Sasa hiyo dua ya Kuzuiya Wachawi Mbona hukutuambia ba ulikuwa unajua muda wa kumalizia Inshallah mambo ya kheri. Unaweza kuyaona madogo kumbe yataokoa mamilioni ya watu. Badala ya kuongea mambo ya simu muda ule ndio iliokuwa wa kuwaeleza watu kuhusu hiyo dua ya Wachawi. Sasa inshallah kheri Mungu akikuwafikisha Siku nyengine basi wape watu hiyo dawa utakuwa umetoa sadakatul jaariiyah kwa viumbe wa Allah Shukrani Sana
Kuna mhuni zaidi yako wewe una mjulia wapi alikuibia Nini?ukiona Allah ameanza na yaa ayyu Hal munafiqun kwa Quran utilie maanani Allah ni akina wewe Ana ongelesha
Allah akulinde sheikh wetu na sisi pia sote tuliokuw waislamu kw ujumla atusamehe madhambi yetu na atuingize peponi kw uwezo wako insha allah
Allah wauwe wachawi wote
Wanatutesa kwakweli
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un.
Namwomba Allah Subhannahu Wata'ala atuepushe na Shirki,Allahummah Aamiin.
Unaona ujanja huo anataka kula
ك وه شيء لا 😅أحد الجميع الكل من قبل لانني لم ي😅😅😅😅😅😅😅
Allah Akbar, Allah atuajalie kinga Na kheir katika maisha yetu amiin Yaraab
Allah akuhifadhi sheikh wetu
Sheikh mashaallah tabaraka Allah ahsant umenifuraisha sana n hiyo darsa Allah akupe uzima na afya in shaallah biidni Allah
Uberikiwe sio masheik wanazungumzia diamond woman Ally Kiba hovyooo kabisa
Mola akuongeze mema zaidi ya elimu aliye kupa Sheikh wetu!
Rasupotea
Ebunjohapa
Allah atulinde na shirki atuepushie
Sasa hiyo dua ya Kuzuiya Wachawi Mbona hukutuambia ba ulikuwa unajua muda wa kumalizia Inshallah mambo ya kheri. Unaweza kuyaona madogo kumbe yataokoa mamilioni ya watu. Badala ya kuongea mambo ya simu muda ule ndio iliokuwa wa kuwaeleza watu kuhusu hiyo dua ya Wachawi. Sasa inshallah kheri
Mungu akikuwafikisha Siku nyengine basi wape watu hiyo dawa utakuwa umetoa sadakatul jaariiyah kwa viumbe wa Allah Shukrani Sana
Shakhe akujalie umri mrefu uzidi kuutetea uislam
Maishallah shewangu mpendu nakupenda kwa ajili ya ALLAH
SEMA :
MAA SHAA ALLAH
Subhana Allah, hiii inakumbusha mbali, machozi yatoka
Allah akbaru Allah utulnde n Kila Aina ya Shar na utusamehe madhambi yetu. Na shekhe Allah amlpe kwa darsa
جزاك الله الخير شيخ علي
Allah akuhifadhi shekh Ally măan umetup elimu ambayo hatukuifaham,
We paulocosmas muongo tu , uyu shekh anafundisha vizuri sana
Utanisameh nimeunlike kwa sababu ya unyambi uliotufanyia hii video bora usingeieka kabisa kuliko kutuekea nusu halaf usitumalizie iliobaki
Raby akulipe shehe wetu ilimu yakuko akuzidishie
Allahuakuba. MashaAllah
ALLAHU AKBAR.
MAA SHAA ALLAH
MUNGU akulinde sana shekhe wetu
Nakupenda kwaajili yallah illah illah❤❤❤
Asante shekh Kwa miss cha ibilisi na bint magonjwa, hakika kimenilenga, Ila hiyo bahati kusaidiwa na malakumauti!!!!!!!!!
Maashaallaa Allaah akulipe kheri
Mashaallah Allah be with you
Swadakta shekh
ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH WETU INSHAALLAH
Amin insha Allah 🙏🏾🤲
Mungu akuogoze kwenye hotuba shee mpendu nyumbani dua lini shee zinaanza.
