TAZARA FLY OVER

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 июн 2015

Комментарии • 41

  • @henryjoseph457
    @henryjoseph457 7 лет назад +2

    Nataka kujua swala moja, since kuna mipango ya mabasi ya mwendo kasi katika hizi flyovers wametenga eneo la barabara special for mabasi hayo?

  • @faisalyasin6534
    @faisalyasin6534 8 лет назад +1

    Its a good start. kwa jiji ambayo ilikuwa na poor infrustucture.

  • @nassororamadhani2311
    @nassororamadhani2311 8 лет назад +1

    gooood nmeipenda sana iyo road

  • @tegemeondinadyo7816
    @tegemeondinadyo7816 8 лет назад +4

    utatutuzi wa Tatizo la msongamano Dar ni 1:kuhamia Dom ili kupunguza wahitaji katika wizara na maofisa, 2: kuboresha reli kwa ajiri ya kutumia kwa usafiri wa mizigo yote( barabara zisitumike kusafirisha mizigo), 3: kujenga izo flyovers 4: kutawanya viwanda ili kutawanya wahitaji wa ajira na wanunuzi ya bidhaa na waleta malighafi. nadhani serkali ikiweza Hayo Dar na foreni bye byeeeee

  • @faisalyasin6534
    @faisalyasin6534 8 лет назад +1

    Fly over itasaidia sana katika kupunguza foleni, na kufanya safari kuwa fupi. Kwa mfano fly over na motor way ya Kwenda Thika nje ya Nairobi., kwa sasa ni dakika 20 tu. Hapo awali kabla ya fly over ilikuwa ni lisaa limoja.

  • @abdulkarimwajadi1759
    @abdulkarimwajadi1759 8 лет назад

    Design ya hii flyover haiwezi kutatua tatizo la msongamano pale tazara, ukiangalia njia ya chini bado magari yatakua yakikutana, flyover ya kupunguza foleni inatakiwa magari yasikutane namna ile,
    wanapoteza pesa na muda wao tuu pale hamna kitu

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 6 лет назад

    Hao wa chini mwendo wa foleni tu.. though itapungua kidogo..

    • @anthonymwandu2615
      @anthonymwandu2615 6 лет назад

      waliokuwa wanaleta foleni ni wakutoka mjini na airport

  • @paulmkombozi2873
    @paulmkombozi2873 7 лет назад +1

    Imeshaanza ujenzi

  • @chandimakuyana9033
    @chandimakuyana9033 7 лет назад +1

    Anyone with the name of the company that did the animation?

  • @abellabv
    @abellabv 8 лет назад

    Kipande kimoja kwa kweli hakitoshi hapo.

  • @adamseif2935
    @adamseif2935 5 лет назад

    Uwanja Mpya,dodom

  • @rev.jamesmwakyembe74
    @rev.jamesmwakyembe74 8 лет назад

    hii haitasaidia bado. bora wangefanya kama ubungo intrchange wt layers

  • @jamalhussein3463
    @jamalhussein3463 7 лет назад +2

    Salute...from keko

  • @tarikichihinde685
    @tarikichihinde685 7 лет назад +1

    good

  • @chachamokolo9009
    @chachamokolo9009 8 лет назад

    Bado sana tanzania kuwa na barabara za kisasa kama hii

    • @jacobmaganga8446
      @jacobmaganga8446 8 лет назад +1

      +Chacha Mokolo aca mawazo mgando wewe, gombea uraisi basi ujenge zako

    • @chachamokolo9009
      @chachamokolo9009 8 лет назад

      Yangu mgando sio

    • @Brainyfud112
      @Brainyfud112 7 лет назад +1

      Chacha Mokolo yes mgando koz saiz zinajengwa na inakaribia kuisha

  • @florafortunatus530
    @florafortunatus530 6 лет назад

    itapendeza sana lakin sijajua itachukua miaka mingapi?

