Kaka @Joel kiukweli mimi namtukuza Mungu kwaajili yako kubamuda najikuta sielewi nifanye ila nikiingia kuku sikiliza napata nguvu yakuinuka tena barikiwa zaidi wewe na familia yako
Amina mtumishi wa MUNGU,nimefurahishwa sana kwa ujumbe huo,Mimi ni mtanzania lakini nipo Kenya ni mchungaji hapa Kenya,nimetiwa nguvu na ujumbe huu wa kuachana na vitu vingine kwa ajili ya mabadiliko
Kaka naomba utuandalie video inayohusu how to survive in the crises nimejalibu kutafuta nimeikosa may be hujawah iweka au ipo na kichwa kingine majanga nayozungumizia hapa Ni Kama Corona ilivyokua au Vita vya dunia Yan Yale majanga ya kinchi au dunia kabisa make kweny Corona uliibuka na kuuza Sana vitabu na pia ulipataje nguvu za kuandika vitabu ilihali wengine tunawaza kufa
Kaka @Joel kiukweli mimi namtukuza Mungu kwaajili yako kubamuda najikuta sielewi nifanye ila nikiingia kuku sikiliza napata nguvu yakuinuka tena barikiwa zaidi wewe na familia yako
Kaka joeli acha unatugusa sana.
Maarifa makubwa sana Asante sana Mwalimu MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki
Hii video nimeirudia zaidi ya mara 10 ill nipate kuielewa zaidi hongera san kaka joel
Asante sana MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki Sana
Wa kwanza Leo kupata darasa.
Shukrani kaka, kwa kweli nakuitaji zaidi kwa ushauri natamani nikuone.
Shukrani kaka, uko sahihi kabisa Kuna mda inabidi tubadilike kama tunahitaji mafanikio❤❤
Kweli mwalimu nimwachana na marafiki wenghine nanikajikuta nikiwa mbali sana
Kweli kabisa inabidi uache kitu ufanye kitu inabidi uhame sehemu moja kwenda kwengine duuuu nakukubali Joel
Nakubali bro nanauka
Amina mtumishi wa MUNGU,nimefurahishwa sana kwa ujumbe huo,Mimi ni mtanzania lakini nipo Kenya ni mchungaji hapa Kenya,nimetiwa nguvu na ujumbe huu wa kuachana na vitu vingine kwa ajili ya mabadiliko
Ameen Mtumishi, nakutakia mafanikio katika huduma yako. Tuendelee kujifunza.
@@joelnanauka Amina mtumishi wa MUNGU, nimeshukuru pia kwa reply Yako,naomba tukijaliwa mwakani kabla ya Mwenyezi wa nne uje Baba
Ameen Ameen
Darasa zuri sana kaka Joel barikiwa🎉❤
Bro am always following you, thank you so much I appreciate you najifunza mengi kutoka kwako
Barikiwaaa
Ubarikiwe sana
Nashuru unatusadia na kutujenga
Ahsante Brother
SAHIHI SANA INASAIDIA,INATIA HAMASA NA UJASIRI WA KUSONGA ZAIDI
What a advice
Hiili somo naomba uyifanye iwe ndefu madakika aongezeke ama iwe saa imoja
Really bro and you are the rock
Shikrani sana coach wa biashara yangu
❤❤❤❤❤hongera pro
Tatizo langu kubwa ni kutohama eneo
Kweli kaka joel wakati mwengine lazima kulipa gharama ya kujitoa na ata watu waliofanikiwa walilipa gharama ya kujitoa
"Maneno yapendezayo ni kama sega la Asali;
Ni tamu nafsini na Afya mifupani".
Ameeen Ameen
Karibu Kenya mtumishi wa MUNGU huku Kenya tunahitaji mafundisho sana
Nashukuru sana. Naamini nitakuja. Tuwasiliane🙏🏼
Asante kaka@ very impressive..
Shukran
Good job
Yes yes yes
Kaka naomba utuandalie video inayohusu how to survive in the crises nimejalibu kutafuta nimeikosa may be hujawah iweka au ipo na kichwa kingine majanga nayozungumizia hapa Ni Kama Corona ilivyokua au Vita vya dunia Yan Yale majanga ya kinchi au dunia kabisa make kweny Corona uliibuka na kuuza Sana vitabu na pia ulipataje nguvu za kuandika vitabu ilihali wengine tunawaza kufa
Sauti haipo vzr mziki wa underground upo juu sans
Unamatatzo ww ko w unaskiza back sound kabla ya kumskiza mwalim
Asante
Ni kweli upo sahihi.
Massage ✍️✍️✍️
❤❤
👌
Sorry,hicho kinanda kinazid sauti ya mzungumzaji
Really bro and you are the rock
Really bro and you are the rock