MWENYEKITI AUZA MLIMA wa KIJIJI MIL 20 YEYE AKAPEWA LAKI 5 -DC SHAKA AWA MKALI AAGIZA WOTE WAKAMATWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 май 2024
  • MWENYEKITI AUZA MLIMA wa KIJIJI MIL 20 YEYE AKAPEWA LAKI 5 -DC SHAKA AWA MKALI AAGIZA WOTE WAKAMATWE
    Mkuu wa wilaya ya kilosa Mh Shaka hamdu Shaka ameamuru kukamatwa kwa mwenyekiti wa kiyongoji cha msowero A bwana Petro Sanga na mwananchi wake bwana Awadhi Aweso kwa kosa la kuchukua kiasi cha shilingi laki 5 na kuruhusu kuuzwa eneo la mlima wa kijiji kwa kiasi cha shillingi Milioni 20
    Hoja hiyo ya kuuzwa kwa Mlima wa kijiji inakuja wakati wa mkutano wa adhara uliowakutanisha kamati ya Usalama ya wilaya ya kilosa ikongozwa mkuu wa wilaya mh Shaka hamdu shaka na wananchi wa msowero
    Kufuatia kwa changamoto kunamlazimu shaka hamdu shaka kuagiza wote waliohisika katika kuuza na kununua mlima wa serikali ya kijiji kujisalimisha kabla ya kuwasaka
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 44

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Месяц назад +4

    Nchi imeoza rushwa ubadhirfu umekidhiri sana

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q Месяц назад +5

    Mwacheni auze mbona nyinyi mmeuza Ngorongoro ? Na aliyeuza ni mwanachama wa ccm anyone wakubwa wanachofanya

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

      Elimu yako ndogo hujui maana yakuuza

    • @missmoona4497
      @missmoona4497 Месяц назад

      Hata badar imeuzwa ikiwa viongoz wakubwa wanafanya hivyo hao wa chin wafanyenn? Ikiwa wa mfano ndio hayohayo nawachini wanaiga hayohayo hakuna alichoharibu wamsamehe tu kwakweli

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Месяц назад +1

    Asante kiongozi wetu ❤

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Месяц назад

    Hahaaaaa uza kila kitu, mbona ngoro ngoro imeuzwa hamna shida

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 Месяц назад +3

    Huo ni mfumo WA CCM Wana hi msishangae

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

      Akili zako zinakutana vibaya,kama ni mfumo huyo mkuu wa wilaya hajui wewe ndoujue? Chadema mnalitumia neno mfumo wakati hamjui maana ya mfumo.

    • @lazaronyingi1813
      @lazaronyingi1813 Месяц назад

      Kwani hii nchi inaongozwa na chama gani na hao wenyekiti ni chama gani

  • @user-cz3vu4ws7x
    @user-cz3vu4ws7x Месяц назад +1

    Asee mbona ni maajabu

  • @thelalas9204
    @thelalas9204 Месяц назад +1

    Alafu wenyeviti vijana kabisa ovyo kwelikweli

  • @hassannalengwe2438
    @hassannalengwe2438 Месяц назад

    Kanda bongo mani

  • @user-cw3vu8mu3k
    @user-cw3vu8mu3k Месяц назад +1

    Umemwonea mwenyekiti

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct Месяц назад

    Huu ugonjwa hauwez kuisha kwa KWA KATIBA hii Simamen njia kuu acheni KUJIDANGANYA.

  • @WinfridaFabian
    @WinfridaFabian Месяц назад

    Mzanzobar anwezakua mkuu wa wilaya au hata mkoa hku bara lkn mtanganyika huwez hatakua baloz au kununua aridh au hata kupiga kura zanzbar

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад +1

    Kamata walio uza loliondo watutajie na wenzako tamaaa mbaya

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 Месяц назад

    Mnawaoneatu haowatu .mbona nyinyi mnatuibia pesa zetu na hamkamatwi?