  • @lubegafred1735
    @lubegafred1735 7 лет назад

    Tanzania emepita Uganda saana

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 6 лет назад

    Abdulkarim Wajad! unaonekana una mtazamo hasi kwa kila hatua ya maendeleo unashida gani labda? Any way huo no mtazamo wangu be positive hata kwenye familia yako ukileta maendeleo wambie washukuru kwanza!

  • @dadyyuzzo6569
    @dadyyuzzo6569 8 лет назад +1

    yap itakuwa poasana

  • @davidodehero8760
    @davidodehero8760 8 лет назад +1

    Yeah gud millard

  • @abdulrahmansalim3016
    @abdulrahmansalim3016 9 лет назад +1

    visibaki kwenye video tu jamani

  • @magamborashid1595
    @magamborashid1595 8 лет назад +1

    MAGUFULI ISAIDIE TZ YETU

  • @harissmithtz4994
    @harissmithtz4994 8 лет назад

    Mbona hiyo fly over ni kipande tu!?.

  • @albutiakim299
    @albutiakim299 8 лет назад

    Angalia nchi nyengine Afrika ambazo far more better wewe Nambie mpaka sasa tanzania kuna nini kikubwa au nini cha kusema amakweli tuna fanana kidogo na wengine kama nchi za kaskazini ya afrika au hata kinshasa sasa achaa!

    • @evamasinde8026
      @evamasinde8026 6 лет назад

      albuti Akim mdogo mdogo kulikuwa hakuna m2 anaeiwazia kujengwa kwa iyo fly over 1 uja na nyingine hongera Rais.

  • @albutiakim299
    @albutiakim299 8 лет назад

    Hakuna kitakachokua ,kuna nchi afrika zinaweza kufanya hivyo lakini sio tanzania

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 8 лет назад

    Very complicated ni kupoteza hela na mda bila ya kuwa na design inayoweza kutatua tatizo la Foleni pale Tazara . Labda Huu mchoro wamefanya Wajapan Ambao hawaijuwi Dar!
    Mfano mdogo tu ni Daraja Kuja kuzuia miradi muhimu kama treni ya kwenda AirPort .
    :) Kwani hatuna wachoraji Hili swala linahusu Taifa . Mimi nitawachorea Design simple !

    • @AidanMlay
      @AidanMlay 8 лет назад +1

      +Jaedon Jonas hiii flyoveriko upande mmoja na bado naona taa zipo upande wa nelson mandela road.Sasa hiyo foleni si itaendelea kuwepo tu? mtu aliye design huu mchoro hajaangalia mbali

    • @kennedymmbando
      @kennedymmbando 8 лет назад

      Mpewe nini maanayake nini ? Huu mradi ni wanchi si mradi wa mtu binafsi .Kwa taarifa yako wewe unayedhani una akili kubwa na kuwaita wenzio wanaakili ndogo Unakubali ujengewe hovyo bila ubora kisa umepewa msaada.Unajuwa athari za ujenzi mbovu? Acha ushabiki wa kise...welo!

    • @isamkwizu3342
      @isamkwizu3342 7 лет назад +1

      itakuwa imeondoa msongamano a% 95

  • @albutiakim299
    @albutiakim299 8 лет назад

    As if

  • @muntazirkarmali5538
    @muntazirkarmali5538 8 лет назад

    it will take 20 years to finish if we are lucky

    • @SarahLibogomalove
      @SarahLibogomalove 7 лет назад

      Muntazir Karmali people like you will ensure that happens.....ila uzuri Watu type yako niwachache so itaisha mapemaaaa

    • @Brainyfud112
      @Brainyfud112 7 лет назад

      Sarah Libogoma na inakaribia kuisha soo huyo jamaa ana chuki binafsi

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 9 лет назад

    Hawatujui waafrica hawa, hizo traffic lights hatutazifuata hivyo foreni hazitaisha. Na kwa ujenzi wa TZ yetu hizi barabara zitachukua miaka20 kukamilika smh