MZEE ERNESTO ANAYEISHI NA WAKE 16 "7 KATI YAO NI MTU NA DADA YAKE WAMENIPENDA WENYEWE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Hii ndio mara ya kwanza nakutana na Mwanaume aliyeoa Wake 16 na wote anaishi nao ndani ya eneo moja, tumezoea kuona kwa Ndugu zetu Waislamu ambao wanaruhusiwa Wake wanne ila hii ya Wake 16 ni noma na nusu, tumekaa na Mzee Ernesto kwenye mahojiano ili tusikie ilikuaje mpaka akawa na idadi hii kubwa, anamudu vipi kuishi nao, msosi wa siku inakuaje? Je anakumbuka majina ya Wake zake na Watoto? tazama hii EXCLUSIVE video ujionee.

Комментарии • 2,1 тыс.

  • @lucywakolela5619
    @lucywakolela5619 4 года назад +16

    huyu mzee anajiweza aisee sijaona mke aliyevaa vibaya wala kupauka kama ilivyo kwa watoto wake.salute kwake

  • @josephmhoma4339
    @josephmhoma4339 4 года назад +60

    Kama umesikia mzee anafata Maandiko ngonga like yako apa

  • @barakaserina9364
    @barakaserina9364 4 года назад +6

    Nakubali mzeee kama umemkubali Mzee uyu ni jasili naanajikubali gonga like Daa uu ndo wanaume

  • @mossesmuumbakhan7617
    @mossesmuumbakhan7617 4 года назад +47

    Mimi binafsi naikubali hii Chanel ya Millard ayo wew vip like

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 4 года назад +201

    Kama umeona suti ya mzee imenyooshwa na inapendeza japo ni bush gonga like hapa

  • @sarahpendo515
    @sarahpendo515 4 года назад +223

    Wangapi mlitamani hii interview isiishe .like hapa twende sawa

  • @nasserrostom6340
    @nasserrostom6340 4 года назад +87

    uyu ndio africa mwenyewe,gonga like apa kumkubari mshuaaa

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 4 года назад +22

    Yaan Hawa wanawake inaonekana wanapendana Sana Mungu awaweke pamoja👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿

  • @bethjaphary3459
    @bethjaphary3459 4 года назад +115

    My best host it's u Millard Ayo 😍😍😍...tunaompenda Millard, tujuane kwa like pls

    • @happyneshappy952
      @happyneshappy952 4 года назад +1

      Hi,canI have ur number, for,deeply information, I am among, in this family, am here, dar es salaam

    • @lilianochieng4347
      @lilianochieng4347 4 года назад +1

      Naota ama nilive jamani

    • @WASHATube
      @WASHATube 4 года назад

      INAUA KWA DAKIKA 10, IFAHAMU PILIPILI HATARI ZAIDI DUNIANI
      ruclips.net/video/5T9EV26uVGE/видео.html
      NYETI ZA KIUME KUWA KIVUTIO CHA UTALII NCHINI JAPAN 👇👇
      ruclips.net/video/rRU5WoWLGdc/видео.html
      HUYU HAPA ALIYEGUNDUA DAWA ZA KULEVYA 👇🏾
      ruclips.net/video/xOcTjLyB41E/видео.html
      WATAFITI WABAINI MAZITO KUHUSU WATOTO MAPACHA 👇👇
      ruclips.net/video/FULQ-n62-UI/видео.html
      UPDATES ZOTE Ni 🔥🔥🔥🔥

    • @janetnalianya8887
      @janetnalianya8887 3 года назад

      @@happyneshappy952 haa

  • @irenemwakasonda6735
    @irenemwakasonda6735 4 года назад +4

    Jaman nmesoma shule moja na watt wa ernesto, ilikua kila darasa anawatt zaid ya 3. Nakumbuka darasan kwetu nmesoma na Martha mhenuchi, Aida mhenuchi, Maria Mhenuchi na Johnson Mhenuchi . am so proud to hear that

