Roho yangu ni toleo la zamani😢😢😢😢😢 Baada ya miaka minne nabarikiwa na hili hubiri,hadi nimeogopa,Tangu nimemjua Yesu 2007 labda bado sikumjua Mungu wangu😢😢😢😢😢,Barikiwa Pastor
Machozi yananitoka moyoni Pr somo hili ni kama uliandaa kwa ajiri yangu, Eehh Mungu neema yako ikawe juu yetu na utupe macho ya kiroho katika pendo la Yesu kristo Amen.
Amina Mchungaji ubarikiwe na MUNGU wa MBINGUNI katika JINA LA YESU maana tunabarikiwa sana kwa NENO LA MUNGU unalo tuletea hakika rinatubadirisha maisha yetu MUNGU akupe afia NJEMA kila siku pamoja na familiya YAKO
Amina Amina kweli mchungaji taji yako mbinguni itang'aa Sana.usife moyo chochea injili kabisa wengi wanainuliwa kiroho kupitia Yale maneno Mungu ameweka kwako.kama Mimi nashangaa nikama ndio naanza kusikia maneno ya Mungu Kwa mara ya Kwanza baada ya miaka mingi tangu kuamini.Mungu akubariki Sana.
AMEN🙏mchugaji mmbaga ninalo swali,sasa nimesikiza mahubiri yaki yakaniguza kweli,hivi ikiwa mimi nim Catholic,na sali kwa rosary,ama kwa kanisa kuna ile picha ya yesu kama amesulubuwa,je nivyema kuviinamia au kuzishududu wakati wakuomba au ni dhambi?.
Kutoka 20:4,5 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
@@MahubiriPrMmbaga asante sana naona nimeanza kufunguka macho sasa.hili somo la mchungaji nalisikiza like kika siku.limenufunia akili sana.mungu na akubariki pastor 🙏🙏🙏
ubarikiwe mtumishi wa mungu ninawezaje kupata kitabu chako cha namna ya kusikia sauti ya mungu mm niko sumbawanga namba zangu za simu ni 0757392906 lkn pia ninachangamoto yakufanya maamzi yakuongoka nanilisha muapia mungu kwamba sitarudi tena ktk imani yangu ya zamani yaani imani ya Rc lkn kumekuwa napambano ndani yangu nakati ya watu ambao mmechangia kufungua imani mpya ndani ya roho yangu niww pr mmbanga Lawrence odondi wa kenya mchungaji Emmanuel mwakalinga wa iringa nimewafuatilisana mafundisho yenu
Hili somo natamani Sana, Kulipata lote, Jamani, naomba nisaidiwe kulipita! Naomba Kama unaweza nitumia ktk Email ni elishashillah139@gmail.com au WhatsApp Number 0767522247 Nisaidie sana
Roho yangu ni toleo la zamani😢😢😢😢😢
Baada ya miaka minne nabarikiwa na hili hubiri,hadi nimeogopa,Tangu nimemjua Yesu 2007 labda bado sikumjua Mungu wangu😢😢😢😢😢,Barikiwa Pastor
Machozi yananitoka moyoni Pr somo hili ni kama uliandaa kwa ajiri yangu,
Eehh Mungu neema yako ikawe juu yetu na utupe macho ya kiroho katika pendo la Yesu kristo Amen.
Mimi pia waimbaji wameguza moyo wangu,, choir gani 👆 hii!! Aliyembinguni hataniacha,,,Oh! My son
Kweli zambi niyakukimbia kabisa
Amina
Amina Mchungaji ubarikiwe na MUNGU wa MBINGUNI katika JINA LA YESU maana tunabarikiwa sana kwa NENO LA MUNGU unalo tuletea hakika rinatubadirisha maisha yetu MUNGU akupe afia NJEMA kila siku pamoja na familiya YAKO
Ameeen.Asante Mungu kwa ajiri ya Mchungaji Mbanga.
Thanks Uwepo wa mungu hukaa juu ya sifa " may God bless all "
Amina mchungaji nabarikiwa sana.naomba ubarikiwe Kwanza ndo ni fwatie nami.
Ni katika roho!! Kila siku najifunza zaidi kumsikiliza Mungu hatua kwa hatua. Mungu akubariki Mchungaji, hapa USA Grace.
