SABRINA ALIYELIA KWA MAKONDA ALIMWA TALAKA, APOTEZA BILIONI 1 AUMIZWA KUKOSA MAGARI MANNE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024

Комментарии • 653

  • @witneskihega8971
    @witneskihega8971 23 дня назад +33

    Pole sana kwa maumivu dada. Ukiona jambo unatumia sana nguvu na haliwi kama unavyotaka, basi ujue yamkini hayo ndo mapenzi ya Mungu kwako. Achilia mali na maisha ya nyuma. Anza upya kabsa. Siku za mbeleni utamtukuza Mungu. Utapata amani ya roho ambayo ni muhimu kuliko mali. Geuza kisogo chako uanze maisha mapya. Maisha yatakuwa magumu mwanzoni hasa ukikumbuka mali zako, ila achilia na ujipe moyo mkuu.
    Nimejaribu kutizama hili jambo kwa jicho la tatu.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 23 дня назад +51

    Mahakama ni mtihani tuu fedha inaongea,ndio maana nchi nzima kesi tupu watu wanalia haki hakuna

    • @KhadijakassimMwaipaya
      @KhadijakassimMwaipaya 23 дня назад

      Pole.sana

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад +2

      Kwani makonda aloshindwa tena? Tunalishwa matango pori na wanasiasa? 🤔

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 22 дня назад

      @@MiriamAbdallah Watu wa nchi hii hawana thinking capacity,yaani upeo wetu ni mdogo sana.Yule alitufunga akili za kujitambua kutambua haki zetu binafsi alituweza sana akatubrainwash kuwa kibatari ndio sign ya ati Revolution wakati tuliipata kwa Wakoloni bila kumwaga damu .Hiyo ni whichkraft cos hatuko sawa.Ati unapelekea shida yule ambae yupo miaka yote Madarakani huo ni ufala. Kuanzia Mwaziri watendaji ni hao hao hivi hao wote wanaoripotiwa kuanzia Polisi nani aliwajibishwa hii ni Taktik da ku fool watu ili waamini CCM wawape kura wakisahau hawa ni hawa hawa wanajua kucheza na mind za watu.Shida wamezifuga then wanapritend ati ni watatuzi .

  • @ndeenengomselle1267
    @ndeenengomselle1267 19 дней назад +8

    Pole sana Sabina Mungu akutetee....nafahamu mlivyopendana mlipokuwa na maisha ya chini....acha Mungu atashughulika naye

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 23 дня назад +71

    Pole sana dada angu......hayo ni mapito tu, malipo ni hapa hapa duniani.
    Ni swala la Muda tuu.

  • @SophiaAthumani-ri4lu
    @SophiaAthumani-ri4lu 22 дня назад +19

    Pole Sabina nakujua sana wewe ni mpambanaji mungu akuongoze upate haki yako

  • @molom5027
    @molom5027 22 дня назад +11

    Pole sana dadangu. Ngojea tu na angalia ukiomba. Mungu atakuonyesha kitakachotokea.

  • @tnftz1461
    @tnftz1461 23 дня назад +45

    Dada anaonekana ana hofu ya Mungu mwanaume Hana hata chembe kakamatwa na malaya😭🙌 hiv mwanamke kama huyu namwachaje jaman anavoongea kwa huruma iv🤔🤷

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 23 дня назад +49

    Daaah kama anayosema huyu mama ni kweli,basi kuna viumbe ni mashetani

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 21 день назад +2

      Siku zote watu wanavyosimulia Kuna mambo huwa wanaficha kwaiyo utakiwi kuamini Kila kitu

    • @bockerNyarusahi
      @bockerNyarusahi 21 день назад +2

      Umemsikiliza na mlalamikiwa?

    • @abdulnaseermrisho4342
      @abdulnaseermrisho4342 21 день назад +4

      @@bockerNyarusahi kwenye kusoma kuna hivi vitu
      1.Kusoma
      2.kuelewa
      Ukisoma kitu unatakiwa na kuelewa,sio unasoma kama unasoma token za Luku

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 20 дней назад

      ​@@AwardHakimuKuna kitu kina itwa saikolojia😂 kwa hio tumia hio pia na kama hujui utabaki kusema utumbo

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 20 дней назад

      @@abdulnaseermrisho4342 kwaiyo wewe unaijua sana saikolojia mpaka unaweza kuelewa saikolojia ya mtu anae ongea kwenye tv aiseeh kwanza ondoa neno utumbo kwenye comment yako kutoheshimu maoni ya wengine ni upumbavu mkubwa sana

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l 23 дня назад +11

    Pole sana dada siku zote mungu husaidia mwenyehaki,mahakama za sasaiv ni uozo mtupu nakushauli endelea kumwamini mungu ulikuwa ufe wewe ni nema ya mungu tu .

  • @hyasintasilayo8952
    @hyasintasilayo8952 23 дня назад +7

    ]Pole sana dad,omba kwa nguvu zote maan hakna kigumu mbele za mwrnyez Mung

  • @baddestgames2784
    @baddestgames2784 22 дня назад +9

    Uyo mwanamke kamuloga mme wako dada angu adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie Mungu atakusimamia mamaa

  • @khamisally9559
    @khamisally9559 23 дня назад +32

    Huyo jamani bila kukamatwa na kuwekwa ndani huyo dada huwezi kupata haki zake. Wamkamate aekwe ndani kama wiki mbili hivi akili ndio zitakaa sawa. Huyu Julius ni mshenzi sana halafu anajifanya mtu wa Mungu. Ovyooo kabisa.

