PART 3: RUBANI ASIMULIA NDEGE YA ATC Ilivyotekwa na ILIVYOTUA Uwanjani na WATEKAJI KUKAMTWA!
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2022
- PART 3: RUBANI ASIMULIA NDEGE YA ATC Ilivyotekwa na ILIVYOTUA Uwanjani na WATEKAJI KUKAMTWA!
Mwisho Kabisa wa Kisa Cha Kusisimua Cha kutekwa kwa Ndege ya Shirika La Ndege ATC Mwaka 1988, ambapo Rubani Mstaafu, Mzee Galway anasimulia jinsi alivyowahadaa watekaji na kuwarudisha Bongo na kujikuta wanakamatwa uwanjani...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Mungu alikupenda sn.
Hongra sana mzee Galway sikujua umepitia yote hayo mi ni mwenyeji wa Babati na tulishaonana Dar hongera Mungu akutunze mnatakiwa kuwa wakufunzi sasa siyo kukuaa nyumbani sijui serikali ina mpango gani na wastaafu wenye ujuzi wamenkaa mitaani badala ya kurithisha vijana elimu.nzuri .
Duuuh Captain Galway jmn kumbe yupo,😊
Ni mtu sahihi Kwa story za kusisimiwa I know you daday 🙌🤜🤛
Safi sana....tunamshukuru mzee wa stori nzuri
Naipenda Global TV, Kolumba baba mtangazaji Mwandishi msomi kazi nzuri, tusonge mbele
Mbona mmemtoa mzee sehemu nzuri umempeleka sehemu mbya tena umemsimamisha
Daaaaaaaaaaa !! hii story mara kwanza nilisikia kwenye station ya radio
Hiii
Ajali ya maraisi wa Ruanda na Ruanda
Na kwann mumsimamishe mzee w watu jmn mda wote huo
mwandishi wa hovyo kabisa huyu, sijaona sababu kwanini umsimamishe mzee mda mrefu kiasi hiko,
😂😂niliiskia miaka mingi sana hii story nikajua ni uongo kumbea kweli
Lkn mbona hamtaji kuwa mmoja alikua mtoto wa mh
Kwani haogopi kukamatwa
😂😂😂😂Eti nichomoe pin
Nimependa mzee mcheshi sanaaa,yani sijachoka kumsikiliza,hana story zingine atupe Jamani....
Masikitiko yangu niupuuzi uliofanyika baada ya ndege kufka yote hayo ni upuuzi wakufata taratibu wakati wa matatzo
Sahihi
Tangu ndege imefika pilot kakutana na wanajeshi inakuaje kuaje watekaji wanakimbia hawashikwi sijaelewa nadhani muuliza maswali Hana taaluma nzuri ya kuhoji
Taaluma ya uandishi nchini Tanzania iko chini sana. Mtangazaji anahodhi mahojiano utafikiri yeye ndiye mwenye tukio.
Yaani makamanda wamezinguliwa na maembe km Grenade 🤣🤣
Hiyo ni 90minutes at Entebe. Kidogo ifanane.
Mwandishi msomi anajiita hata interview set up hamna
Watafute watekaji hao uwahoji kwa nini walifanya hivyo! Na je wametubia dhambi ya kuwatesa watanzania wenzao?Good job
yaani mpaka mzee anasema hapa ni jua inamaana huyo host haoni kaniboa kwa kweli mazingira hapo ni kelele lakini host hajali anachofanya
Kwakweli huyu mwandishi kamtesa captain why kumsimamisha hivi then hiyo background ya nyimbo mara kelele za honi za magari yaan hii part 3 hujaitendea haki kabisa.
Kumbe ni maembe hahahaha
Du story nzury sana..andika kitabu meja....
Global hivi huyu mtangazaji memtoa wapi
Hujui namna y kuhoji ww kujifunze hilo kwanz
huyu baba ana akili anajieleza vzr
Unapenda kuchanganya mada
Mhes naniii
Mzee galu nimefurahi kukuona Norah mke wa mwanafunzi 😂😂kwenye bike
ILA POLISI WALIKUA WAZEMBE MUNO
Sijaelewa
Hii mm marehemu baba mhidini kimario na baba yangu mdg ambae hadi sasa yupo hai ilikua mwaka 1988 km sikosei ilikua sijui mwezi wa sita au wa tisa nakumbuka kabisa 12:09
Uyu mahakamini ndo kwake
Dah mwandishi msomi Kwa hili kafeli aende Kwa Kesi ya sabaya tu.
Yahni😢
Ktk hao waloteka mmoja mpk leo yupo hai namuelew
Afatwe nae atupe story yake inaweza kuwa tamu sana kwakuwa yeye alikuwa ndie muhusika mwenyewe
kati ya hao mmoja ni jirani yangu mpaka leo yuhai na tukikaa naye huwa anatuhadisia hiyo stori siku akiwa kafurahi
duh..anasema planyao ilikua nn
nyie Global uyo mtangazaji wenu mmemtoa uchochoroni
Mtangazaji anahoji lakino hawahi kuona ndege kupanda wala kuisikia zaidi ya kuiona juu ikipita masuala ya kijinga hajui ngege wala kuuliza maswali
Mwandishi mtafute Captain Gandile tufurahi.
Captain Ng'andile