Mimi shekhe Othman Michael huwa ananifanya niipende uislam nampenda kwasababu ni mnyenyekevu sana huyu kaka mungu akutunze akupe umri mrefu kwa unyenyekevu aliokupa mungu
MASHALLAH : Ndiyo maana mimi maishani mwangu mimi najivunia kuwa muislamu,, MASHEKHE WETU : ALLAH AWAPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA,, na kila atakaeitikia amin
Asalam alaykum, shukran sana masheikh wetu kwa kutuonesha dawa za kiasili lkn hamkutuambia jina la mti huo mliouchuna! Tafadhali ningependa mtuambie jina la huo mti. Asanteni.
mashaallah ni kweli Jamani tuisome quran na tuifanyie kazi yani kunasehem ukisoma hata kama ulipon kuna wachawi wengi vihi hawahuwez kwa idhini yake Allah kupitia quran
Sheikhuna, assalaam aleiqum, w,llahi wabaraqaatuh, shuqran wallah kwa tiba nzuri kabisa na nazidi kufwatilia ila nna swali kidogo, je huu mbaazi wenye wamaanisha nihuu wenye sisi wakenya twaufahamu au nigani labda kiuhalisia, afwan.
Aslm alykum warahamtulah wabaraktuh masheikh wetu ...naomba mtufungue macho huo mti mkuu jina lengine ...unaitwaje,,,tumeskia mkunazi Masha Allah iko tele kwetu Kenya ila huo mti mkuu kwa jina lengine mutuambie tafadhalini ili tukomeshe wachawi apa kitaa Cha kwangu balaa atari wako tele....
Shehe mimi ni mkenya naumba duwa biashara yangu sipati wateja,,,mambo yangu yote yamekwama.mtoto wangu pia akaa msisha ya kung'ang"ana hadi hawezi nisaidia .naomba dua kwa heshima zote milango yangu ifunguke.
Asalamu alekum sheikh athuman sheikh jaifar nikepenada sana kumualeza sheikh athaman sheikh mm nimejaribi sana kuwasiliyana na ww hatanikafukasafari kujahuko lakini nalupofika Dar salam mawasiliyano mm na ww ikabadilika sauti ikawa si ww na nalio abiwa nifane yalinishaza sana so vip kukupata
Tunaomba mtupe jina lengine kuhusu huo mti mkuu masheikh wetu wachawi washenzi Sana ili tuwachepe vibao usiku na wao..... Allah anatulinda twashkuru 🙏......... Allah awalipe kheri fii dunia Wal akhera 🤲
Bismillah maishaallah Asanteni kwa elimu masheikh zanguu,lakini Kuna kitu kinaniumiza kichwa kuhusu kuoga maziwa sio Haram?kwa akili yangu Naona kama chakula naharibu,😢nitoweni huu wasiwasi inshallah
Ndugu @Saebajomba,usichanganye madawa huo mti alouzungumzia zaidi siyo mbaaz na naimani haupandwi ni mti pori....japo na mbaaz pia katoa sifa take na miti mingine,,, inshallah nilikuwa nakukumbusha hilo tu
Jina la mti huo kwa kiswahili unaitwaje nasi tulo mbali tujisaidie tafadhali sheikh wangu naomba utujimbu tujue maana nasi pia tuna madhila sheikh please.
Mmmm hii siyo ni uchawi tu Kama uchawi mwingine Ukweli ni kwamba jina la Yesu ni top katika ushirikina asilimia kubwa uwo Ukweli amtaki kuusikia ila ndivyo ilivyo
Mimi shekhe Othman Michael huwa ananifanya niipende uislam nampenda kwasababu ni mnyenyekevu sana huyu kaka mungu akutunze akupe umri mrefu kwa unyenyekevu aliokupa mungu
allah awaongoze inshaallah muendeleee kutupa elmuu inshaallah
Allah amrehemu Huyo mzee ampe Nuru njema ktk Kaburi lake
.
Nawe na ustadh awape nyingi heri
MASHALLAH : Ndiyo maana mimi maishani mwangu mimi najivunia kuwa muislamu,, MASHEKHE WETU : ALLAH AWAPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA,, na kila atakaeitikia amin
Hii video hata wachawi wanaangalia kwaiy wanachukua tahadhar
Amin
@@KASSIMFUNDSIMU🤣🤣🤣🤣
😅😅😅@@KASSIMFUNDSIMU
@@KASSIMFUNDSIMU mwenyez mungu awangamize wote.
Asalam alaykum, shukran sana masheikh wetu kwa kutuonesha dawa za kiasili lkn hamkutuambia jina la mti huo mliouchuna! Tafadhali ningependa mtuambie jina la huo mti. Asanteni.
Mashallah nimeipenda sana hii Allah awape umri mrefu mashekhe wetu amin.