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t 22 дня назад +8

    Ila wanaume naishiwa maneno aiseee😢😢😢😢😢yaan ni viumbe hatar sana kwenye maisha yetu,,,,,,ndo chanzo ya kutukosesha aman

  • @brysonjohnlukumay
    @brysonjohnlukumay 23 дня назад +60

    Daah huyu mwanamke ana hekima mno

    • @innocentpaulchillu1512
      @innocentpaulchillu1512 23 дня назад +11

      Huwezi jua,anaweza akawa anaonekana anahekima kwa kumtazama lkn deep inside yuko tofauti kabisa

    • @mwanaidimrindoko4117
      @mwanaidimrindoko4117 23 дня назад +10

      Hapana mtu mwenye hekima anaonekana tu kwa mahojiano yote hayo changanya na maumivu Kuna ki jitabia angekionesha tu

    • @dismasdastan5493
      @dismasdastan5493 23 дня назад +3

      ​@@innocentpaulchillu1512uko sahihi wanao shabikia kwa kuangalia tu hawana familia na hawajawahi pitia haya matatizo....Ngoja wakue

    • @hemedmsella6496
      @hemedmsella6496 22 дня назад

      Wanawake ni waongo hakuna kitu kama hicho​@@mwanaidimrindoko4117

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 22 дня назад

      ​@@innocentpaulchillu1512kweli kabisa

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 23 дня назад +62

    Anaonekana amepata maumivu kweli , pole Dada

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 23 дня назад +35

    Pole sana mama, pengine Mungu amekuepusha na mengi. Kwa sasa hivi wewe Sali sana mtegee Mungu

  • @user-rh5iy3ei3g
    @user-rh5iy3ei3g 23 дня назад +53

    Huyo baba asubir kisasi cha watoto wake hatakaa amini maisha yake yote Kwa haya anayoyafanya mn wanamtizama mama yao anavyohaingaika kl siku kwny media 😢

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 23 дня назад +21

    Wanawake lazima tujikubali, na kujipenda . Kupewa talaka ndio mwanzo wa maisha mapya, simama na mungu atakupigania

    • @user-zx8fw3rx5l
      @user-zx8fw3rx5l 4 дня назад

      Dada weeee hujielewi wewe inaoneka una shida

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 23 дня назад +8

    Pole Sana Dada! Nakuombea umwachilie na kumtoa moyoni huyo jamaa na kumove on itakuletea shida mno na hata umauti pengine!! Move On!!

    • @ZakiaAhmedi
      @ZakiaAhmedi 22 дня назад

      Kwel amuachiye Mungu aanze maisha umpya ajifunze kutoka kwa Queen wa dr mwaka sas hivi anaishi maisha ya amani na furaha zaid tujifunze kutafuta mali zetu wenyew 😢

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 23 дня назад +32

    Pole sana mwanangu wewe. Ulipougua ndipo alipata mwanya wa kuwa na mchepuko, alidhani utakufa. Ninachoweza kukushauri, hembu mwachie hizo mali, angalia maisha mengine.Tafuta amani kwanza. Nyumba na magari vitabaki duniani huwezi kwenda navyo mbinguni. Mungu akutie nguvu na ujasiri, achilia, kama wewe ndio ulikuwa muongoza njia kwa hiyo nyumba hembu utulie utapata jibu.

    • @OmanOman-ns3iw
      @OmanOman-ns3iw 23 дня назад +2

      Wewe nimimi kabisa ninavyoipenda amani kuliko chochote

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 23 дня назад +3

      Akisoma hii comment naomba aitilie maanani

    • @OmanOman-ns3iw
      @OmanOman-ns3iw 23 дня назад +2

      @@ruqaiamohammed345 tena azingatie

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 23 дня назад +1

      @@OmanOman-ns3iw sana yan

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 23 дня назад +6

      Wewe hujui kabisa biashara. Yaani apambane maisha yote alafu mume wake achukue kika kitu na watoto wao waishi ya umaskini?! Ebu tumieni akili. Au wewe ni ndugu wa huo mchepuko?

  • @PrinceWandwe-bo2ps
    @PrinceWandwe-bo2ps 23 дня назад +27

    Huyu Dada yuko smart sana na kama anachokiongea kingekuwa ni uongo maelezo yake yangekuwa na mikato mikato mingi lakini anaonekana anaingea bila utata pole sana sister

    • @misschagga8042
      @misschagga8042 22 дня назад +4

      Kabisa ukimsikiliza tu unapata jibu shida ipo kwa mume na kimada kimeshikilia makali.