  • @mrbweichum
    @mrbweichum 4 года назад +364

    *KAMA NAWE UMEGUSWA NA MAAJABU HAYA ACHIA LIKE YAKO*

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 4 года назад +5

      Njoo nikubinue kwanza

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 4 года назад +3

      Kaaa hivi kweli anawakumbuka hao watoto

    • @mrbweichum
      @mrbweichum 4 года назад +1

      @@salomemchewa5187 hakika

    • @milickenock8201
      @milickenock8201 4 года назад +4

      Maajabu yalikuwa kwa Suleiman (wanawake 1000)

    • @mrbweichum
      @mrbweichum 4 года назад

      @@milickenock8201 *na hiii ni bongo*

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 года назад +10

    Masha Allah ,,, maana wote wamependeza hata watt na mwenyez mungu kamjalia Masha Allah mzee wetu🙏

    • @fauziahamisi2557
      @fauziahamisi2557 3 года назад

      Maashallah ya nn wakati mtu anafanya kinyume na Sheria za Allah

  • @arnoldrukwembe4146
    @arnoldrukwembe4146 4 года назад +19

    Kama umeskia Shule ya msingi msimame gonga like 😂😂😂

  • @richardmoses936
    @richardmoses936 3 года назад +9

    Hongera sana mzee kwa nguvu ulizojaliwa hapa tanzania ww niwakwanza

  • @lukasrogath5825
    @lukasrogath5825 4 года назад +3

    Millad ayoo ni bonge moja la msaka abari Kama unakubaliana na ilo gonga like tende sawa

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 4 года назад +39

    Hongera sana Mr Milad Ayo, Wewe ni bonge la mwanahabari, Hapa media zingine lazima ziige mfano huu.

  • @jocety4426
    @jocety4426 4 года назад +19

    Hongera baba nimeipenda iyo
    Watot wameenda utawa Mungu awatangulie katk kumtumikia yeye🙏🙏

  • @bboyblackfire
    @bboyblackfire 4 года назад +3

    Wangapi tunataka mzee aongeze watoto gonga like apa.

  • @nkunasuitbert7837
    @nkunasuitbert7837 3 года назад +1

    Ok, watoto 104 plus 40 waliofariki, namba nzuri, mzee amefanya kazi kubwa. Mpiganaji kweli, wanaume wote tukioa hivi kazi ipo.

  • @yoramdogezah8000
    @yoramdogezah8000 3 года назад +6

    Nimeipenda style yako yaobile office, unatembea na meza na viti,
    Bigup boss

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 4 года назад +15

    Happy family kusema ukweli watoto ni baraka tena watoto wote wako wasafi na afya♥️❤️❤️♥️💜💕

  • @sarahpendo515
    @sarahpendo515 4 года назад +74

    Shkamoo mzee✋wake wote 16 watoto mia na nne bado upo fiti💪

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 4 года назад

      Sanaaa me pia nipo feet hataree

    • @frediricknandonde1690
      @frediricknandonde1690 4 года назад

      😂😂😂

    • @hamisiomari1990
      @hamisiomari1990 4 года назад +1

      Anamiaka 71 na alioa mke wakwanza mwaka stini namoja maanayake alioa akiwa na miaka 12 duh sijui amesahau sijui nikweli haya

    • @augustinomwamasinga2200
      @augustinomwamasinga2200 4 года назад +2

      @@hamisiomari1990 75 sio 71 sikiliza vzr mwamba

    • @emilyibraimo5032
      @emilyibraimo5032 4 года назад +1

      Yani Mimi nikipija viwili tu sitaki tena hadi zipita siku tatu sasa wewe 16 unawagonga vip apo

  • @deodartngaiza6664
    @deodartngaiza6664 4 года назад +13

    Mzee nampongeza kutimiza maneno ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na dunia kwamba ZAENI MKAJAZE DUNIA.👍👍👍👍

    • @twariatiomary486
      @twariatiomary486 4 года назад

      Hahaaaaa

    • @fadhilaally1826
      @fadhilaally1826 4 года назад

      😂😂ww msish wanawak wanne tu

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc 10 месяцев назад +2

      Usinukuu maandiko vibaya Hana analotimiza ktk maandiko ,kumbuka ni dhambi kutumia maandiko ya MUNGU vibaya ,mshaauri akatubu na hao wanawake watubu yawezekana waliolewa kwa ajli ya tamaa za Mali ,mashamba na Ng'ombe wanaume wapo wengi tu. unakuta kabinti kadogo kanaolewa mke wa kumi ujinga na tamaa ni mzigo mkubwa wa dhambi.

