Ndakidemi: Kilo moja ya kahawa Tanzania elfu tatu, ughaibuni milioni moja

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 май 2024
  • Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM) Profesa Patrick Ndakidemi amesema licha ya mkulima wa kahawa nchini kupata Shilingi elfu mbili mpaka tatu kwa kilo moja ya Kahawa, mtu anayeuza ughaibuni kwa vikombe 140 vinavyotokana na kahawa kilo moja anaweza kutengeneza faida ya zaidi ya milioni moja.
    Ndakidemi ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Kilimo leo Ijumaa, Mei 3, 2024 ambapo ameshauri Serikkali iwatafute makampuni makubwa ya uzalishaji wa bidhaa ya mwisho ya kahawa waje kuwekeza nchini ili kahawa ya Tanzania iunzwe kwa bei ya juu.
    kupata Kahawa inayouzwa Elfu 3 Nchini Tanzania wanaokwenda ulaya wanazalisha mpaka Milioni moja hivyo mkulima analima kwa hasara pia amekuja na mapendekezo na ushauri kwa Serikali kuhusu kkilimo cha Kahawa.

Комментарии •