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Месяц назад

    Nchi ina shida kubwa hii sijui tunaelekea wapi watu hawaigopi tena kila mtu anafanya anavyotaka !!aibu mpaka mnauzwa😮

  • @HenryCastuli-jz3cx
    @HenryCastuli-jz3cx Месяц назад

    Ccm hoyeeeeee

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q Месяц назад

    Tuache wananchi wawe wanajichagulia viongozi ccm accent kutuwekea viongozi

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Месяц назад

    Muache mesesji za kibaguzi humu,,,,awe mzenj awe mabara ss wote ni ndugu na lugha yetu ni moja,,,tumwache afanye kazi yake

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 Месяц назад

    Mwenyekiti hana makosa jamani una muhuliza maswali yasiyoeleweka,sasa yeye angejuaje MTU anasema eneo lake

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Месяц назад

    Wazuiwemkabisa wenuevitinkuuza ardhi. Kwanza ndio chamzo.cha kuuza maeneo zaodinyanmara 4

  • @jamalimussa4928
    @jamalimussa4928 Месяц назад

    Mwenyekiti mwenyew mbona kama anamawenge 😂😂

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo Месяц назад

    Tatizo ccm wanalinda hawachukuliani hatua ukukwetu wameuza vitu vingi wanawakamata halafu kesi zinakoishia hazijulikanagi ndiomaana wanaendelea kuujum wananchi

  • @so12221
    @so12221 Месяц назад

    Mijitu haina haya hata chembe na hawakomi sijui kunanini hii nchi maana kesi hizi hazishi

  • @Enigma_files_
    @Enigma_files_ Месяц назад

    Ookay😂😂😂😂😂😂

  • @johnMwakilasa-km4tx
    @johnMwakilasa-km4tx Месяц назад

    Mwekiti hajauza bali ameidhinisha.Ikiwa wamiliki wapo ndio wakamatwe

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward Месяц назад

    Mlima, kisiwa, mto sio mali inayomilikiwa na mtu au taasisi yeyote. Ni mali ya Raia wtz.

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 Месяц назад

    Walimfata DC mara mbili lakini DC hakufika kulitatua hilo mgogoro... basi wakaliuza.. sasa kuna shida gani? 🤣

  • @KhalfanAli-mu7vn
    @KhalfanAli-mu7vn Месяц назад

    😮😢😢😅😅

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 Месяц назад

    Mwenyekiti amejionqeza sasa kama nyie mnauza loliondo ye afanyeje kajionqeza

  • @khadhiriramadhan5984
    @khadhiriramadhan5984 Месяц назад

    Huoo nimfumo wenu ccm kila ikikaribiya mambo kupiga kura mnajipaka mafuta saana tumestuka 🗿

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад

    Laki tano hela ndogo.Unakuwa msaliti ka m a Yuda aliyemuuza Yesu Kiristo😅😅Balaa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Месяц назад

    Ww mkuu unawalazinisha wajibu maswali yako wakujibu unajificha inaonekana naww upo

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Месяц назад

    Kikokotoo kinahusika watu wanajikipa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Месяц назад +2

    Mbona Serikali ya awamu hii mpaka mbuga za wanyama inauza na watanzania hawasemi kitu?

    • @thelalas9204
      @thelalas9204 Месяц назад

      Kwani tatizo serikali ndugu,tatizo sisi wenye serekali,tafakari.

  • @AtuganileAsubisye
    @AtuganileAsubisye Месяц назад +1

    Cjawai sikia kumbe na mlima unauzwaga Kaa pesa iziii

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 Месяц назад

    Kamateni na wauza Bandari

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад

    Wenyevti mnajikuta nyie nani?? Tapikeni mbwa nyie,na mngekuwa diwani c mneuxa wa2.

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 Месяц назад

    Yaani kwa swala la Ardhi changamoto.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад

    Mtu a n ayeuza aridhi bila mpango ni chizi kabisa.Mwishoni kuiuza hata familia yako😢