AMEKIMBIA ULAYA KAJA AFRICA KUOA MMASAI _AMEWASHANGAZA WENGI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 40

  • @AliMsellem
    @AliMsellem Месяц назад +16

    mapezi ni majani huota popote ila watu wengi sana kuna ubaguzi km ni mweusi nikimpenda binti mweupe basi hatakubali mwaname akiwa mweupe akimpenda mweusi pia kuna kasumba huyu muwarabu huyu mbongo

  • @ANTONTAJEU
    @ANTONTAJEU Месяц назад +2

    Mke au mume wa mtu ni mwenyezi mungu ajuae . Na bahati ya mungu haimpiti mwenyewe.

  • @NeemaDani-u6q
    @NeemaDani-u6q Месяц назад +4

    Hii iko Bomba sana❤️

  • @samwelikmollel
    @samwelikmollel Месяц назад +1

    Kazi nzuri sana ila wanasai na wazungu kawaida sana tupo nao san mtaan njoo Arusha

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant Месяц назад +5

    Weusi wanavyo penda wazungu😂😂😂😂

  • @salama1113
    @salama1113 Месяц назад +3

    Kafa kaoza 😂😂😂😂

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g Месяц назад +2

    ❤❤ jmn iyo nyimbo msanii nani msada plz

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 Месяц назад +3

    😂😂mzungu kadata

  • @MWINJILISTHURU
    @MWINJILISTHURU Месяц назад +3

    Huyo kweli karogwa.

  • @JuliusSenyael-ej6hg
    @JuliusSenyael-ej6hg Месяц назад +1

    Mbona unajichatishamwenyewe hao wazungu hawana jipya ndio umekiona uwe uku na ushamba wako ovyo TUU wao wanatuibia na kuja kutudanganya ety kaoa mmasai kwa iyo tena umelaaniwa neno la MUNGU linasema amelaaniwa amtegemea mwanada kuwa kinga yake

  • @AliMsellem
    @AliMsellem Месяц назад +5

    safi sana

  • @petrokowero1709
    @petrokowero1709 Месяц назад +1

    Laiboni ni mganga wa kienyeji ndugu.
    Layoni ndiyo mtoto wa kiume wa kimasai

    • @LenjyMedia360
      @LenjyMedia360  Месяц назад

      🙏🙏🙏🙏sawasawaaa pamoja sana ndugu

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv Месяц назад +1

      @@petrokowero1709 laiboni ni mungu wa kimasai anapatikana mlima meru ndio jiwe la masai lipo hufanyiwa maombi kila miaka saba na kupisha tohara kwa ngayoni na kusimama tena kwa miaka saba

    • @AOneMediaStudios
      @AOneMediaStudios Месяц назад

      ngayoni ni mabinti au??​@@PrinceHendry-hp8vv

    • @samwelikmollel
      @samwelikmollel Месяц назад

      We mwenyewe umekurupka laiboni n mchungangombe loiboni ndo mganga

  • @sabathmnubi5033
    @sabathmnubi5033 Месяц назад +6

    Jifunze kiswahili hivi neno "baadhi ya watu wengi" ina maana gani? Mnachafuaji tu wewe.

    • @Groly-s4q
      @Groly-s4q Месяц назад +2

      mbona sijaiona hio "imeongelewa Kwa wapi??🤔

    • @Top10worldWides
      @Top10worldWides Месяц назад +1

      wewe ndo unaechafua mbona Mimi sijaona ...Yani story Iko poa kabisaa😮

    • @AOneMediaStudios
      @AOneMediaStudios Месяц назад

      hata mie sijaona?😮​@@Groly-s4q

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd Месяц назад +2

    Pengine anaweza kuja kueneza ushoga tuwe makini sana

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 Месяц назад +1

    Ana task force maalum ya muda mrefu.
    Kwahiyo case study yake ni jamii ya kimasaai na kwasababu ni kazi ya muda mrefu moja ya shabaha ya kufikia lengo ni kuoa na hata kuongeza kimasaai kuzaa watoto n.k sio shida kwao kwakuwa umiliki na nyenzo zote zipo katika mifumo yao,hivyo ni vitu vya kawaida sana kwao
    Ingawa kwetu sisi huwa tunaona ni fahari kuwa na mzungu.
    Ila sio wote hufanya hivyo lakini ukweli hasa wengi wao ndo hivyo ni kazi maalum Africa.
    Ili unielewe hauitaji maarifa mengi unahitaji kujua kujua kusoma na kaandika tu au uwe na D moja tu hauitaji kwenda Cuba.

    • @LenjyMedia360
      @LenjyMedia360  Месяц назад

      aah kumbee..kwahy lazma aoe kabisa

    • @athumanikadaika5817
      @athumanikadaika5817 Месяц назад +1

      @@LenjyMedia360 kama itakuwa ni wa muda mrefu ni lazima afanye hivyo kufikia lengo na jambo la kawaida sana.
      Mfano usishangae baada ya miaka 20 au zaidi jamii ya kimasaai isiwepo au hawakai tena mbugani na wanyama utafiti ukikamilika.
      Kama una angalau D 1 mfano hai ipo mingi.
      Ila sina maana lazima awe huyu ila nimesema wengi ni kazi maalum Africa.

    • @athumanikadaika5817
      @athumanikadaika5817 Месяц назад +1

      Swali ambalo najiuliza na ww jiulize Brian anafanya kazi wapi na saa ngapi au ndo anatoka katika familia ya kifahari akihitaji matumizi na familia yake ya kimasaai anatumiwa tu.
      Na una dhani hakuna wafadhili waliopo nyuma ya mpango huo anaoujua yeye ukiacha familia ya Brian?
      Mie nipo positive sana sio kwamba nachukia mahusiano ila najaribu kuangalia nje ya box na D yangu moja ya kiswahili kutokana na uzoefu wa ndani wa historia ya Africa na watu weupe au waliotutawala zama za giza hadi zama za mwanga.
      Kama hakuna mpango wowote well and good lkn tahadhari muhimu sana.

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 Месяц назад +1

      @@athumanikadaika5817 hakika umenena vyema mwenye masikio na asikie

    • @LenjyMedia360
      @LenjyMedia360  Месяц назад

      umenena mkuu🙌🙌