Hongera sana na pole kwa magumu unayopitia. Mtangulize Mwenyezi Mungu mbele. Wasanii wenye kipato natumaini mkiamua kwa umoja wenu mtasamalizia Nyumba ya huyu Dada. Waziti wa Michezo naomba msaada wako kwa huyu Dada Mwenyezi Mungu akubariki sana.
TFF Wana Roho mbaya Sana yaani mtu kama huyu badala ya kumsaidia',,unamfukuzai hii Ni Roho ya ibilisi:,kuhusu tatizo,lako la ugonjwa mwone Profesa Janabi wa Muhimbili atakusaidia
Pole Hathara. Mimi dada yako from Kenya. Jambo la kwanza: Please angalia sana hali ya health. You are truly blessed and talented, lakini nimesikitika kusikia you are fainting, losing blood from your ears. Jamani, repeated trauma caused by bouncing the ball to your head may be the cause. Hizo company maarufu kama Nike hawaezi kukubali contract where they run the risk of litigation/liability. Lakini all is not lost, kama waeza kuonyesha kwamba walikualika despite knowing hiyo condition yako, labda waeza ku claim negligence. Sisi waafrika are too humble to a fault. Tafuta wakili who can support in this through the media. Be strong sis, walio leo ni mafisi hawajali wenzao. Kila la heri (excuse my Swahili).
Pole sanaaa dada nimeumia Kwa deal la Nike kupotea ungekuwa tajiri but wabaya ni watu walaniwe wote walio kupotezea deal Dunia sio mbaya ila wabaya ni watu
Hii Nchi bhn! Badala ya kumsapoti akaitangaze inchi na na kujipatia Rizki wao wanamfanyia figisu, usikute hapo walitaka wao ndo wapange dau kubwa la kulipwa uyo dada na asilimia kadhaa ziingie kwao.
Mkuu wa nchi yuko bize na mazoea,eti kila.goli kumi elfu! Wakati yupo mtu anatuhemisha kila kona ya afrika na.dunia.Trump.amuone.ila.samia.hamuoni.aibu.
Na kwa taarifa yako mwaka huo huyo dada alivyoibuliwa na Rais Trump ulikuwa ni wakati wa Rais Magufuli ambaye naye alikuwa bize pia kutuletea maendeleo wa Tz.
😂😂😂raisi wa marekani! Anae ongoza watu zaidi 360,000,000/ anakiona hiki kipaji! Raisi wa TANZANIA, anae ongoza WATU 62,000,000, hajakiona hiki kipaji,, inashangaza sana😓
Tanzania vipaji vinateketea hamna support,mnawakazania watu wasome huku hakuna ajira ,watu wanatalent mnashindwa kuwasupport ,wakati talent ni ajira yenyewe
🎉🎉aise hii nchi usiitazamie sana dada angu we muombe Mungu tu akupe Neema na akungulie milango ya kile ulicho nacho make alikipanda yeye tu ndani yako usimuamini kila mtu dada angu si kila mtu anapenda ulichonacho kama kweli hao viongozi wamehaidi na kuksaidia basi Mungu awabariki ila kama ni kutaka kujionesha aliahaidi usiweke imani sana inauma sana ila huyo wa anaekufukuza kwenye ofisi ucjali nafasi alionayo kesho hana nakuhaidi huu mwaka hicho kiti ndo akalie mala ya mwisho imenikela bhana na wenda sio mtanzania hyo achunguzwe vzr
@@neemakungule8633 BLAND NA MAISHA NI VITU VIWILI TOFAUTI... Ata mimi sitaki afake. Afanye Bland kwenye kazi yake coz ndiyo inayo muingizia pesa. Ili aipe thamani kazi yake na yeye apande thamani mbona ni kawaida sana kujibland ata mtu akienda kazini kavaa vizuri ni kujibland, ukitangaza biashara kwenye madhari nzuri ni bland inaongeza thaman. Bland ni kuongeza thamani kitu unacho fanya. Lengo ni kupata pesa nyingi.
