa sana
Nashindwa kufanya jambo lolote mbele za watu, Naona aibu,
Bro umenidlisha Sana naendelea kukufuatlia nami nabadilisha vijana wenzangu
Madini mtupu Kaka
Thanks God bless you
Asante nashukuru
Ahsante sana
🙏🙏🙏
Ameen
Ahsante!
Great
Good morning
Nipo hapa I'm waiting hili somo ❤🎉🎉
☝️✍️
Joeli naomba unitumie ebook na nielekezee n a bei zake nahtaji sana
asante san bro nanauka
Hivi kaka Joel nitamwonaje??
🙏🙏🙏