Shekhe Allah Akuhifadhi yaani napenda.sana mafundisho yako. Allah akukutanishe na MTUME wallah napenda mafundisho yako kutoka moyoni shekhe Allah Akulipe
Shukran Shekh. Hii Tiba ni kijicho cha mtu anomjuwa amekupa kijicho. Jee ukiwa. Hujui ni nani alokupa jicho? Unajiokoaje au unaokoaje mtoto. Wakati hujui ni nani. Pia kuna maadaui utamfanyaje adui ili akubali. Kukusaidia kuondowa.
Miaka 3 iliopita Nilikua Na kibarua changu kizuri sana lakn nimekutana nayo hayo Mambo ya hasad Mpaka ikapelekea kibarua changu kupotea ghafra Wallah Tena Mabos wangu Wamenichukia ghafra yani tafarani
Macho kweli ni mabaya alikuja mgeni akadhtuka kumsifia mtoto wangu mzuri.....usiku wake mwanangu alikuwa analiaaaaa anahangaika hadi tumbo likawa linamuuma
Asalaam aleykum,Shukrani Shekhe Kwa SoMo lako zuri Alhamdulillah.Allah akuzidishie zaidi na akujaalie umri mrefu wenye Mwisho mwema.Shekhe je?tufanye Nini ili tujikinge na husda na hasadi
Mimi mijusi nyumbani kwangu ni mingi sana nimefukiza sana na kuwaua lkn bado wapo kila kona ya nyumba yangu ,na sasa naona ni wengi na nimepata mtihani mzito sana kwa sasa na bado ni mzito kuisha inshallah msaada nifanye nini.yan nyumba yang mijusi ndio kama makazi yao tena hao kafiri je nyumba yang inatawalaiwa na roho chafu au?msaada tafadhali
Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatu sheikh kweli unayo yasema hv unavyoeleza hp kwangu kumezidi mijusi nimeweka dawa za kupuliza tukiwaona twapiga dawa na tubapo wapata twawapiga twawauwa lakini hawaishi na nina mengi sn but kuweleza ni shida kwa kutype but twahitaji dawa tufanye nini naomba utueleza
Asalaam Aleikum warahmatallah wabarakatu vipi hali na jamaa mi nashkuru ni mzima salama salmini,sheikh nilikua na jambo nataka kukuuliza unipe ushauri limenichanganya miaka mitatu Sasa. Ni hivi Mimi kwa kweli kizalia nilizaliwa mkristo na nilikua naenda kanisa la catholic church sote pamoja na mama na baba na ndugi zangu,kufikia darasa la saba mamangu mzazi akaachana na baba akaolewa na mtu mwengine muislamu ikabidi pia sisi atusilimishe tukawa waisilamu sote. Tukasoma madrasa vizuri tukawa twaswali vizuri Mimi kama mtoto mkubwa wa kiume wakwanza kabisa ni msichana halafu Mimi wa pili na huyo wa wakwanza huyo msichana alibahatika akapata mume mkristo akaolewa na akaregelea ukristo na yuaendelea vizuri tuu na mume wake na mambo yake mazuri,Mimi bado naendelea na uislamu pamoja na ndugi zangu wengine lakini kufikia mwaka wa 2021 mwezi wa sita nilianza kupata ujumbe kwa simu yesu kristo yuanitaa ataka nimfate yeye na niende kanisani na niimbe nyimbo za gospel yani kwa ufupi ataka niregee katika ukristo Sasa Mimi hata nimechanganyikiwa Niko njia panda. Hali yangu pia yaki maisha si nzuri sina kazi sina mke Nikoniko tuu naniko katika uisilamu kwa jina naitwa Emmanuel mutua Mudachi jina la kuzaliwa mpaka kubatizwa nilipo silimu nilitwa Abbasi. Sheikh utanisaidia vipi maanake roho yangu pia naumia sana na namba yangu yangu ya simu ni ±254798088270 Niko Mombasa bamburi naomba msaada wako na ushauri pia Asante.