Mashaalla tabaraka Allah
Inshallaah sheikh wangu
Mashaallah Allah akulingania shekhe wetu...na mungu azidi kukupa maisha marefu
Machallah Allah akujaliye mwisho mwema
MAA SHAA ALLAH
Mpendu uko vzuri
Mwenyezi mungu atunusuru Astafilullah mtihani
Mungu akuongozee uhai shekhe
Alllah akupatie Jannah sheikh
😂😂😂nakupenda kwajili ya ALLAH
Mashaallah tabarakaah mawaiza yako mazuri sana 😂😂
Mashaallah takbri vp shekhe ambao wanatka kutuma watatuma wap
Sheghe mi nakuelewa sana mungu akuweke utuombee na sisi wenye mitihani mizito
Barakah Allahufihu
Huenda kuna muendelezo,,Inshaa Allh
Allahu Akbar mwenye akuzidishie kwa kazi unayoifanya Ameen rabii alameen
Allah atuhifadhi sote
Masha Allah nayapenda mawaidha yako kutoka kenya nimejifunza mengi
Tunashuru shehk mwenyezi mungu akupe unlike mlefu uzidi kutupa dalasa
"Watching from Germany,nawezaje kukutumia sadaq? Allah Thuma Barik"
Allah akulipe kwa nia yako njema.
Karibu Capetown South Africa.
Allah akujalie cheikh wetu kwamqfundisho unayo tupatia
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
INNALILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUUN
Nimuswiba kweli
Shekh hata mm nawachukia sana
Amin
BARAKALLAH ,sheikhul-isalaaam
Masha Allah funzo nzuri sheikh
Asante MUNGU akulinde
Shekhe upo vzr
Tunashukuru shehe unatufundisha mengi
Shekh Allah Amuhifadhi inshallah
Shekhe Allah akuhifadhi
Tunagupenda sana sisi Rwanda
Namba za sheikh
❤❤❤ Allah akuzidishie
Maashallah.
Mashallah napenda preaching
Sheikh Allah akuhifadhi
Mungu akuifadhi
Sheikh mungu akuzidishie imani
MashaaAllah shukrani sana
Mashalla alhabdulilai barakalla fih wajazakallahu haira 🤲
Jamani WACHAWI amna tanzania mkanushe
MashaAllah ustadh
Shukran
Shekhe.tunashuklu.kwa.mawaiza.unatukumbusha
Endelezaaa harakatiii sheee
Masha Allah I love becox of Allah
Mashallah baraq llah
Ishala
Jazakharahu kheri,,, jamani panado na dawa tatu nizifanyeje kama amezi,,, yani tusaidie kwa jil ya Allah
Jaman anamatus Tena
Allahu akbar mwenyezimu gu mkubwa
Ndio maana Ile mvi diningi sasa nimeelewa nimekusoma ingawa mm Ni mkristo ndio maana ya makombe ila watu hawajui Mungu akutunze shekh
Hata mm naikumbuka hiyo move ya gabo
Allah Akbar💚
Mpungaaaaaaaaa,
Lailaha ilallah Muhammad Rasur Allah
Maashaallah
Allah. Kabariki
Tukithirishe Istiqhfar,ili Allaah Subhaanahu Wata'ala Atuja'alie mvua kunyesha.
Allahuma amiin
Shekh tunaomba tafsiri yamajina wengine hatujuwi
Mashallah sheikh mpendu😅
Subhanallah astakhafirullah ya sheikh sukran
asanteeeee sanaaaaaaaa
Swadakta maneno Yako.Mshirikina Mtu mbaya sana
Allah grant as his blessings
Allah akupe nguvu ya kwendelea kufanya dawaa
Elimu kubwa sana
KWELI kbs sheikh WETU
Maashaallah shekhe tupe dawa
Awape uchawi labda,Mmswalie mtume hahaha
😂
Sheikh mi mke wangu anateswa na majini wabaya Kila akibeba mimba zanaharibika naomba Dua Yako sheikhe nakuamini sana
Mm naota vituko vyote Allah atufanyie wepesi
Shekh MUHUNI WEWE TUNAKUJUA
Uhuni wake ni nn? au na ww mwanga?
Kuna mhuni zaidi yako wewe una mjulia wapi alikuibia Nini?ukiona Allah ameanza na yaa ayyu Hal munafiqun kwa Quran utilie maanani Allah ni akina wewe Ana ongelesha
الله اكبر الله اكبر
Inshaallah