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
daah wamemuharibia contract yake ambayo ameitengeneza na imekuja kutokana Mungu ndiye aliyemzawadia bongo kuna mafyokonoko kuuwa vipaji na opportunities siamini nalia kwa machozi ya ndani kwa ndani
Hii video imetazamwa na zaidi ya watu 63,000.kila mtu akichanga 500 huyu dada atapata milioni 31,500,000,pesa ambayo atamalizia nyumba yake lkn pia matibabu namba yake ameitaja hapo 14:55
Duh mungu tupe huruma.Viongozi wote hao waliotajwa kweli wanashindwa kumalizia huyu dada nyumba ya vyumba vitatu? Viongozi wa mpira nao walafi wanachukua hata kidogo cha dada kisa wamempa deal.
@WizarayaMichezoTanzani ,hii ni huzuni ,vipaji mnvitelekeza mtaanii wakati wenzetu wakenya wavunja record huko, huyu dada hakutakiwa kuwa na maisha haya ya kuungaunga
Umenigusa mjomba mahali upo kunywa soda na ujilipie yaani mkubwa wa nchi anadhamini goli moja kwa milioni 5 au kumi tena mama samia anapenda michezo huenda mama hajaonyeshwa kipaji chako lakini naamini mama samia ana moyo waubinadamu mama ni mlezi wawayoto woye wa tanzania akiona hili mara moja atakisaidia mimi niko msa kenya naitwa aliy j konge
Pole sana Dada!
hakupata mtu mzuri wakumusayidiya na kuendeleya na kipagi chake!! Mungu amusayidiye 🙏
Wewe ni star,gari pekee halimfanyi mtu kuwa star,talent yako ni ustar tosha.hongera sana.
Hongera sana na pole kwa magumu unayopitia.
Mtangulize Mwenyezi Mungu mbele.
Wasanii wenye kipato natumaini mkiamua kwa umoja wenu mtasamalizia Nyumba ya huyu Dada.
Waziti wa Michezo naomba msaada wako kwa huyu Dada Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Ashukuriwe Mungu kwa karama mbalimbali alizo tujalia🙏🙏
Ahsante kwa ufafanuzi.. Kwa nn ulimzuia kuongelea ugojwa wake! Big up mbengo tv!
TFF Wana Roho mbaya Sana yaani mtu kama
huyu badala ya kumsaidia',,unamfukuzai hii Ni Roho ya ibilisi:,kuhusu tatizo,lako la ugonjwa mwone Profesa Janabi wa Muhimbili atakusaidia
Utafika tuu!!Cha msingimkabidhi Mungu njia zako mwanadam atakuchelewesha tuu usijal
Waoooooh wajinaaaa BIG UP SAAAAANA HADHARA CHALLES and HADHARA ALLY nimekupenda buree my Queen 🎉❤❤
❤❤❤🎉 Usijali dd ktk maisha wapo vizuiz lakini just Mungu yupo nawe hatakuacha
Hii nchi hovyo sana,viongozi wa hovyo kweli kweli😢😢
Umeona eeh robo mbaya
Walafi yaani hata hawamuoni waovyo
Kabsaa viongozi wanaongana wenyewe kwa wenyewe
Haya yap
Angelikuwa ni mtoto wa mtu flani serekalini wangemsapoti. Lakini kwa kuwa ni masikini wanamtupa. Washenzi tu
Hongera sana trampo kwa ushindi
Pole Hathara. Mimi dada yako from Kenya. Jambo la kwanza: Please angalia sana hali ya health. You are truly blessed and talented, lakini nimesikitika kusikia you are fainting, losing blood from your ears. Jamani, repeated trauma caused by bouncing the ball to your head may be the cause. Hizo company maarufu kama Nike hawaezi kukubali contract where they run the risk of litigation/liability. Lakini all is not lost, kama waeza kuonyesha kwamba walikualika despite knowing hiyo condition yako, labda waeza ku claim negligence. Sisi waafrika are too humble to a fault. Tafuta wakili who can support in this through the media. Be strong sis, walio leo ni mafisi hawajali wenzao. Kila la heri (excuse my Swahili).
