Zote ulizozitaja aina za kihisia zilikuwa zinanisumbua sana, lkn nashukuru hivi ninavyoandika huu ujumbe, nimefanikiwa kwa kiwango fulani kuanza kuzi-control najua bado nahitaji kuweka nguvu na jitihada za ziada lkn kwa hali ya sasa inanitia moyo na kunipa picha ya hapo kesho nitakuwa nina uwezo mkubwa wa kuziongoza hizo hisia
Ikiwa nonstop kusingiziwa kukataliwa au Halifax ngumu ya maisha I think better uhame hilo eneo from there ni rahic kuachilia kuanza upya na kusamehe otherwise is not dat easy
Huwa nakosa furaha, kuona naonewa kwa kosa ambalo sijalifanya hvy huwa napatwa na hasira hadi nalia mwenyewe.... But now nitaweza juzi control ili niwe imara
Umejifunza vingi kupitia huyu? Basi jifunze pia kusoma na kuandika kiufasaha itakusaidia sana ujue namna ya kutofautisha matumiz ya R na L" au tafuta kitabu kinaitwa "JIFUNZE KISWAHIL"
Kaka joeli Mungu akumiminie baraka tele katika maisha yako
Mungu akubariki bwana Joel
Hasira kweli inanikalia mimi
Ndokta kiukwel nimejifunza njis ya kukabili his za hasira ahsat ❤❤❤ Joel
Assalamualaikum Hisia Ile ninapotafuta kitu sikipati ndio inanumiza sana
❤sahihi
Asante br Joel 🎉🎉🙏🙏
Shukran kaka Joel
Hasira ndo tatizo hapo mkuu,,,,
Eeee wahhhhh
True kbsa
Hasira ili niandama kwa muda mrefu sana ila leo umenifungua akili BROTHER JOEL 🎉🎉🤝🤝🤝
Hisia wakati nko chini kiuchumi
Mungu akujalie maisha marefu yenye afya njema,amani furaha na maarifa zaidi uzidi kutuelimisha najifunza mengi kutoka kwako na napiga hatua🙏🙏
Unatoa elimu nzuri sana boss mungu azidi kukubariki
JOEL YOU ARE GENIUS BRO🤺💡🏌️♂️
Hasira zinanisumbua sana , ila Leo umenipa somo ku bwa sana Bwana Joel, mwenyezi Mungu akulinde
Zote ulizozitaja aina za kihisia zilikuwa zinanisumbua sana, lkn nashukuru hivi ninavyoandika huu ujumbe, nimefanikiwa kwa kiwango fulani kuanza kuzi-control najua bado nahitaji kuweka nguvu na jitihada za ziada lkn kwa hali ya sasa inanitia moyo na kunipa picha ya hapo kesho nitakuwa nina uwezo mkubwa wa kuziongoza hizo hisia
Asante bro najifunza mengi Sana ukiwa na hali duni pia una hasira naona unaisha mwenyewe
Nipo shinyanga kahama tanzania kaka joel je.?naweza pata vp vitabu vyako kwa ap kahama
Pamoja sana
Asante Sana kwa Elimu ya Maisha
Ikiwa nonstop kusingiziwa kukataliwa au Halifax ngumu ya maisha I think better uhame hilo eneo from there ni rahic kuachilia kuanza upya na kusamehe otherwise is not dat easy
Huwa nakosa furaha, kuona naonewa kwa kosa ambalo sijalifanya hvy huwa napatwa na hasira hadi nalia mwenyewe.... But now nitaweza juzi control ili niwe imara
J9k
Ahsante
Thanks sana brother Joel kwa somo zuri
Ubarikiwe Joel
Kweli umenifundisha kitu
ukweri mutupo nirionahikwangu. irikupitia wewe nimejifunza vingisana. na mungu aendereekukupa marfa
Umejifunza vingi kupitia huyu? Basi jifunze pia kusoma na kuandika kiufasaha itakusaidia sana ujue namna ya kutofautisha matumiz ya R na L" au tafuta kitabu kinaitwa "JIFUNZE KISWAHIL"
🙏🙏naisubiri kwa hamu
Shukrani kaka kwa elimu ❤❤
Hasira na Uzuni. Ndio vitu ambavyo vinafunga mafanikio yangu.
Hasira ndo jambo linalonisumbua ila Leo umenifungua bro
Mbona hamna au muda bado jmn?