    • @GracePatrick-zc2eb
      @GracePatrick-zc2eb Месяц назад

      Usinichekeshe.ameijaza kweli

  • @samantafrance5287
    @samantafrance5287 3 года назад +7

    Hongera kwa huyu mzee ameweza kuwatunza wake zake wote na watoto wakati unakuta wanaume wengine wanashindwa ata kulea mke mmoja na watoto wawili

  • @francfrancs1508
    @francfrancs1508 4 года назад +44

    Kama na ww umependa mazingira na mpangirio wa izo nyumba tujuane wadau

    • @absalimlufyagile4974
      @absalimlufyagile4974 4 года назад

      Da hii ni hatali Kuna uwezekano wa kumtembelea huyu mzee anakaa wapi

  • @goodluckkitomari2809
    @goodluckkitomari2809 4 года назад +4

    Nimerudia kuangalia hi interview mara 3 Aisee huyu mzee ni nomaa sanaa ...#millad Ayo hongera kwa kutuletelea bonge 1 la interview nzuri sanaa🙏

  • @sonialand2646
    @sonialand2646 4 года назад +11

    Sisi waislamm wake 4 lkn watu wanaona makosa! Sasa ngoma hiyo hapo! Tena sio muislam! Haya wanazengo lete mistari mibovu! Hongera sana mzee!

    • @paulshija7632
      @paulshija7632 4 года назад

      We jinga kweli, Biblia imezuia kuua lakini wanaua uta justify vipi kwa kutumia maandiko, huyu kaoa kwa utashi wake wengi!
      Lakini ujue Mungu aliumba Mume na Mke, sio Mume na wake!

    • @bahatimakango4033
      @bahatimakango4033 4 года назад

      Hizo ni ndoa za kimila hizina limit

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 4 года назад

      Biblia na Quran ziishie uko uko, na sisi tuwe na utaratibu wetu

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 4 года назад +5

    Mzee ana jitambua kweli kaulizwa very person quest kalijibu ki heshima kistarabu kweli ni mzee anae jielewa kwa umri wake sio wale wazee wa dar 🥱😏

  • @DomicianPaul
    @DomicianPaul 9 месяцев назад

    Kama umemkubali huyu mzee like

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 года назад +21

    He is a hero...both kids en wives are healthy, congratulations baba true african man😃😃😃😃

  • @gabrieldenicc4502
    @gabrieldenicc4502 4 года назад +22

    Mirad hongera sana,upewe tuzo baba kiiukweli unachimba na kuchimbua tusiyo jua mambo haya tumezoea kusoma kwenye adithi mwanaume kua na watoto mia na sis wanaume kunakitu tumejifunza hapa

    • @athanasiaanney5839
      @athanasiaanney5839 4 года назад

      Kasema mambo ya zamu hawezi kusema mbele ya watoto 🤣🤣🤣baba Yuko vizuri

    • @esterjema2484
      @esterjema2484 4 года назад

      Umejifunza Nini🤣🤣🤣

  • @jocety4426
    @jocety4426 4 года назад +33

    Hongera bro.
    Napenga utendaji wako wa kazi Millard,. love u💋

  • @jocety4426
    @jocety4426 4 года назад +5

    Oyoooo 🙌🙌
    Nenden mkaijaze dunia
    Umetisha baba..💪💪

  • @samsonjuma5618
    @samsonjuma5618 2 года назад

    Pongezi mzee wangu, naomba MUNGU AKUTIE NGUVU uwalee hao ndugu zangu..MUNGU akubariki sana