    • @amosstimamaroba1054
      @amosstimamaroba1054 20 дней назад +2

      Don't trust a girl in a first impression pls

    • @MansaMusa255
      @MansaMusa255 14 дней назад

      ​@@amosstimamaroba1054 uko sawa kabisa

    • @Siasia209
      @Siasia209 7 дней назад

      Wewe ndio utakua uyo mumewe maana umekazana kumsema dada wa wawatu​@@amosstimamaroba1054

  • @user-qh2bx5em6j
    @user-qh2bx5em6j 22 дня назад +4

    Dada Pole Muombe Mungu wanawake tunapitia mengi ya kuumiza. Mungu akufanyie wepesi

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 17 дней назад +14

    Duh mwanamke ukiwa na mali au akili ya pesa kuwa makini sana ,
    Sisemi zaidi

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 22 дня назад +6

    Pole sana, dhuluma huwa haivuki ng'ambo. Chukua haki yako hata kama ni ndogo, pambana kwa upya ni suala la muda huyo atarudi kwa magoti kuomba msamaha.. Ni jambo la kusikitisha sana maana mahusiano ya nyakati hizi bila Mungu kutangulia mbele ni disaster tupu. Nipange kwa upya, kikubwa uzima mengine yatakuja.

    • @user-xx4wb9yo9p
      @user-xx4wb9yo9p 15 дней назад

      Dada usiari mm Happ niliacha Kila kitu ila nilibeba wanangu tu lakini kwa Sasa ninamiliki majumba mawili na gari yangu vyote nilivyomwachia viliisha lizika atakachokupa mungu atakiongezea vingine hutaamini

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 23 дня назад +17

    Dada yupo Mungu mtegemee tu UTASHINDA VITA SI VYAKO NI VYA BWANA

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 23 дня назад +14

    Pole sana dadangu wachana na yeye kubali talaka mgawane Mali.
    Wewe ni mpambanaji and l believe you can do it.

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 23 дня назад +22

    Mwanamke mwenzake kapindua meza daaah

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 23 дня назад +6

    Pole mbona Mungu ni mwema sana anakuepusha na jambo fulani❤ shukuru sana

  • @naomipieter4627
    @naomipieter4627 23 дня назад +4

    Mtulie mimi mjane namshukuru mungu mume miaka 24 yandoa katwaliwa kaend kwa amani .maisha yaha

  • @Ontuzu
    @Ontuzu День назад +1

    Kwenye haya maisha usimsikilize mtu mmoja wasikileze wote yawezekana akija kuongea mwanaume aliyopitia kwa huyo mama tutabaki mdogo wazi ogopa sana mtu anayeongea huku analia au anayeongea kwa upole ni nyoka

  • @katobirch4759
    @katobirch4759 10 дней назад +6

    Snake snake then you snake cut left, sheria mpya inahitajika huwezi kuwa billionaire kwa kuosha vyombo wazee wa Cuba gonga like hapa

    • @janethhipolite1774
      @janethhipolite1774 3 дня назад +1

      Mikopo jamani..Haujasikia hapo amesema walikopa milioni 250 sijui

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 23 дня назад +5

    Utashinda dada mungu atapigana hv vita huyo malaya anayekula n huy mwanaume omba mungu atawaua wote huyo mwanaume hana mda mrefu lazma ataanguka chini

  • @ididitagainn
    @ididitagainn 16 дней назад +2

    Bora nipatane na mwenye zake na mimi niwe na zangu upendo tu utupnganishe mambo yakutafuta wote mwishoni ni maumivu maana anaeonekana mtafutaji machoni pa watu ni mwanaume mwanamke anaonekanaga ameolewa tu kumbe wengi ni 50/50 hakuna mwanaume mwenye pesa zake ana mke shepu au sura …wanasema ndege wanaofanana huruka pamoja ilakwasababu mwanamke anamuacha baba awe kichwa badae mwanaume anatumia njia hio kutapeli wakati utakuta apo yeye ana 45% huyu dada ana 55% yuko very calm and clear hajapanic kama anataka watu tumuone huruma …she speaks from her heart

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 23 дня назад +10

    Pole sana ,lakini ujue tuu kua kanuni ya ki Roho Bado wewe ni mke halali wa Julius Hadi Leo ,ndoa haivunjiki kwani hakuna serikali yoyote duniani ilioanzisha ndoa ,ndoa ilianzishwa na Mungu mwenyewe ,mahakama za Dunia zinafanya kuachanisha ki binadamu tuu lakini sii halali kwa Mungu Neno la Mungu Soma Marko 10:1-12 mjue tuu kua Kila alie ingilia ndoa ya mtu yeyote awe mwanamume au mwanamke ajue hukumu inamngoja yeye na huyo aliekubali kuivunja ndoa ,moto upo na Wala faraja ya dini haimwokoi mwanadamu kwani wote watahukumiwa na Neno ,,kilicho fanyika hapo Dadaangu ni matokeo ya Uzinzi haswa wanandoa kutokua waaminifu na nguvu ya Mungu ukajitenga kusaidia kwani shetani hutafuta makosa Kisha kuharibu,uchawi umehusika Sana kuharibu ndoa za watu haswa endapo wewe dada au mumeo alishawahi kukosa uaminifu kwa mwenzie ,inahitajika binafsi umjue YESU na awe mwokozi wako Kisha uzame kwake na ugeuke kwa kuziacha dhambi zako Kisha samehe halafu omba Mungu aingilie kati ndoa yako,hata ukiolewa Leo Sheria ya Mungu hairuhusu uolewe Tena Hadi kifo kitenganishe watu wanakiuka Neno kutokana na kiburi na fedha imenunua haki za watu lakini Neno linadumu Milele ,dini pia hazisemi ukweli wa Neno na ndio maana zimeacha ukweli wa Neno na kuweka taratibu za kidini na madhehebu .Mungu aku tetee .Amina

    • @MansourKabuhaya
      @MansourKabuhaya 20 дней назад +2

      Sasa ndoa ni nini??? Kama mke na mume Hawako pamoja wala hawashiriki, kuna maana ya ndoa hapo?? Au wewe una maana nyingine tofauti na hiyo kuhusu ndoa??