Mashaallah Mwenyzi awahifadhi mpaka pumzi zenu za mwisho inshaallah
Aamin
Amin
Shegh othman Allah bless you ❤ukiongea huna papara mardhia mashaallah nakupenda bure kaka
Aslam aleyku sheykh othman mungu akuhifadhi inshaa allah❤
Jazakumullahu kheyr. Allah akulipeni kheri mufanye tiba kwa ajili ya Allah. Aaamin
mashaallah ni kweli Jamani tuisome quran na tuifanyie kazi yani kunasehem ukisoma hata kama ulipon kuna wachawi wengi vihi hawahuwez kwa idhini yake Allah kupitia quran
Aa shukran jazakallah kheir nahitaji sanaa tu kufanyiwa dawa sijui lini muniambie sheikh Othman na sheikh jaffar
mashaallah,allah,awalipe,ningepeda,dawa,yenu
Shukraan sana mashekhe zetu Allah awajaalie pepo❤❤❤
Aamin na ss
Mashaallah tabarakallah Allah akuhifadhi Sheikh Osman
Shekhe nakupnd san ndugu yangu kwajili ya allah jalla jallalli allah akupe uzima na umri mrefu inshaalalh
Amen watumishi wa MUNGU ❤
Sheikhuna, assalaam aleiqum, w,llahi wabaraqaatuh, shuqran wallah kwa tiba nzuri kabisa na nazidi kufwatilia ila nna swali kidogo, je huu mbaazi wenye wamaanisha nihuu wenye sisi wakenya twaufahamu au nigani labda kiuhalisia, afwan.
Aslm alykum warahamtulah wabaraktuh masheikh wetu ...naomba mtufungue macho huo mti mkuu jina lengine ...unaitwaje,,,tumeskia mkunazi Masha Allah iko tele kwetu Kenya ila huo mti mkuu kwa jina lengine mutuambie tafadhalini ili tukomeshe wachawi apa kitaa Cha kwangu balaa atari wako tele....
Mbaazi
@@SalimSalim-ec9jo Shukran sheikh salim
@@SalimSalim-ec9jo mbaazi unaozaa mbaazi ama
Hata mm natamani kujua mbaazi unaotoa mbaazi za mboga sijaelewa
Shehe mimi ni mkenya naumba duwa biashara yangu sipati wateja,,,mambo yangu yote yamekwama.mtoto wangu pia akaa msisha ya kung'ang"ana hadi hawezi nisaidia .naomba dua kwa heshima zote milango yangu ifunguke.
Kwa bukoba naipata wapi shekh m.mungu awabariki saana inshallah
Shukran ma sheikh Allah awazidishiye kila lakheri
Masha Allah, sheikh mm nahitaji unitumie huo mti Kenya, ama nije tz kuonana nawe na kuuchukua
Asalam aleikum mawaidha mazuri❤❤❤❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉
Asalam.aleykum shukrann sn SHEIKH othmann ila nashid naww nakupataj
Asalam aleykum Allah awahifazi nakila shari nauliza kidogo jee huo mti dukani unapatikana na km upo unaitwaje
Assalamualaikum warahmatulah wabarakatuh shekhe naomba utuonyeshe na majani yake pia😢😢😢😢😢😢😢😢
Kweli kwa sababu hatujui huo mti vzr
Asante Sana Allah akulipeni Duniani na akhera inshallah
Maashaallah maashaallah shekh athman
Asalam aleyku sheykh mungu akulinde
Shehe nakuelewa Sana katika tiba kuliko dr sule wallah,,,na Alhamdulillah haina majigambo
Mungu awajalieni kwakutufahamisha mungu atupe maisha malefu
Ninaamini sheh wachawi wabayasana
Allah atawalipa inshallah
Asalamu alekum sheikh athuman sheikh jaifar nikepenada sana kumualeza sheikh athaman sheikh mm nimejaribi sana kuwasiliyana na ww hatanikafukasafari kujahuko lakini nalupofika Dar salam mawasiliyano mm na ww ikabadilika sauti ikawa si ww na nalio abiwa nifane yalinishaza sana so vip kukupata
Mashallah tabaraka llah 🥰🌹❤️❤️❤️
Asalam Aleikum sheikh naomb jina la huo mti naomb sana
Allah akuhifadhi vipenxi va Allah
As alykm
Shekhe smhn
km sikupata huo mti mkuu
mbaazi unafaa kufanyA HAYO
Masha'allah jazaka'allah kheyr,Allah awaongezeni umri
Allah mubariq shehe wang
Allah akuongoze
Assalam alaykum Allah awalipe heri
Tunaomba mtupe jina lengine kuhusu huo mti mkuu masheikh wetu wachawi washenzi Sana ili tuwachepe vibao usiku na wao..... Allah anatulinda twashkuru 🙏......... Allah awalipe kheri fii dunia Wal akhera 🤲
Kwel tunateseka n mti hatujaujua
Jina lake ni mkuyu
Mkuyu hapana bana
Jamani mm najua miti paka basii yani nimewafwatilia Sana wataalamu ni mchanganya madawa mpaka yani mm Leo waganga na piganao tu story
Amiin waallay daaaa wanaboa
Bismillah maishaallah Asanteni kwa elimu masheikh zanguu,lakini Kuna kitu kinaniumiza kichwa kuhusu kuoga maziwa sio Haram?kwa akili yangu Naona kama chakula naharibu,😢nitoweni huu wasiwasi inshallah
Nihatariii poleeeeniii saaaanaaaa saaanaaa
Situnambiwa tiba hyo ni ushirikina vp leo watupo elmu hyo niweke wazi sheikh kipenzi wetu mwalimu wetu
Shukran 🙏🙏
MashaAllah Allah awazidishie Kila la kheir
Tunajiungaje ili kupata elim hi kupitia group ama hata whatssap
Mashaallah
shekhe Othuman nkufuatilia sana ,naomba namba zako nauguliwa na mzaz wangu Baba,ili umsaidie
Namba yake ni hio insyoonekana katika screen
Namba zake si hizo hapo kwenye video?