  • @christianosimba6083
    @christianosimba6083 3 года назад +8

    Safi sn maguful bado nakukumbuka mzee wangu😪

  • @Royazdad
    @Royazdad 4 года назад +83

    Aiseee hii inge tafsiliwa na kizungu dunia ione mzee alivyo fiti

    • @zaitunilucas7133
      @zaitunilucas7133 4 года назад +2

      Kwer kabsa 😂😂😂😂

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 4 года назад +9

      Mzee mpumbavu huyu yuko fiti kishenzi unawachanganya mtu na dada yake alafu mnamsifia mnaendekeza ngono saana nyie watu wajinga saana baadae hiyo laana itamrudia watapigana miti wao vwenyewe

    • @lucykanyopa5350
      @lucykanyopa5350 4 года назад +5

      Si umemsikia anakula ndizi na mihogo ya kuchemsha asubuhi, mchana ugali na maharage, hali chipsi hali piza hali Burger, hapo hata akipewa wali wawili full kuwazalisha tu, nguvu ipo, c mchezo kuwamiliki wanawake 16. Hongera zake sana sana

    • @naimanurdin1354
      @naimanurdin1354 4 года назад +4

      @@selemankishema5780Yani huyu wakupewa somo mana hakuna mila wala dini inayoruhusu uwafanye mke mtu na ndugu yake jamani hili swala Serikali pia ilitizame kwa jicho lengine

    • @honeydiamond6235
      @honeydiamond6235 4 года назад +2

      @Seleman kishema unaujua upumbavu na ujinga wa aina ngapi...ustaarabu wa dini na maadili yako uliokufikia unaweza kuwa ulochelewa kwa wengine so usimnyooshee kidole mpe elimu ukiweza ila up to now mzee yuko fiti na huwez mrudisha nyuma
      "Wengine kwenye amri kumi mmebakiza usiuwe tuu🤣🤣🤣"

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 4 года назад +135

    Duuuh yani umetisha Millard ayo wewe kweli ni mwana habari wa kweli

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 4 года назад +4

    Ongera Sana mungu Akulinde uzidi kupata Baraka ulee wake zako na watoto wako

  • @davidtoo9825
    @davidtoo9825 4 года назад +2

    Kweli Watanzania nimewapa shukrani kwa ukarimu mlionayo. Hawa wake wako na heshima sana. Bongezi kwa Mzee kwa kujitolea mhanga

  • @erickevarist8738
    @erickevarist8738 4 года назад +2

    Mzee respect Mimi mmoja tu ananishinda duh ukistaajabu ya Musa utaona yafirauni

  • @amiabillity1635
    @amiabillity1635 4 года назад +23

    aisee milardayo,congole xn bro.unafanya kaz had raha kaka.huyo mzee mungu amtangulie kwakweli pamoja na familia yake.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 года назад +24

    Asante, kweli huyu kidume

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 4 года назад +9

    Huyu komeshea wakati wengine mke mmoja tu wanajinyea magomvi yasiyoisha.🙏hongera zake na hao wanawake&na watoto

    • @liberathsamcky
      @liberathsamcky 4 года назад +1

      Umeonaee

    • @neemakaluwa2089
      @neemakaluwa2089 4 года назад

      Vijijini mradi mume tu. Wanawake wanajitegemea wenyewe kulima nk.
      Ingekuwa mjini kwa idadi hiyo!!
      Angekuwa ashafanya boxer kofia 🤣

    • @childofgod4412
      @childofgod4412 4 года назад

      @@neemakaluwa2089 😂😂ndio nini boxer kofia

    • @krizofrancisco1287
      @krizofrancisco1287 2 года назад

      Neema umenichekesha sana eti boxer kuwa kofia

  • @ritchiesamballa5078
    @ritchiesamballa5078 3 года назад +8

    Millard Ayo the best jonalist in Tz...I enjoy the of being your fan

  • @mudydaud340
    @mudydaud340 4 года назад

    Kama naww unatoka njombe gonga like twende Sawa

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 4 года назад +88

    Nan kaona mzee anauliza wake zake wamkumbushe kwa lazima na wanajibu kwa furaha 😂🤣🤣🤣

  • @jacklinewilliam4565
    @jacklinewilliam4565 4 года назад +9

    Pigaaa kelele kwa mbena wake jamani hawa watu sio wa nchiii mume wangu mbena wako vizuriiiii 😂😂😂😂💃💃💃shooo shoooo

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 4 года назад +97

    Mefurahi Sana hiyo Millad Ayo ni home huko na baadhi ya watoto wa huyo Mzee nimesoma nao ,,namjua vyema !

