Hakika mchungaji Mungu akubariki sn ukupe maisha marefu sijuw ni kwa nin? Huw nikikusikiliza hata kama nimechoka kiasi gani huw napata nguvu tena Ubarikiw sn Mungu azidi kukuinuw sn Amen🙏🏼
Amen nabarikiwa sana pastor umeokoa ndoa yangu nilikufatilia tokea mwaka 2022 saa hii niko na amani kabisa kuna somo ulisema mengine potezea Nashukuru mungu sana
Hakika mchungaji Mungu akubariki sn ukupe maisha marefu sijuw ni kwa nin? Huw nikikusikiliza hata kama nimechoka kiasi gani huw napata nguvu tena Ubarikiw sn Mungu azidi kukuinuw sn Amen🙏🏼
Asante umenitia nguvu sana changamoto ni nyingi sana kwenye maisha
Amina Kwa somo suri from USA
Amen 🙏🙏
tunabarikiwa sana kwa namna Mungu anavokutumia kufundisha neno lake
Mbarikiwe wote watu wa Mungu
Barikiwa pastor kwa ujumbe wako mzuri
Amen. Najifunza kila siku na ninauona ukuu wa Mungu.
Ubarikiwe sana mtumishi kwakuwabatia watu ujasili
Mbaga unatupenda Vijana❤❤❤❤
So powerful...thanks a lot pastor
amen
Asante Sana mtumishi kwa neno la Mungu linatujenga Sana
Amen nimetiwa moyo na huu ujumbe pamoja na maombi barikiwa pastor
May God bless you all and add you many years
Hallelujah
Ee mungu naomba unipe uhodari, na ujasir wa kusimama nitangaze neno lako🙏
Amen mtu wa Mungu 🎉
Anima mtumish maomb kwangu
Barikiwa pr. Nimeguswa sanaaa na somo la kujenga uwezo wa kufukiri. Vizazi vijavyo havita kuwa na uwezo wa kufanya kazi wala kufikiri
Hakika jina la Mungu linazidi kutukuzwa kupitia kwako pr, David mmbaga.azidi kukutumia zaidi na zaidi
Amen 🙏 🙏
GOD Bless You PR. Mbaga
Ubarikiwe sana mchungaji kwa somo lako.
Naomba Mungu anisaidie niwe hodari na moyo wa ushujaa
Ubarikiwe sana baba kwa somo nzuri sana
Mungu anisaidie kuwa hodari maana nimechoka sana
Mungu akuongezee nguvu
Mungu akutie nguvu
Perfect content.
Thank you Pastor
Amina asante kwa somo zuri sana Pastor Mbaga Mungu akubariki
Uko sawa pastor kwa speech yako ila tupe alternative ya supplement
Laminate. Ahsante kwa huu ujumbe mchungaji
Amen nabarikiwa sana pastor umeokoa ndoa yangu nilikufatilia tokea mwaka 2022 saa hii niko na amani kabisa kuna somo ulisema mengine potezea Nashukuru mungu sana
Jina la Mungu litukuzwe ❤
Amen in Jesus name
Ahsante Sana
Amina Pastor naendelea kukusihi uniombe lakini pia mke wangu ni mgonjwa .
Mungu amponye jamani. NAYE ANASIKIA MAOMBI YAKO MPENDWA
Amina
Amina Amina Amina IN JESUS Name
Ubarikiwe na Mungu azidi Kukuzisha
Unanibari sana mchungaji
shukran mchungaji kwa onyo ambalo kwangu ni mkate wa uzima
Am in a🙏🧎♀️
Mchungaji,nimepokea
Amina 🙏
Amen
Amina Amina
Tafadhali wengine kingereza hatujui
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
barikiwa
My son always watches your videos
Umenipa nguvu mtu wa Mungu
amina
Tunabarikiwa mno
Mbona huongei ukweli waziwazi mmeungana na makafil kufundisha mapotofu huo uhodar unaosema ni up, Kama sio hadaa wachungaji mmekengeuka
❤
Haya mahubiri yapo wap
Kutoka humanity Udom nawapata vyema
❤❤
Pst. Vitabu vilienda aje zile niliomba uniezee njia ya kuvipata?
Tabora: USILEGEE ANZA KWA UJASIRI
Amina 🙏
AMINA Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU.
Amen
❤❤
Amen
Amen