Asalam Aleykum please baki kwa dini ya kiislam kwani sini ya kiislam ni ya kweli, . Hakuna kitu kuwa yessu kakuita yesu ni prophet Jesus Prophet Isa ! Please Nenda Masikini swalinsana na mutana na sheikh weka imani yako iwe strong please uwe na msimamo na dad yako Mwambie arejee katika dini ya uislam na Allah yupo atawasaidia Allahumma Amiin
Babangu nashukuru kwa kuniambia mijusi ni kaifil nimepambana nae mpaka me muua Asante baba
Allah akupe maisha malefu na yenye furaha kwa mafunzo yako mazuri mashallah
Asante bwana shek, mm ni mkristo ilah napenda mafunzo yako ni mazuri napata kitu humu, kutoka Kenya 🇰🇪.
mimi pia, napenda sana mawaidha yake, yanafundisha saaana
Karibu katika dini yetu@@josephndambo3714
@@josephndambo3714 nikweli kaka
Karibu katika dini yetu
Takbir….Allahuwa Akbar
Mimi Mungu anisamehe tu. Ila nimetamani Allah anijaaliye mume kama wewe.
Sijui iyo ni hasadi ya jicho😭
Allah akutunze sheikh akupe afya njema na baraka tele kwako na familia yako mimi ni mkristo lakini nabarikiwa sana na mafunzo yako 🙏🙏
Yametufika hayo sheikh lakini tumewahiwa bila ya kujua tangu tulipokuwa wadogo sana, hasbiyallah waniimal wakiil waniimal maulaa waniimal nasiir🤲🤲
Tunaojivunia kuwa waislam tujuane🙏🙏
baba nakusoma vizuri sana wewe unajua wewe ni mwalimu mzuri sana
asante Leo nimejua maana ya mjusi baba alikuwa ananihusia Sana had it hi ya mjusi
MA ASHA ALLAH🤲❤🇰🇪
Allah akufanyie wepes kwa Kila jambo lako
Shkh umenilenga hyo unayoyafundisha haswa kwangu ynaikuta sana
Mashallah .mm na bwanang utuko na hasad tutakupataje ww tuifanyie zunguo
Shekhe Allah Akuhifadhi yaani napenda.sana mafundisho yako. Allah akukutanishe na MTUME wallah napenda mafundisho yako kutoka moyoni shekhe Allah Akulipe
Asante shekh wenye vijicho wapo wengi tumwachie mungu apambane nao
Maa Shaa Allah. Allah akubariki akupe maisha marefu yenye kheri.
Allah akupe ujira duniani na aakhera.
Allahumma Amiin
Mashaallah Allah mungu akubariki
Mashaallah Allah akujaze kher inshallah sote kwa pamoja
Jazakallahu kheir sheikh
Asante sh wetu ila ni ngumu kumfata mtu umwambie akufanyiy ivo Ata kwambia ume hisi yeye ni mchawi mana sisi watu wasasa hivi nimtihani
SoMo liko vizuri, ALHAMNDULILLAH, ALHAMNDULILLAH.
Shukran Shekh. Hii Tiba ni kijicho cha mtu anomjuwa amekupa kijicho. Jee ukiwa. Hujui ni nani alokupa jicho? Unajiokoaje au unaokoaje mtoto. Wakati hujui ni nani. Pia kuna maadaui utamfanyaje adui ili akubali. Kukusaidia kuondowa.
Allah atuhifadhi hayo macho na roho z kwa nn zitatumaliza.
Mashaallah tutayafanyia kazi lnshaallah
Aminiii
Ndomn nakupenda sana sheikh.ukomsafi sana wamaneno.
Naje kama hukumjua aliekufanyia kijicho.tibayake Nini.
