TOP 5: Hizi ndizo Flyover kali zaidi duniani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 сен 2018
  • Siku za hivi karibuni Tanzania imeshuhudia kuanza kutumika kwa barabara ya juu ya flyover ya Tazara na kupunguza foleni kwa kiasi kikubwa.
    Mradi huu wa flyover ya Tazara ambao umegharimu takriban shilingi bil 95 za Kitanzania, ni moja tu kati ya mipango ya serikali ya kujenga na kuboresha miundombinu nchini ili kufikia adhma ya uchumi wa viwanda.
    Flyover nyingine kubwa zaidi nchini imeshaanza kujengwa eneo la Ubungo.
    Leo katika kipindi cha Top 5 nakuletea flyover 5 kali zaidi duniani.

Комментарии • 16