Au wataka namba gani?
@@mswakisaid2320 hizo namba Hadi matapeli wanatumia video hizi za watu wa mungu kutapeli watu
Assalamu Alykum warahmatulah waabarakatuh n mbaaz gani huu
Mashallah tabarakallah
Asalmkum shekh hapo kuoga na maziwa ya faa
Maashallah tabaraqallah
Mashaallah ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
Maa sha Allah
Asalam aleikum unaweza kuchemsha mizizi ya mbaazi ukanywa ikasaidia kuponesha tumbo la chango
Mimi natamani nikuone mwanangu lakini mie ni mgonjwa sijui nitafanya nini
Axalaam alyekum jaman ni mbaaz upi huu tunay Pand au Kuna mbaaz mwingin
Alhamdulillah nashukru Kwangu nimeipanda mingi km mboga ila nimeipanda km maua au wingi kumbe nikinga 🙏
ni mti ngani uo
@@saidmasika8738 hujawahi kula mbaazi hata kwawali jmn
@@saebajoma8419😂😂😂😂
Ndugu @Saebajomba,usichanganye madawa huo mti alouzungumzia zaidi siyo mbaaz na naimani haupandwi ni mti pori....japo na mbaaz pia katoa sifa take na miti mingine,,, inshallah nilikuwa nakukumbusha hilo tu
Yani mti ulochimbwa hapo siyo mbaaz japo na mbaaz umeelezewa faida zake
Tafadhali shekh huo mti uliotuonyesha sio mbaazi naomba utuambie jina lake kamili
Mie nataka no ya huyu shikhe jmn
Assalam caleikum sheikh tuletee huu mti Kenya iA
Asalam Aleikum sheikh Allah barik
nimtiganihuo shekh
Marshall
Mansha Allah
Allah qareem
Jina lamuti sheikh
Shekhe naweza nikapata namba yako
Samahani shekh ni magamba yake ya stem?naomba utueleze tafadhali
English please
Tumeona mambo ya dawa Masha Allah
Mie na mgonjwaa jmn nataka no ya huyu shikhe
Ukwl mtupu
Mti gani na sielewi tafadhali..
Mtu mkuu n mvujee ama
Mnadaganya nyinyi io ni mti ya mbaazi mmeshika ama doo kumbwa sana
Asalam alaykum warahmatullah shekhe jafar mm Nina matatizo lkn sio sahiihi kuongea ktk public media nahitaji no yako au ya shekh maiko
Mie nipo Songea naomba namba ya simu niweze kuwasaidia nawe
Asalam Alaekum. Shekhe setu.
Naomba jina jingine la huu mti mkuu....Sasa sijajua nimkunazi au vp
Nimekuelewa NaombA namba yako shekh
❤
Ushilikina kupiga lamli siyo kutumia mizizi
Jina la mti huo kwa kiswahili unaitwaje nasi tulo mbali tujisaidie tafadhali sheikh wangu naomba utujimbu tujue maana nasi pia tuna madhila sheikh please.
Nataka namba za uyu sheeh nimpe ushuda wa swala ya mtume napata wapi namba zake
Sheikh Othman Michael +255784122858
Tunaomba number za simu
yenye kheri na baraka ?
Kweli kila maradhi yana dawa naamini sana hilo hata ukimwi unadawa zake za kiasili
Mbona hamtaji jina la mti
❤❤❤❤❤❤❤
Kwa mihangahiko ya dawaaaaa
Ni mbaazi ule unaozaa mbaazi tunazokula shekh
Mbona mti wenyewe hamuuonyeshi
Haaa
Wewe unaesema njaa bila shaka mchawi kwahiyo hupendi watu wapone
Nahisi mti mkuu ni mbaazi
Mmmm hii siyo ni uchawi tu Kama uchawi mwingine Ukweli ni kwamba jina la Yesu ni top katika ushirikina asilimia kubwa uwo Ukweli amtaki kuusikia ila ndivyo ilivyo
Ukweli gani?.
Na huuu ukweli wa kua issa n prophet si mungu kwa mana mungu hakuzaa wala hakuzaliwa kwanini usiuamini
Waiz hao
Mbona sio mbaazi huo
Huo mkunazi ndio unaitwa mti mkuuu
Sasa huu kwtu Kenya tuaupata VIP na hatujui