Hasbun Allah wa nimal wakeel )
Allahumma inna naj aluka Fi nuhoorihim wa na oozhubika min shuroorihim )🤲🤲🤲🤲
🙏🙏
Maa shaa Allah ❤❤
Ukimuona usimuuwe fanya juu chini umpate mima na ukamtupe nje..bora mwanga umuue
Nilikuwa wapi Mimi yah Allah manshaallah 🎉 🎁
Shukran sheikh Allah akupe amani maishan mwako na Afya njema ili uzidi kutuilimisha inshallah
Alhamdulillah mwenyez mungu akuondolee mabalaa yote🎉 ya hapa dunian inshaallah ❤❤❤
Masha Allah sheikh ,walitu elimisha sisi waislamu, mwenyezi mungu akupelekee janatul firdows
Mashaallah
Allah
Awe
Pamoj
Naw
Inshallah
Shekh
Wang
Mashallah sheh Allah akulinde
Allahu aalam but you make me feel educated sheikh shukran am really appreciate for you lesson mashallah allah baarik inshallah ❤️
Shukran kwa fuzo lako mugu akupe afya
Allwa akujalie kila la kher inshallah tuko pamoja sana shekhe we2
Shekhe hongera sana Allah akubarik
Maa shaa allah, somo hili ni zuri sana , Asante bwana shelki
Subuhanalaah yaani mie nachukiwa iweje mtu nimemusaidia mtu mda huo kasahau ubaya ndo napewa shehe nifanyeje
Uwe kipenzi cha ALLAH na udowe na wasiwasi na binadamu
Mswalie mtume mara nying
Jazakallahu khayra
MashaAllah ❤ shukraan sheikh
Allah akubarik shekh
Miaka 3 iliopita Nilikua Na kibarua changu kizuri sana lakn nimekutana nayo hayo Mambo ya hasad Mpaka ikapelekea kibarua changu kupotea ghafra Wallah Tena Mabos wangu Wamenichukia ghafra yani tafarani
Allah akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu Mambo yatakua vzuri inshallah
Mashaallah tabaraka Allah ya-ustathi ❤❤asante sana 🙏 somo lako nitazingatia ishaallah 😊.
Mashallah sema huyo wakushoto kwako kama wamsema akupiga jicho uyo
Sheikh shukran kwailmu yako jee kama humjui aliekuhusudu ufanyeje
Asante baba
Ahsante chekhe allah akukinge nahao
Mashallah
Subhannah Allah😢😢😢😢 Allah atuongoe na
Allah atuhifadhi
Shukran Sana Shekh wetu.
Alhamdullah 🙏🙏 mashaallah
Allah akuhifadh ❤
Shubhanallah
Shukran Sheikh
Mashallah 🙏🤲☝️
Asalaam aleykm,sheikh wangu,namba yasimu mandishi madogo aiyonekani vizuri ,sheikh
Macho kweli ni mabaya alikuja mgeni akadhtuka kumsifia mtoto wangu mzuri.....usiku wake mwanangu alikuwa analiaaaaa anahangaika hadi tumbo likawa linamuuma
Asalaam aleykum,Shukrani Shekhe Kwa SoMo lako zuri Alhamdulillah.Allah akuzidishie zaidi na akujaalie umri mrefu wenye Mwisho mwema.Shekhe je?tufanye Nini ili tujikinge na husda na hasadi
Kuwa na kawaida ya kusoma suratul falaq, Nas na Ikhlas ×3 na qur-an yote ni shifaa
Mashaallah Allah akulipe kheri Shekh wetu ktk Dunia Yako na Akhera Yako Leo nimepata faida
Allah akbar
Jazakallau kheira
Allahu Akbar.
Hongera sana shekhe
Ma shaa Allaah
Mashallah Tabaraka llah
Leo nimepata somo kubwa sanaaaa
Mashaallah shukran ❤❤❤
Maashallh maashallh
Ni kweri ostazi wangu
Allahuma Ameeen
ishalla
Dah Atari sana
😊L
assalam ghaleykm mjusi kafiri utamjuaje katka kuwatofautisha
Tabaraka Allah
Maashallaah
ALLAHU AKBAR
Mashaa Allahu karibu kigoma.
Yaalabi tuepushe na mitihani yakuchukiwa
Shukran
A,a utajuaje mwenye kukutia hasadi ya jicho
Naomba ulipata huu ujumbe tuwasiliane sina Raha.
Naomba msaada yani mimi naumwa kilasku
Muombe Allah
Mashalla . NShukuru sana kwa ujumbe. Bali niko na swali . Je kama haujui ni nani anekufanyia hasad utatibiwa vipi ?