  • @festombalinga9084
    @festombalinga9084 Год назад +1

    Daaa huyu Mzee ni nomaa 😅😅😅

  • @rachelbrier2574
    @rachelbrier2574 4 года назад +1

    safi sana .. yaani ingebidi aanzishe mkoa wake duu kiboko

  • @bahatynangi3842
    @bahatynangi3842 4 года назад +4

    Millad Ayo! Hongera saaaana kwa kaz yako nzur!

  • @raymondpaul2891
    @raymondpaul2891 4 года назад +21

    watoto 40 wamefarikik duuu pole sana

  • @nestoemanuel2821
    @nestoemanuel2821 4 года назад +11

    Ayo tv mipaka yote ya dunia hatari San mzee baba 🔥🔥🔥

  • @musafiriomary8156
    @musafiriomary8156 4 года назад +2

    Ongela mzee mungu akubaliki kwahekima nabusara nafamilia kuujengea msimamo

  • @philipomasudya-hy6fj
    @philipomasudya-hy6fj Год назад

    Mhh, mzeee Ernest hongera we kiboko tembeza bakolaaaaa

  • @richardsweya231
    @richardsweya231 4 года назад +7

    Anaefata maandiko kama mm tusuppotiane
    Like 👍 twende

    • @avemushi1355
      @avemushi1355 4 года назад

      Maandiko ndo yanataka kua na wengi iviii

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 года назад +12

    Eeeeh heri yao ..hii ndo sister wives kweli 😂😂😂😂😂

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 года назад +7

    Mmmmh! Hatareee sana 😀😀🙌
    Ama kweli ng'ombe Azeeki maini.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 года назад

      Alafu wake wakiwa wa2 kwa mume,kelele kibao.hao wako 16 amani imetawala

    • @shadrackdonath568
      @shadrackdonath568 4 года назад

      daase namina penda sana babu yangu alikuwaga na kum 10 hiyo ninema kwamungu

  • @sadamramadhan2754
    @sadamramadhan2754 4 года назад +1

    Mke mmoja tu anatesa sana mpaka tunakimbia familia, ukiongeza mke wa pili bii mkubwa anakukosa sum kwanza, bii mkubwa akijua tu unamchepuko lazma hapo mtazichapa mpaka iman itakosekana ndan, ...... ....
    Sasa wake 20 mpaka 16 duuuuuu !!!!! Hapo ni hatari sanaaaaaa, Hongera kwa mzeeeee ......

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 2 года назад

    Suleiman of bongo😄😄 félicitation papa!
    Wanawake wanazaa kama kawaida

  • @upendomatinya6851
    @upendomatinya6851 4 года назад +3

    Mpaka zamu yangu ifike nomesota, we mzee ni nomaaa, hii ndo zaeni mkaongezeke muijaze nchi

  • @thobiasluanda224
    @thobiasluanda224 4 года назад +30

    Huyo anayesomea upd nadhani atapata changamoto za kuhubiri ndoa ya mke mmoja na mume mmoja bila shaka 😂😂😂😂

    • @aminakipukasimbababalaouto6310
      @aminakipukasimbababalaouto6310 4 года назад

      Mungu hakukuzie

    • @josephmilinga3909
      @josephmilinga3909 4 года назад

      Kwa utaratibu wa kanisa katoliki awezi kupewa upadri

    • @thobiasluanda224
      @thobiasluanda224 4 года назад

      @@josephmilinga3909 Mh hivi ni kweli? Sasa kama ni hivyo kwanini alipokelewa kusomea huko? Maana asije akasoma na kukataliwa baadae itamuumuza sana.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 года назад +88

    Aisee tengeneza documentary ya kingereza hii issue

    • @rosesolomon826
      @rosesolomon826 4 года назад +1

      Hongera millad

    • @cleofasnyoni3836
      @cleofasnyoni3836 4 года назад +1

      Ili iweje!!