Wataje kwa majina safi sana 🙏🏽🙏🏽😂😂
Duuuuh! Watu wanaroho mbaya sana,huyo baba unayemsema ndiyo itakuwa alikubania riziki.Ila Mungu atakupigania tena.
msaidie sana huyu dada
Kweli mungu kakupa kipaji dada
Bonge Moja LA Maojiano Na Nimewahi kumuona Kwenye sherehe nyingi TU ila nasikitika kuona wanamnyonya sana anachokifanya sio anachoingiza aisee 😢
Atumie Tick-tock awe anaenda live akipiga hizo danadana... Atajulikana sana ndani ya muda mfupi
Pole sanaaa dada nimeumia Kwa deal la Nike kupotea ungekuwa tajiri but wabaya ni watu walaniwe wote walio kupotezea deal Dunia sio mbaya ila wabaya ni watu
Yani inatiya uchungu😢
Sana pole Dada hata hvy umejitahid kufika kwny idea
Kama ipo ipo tu atapata tena zaidi
Daa upo na furaa adi laa😍😍
Pole dada Kuna watu wengine maofisini wajisikia sana na roho mbaya
Pole kwa ugonjwa uokoke tatizo litaisha yesu anakupenda unapojikabithi kwabwana unapona yesu kristo alikufa msalabani kwaajili yetu
Rafiki unapotea sana yesu hawezi kumponyesha mtu ila mungu ndiye kila kitu
MUNGU ni mwema siku zote mtumainie yeye hakika utafanikiwa 🤲🤲🤲
Pole Sana Dada...Mungu Atakusaidia.
😊ungekuwa mbali sanae
Pole xana Dada.
Hii ndio tanzania yetu.
Viongozi wetu ni wahovyo xana
Muda utafika utapata watu sahihi wakukuonesha njia. Jambo kubwa usikubali kuingizwa kwenye mikataba ya kuzimu. Mungu akusaidie.
Hii Nchi bhn! Badala ya kumsapoti akaitangaze inchi na na kujipatia Rizki wao wanamfanyia figisu, usikute hapo walitaka wao ndo wapange dau kubwa la kulipwa uyo dada na asilimia kadhaa ziingie kwao.
Jamani asaidiwe Hulu MTU, Janani
Mkuu wa nchi yuko bize na mazoea,eti kila.goli kumi elfu! Wakati yupo mtu anatuhemisha kila kona ya afrika na.dunia.Trump.amuone.ila.samia.hamuoni.aibu.
Alafu mdada 😢😢
Hayo, mawazo yako na sidhani kama Watanzania wote tutakubaliana na wazo lako.
Kama huelew mawazo yake bas ww utakuwa na mtindio wa ubongo@@saimonmanyerezi7169
Na kwa taarifa yako mwaka huo huyo dada alivyoibuliwa na Rais Trump ulikuwa ni wakati wa Rais Magufuli ambaye naye alikuwa bize pia kutuletea maendeleo wa Tz.
Wewe kwa Nini unamlaumu Rais wakati Kuna watu wengi amewataja na ajabu Hali yake inasikitisha la muhimu kwa Nini kiongozi wa Baraza amemkataa kwa nini
😂😂😂raisi wa marekani! Anae ongoza watu zaidi 360,000,000/ anakiona hiki kipaji! Raisi wa TANZANIA, anae ongoza WATU 62,000,000, hajakiona hiki kipaji,, inashangaza sana😓
Good luck dada yangu kipenzi 🎉
Dada Mungu akuponye .