Eeeh mungu wangu , nijalie macho ya rohoni. 🙏
Pongezi kwangu wa kwanza kukoment
Hongeraaaaaaa
@@MahubiriPrMmbaga asante
Really mchungaji huwa unanibariki sana sana na mahubiri yako
I’m blessed to hear your massages always 🙏
Amen,Mungu ni Roho na sisi ni roho pia
Amina unanifungua kila siku nazidi kuwa na Imani asnt mchungaji mungu akubaliki sana
Ubarikiw paster
Mungu akubariki sana mchungaji
Amina asante mchungaji nimepata kuchua Mungu n nani.naomba uongozo Wa roho mtakatifu aniwezeshe niskie sauti ya Mungu
Tumebarikiwa sana huduma yenu mungu awape uvumilivu muimbe hadi mbinguni by FRANK SIKOMBE-Katavi
Hii kwaya huwa inanivuta karibu sana na Mungu. Mungu akubariki sana Pr Mmbaga
Amen 🙏🙏 Thanks for good song
Wah am blessed with your preaching,thanks pastor also b blessed
Blessings to you
Nice message keep it up,I have learned many things from ur sermon pastor, God 🙏 bless you
Amen
Asante kwa mahubiri yako nabarikiwa Sana nkiwa Saudi Arabia napenda Sana mafundisho yako pr ubariwe sana
Amina tunabarikiwa na somo zuri
Amen Amen mchungaji
Kila mara ninapokusikiliza, ninabarikiwa na kufunuliwa ukweli mpya, Mungu akubariki sana pastor
I hope one day I will talk, with you man of. God,may The Peace of God that passes all. Understanding keep you by the grace of God
Amina Amina kweli mchungaji taji yako mbinguni itang'aa Sana.usife moyo chochea injili kabisa wengi wanainuliwa kiroho kupitia Yale maneno Mungu ameweka kwako.kama Mimi nashangaa nikama ndio naanza kusikia maneno ya Mungu Kwa mara ya Kwanza baada ya miaka mingi tangu kuamini.Mungu akubariki Sana.
Naomba no zako mtumishi
amina sana
Mungu awabariki sana waimbaji wa kwaya hii ya sauti ya jangwani kutoka shinyanga ushirika
Mungu akuzaidie ulipo ufanyapo,,,,,Nimejua Choir hii imenitoa jozi kubwa !! Mungu wangu Nani atakuwa juu yangu!!!
Amina barikiwa parsto
Mungu akubariki pastor
Paster ninabrikiwa sana na masomo yako umenifungua sana macho ya rohini
Amen.
Amina tunabarikiwa kwa neno
Kwaya nzuri sana mmbarikiwe
Amen Mungu ni Roho👏👏
Aminaaa wimbo mxuri
Amina
😂😂😂 Amina pastor
somo halijaishaaaaaaa
Vitabu vyako kwa Zanzibar napataje
AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN
Amina sana
akwilini swai ubarikiwe sana mtmsh wa Mungu uwa nabarikiwa na mafundisho yako
@@erastomarco8080 amina
Hakika mchungaji masomo yako yananibariki nakunibadilisha Sana nami natumia fursa hii kuwambia watu ile Nuru ninayopata kupitia masomo yako
Amen
Hakika nimejua vitu vya thamani Thana"
How can i get the song very good song
I have ana audio, can we communicate
@@daviddotto327 yeah i need it but I don't know how to get it
@@waltermakori5855 fall me in what's up
@@daviddotto327 +254701506826 WhatsApp number
Naomba kujua km hicho kitabu kipo moshi
Habari mm sijaelewa hubiri la umiliki, nilikuwa nalisikiliza usiku baadaye nimeikuta inaniambia video hii ni private na naisearch haipo mmeifuta?
Lakini picha ya mzungu
Hili somo sehemu ya pili yake inayofata naipata wapi nimetafuta humu nimekosa
Mchungaji naomba nambaako ninashida ...nashukuru kwa masomo
AMEN🙏mchugaji mmbaga ninalo swali,sasa nimesikiza mahubiri yaki yakaniguza kweli,hivi ikiwa mimi nim Catholic,na sali kwa rosary,ama kwa kanisa kuna ile picha ya yesu kama amesulubuwa,je nivyema kuviinamia au kuzishududu wakati wakuomba au ni dhambi?.
Kutoka 20:4,5 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
@@MahubiriPrMmbaga asante sana naona nimeanza kufunguka macho sasa.hili somo la mchungaji nalisikiza like kika siku.limenufunia akili sana.mungu na akubariki pastor 🙏🙏🙏
Hii kwaya gani 👆 please??
Niambie Naomba tu
Sauti ya jangwani
Sauti ya jabgwani from shinyanga Tanzania
Nina hitaji hiinyimbo ime ni jenga,
Uku sijayajua makanisa yp ila sijui yapo wapi
Uko wapi
Niko Oman
Fatilia tu kwa mtandao kila Siku, kila sabato
ubarikiwe mtumishi wa mungu ninawezaje kupata kitabu chako cha namna ya kusikia sauti ya mungu mm niko sumbawanga namba zangu za simu ni 0757392906 lkn pia ninachangamoto yakufanya maamzi yakuongoka nanilisha muapia mungu kwamba sitarudi tena ktk imani yangu ya zamani yaani imani ya Rc lkn kumekuwa napambano ndani yangu nakati ya watu ambao mmechangia kufungua imani mpya ndani ya roho yangu niww pr mmbanga Lawrence odondi wa kenya mchungaji Emmanuel mwakalinga wa iringa nimewafuatilisana mafundisho yenu
Our father in heaven, means? He's a male
No! God is Spirit ( John 4:24),Spirit has no gender
Hili somo natamani Sana, Kulipata lote, Jamani, naomba nisaidiwe kulipita! Naomba Kama unaweza nitumia ktk Email ni
elishashillah139@gmail.com au WhatsApp Number 0767522247
Nisaidie sana
Amina
Amen
Amen