    • @mwalimu1520
      @mwalimu1520 4 года назад

      Documentary ya kiingereza itauza zaidi kimataifa 100%

    • @josephmanyama435
      @josephmanyama435 4 года назад +5

      Kwan hao waingereza huwa wanatengeneza documentary za kiswahili??? micah nasake

    • @ruthmdano4466
      @ruthmdano4466 4 года назад

      Ingekuwa bongo moto angeuona wangepigana

  • @margitmargitt5935
    @margitmargitt5935 4 года назад

    CONGRATULATIONS babu💪💪💪💪kama wazee waeza kukaa na wake ivi ndunia ingekua poa

  • @kalistomwelekete8359
    @kalistomwelekete8359 4 года назад

    We we una pepo Mzee mungu akufunguwe we we nimwalibifu aikosi we muganga wakienyeji

  • @jacobnapikwejacobnapikwe9603
    @jacobnapikwejacobnapikwe9603 4 года назад +9

    This man is strong enough I can imagine How he can manage to marry all this women ,God help him

  • @munnawwaryaqub8524
    @munnawwaryaqub8524 4 года назад +5

    Huyu ndo baharia sasa hongera sana mzee na Allah akutunze na family yako

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 года назад +11

    Mmmhu kweli wanawake tuko wengi wanaume ni wachache hii familia ni kijiji tayari.Wanawake wamemzimikia Mzee.

    • @ndembwamponda7674
      @ndembwamponda7674 4 года назад

      😄😄, Elizabeth Mwandu

    • @martalositotiktok6590
      @martalositotiktok6590 4 года назад

      Yaani mpaka mtu na dada ake anazimikia shemeji yake

    • @elizabethmwandu6937
      @elizabethmwandu6937 4 года назад

      @@martalositotiktok6590 yaani we acha tu ukienda kumsalimia dada haurudi nyumbani unaolewa na kuolewa🤔🤔😁😁😁

  • @floramrema5743
    @floramrema5743 9 месяцев назад +1

    Uyo baba anamwitaji Yesu Kristo kwa haraka sana.Kweli hili ni jambo la kushangaza.

  • @dennowderullow1118
    @dennowderullow1118 3 года назад

    ...this is truly amazing.Siri kubwa kwai familia wanadumisha AMANI,UPENDO na UAMINIFU la sivyo wangetengana na kusababisha kusambaratika("congratulations to AYO TV")HONGERA KAKA MILLARD,big respect to the Mzee and all his Wifes+kids")Mungu aipenguvu familia hii.I'm witching from Africa in Kenya at Kilifi county")

    • @ngorox254
      @ngorox254 3 года назад

      Apo ni sawa ntafikilia iyo kitu

  • @lordsmenas3267
    @lordsmenas3267 4 года назад +14

    Msiopendezwa kama Mimi likeni APA

  • @sophialaurent2876
    @sophialaurent2876 4 года назад +6

    Looo, kuolewa mke wa pili cwezi kukubali, sembuse niolewe mke wa 16😱😱😱😱

  • @officialjclever9879
    @officialjclever9879 4 года назад +16

    Mzee mfano bora kuna wengine wakiwa na mtt 1 wanakimbia familia zao tujifunze

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 4 года назад +1

      🤣🤣🤣 Mimi ninawawili kablawapili hajazaliwa nimetishiwa talaka

    • @officialjclever9879
      @officialjclever9879 4 года назад

      @@latifamkulazi8378 hahahahahahahahaaa🤣🤣🤣🤣🤣 njoo nikuoe mimi nimeshaiga huo mfano sasa hv nanunua viwanja kwa ajili ya kuwa na familia km hio