Usiweke ndugu akusimamie ni chagamoto tafuta manager
Pole sana dada mungu ako nawe
Allah akuzidishie dadangu
Honger sana dada
Tanzania vipaji vinateketea hamna support,mnawakazania watu wasome huku hakuna ajira ,watu wanatalent mnashindwa kuwasupport ,wakati talent ni ajira yenyewe
🎉🎉aise hii nchi usiitazamie sana dada angu we muombe Mungu tu akupe Neema na akungulie milango ya kile ulicho nacho make alikipanda yeye tu ndani yako usimuamini kila mtu dada angu si kila mtu anapenda ulichonacho kama kweli hao viongozi wamehaidi na kuksaidia basi Mungu awabariki ila kama ni kutaka kujionesha aliahaidi usiweke imani sana inauma sana ila huyo wa anaekufukuza kwenye ofisi ucjali nafasi alionayo kesho hana nakuhaidi huu mwaka hicho kiti ndo akalie mala ya mwisho imenikela bhana na wenda sio mtanzania hyo achunguzwe vzr
Safi ila. Uwe una jibland kwa kuchukua video zako sehemu nzuri sio uswahilini hii itakuongezea thamani sana kwenye kazi hii. Big up sana sister
Sindio maisha yake halisia jamn unataka afeki maisha ili iweje😊😊
@@neemakungule8633 BLAND NA MAISHA NI VITU VIWILI TOFAUTI...
Ata mimi sitaki afake. Afanye Bland kwenye kazi yake coz ndiyo inayo muingizia pesa. Ili aipe thamani kazi yake na yeye apande thamani mbona ni kawaida sana kujibland ata mtu akienda kazini kavaa vizuri ni kujibland, ukitangaza biashara kwenye madhari nzuri ni bland inaongeza thaman. Bland ni kuongeza thamani kitu unacho fanya. Lengo ni kupata pesa nyingi.
@@neemakungule8633mm.nimesema afake au ajibland . BLAND NA MAISHA NI VITU VIWILI TOFAUTI
We ndo wale wa kufeki
😅😅
Mshukuru mungu tu dada ila usiache kuungana na wenzio wenye vipaji kulaani uwongozi wanchi hii
Mimi nimependa alivyo jiongeza ❤❤❤ mnaona viongozi na fitna zao 😢
Trump Mungu ambariki
Ningepewa hiki kipaji ningenyoosha vitoto vya mitaani ile mbovu,,,, hongera sana dada😊😊😊😊😊
Dada wa kwetu huyu chalinze jmn nafurah kumuona hapa
Matumizi ya L and R ndugu mtangazaji lifanyie kazi.
Kiwango kikubwa sana🌹🌹
Hongera sana
Du bongo noma
Ongera sana dada mungu yu pamoja nawe
Mungu akulinde
We nyamurani wewe una roombayah sana man sio fresh kabisa yani 😢😢😢😢maisha ayaendi iivo
One unique situation.
Kwa kweli watanzania hatupendani,mtu anakipaji cha namna hii na bado mwanamke na watu wenye nafasi zao wanambania
Nyamlani Mungu anakuona,badala ya kutafuta namna ya kumsaidia wewe unamtimua km nyau kaiba kipande cha samaki jikoni😔😔😔😔 kumbuka cheo ni dhamana
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
yesu ni mtume wa allah
Yesu na danadana wapi na wapi
Amen
Mbinguni akafanyaje? Mtu anaongelea kipaji chake we unasema aende mbinguni duh
Jamani yani unavyoongea utafkr unahakika Mungu yupo...Wazungu sio watu wazuri
Nakuombea kwa Mungu utafanikiwa tu, usikate tamaa
Hao wa Nike lazima uwafuatilie ww ulishindwaje kutafuta manager? Hilo ulitakiwa ulifanye faster upate manager ili upate pesa usichelewe chelewe
Eti mpila ni mpira jaman jifunzeni kutofautisha herufi R na L ni shida😢😢😢
yan wanatu wanatajwa kwa majina safi sanaa
Tafuta conection Ubadili uraia usife njaa kisa chuki za mtu fulani. Maisha ni kutafuta kuna watanzania kibao wana uraia wa chi za watu
Saluti
jaman watu wenye hela iyoo si ya kuipiga chap2😊
Hongera mdada
Poleni,TFF wamejaa majambazi tu,Sasa unanamuonea mtu kama huyu anaetangaza nchi yeti,husuda !
Sisi watanzania atujitambui mpaka tuonekane na wengune ndo sisi tuamke,Kiukweli watanzania tunaroho mbaya sana
Kwenye social media anatumia jina gani ??