Mimi mijusi nyumbani kwangu ni mingi sana nimefukiza sana na kuwaua lkn bado wapo kila kona ya nyumba yangu ,na sasa naona ni wengi na nimepata mtihani mzito sana kwa sasa na bado ni mzito kuisha inshallah msaada nifanye nini.yan nyumba yang mijusi ndio kama makazi yao tena hao kafiri je nyumba yang inatawalaiwa na roho chafu au?msaada tafadhali
Shekh mm nkifanya mambo yangu yoyote hayafanikiwi alafu sipendi kutangamana n watu nisome dua gani
ili nisaidike
Je tufanyeje kujilinda na hayo yote
Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatu sheikh kweli unayo yasema hv unavyoeleza hp kwangu kumezidi mijusi nimeweka dawa za kupuliza tukiwaona twapiga dawa na tubapo wapata twawapiga twawauwa lakini hawaishi na nina mengi sn but kuweleza ni shida kwa kutype but twahitaji dawa tufanye nini naomba utueleza
Nishawai mwambia mama ntilie siwezi kosa pesa ata siku moja sasa naenda kukopa jamani jamani bongo nyoso watu wanga
Pole ndugu Yangu...
Shehe niambie nitafanya aje juu niwengii wame nifanyiya hivoo plz🙏🙏🙏
Asalaam Aleikum warahmatallah wabarakatu vipi hali na jamaa mi nashkuru ni mzima salama salmini,sheikh nilikua na jambo nataka kukuuliza unipe ushauri limenichanganya miaka mitatu Sasa.
Ni hivi Mimi kwa kweli kizalia nilizaliwa mkristo na nilikua naenda kanisa la catholic church sote pamoja na mama na baba na ndugi zangu,kufikia darasa la saba mamangu mzazi akaachana na baba akaolewa na mtu mwengine muislamu ikabidi pia sisi atusilimishe tukawa waisilamu sote.
Tukasoma madrasa vizuri tukawa twaswali vizuri Mimi kama mtoto mkubwa wa kiume wakwanza kabisa ni msichana halafu Mimi wa pili na huyo wa wakwanza huyo msichana alibahatika akapata mume mkristo akaolewa na akaregelea ukristo na yuaendelea vizuri tuu na mume wake na mambo yake mazuri,Mimi bado naendelea na uislamu pamoja na ndugi zangu wengine lakini kufikia mwaka wa 2021 mwezi wa sita nilianza kupata ujumbe kwa simu yesu kristo yuanitaa ataka nimfate yeye na niende kanisani na niimbe nyimbo za gospel yani kwa ufupi ataka niregee katika ukristo Sasa Mimi hata nimechanganyikiwa Niko njia panda.
Hali yangu pia yaki maisha si nzuri sina kazi sina mke Nikoniko tuu naniko katika uisilamu kwa jina naitwa Emmanuel mutua Mudachi jina la kuzaliwa mpaka kubatizwa nilipo silimu nilitwa Abbasi.
Sheikh utanisaidia vipi maanake roho yangu pia naumia sana na namba yangu yangu ya simu ni ±254798088270 Niko Mombasa bamburi naomba msaada wako na ushauri pia Asante.
Asalam Aleykum please baki kwa dini ya kiislam kwani sini ya kiislam ni ya kweli, . Hakuna kitu kuwa yessu kakuita yesu ni prophet Jesus Prophet Isa ! Please Nenda Masikini swalinsana na mutana na sheikh weka imani yako iwe strong please uwe na msimamo na dad yako Mwambie arejee katika dini ya uislam na Allah yupo atawasaidia Allahumma Amiin
Kaa kwenye uislam usirutadike jitaid kuwa nasubra utakuwa vizur
Babangu nashukuru kwa kuniambia mijusi ni kaifil nimepambana nae mpaka me muua Asante baba
Asalam aleykum shekh wangu me nko nikona shida naomba usaidizi wako kwasababu nmehangaika sana na cjapata msaada yeyote
A,a sasa utamjuaje mwenye kukutia hasadi ya jicho
Nina maongezi yangu kidogoo
Ukimpiga gongo je haifai
Mimi naulisa nakama yule alikuwa anakusitukia anakwambia maneno alikufa nifanye aji Mimi ni mkenya
Haohao
Kweli
Asalam aleykum shehk wetu, naomba saidi wako, jee ikiwa hujui alie kuhusudu utaji tibu vipi ama tiba yake nini.