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 4 года назад +1

      @@officialjclever9879 nunuatu vitakufaa baadae😃😃

    • @heromanmwamba5000
      @heromanmwamba5000 3 года назад

      @@latifamkulazi8378 🤣😂😂🤣🤣😂

    • @heromanmwamba5000
      @heromanmwamba5000 3 года назад

      @@latifamkulazi8378 inabidi tukakuongeze kwa mzee uwe wa 17

  • @nathanjunior7694
    @nathanjunior7694 4 года назад

    Dah mzee noma Sana...wake 16 na watoto zaidi ya 100....
    Unaweza dhani tupo enzi za 1900

  • @sarayabu905
    @sarayabu905 4 года назад +1

    Huyu mzee siyo mzima. Ana hitaji wokovu,neema ya Mungu imfikie afunguliewe. Ana mapepo kwa kifupi. Sijawah kucoment ila hii imenilazimu. Awaone watumishi wa Mungu wamwombee

  • @iuem5792
    @iuem5792 4 года назад +4

    Kuna vijiji vingine elimu ya maisha ni muhimu sana.Nyerere alisema tuna maadui watatu,Maradhi,umaskini na ujinga.Hapa hakuna sifa yoyote,hapa kuna ujinga.Kuoa mke na wadogo zake!!wanawake kuja kujilundika mahali pamoja.

    • @jamiestan7280
      @jamiestan7280 3 года назад

      Usi tuletee westen life hapa mpumbavu mkubwa wewe asili ya mwafrica ni kuzaaaa mme kuwa mabwege na ulimwengu wa android

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 4 года назад +12

    Waa ngojea niongeze kiti changu karibu maana hii kali ya mwaka

    • @mrbweichum
      @mrbweichum 4 года назад

      NOMA SANA

    • @hawajohn749
      @hawajohn749 4 года назад +1

      Hahahaha kwa kweli!

    • @gracelauzi9746
      @gracelauzi9746 4 года назад +1

      Waaa ndugu saba kwa mume moja wooii dunia simama nishuke waa mbavu zangu Leo hoii taabani

    • @mrbweichum
      @mrbweichum 4 года назад +1

      @@gracelauzi9746 njoo na wewe nikuoe

    • @mesiamatheo2230
      @mesiamatheo2230 4 года назад +1

      Mzee anakana tu Ila si bure Kuna kitu kawawekea ndiyo maana wamama wametulia.wabena shikamoni...

  • @monicahjared2412
    @monicahjared2412 4 года назад +20

    Hongere mzee uko n nguvu kwli wake kumi n 16 c mchezo waitaji tuzo

  • @ryanbee480
    @ryanbee480 4 года назад +1

    Huu ni umaskini wa hali ya juu, pole mzee utakufa bila kufurahia maisha, mke moja maisha Bora. Heko wakenya wenzangu

  • @Boskarii
    @Boskarii 4 года назад +2

    Kapoteza watoto 70. But still happy.

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 4 года назад +6

    Dah mungu amlinde magufuli amepewa baraka Kama zote mungu amsimamie kila iitwapo leo

  • @saitotikukula1798
    @saitotikukula1798 4 года назад +5

    Big millad Ayo......I appreciate your effort to give as updates, broo hii ni kali sana 👏👏👏👏👏

  • @rehemamdoro5165
    @rehemamdoro5165 4 года назад +12

    Jamani jamani uwiiii nimeshindwa hata neno la kusema

  • @hafsaali4423
    @hafsaali4423 4 года назад

    Hongera baba we nikidume na na wanaume muige mwenzenu analeya watoto 100 kunawengine wameshindwa hata moja tu sijuyi mmefeli wapi

  • @EllyAyo-uq6ol
    @EllyAyo-uq6ol 9 месяцев назад

    Eh Mzee Hongera umejaliwa hatariii😂😂😂

  • @winnermariah
    @winnermariah 4 года назад +3

    Nimependa Sana Hapo Kwa MAPADRE NA SISTER NA NURSE

  • @nehanasri4531
    @nehanasri4531 4 года назад +6

    Sijawai kusikia hata kuona before 🙌👍🔥❤️

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 4 года назад +9

    Mzee okoka, Yesu anakupenda, baki na mke wa ujana wako, wengine warudi makwao. Pia wamama nyie Yesu anawahitani, huo sio mpango wa Mungu.