Usipeleke akili kwenye kurogwa japo wachawi wapo Ila hii akili itakuvunja moyo mwamini Mungu sana ili atende kupitia Imani yako
Hongerasana dada
Wasikuwe wamekutengeneza kwasababu ya wivu ,unajuwa wanadamu tuna wivu sanaaa
Mungu akupe uzima ddngu
daah wamemuharibia contract yake ambayo ameitengeneza na imekuja kutokana Mungu ndiye aliyemzawadia bongo kuna mafyokonoko kuuwa vipaji na opportunities siamini nalia kwa machozi ya ndani kwa ndani
Samia anashindwa kumsapoti huyu dada anaenda kusapoti machawa na wasanii ambao hawaotangazi hata Tz huyu anakipaji kweli angeenda Talent show Marekani
TANZANIA raaana !!! Huenda uyo Mzee aliomba RUSHWA ya ngono 🙊🙊KWANINI asingechukua namba zao za cm ili awasiliane nao hao wadhamini
Mtangazaji acha hii kazi hujui Kiswahili hata hongera unasema hongela duu toka kabisa hapa
😂😂
Hii video imetazamwa na zaidi ya watu 63,000.kila mtu akichanga 500 huyu dada atapata milioni 31,500,000,pesa ambayo atamalizia nyumba yake lkn pia matibabu namba yake ameitaja hapo 14:55
Wazo njema
Yaani mijitu huko TFF ina roho mbaya na li mwenyekiti lao toka kenya roho mbaya wanajiona ndio miungu watu pale TFF
Tanzania bado hawakujuwi na umezaliwa hapo😢😢 ajabu
Duh mungu tupe huruma.Viongozi wote hao waliotajwa kweli wanashindwa kumalizia huyu dada nyumba ya vyumba vitatu? Viongozi wa mpira nao walafi wanachukua hata kidogo cha dada kisa wamempa deal.
Hata wewe ukiguswa utakuwa umebarikiwa,siku zote mtoaji hawezimpoint mtu maana roho zinaoishana.
poresana. Dada yangu. Weka weka nambayako. Yasim. Nikusaidie. Mupendwa. By. Mh. Wayesu.
Kenya angeitoa
Naomba namba ya huyu Dada nimsaidie
Mozambique mm nimeshamuona
Mi naomba ukacheze mpira mmy simba au yanga
Tanzania ni nchi ya hovyo sana mtu ana kipaji na amepata dili mnashindwa kumsaidia kisa rushwa. Ndio maana taifa stars haendelei kabisa.
Asili yetu sisi Watanzania ni wanafiki, kwa nje ni km tunapendana ila tuna roho mbayaaa, utasikia nchi ya amani ndani mioyo inavuja damu na tunacheka
Weninoma dada
@WizarayaMichezoTanzani
,hii ni huzuni ,vipaji mnvitelekeza mtaanii wakati wenzetu wakenya wavunja record huko, huyu dada hakutakiwa kuwa na maisha haya ya kuungaunga
Hao TFF tangu Ni vilaza💣😲
Inchi moja tu ujaitaja Tanzania 🇹🇿
Jaman una,kipaji hicho ni haujui how to go about it
❤❤❤❤❤
Umenigusa mjomba mahali upo kunywa soda na ujilipie yaani mkubwa wa nchi anadhamini goli moja kwa milioni 5 au kumi tena mama samia anapenda michezo huenda mama hajaonyeshwa kipaji chako lakini naamini mama samia ana moyo waubinadamu mama ni mlezi wawayoto woye wa tanzania akiona hili mara moja atakisaidia mimi niko msa kenya naitwa aliy j konge
Dada unacheza MPIRA? Hongera sana
Hii nchi ya kisenge sana
Viongozi hovyo sana...rais Donald trump alimkumbuka lakin viongozi wa nchi wanabana sana, tamaa mbaya viongozi machawa
Watu wabaya sana sana
uyu dada natakiwa niwe meneja wake nimsimamie vzr sana
Mtafute ❤
Please kama unaweza fanya hivyo tafadhali sana
Jamaa Lina wivu
Wivu kama wivu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