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 15 дней назад

      Ndoa ni muunganiko wa wawili ,mtu anapomuacha mwenziwe ni sawa na wewe kula chakula kwenye sahani Kisha ukaweka na makombo ulioyatafuna halafu unampa mwingine ayale ,nadhani utakua unafanya kosa Sana na dhambi kubwa ,ndugu ujue kua mke wa mtu haolewi na mtu mwingine hata Kama waliachana Bado kwa Mungu ni mke halali kabisa ,sii Mungu ameachanisha Bali ni kiburi cha dhambi ,uovu na tamaa ya mambo ya Dunia na kupenda sifa umaarufu na kupenda fedha ambayo ni chanzo Cha maovu yote, usije ukaolewa na mume alieacha mkewe ,ni dhambi ,Wala usithubutu kuoa mke alieachana na mumewe ni dhambi na Mungu anawaita ni makahaba hata Kama mlifunga ndoa ,hapo mmedanganyika Sana ,mbele za Mungu hukumu ipo na moto unawangoja wote walio achana hata Kama unatoa sadaka kiasi Gani (Mungu ha hongwi kwa lolote ) unathubutu vipi kuoa mke wa mtu na wasichana wapo wengi kiasi hicho ? Unaolewaje na mume wa mtu na vijana wapo wengi hivyo?? Neno la Mungu Linasema usizini ,mpende jirani Kama nafsi yako ,Wala usitamani mke wa nduguyo ,jirani yako Wala mjakazi wake Wala punda wake ,Sasa Kama hivyo ni dhambi je!! Wewe ulie oa na kuolewa unajionaje huoni umesha hukumiwa ???

  • @user-lo6wd9fj6k
    @user-lo6wd9fj6k 23 дня назад +6

    Pole sana ndugu yangu , mm yalinikuta hayo mwanaume aliniacha bila hata100 alificha kila kitu akijua ananikomesha kisa kapata askali mwenzie mpaka godolo kweli inauma usiombe yakukute lkn Mungu alinifungulia njia niko vzr zaidi yasana ,shukuru Mungu malipo nihapa hapa vitu nivyakupita hivyo

  • @emmanuelmanga25
    @emmanuelmanga25 22 дня назад +11

    Mnaosema maneno ya kumshutumu mwanaume, mnajua magumu aliyopitia kwenye hiyo ndoa?, mmesikia upande wake anasemaje?.
    Mm nipo katikati, sijui yupi atakuwa na sababu maalumu.

    • @FranklinMtei
      @FranklinMtei 22 дня назад

      101%

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад +1

      MUNGU nisamehe matatizo ya ndoa hayapelekwi kwenye mitandao turudi kwenye Mila na desturi zetu Kuna suluhu huko

    • @bintnouh4483
      @bintnouh4483 20 дней назад +1

      nyie ndo walewale

  • @user-fx5ks2qc3u
    @user-fx5ks2qc3u 23 дня назад +9

    Inaumiza sana, sana,, daaaa... Aiseeee.. Wanaume, wanaume, wanaume.. tatizo. Nini???

  • @TumainiNjema
    @TumainiNjema 22 дня назад +3

    Dada anaongea Kwa hekima Sana ingawa anadai Haki yake lakini Bado anaonyesha unyenyekevu. Mungu amsaidie apate haki zake. Aamen .

  • @joyce55727
    @joyce55727 23 дня назад +6

    Dada yangu najua ni uchungu sana pia mm niliyapitia km hayo miaka 10 iliyopita na sasaiz hanipati kwa mafanikio km Mungu ndie mpaji basi atakupa zingine ili uepushe roho yako kubal tu hizo unazopewa anaweza kukumaliza huyo mtalaka wako

    • @joyce55727
      @joyce55727 23 дня назад +1

      Km kuacha mali zako ni zambi bas Mungu atakusamehe endelea kumuomba Mungu pia pambana bola upate zako uish kwa amani unaweza ukazipata hizo mali unazo taka kutoka kwa mtalaka wako lakin usiwe na aman najua unaumia sana ila jikaze

    • @user-lo6wd9fj6k
      @user-lo6wd9fj6k 23 дня назад

      Kabusa

  • @user-cq9cm2hu3z
    @user-cq9cm2hu3z 22 дня назад +2

    Dada Mlilie mungu wako wewe muachie mungu afanye kazi yake piga goti kwa mungu atakusikia

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 23 дня назад +24

    Ongeza maombi Dada Mungu ni mwema

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 23 дня назад

    Pole sana dada.mungu atakulipia hapahapa duniani.usisikitike sana.mungu akupe afya na wanao na akufanyie wepesi kwa kila jambo.