    • @ElhemElhem-n7e
      @ElhemElhem-n7e Год назад

      Yaan kuna mwingine anaumwa na baba hajui halfu huyu baba apewe alimu aacha wake zingine waolewe tuu nao wamependeza kisa wanajinunulia vitu wenyewe na so yeye anawahudumia

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc 10 месяцев назад

      Uzinzi tu ulimsumbua.hawa watoto hata kama Wana afya msongo wa mawazo lzm uwapate ,sisi tupo 25 mama tofauti inatuumiza sana kiukweli . Hana mfano wa kuigwa Wala kupongezwa uhalisia wa ndani ya familia hii hatuujui labda ni maumivu makali. Zaidi hapa watoto lzm uwe kama mtoto wa Bata kujifanyia mambo yako na MUNGU akusaidie na akuonee huruma. Zaa watoto pia wape haki za msingi na kulea c kuwalisha tu,mtoto anahitaji kuongea na baba kusikilizwa ,kushauriwa ,mkiwa Kijiji haki hizi utazipata mtoto? Kukosa kumtii MUNGU ni kuitia familia yako katika matatizo ,tuache tamaa za mwili na maandiko ya MUNGU tusiyatumie vibaya( 1)usiijaze Dunia kwa kuwatesa watoto(2)biblia inaonyesha madhara aliyoyapata suleman baada ya kuoa wake wengi ktk biblia 1wafalme11.

    • @JacobHalili
      @JacobHalili 8 месяцев назад

      Matatizo ya walokole ndo haya wanakalilishwa maandiko

  • @eunicewambui4645
    @eunicewambui4645 4 года назад +2

    Alfu wee Ayo nakupendanga sana sauti mzuri sana from kenya

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant 10 месяцев назад

    Anawatunza vizuri, wamevaa vizuri, wanapendeza, familia inapendeza sana.

  • @emmysfitnessandforex9403
    @emmysfitnessandforex9403 4 года назад +23

    Imagine we ndo wa kwanza😂😂😂😂anaolewa wa pili unashangaa wa tatu unaumia..
    Wa nne unajisi labda ndo mwisho...mara wa tano huyo...itabidi uanze kuhudhuria tu kwenye harusi za mmeo🤣🤣🤣🤣

  • @elviraramadhan3900
    @elviraramadhan3900 4 года назад +26

    Maandiko😂😂😂...nendeni mkazaliane🙏😅

    • @aishadaba7045
      @aishadaba7045 4 года назад +1

      Masha Allah Akubarik mzee wetu pa1 na familia yako..

  • @nemhinapolenisanahakiyamtu2321
    @nemhinapolenisanahakiyamtu2321 4 года назад +5

    Wanawake wenzangu hongereni Sana kwa upendo huo kumpenda mzee wetu

  • @richardmakweba2292
    @richardmakweba2292 4 года назад +1

    Hatari sana zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi nimeipenda hii sana

  • @rehemshehoz8704
    @rehemshehoz8704 4 года назад

    Mashallaah mwenyz mung akujalie maish marefu uzid kusaidia family yk yn mzee n mchesh mkarim family yk anaihudumia family yk vzr mt n mke wk mmoj anashindw kuhudumia vzr asnt sn Millard kwakutusogezea taarif

  • @ipmtv3298
    @ipmtv3298 4 года назад +9

    I like this brother,, milady 💪💪💪

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 4 года назад +12

    Magufur oyeeeeeeeeeee ❤️

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 года назад +4

    Wanaume wa dar hii awawezi kabsa 😁😁😁😁

  • @ezebiomlimbila993
    @ezebiomlimbila993 4 года назад

    Ww mirad mpakahapo nimekukubari. Sana hasa mazingila unayo fika yanahitaji uwe na nia unacho kifanya hongera sana

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 9 месяцев назад

    Uyu mwamba kabisa wake 16 hatari kweli 😂😂😂😂😂 💪💪💪🤚🤚🤚