  • @JumannehassaniomaryJumannehass
    @JumannehassaniomaryJumannehass 22 дня назад +3

    Utapata mume namtapendana namaisha yatasoga I'm formo Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 22 дня назад +1

    Mwandishi hongera sana umeuliza swali mzuri kusikiliza upande mmoja na kuhukumu ni mbaya ninachokiona mwnaume amemua kupambana(kimyakimya kiume.huenda dume limetendewa kitu kizito akaamua kupambana kimya kimya🎉🎉.uyu dada anaharibu ndoa yake na watoto aache kuhamgaika na media atafute suluhu Kwa njia salama sio kuongea mambo ya familia yake hadharani makokosa makubwa anaendelea kutenda

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад

      Penda sana point yako ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉ni aibu kutoa mambo ya ndoa mitandaoni naona Kuna mtu anamdanganya hu mwanamke, hongera ya mwanaume kuwa kimya, aibu hata watoto unyimwe Kuna shida

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 22 дня назад +4

    Wanaumeee tunapigwa juuu chinii😢😢😢 uyo mama anaonyesha ni mjeuri sana 😢😢😢

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 20 дней назад

      Sasa kama mjeur si ampe Mali zake😊

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 20 дней назад +1

      @@aishajuma18 unauhakika ni zake

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 20 дней назад

      @@golebenson4597 Kumbe za kwako

  • @zainabumohamed4763
    @zainabumohamed4763 22 дня назад +4

    Anavyosema dada mrembo neema ,kwa upole jamani😢

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y 23 дня назад +9

    Balance story sio kusikiliza upande mmoja tu, pia pata wanasheria watafsri. Please grow

    • @Kisimatigin
      @Kisimatigin 23 дня назад +5

      Tena unaweza kuta jamaa anapitia magumu sana hawa waone tu wanaongea kwa utulivu ni nyoka akili kisoda

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 22 дня назад

      Na angekuwa na hekima asingeenda kwenye vyombo vya habari, Wala kwa mkuu wa mkoa wanaume tunapitia mengi zaidi

    • @barakangila9856
      @barakangila9856 22 дня назад

      Nikweli

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад

      Ndao zikishafika kwenye mitandao kurudia ni ngumu na hata wskirudiana amani hakuna, kwani huko hakuna mabibi, mashangazi, wajomba, baba mkwe na mamamkwe na ukoo? Aibu, na mali ni Nini kwani kwa MUNGU tunaenda na kitu, achane na hayo mambo ya mitandaoni ni ujinga

  • @shadrackdeogratius6760
    @shadrackdeogratius6760 23 дня назад +5

    Mpaka mwanaume aongee ndio tujue ukweli, wanawake wengi wanajua kulalamika, ila ukija kuchunguza mwanamke ni jau .mpaka mwanaume afanye maamuzi magumu ujue mwanamke ametaka nafasi ya mwanaume ndani.alafu Sasa hivi anatia huruma,ila hyu mwanamke Kuna majuto ya ndani.kwa wanao jua sychology

    • @salehekisebengo8554
      @salehekisebengo8554 22 дня назад

      Kweli kabsa ndugu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад

      Usema Lina ukweli na huku anajidanganya hakuna haki bali ni kujidhalilisha na kuongeaz chuku

    • @innonyange6482
      @innonyange6482 21 день назад

      Kweli ana majuto, anajua alifanyalo

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 20 дней назад

      Kunamtu anakoment Sana namuhisi ndio mchepuko wa julias😅mwacheni apiganie haki yake

  • @user-gy3dv3tq8d
    @user-gy3dv3tq8d 23 дня назад +5

    Wewe dada achana na hizo mali utakufa bule uache wanao wanateseka bora umuachie tu pambana upya muogope sana mtu anae kaa kimya usije poteza.maisha bule

  • @alexwatae3165
    @alexwatae3165 23 дня назад +6

    Dah!! Pole sana Wanawake wenye hekika kama hawa kwa sasa Hawapo.. nimependa busara yako

  • @nancyyesse1380
    @nancyyesse1380 18 дней назад +1

    One strong thing is ,ukiacha mali yako ipotee bila kupambana ni dhambi…pambana ikishindikana let it go ,karma is gonna hit him so baaad 📌

  • @habibamaguru2722
    @habibamaguru2722 23 дня назад

    Pole sana mwanamke mwenzang umepita kwenye mapito mungu pia atakusimamia kwa hili kazana sala na maombi

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 22 дня назад +2

    Daaah pole sana dada, wanaume muda mwingine sijui tunafeli wapi 🤔.

    • @MouhammedSeif
      @MouhammedSeif 19 дней назад

      yaan ata mm suali kama hilo najiuliza

  • @lindaabraham5365
    @lindaabraham5365 7 дней назад

    Pole sana, afya pekee ndiyo mtaji, kama una afya njema inuka pambana tena. Pambania tu hiyo nyumba msigawane basi magari na vingine mwachie kama sio haki yake vitapukutika vyoteeee. Mungu atakubariki atakupa zaidi. Ogapa sana watu wanaopenda mali kupita utu wanaweza kukufanya lolote baya.

  • @Siasia209
    @Siasia209 7 дней назад

    Ooooh!pole sana dada mshkuru Mungu Allah atakulipia malipo ni hp hp Dunian

  • @wilfredcalist4735
    @wilfredcalist4735 14 дней назад +1

    Hakimu wa pekee ni Mungu tu. Jipe moyo aliyekubariki atawajibu wote waliokudhulumu.

  • @julianamasato5655
    @julianamasato5655 22 дня назад

    mama pole sana jasho lako haritapita bure ,kunasiku ataripia .usione mungu abacherewa kujibu maombi enderea kuomba kwa imani .

  • @josephkate3664
    @josephkate3664 23 дня назад +8

    Ni kusikia upande mmoja inawezekana aliekuwa mumewe akikueleza unaweza shangaa

    • @shadrackdeogratius6760
      @shadrackdeogratius6760 23 дня назад +2

      Ukweli,ukiangalia uso wa hyu mwanamke unajua TU kuwa anampanda kichwani jamaa,et aliuza bila idhaa yangu😢😅

    • @monalisaally4387
      @monalisaally4387 23 дня назад

      Kwakweli

    • @user-wk1ix1gm1p
      @user-wk1ix1gm1p 22 дня назад

      Sasa si ndoazungumze tumsikie

    • @veromwanji
      @veromwanji 22 дня назад

      Hakika mambo hayo ni Siri , mwenyezi mungu ndio anajua

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад

      ​@@user-wk1ix1gm1phuyu mwanaume hapendi mambo ya mitandaoni ndio maana Yuko kimnya,

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 23 дня назад +3

    Mali ni shida wanaume wakipata basiii mnatafuta kwa shida kubwaa sana baadae anakimbia anakula na kimada baadae anarudii uwiii😢

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 21 день назад +2

    Jamaa Amekosa Mke..
    Yani Mke kweli...Mke Mwenye Akili nyingi Sana...hata Atakaempata Bado Ni Mke Mwema na Bora sana..Anaitaji faraja na Matunzo..na kumsahaulisha hote yaliyopota na kuanza Maisha Mapya.Allah Amfanyie Wepesi In sha Allah .

    • @MansourKabuhaya
      @MansourKabuhaya 20 дней назад +2

      Umetumia vigezo gani kumuona ni mke Bora na mwema?? Unamjua mke Bora wewe?? Acha kucomment ushamba, kisa umeona ongea yake tu keshakuwa mke bora, je vigezo vya kuwa mke bora vinasema akiongea vizuri tayari mke bora sioo??? Acha ufara

    • @danielgadiye7983
      @danielgadiye7983 14 дней назад

      Bro fanya research utanishukuru mwanamke anatoka kufanya unashuhudia kwa macho yako piga ua anakuambia sijafanya aliyekuambia kaachwa kwasababu ya tamaa ya mali na mumeo kakupoteza so kweli mama kanyanyua mguu mzee kasanda mama anataka huruma na jamaa haelewi kuhusu hilo wanataka wapelekewe moto then wabaki kwenye ndoa zao hiyo kitu hakipo bro hakuna mjadala juu ya nani mwenye haki ya kutoka nje ya ndo ni baba tu katamani kwasababu tumeumbiwa tamaa wao wameumbiwa kupenda

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 21 день назад

    Mungu akulinde mama , mmmhhhh siku hizi mali zinaua, mtangulize MUNGU kila upitapo .

  • @user-br7sf6ey9t
    @user-br7sf6ey9t 23 дня назад +5

    Polesana mlembo ila uyojamaa iposiku atakujutia sana maana wewe nimwanamke aseee amepoteza

  • @AllenMwafilombe
    @AllenMwafilombe 21 день назад

    Pole Sana Dada Mungu atakusimamia kwani unaonekana mcha mungu komaa kwani bado unaishi utafanikiwa

  • @saimalunde4002
    @saimalunde4002 23 дня назад +1

    Ndugu wakiingilia familia mambo ndio kma hya aiseee namshukuru mungu nina maisha yangu yakujua mimi maana hta maisha ya kakangu na mkewe sijui wanaishi vip😂i😂😂😂

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 22 дня назад +1

    Pole Sabina Mungu akutetee aisee

  • @gambigambi7254
    @gambigambi7254 22 дня назад

    Pole sana sabi but ni kujifunza kutozidgarau alama hatarishi inaonesha huyo baba ali move on kitambo but ulimpenda zaidi mwenzio ktk Safari yake hakukujumuisha na pili hukushtuka ktk structure ya kampuni na hisa alikuzunguka just move on mtangulize mungu mapenz yalikupofua mungu yu hai usipojihurumia wanao watakukosa cuz ur still grieving the guy wanted u out mungu kakupenda utazeekea court unaonekana mpambanaji kaanze upya
    Tu my dear

  • @user-uy7km2gh3k
    @user-uy7km2gh3k 22 дня назад

    Dah! Wanaume wanaume wanaume jamaniiiiiiiii.
    Pole dear tena sana na Mungu akuteteee huko kupooza kusiongezeke kwa ajili ya mawazo.
    Km ni kweli usemayo, tunamwamini huyu Mungu aliye hai, anayeona hata tusiyoyaona sisi alotuumba. Atajibu kwa wakati.

  • @salmanyangasa1171
    @salmanyangasa1171 22 дня назад +1

    Dah! Acheni TU Dida aishi mwenyewe Wallah...wanaume wanakua binadamu mkiwa hamna pesa mkipata TU hua zaidi ya mashetani maana hufanya mambo ambayo hata shetani huyashangaa mh

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 23 дня назад +3

    Huyu mwanamke ana nyota akiachilia mambo aanze upya atafika mbali na huyo mume atalose kila kitu

  • @edwardzakayo8023
    @edwardzakayo8023 4 дня назад

    Mkuu wa mkoa amsaidie huyu Dada inaumaa sana mali kichuma wote alafu mwanamke mwingine atawale hata mungu hapendi

  • @senziashwaibu3219
    @senziashwaibu3219 20 дней назад +2

    Huyu mwanaume nmemuelewa sanaa kawahi mapema kuchukua chake mapema ila huko alipoenda aangalie atapigwa na kitu heavy atajuta maishani

    • @user-gj2mm3ko8m
      @user-gj2mm3ko8m 18 дней назад

      😂😂😂😂😂Kweli umesema

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 18 дней назад

      Wanaume huwa hatuachi kiurahisi ukiona hivi mwamba alishaona mbali

    • @FrankDavid-en6on
      @FrankDavid-en6on 11 дней назад +1

      Kweli kabisa wanawake hawaeleweki anaweza kuongea ukahisi yupo sahihi

  • @delverosedastan5730
    @delverosedastan5730 15 дней назад +1

    Mungu wa mbinguni akusimamie haki yako itasimama daima kwa jina la Yesu

  • @benedictamuya1437
    @benedictamuya1437 23 дня назад +2

    kata rufaa kwani sioni kutendewa haki hapo kwenye mgawayo, pili mgungie novena ya soku tisa Mungu atayakibu maombi yako, pole mno mama

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад

      Novena ya siku tisa kama ana kosa nae kidogo tuu nae itamdhuru kuwa Malini na kitu novena

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 23 дня назад

    Mungu akufanyie wepesi upate haki yako dada angu

  • @user-un8si7wk1z
    @user-un8si7wk1z 19 дней назад

    Dada yangu pole sana, mwachie Mungu , usipiganie Mali mwenyewe, Mungu atakupigania

  • @mwikalijosephine5178
    @mwikalijosephine5178 23 дня назад +4

    Weee meaning this man was there for wealth not marriage

  • @shelizaomary2536
    @shelizaomary2536 4 дня назад

    Mwenye haki haachwi...pole dada...Mungu atakupigania

  • @Moviesquee
    @Moviesquee 23 дня назад +3

    Pole sana

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 18 дней назад

    Pole mpnz Mungu akusimamie

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv 23 дня назад +5

    Nisa hihi hakuna kudhulumu au kudhulumiwa allahu amesema

  • @priscasway3492
    @priscasway3492 18 дней назад

    Pole sana dada mungu atafanya jambo juu yako

  • @SallyMinja
    @SallyMinja 23 дня назад +1

    Wanawake hatupendani kabisa,utakuta huyo Neema anaenjoy mwenyewe sahivi hajui wawili hao walitafuta,jasho la mtu hilo halafu akumbuke kuna kesho,you loose them how you get them😅

  • @margrethemanuel7501
    @margrethemanuel7501 9 дней назад

    Mim jamani narudiaaaa...staki maskin mim kabsa...shindwaaaa pepo la maskin, shindwaaa, kweli Mwenyenz Mungu niepushe na mwanaume/ rafki maskin

  • @lotusnathan5918
    @lotusnathan5918 20 часов назад

    si vyema sana kuamin kila kitu hasa kusikiliza upande mmoja,wanaume wanapitia meng,wanaume wanacheat sana lakn mke ukijielewa hawez acha familia

  • @scholarmassawe6380
    @scholarmassawe6380 22 дня назад

    Dada Jamani Mungu akukutetee Mungu akufanyie njia hajawahi shindwa kabisa jipe Moyo najua unapambania hatima ya watoto wako. Mnganganie Mungu haswa

  • @user-us4fe5lg8t
    @user-us4fe5lg8t 21 день назад

    Pole sana najiona kabisa mimi hapa

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 22 дня назад

    Pole san hakika ila mwanamke mwanamke usiruhus mwanamke mwenzio aliye kwa sababu yako my dear tafuta chako kunuwa maji ya kisima chako mwenyewe tuache maisha ya kulaaniwa na watu

  • @elymsakuzi6493
    @elymsakuzi6493 4 дня назад

    Pole sana mama lakn natamani nimsikie baba amepitia nn pia

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 22 дня назад +1

    Mwanamk awez kukuacha bila sbb Kuna kitu kizto hapo unaweza ukawa mpole wa muonekano lkn moyon wee acha tu sema maisha au ndoa Zina Siri kubwa....Sasa ulivyo mpole Mzur hivi jamaa anashndwa kurudiana nww Kuna kitu hapo chin ya kapet

    • @WinfridaFabian
      @WinfridaFabian 20 дней назад

      Chin ya kapet yupo malaya mbona jibu simple

  • @jameslaiser6276
    @jameslaiser6276 22 дня назад +1

    SHERIA Haitaji SIASA....Makonda anaendesha mambo kwa mihemko na Sifa...Sasa Dada kaambulia nini zaidi ya Talaka?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 22 дня назад

      James hakuna amani ya ndoa kwenye mitandao, Kuna jambo haliko poa tunakimbilia kwenye kwenye issue ya ndoa kweli?

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 23 дня назад +1

    Daaaah i can feel your pain 😢😢

  • @arnoldrwekaza2265
    @arnoldrwekaza2265 22 дня назад +3

    Chanzo cha Julius kuondoka home ni kikubwa muno. Mambo hayawekwi wazi

  • @consomaslani7522
    @consomaslani7522 5 дней назад

    Kwahiyo hapo watoto hajapata chochote mungu atie nguvu utapata zaidi nae atafilisika tu

  • @magerebudodi8471
    @magerebudodi8471 14 дней назад

    Nasema mali fedha vyote ni vya kupiata duniani thamani ya utu ni muhimu. kama umetafuta na mke wako kwajili yake na watoto wako. Kwanini wengine wakale bila jasho. Mimi nilisha sema. Mungu anipe azidi kunipa hekima sana. Sipendi kuona mwenzangu anapitia maumivu wakati tumetafuta wote. Vyote ni kwajili ya familia sio watu wakuja wapya maishani mwetu. Tena ukiwa umepewa mwanamke mcha Mungu unataka nini kingine zaidi.

  • @StelaJohn-nj5yf
    @StelaJohn-nj5yf 23 дня назад +1

    Dada kesho nenda viwanja vya Mageleza Kisongo..Kamuone Pastor Ezekiel

  • @user-gn7xd1yg3t
    @user-gn7xd1yg3t 23 дня назад

    Dada pole sana kama unajasho lako ktk Mari hizo ila jamani sis wanaume tuelewe kitu wanawake wanaoijiua Mari wako active sana ila wanakujaga kupoteza ramani baada yakujikuta wao ndo kila kitu kwani wao huwa wanahesabia Faida tu ivo ukizembea kuwasikiliza mambo huwa yanakua kizungumkuti sana lakini kuna haja yakuaminiana kama mmefikia kuzaa watoto wa3 ninyi ni ndugu wa damu, pia kaka hawa wanawake wanaotupenda tukiwa tayari tunamafanikio lengo Lao ni mafanikiona sio maisha ivo tujiadhari kuwatio machozi tuliofanikiwa nao ktk nyakati ngumu.

    • @YosephaSwai
      @YosephaSwai 22 дня назад

      Shetani yupo kazini kwenye eneo la ndoa.Watu hawapo makini ila hili eneo limevamiwa sana na source ya yote ni sisi wanawake wenyewe kuingilia mahusiano au ndoa za watu wengine .Hapo ukute mwanamme anafanya maamuzi kwa shinikizo la neema kwa sababu ninachoamini kwa mtu mwenye akili timamu ambaye kweli ulimuoa mke wako na mkazaa na watoto hata kama mnaachana ni mnaachana kwa amani na kwa kuangalia ustawi wa watoto wenu.Niaminivyo mimi kama mwanamme amemchoka mwanamke huwa anaondoka kutafta amani kama ndio ilikua haiwezekani tena na hutaona anadhulumu chochote kwani anajua vyote hivyo ni vya watoto wake.Na kuna ambao mapenzi yanakua yameshakufa lakini for the sake ya watoto unakuta wanatafta namna nzuri ya kuachana pasipo kuwaathiri watoto.Nina kesi nyingi za namna hii nimekutana nazo za ndoa kuharibika lakini ukimuangalia mwanamme anachofanya unajua kabisa sio akili zake. Wanalogwa bagamoyo kila kukicha wanawake wanakesha huko kuwaloga maskini akimuangalia mkewe anaomuona kama Paka mwizi.Na wanaume wanatakiwa kutumia akili ya kawaida tu kuwa kwa mwanamke aliyekupenda kwa dhoti hawezi kuikubali nyumba ambayo hakuijenga au Mali ambayo hakuitafuta ,kama anakupenda kweli atakushauri mkaanze upya na alivyokukuta navyo uwaachie watoto wako na mke wako ,hapo ndio kinakua kipimo pekee cha mwanamke huyo mpya kumjua moyo wake na mawazo yake.Lakini ukiona anang'ang'ania hata visivyo vyake na wala hajali ustawi wa watoto wako ujue hata wewe hakupendi ana kitu kafuata kwako.Wanamme stukeni jamani mnalishwa vitu vya ajabu fahamu na akili zinaharibiwa.

  • @user-go5wb2pi2i
    @user-go5wb2pi2i 18 дней назад

    Dada pole sana achia moyo wako yote ni mapita nakuonea huruma asije kukutoa roho huyo xmume😢

  • @paulmwacha3897
    @paulmwacha3897 10 дней назад

    Sabrina mm mwenyewe alinitapeli Viatu hapa orsini wangu jamani kiatu cha elfu 50 kweli kanisa alipita hapa dukani akaniambia nimpe kiatu mpaka leo simuoni jamani

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 23 дня назад

    Pole dear 😢😢😢 utasimama tena

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 22 дня назад

    pole sana mume mwenyewe aliekuoa mbona alikuwa mzee