Kuna wakati Mungu hufanya jambo fulani ili tuu. Wale wasioamini uwepo wake waamini kua yeye Mungu asieshindwa na lolote yupo. Tuzidi kumuamini Mungu. Tuzidi kumtumaini yeye kwa kila jambo . Amina
Joel pole Sana mwanangu, hakuna Jambo gumu kwa Mungu, tulimsihi Sana Mungu akulinde na kukuokoa, na hakika amefanya, mama yako,baba yako na sisi watanzania wenzao wenye uchungu juu ya wanetu tulilia kwa kumuomba Sana Mungu.Hakika wewe NI mtumishi wa Mungu,huu NI ushuhuda mkubwa Sana Joel mwanangu, Mungu aendelee kukutunza mwanangu,huu ndiyo muujiza hakika.Mtumikie Mungu Sana ktk ujana wako na uzeeni pia.Aliyekulinda siku zote hizo NI Mungu,usimuache Mungu mwanangu Joel,mshike na kumtumikia daima baba🤲🧘🤲🧘🤲🧘,nakuombea mwanangu,damu ya mkombozi wetu ikutunzeee🙌🙌🙌
Sifa Heshima shukrani na Utukufu vimrudie Mungu. Ee Munu tunakushukuru sana, asante sana Yesu Kristo wa Nazareti...kwa jina lako miujiza inatendeka kila iitwayo leo.
Barikiw kw ujmbe! Ila tusaidiane khs hy majina, shadrack, meshack na Abednego hayo n majna ya miungu ya nchi ya Nebikadneza, jpo leo kwakutojua wengi makanisan leo huitwa hvyo kmbe n kosa kubwa linalomkosesha mkrsto asiingie mbnguni maana n heri kuchagua jina jema kulko dhahab na mali nyng( Mith22:1)
Mungu Mwenyezi Baba wa rehema asante kwa ulinzi wa huyu mtoto Damu ya Yesu kristo inenayo mema kila sekunde ikaendelee kumfuniks joell pamoja na sisi sote ameen
Inaumiza kwenye kiwango kisichovumilika. Hapo Nguvu ya Mungu ndiyo ilifanya kazi kubwa kumsikia tena Joel. Ni jambo ngumu lenye kukupa nguvu katka safari yako maisha yanayofuata akupunguzie ugumu wa aina yoyote ule.
Huyu mtoto amebeba kusudi kubwa la Mungu na adui anamuwinda,wazazi hakikisheni mnamfikisha Mungu alipomkusudia, Sifa na utukufu zirudi kwenye kiti cha enzi sio rahisi mazingira hayo akavuka salama
@@AgustaZaile Huna unachoelewa ungeuliza ueleweshwe Nini maana ya kusudi la Mungu ndani ya mtu japo wote tumeumbwa na Mungu na usipende kujibu watu usiowajua
Joel Mungu anekuweka hai kwa kusudi umtumikie. Hata hao nyoka hawakukugusa kwa sababu Mungu alimtuma malaika wake kukulinda. Tafadhali ukiwa mkubwa usimwache Mungu. Mtumikie kwa nguvu zako na kwa roho yako yote.
Mwanangu tumshukuru Mungu ukuu wake ni makubwa mno.hakika ametenda maajabu ya kushangaza hii yote ni kujidhihirisha kuwa Mungu yupo.mwananfu pole Sana.
Pole sana Mungu ni mwema.Ila kuna uzembe mkubwa ulifanyika porini haiwezekani Waongozaji ambao walikuwa walimu waruhusu wanafunzi kutawanyika tawanyik afu ni porini😭😭😭🙏
MASHA ALLAH yani katumia akili sana kunipumzisha ile apate nguvu Kesho yake na kutafuta pakulala mapema kabla ya kuingia kiza ALLAH kakuvua hili na jengine yarabby
Na usiku ndio una mambo mengii ila Mwenyezi Mungu akamfanyia wepesii kila ukiingia usiku anampa usingizii mnzito hadii asubuhii isipokuwa hiyo siku ya siafuu Allah Akbar❤
🎉🎉 sifa na utukufu wake mungu aliye kutendea hayo yote na usimwache yesu siku zote za maisha yako.wewe umebeba kusudi kubwa la mungu ndio maana adui anafanya vita na wewe , endelea kutengemea mungu ,atakutendea mambo makubwazaidi ya hilo
Hakika Mungu ni mwm kwako,familia kiujumla mpeleke sadaka ya shukran kanisani,nilikuwa najitahid bundle lisikate kw kukusubir kw ham nikusikie kw mdomo wako nn kilikutokea.Uzembe ni wa huyo mwl.ambaye umemwambia umechoka anakwambia kaa,pasipo yy kubaki,hao wasichana wawil hawakuwa na kosa bali waliingiwa hofu baada ya kuona wamebaki wenyewe,waliogopa watapotea.ndo mana waliamua kuondoka.maamuz mazur kumuhamisha shule,coz kisaicology hawez kuwa sawa akiendelea kusoma hapo.
Pole sana kijana wangu wewe ni mwanamume shujaa na mungu amekisaidia kwa usingizi mzito Ili usipate kuhisi hofu usiku wewe ni kamanda wa kesho mungu akubariki
Hakika Mungu anatenda,najaribu kufukiri ujasiri alikuwa nao huyu mtoto Kwa umri wake sielewi naona mauzauza,Ila nauona ukuu wa Mungu juu ya huyu mtoto 😢😢😢 daah
Dah pole San mtoto Mungu nimwema Sana nandiye mwenye uwezo amepigania akakuokoa Siku nyingine ikitokea hali kama hiya kwamtuyoyote ukiona umepotea njia unahangaika bila mafanikio ya kuona njia Vua nguo igeuze njendani biashara imeisha
Dogo hongera sana maana ulikuwa chini ya mikono salama. Nyoka ni ishara ya Mizimu/Wahenga wako, walikuzunguka siku zote kukulinda na hatimae wakakuongoza njia. Binafsi naamini kuna siri ya mafanikio yako ya maisha ya baadae huko porini ulikokuwa, una wajibu wa kutafakari siri hiyo vema, uijue na uiishi kama bado hujaijua. Mizimu yako ni yenye nguvu sana, usiache kuikumbuka siku zote.
Mungu hajawahi kushindwa,nilimuuzia sendoz na mahitaji mengine mama yake mzazi cku alipokuja kumuhudumia mwanae hospital niliona Imani kubwa ya mama yake,Mungu ni mkubwa na kijana Ni jasiri mungu amtunze aje amkumbuke mama yake
Huyu mtoto alitaka kutolewa kafara sema Allah amemsaidia, kumbuka alisema alikuwa na wenzake ambao wote walikuwa washapotea ukitafakari hao si binaadam walikuwa wanamzuga tu kiin macho
Nimekumbuka story yakukanyaga mududu It’s true unajikuta unapotea mahali ukienda kaskazini hupaoni Kusini umepotea Nimelia sana Huyu mtoto alipotea hakukusudia Ni uzembe mahali Tumshukuru Mungu Ametenda mema Mungu Akutunze zaidi Joel Mungu anamakusudi na maisha yako.
Yani ni kama ndoto❗❗... aisee Mungu akiwa ana kazi maalum nawewe atafanya mazingira yoyote ili upitie uje kuwa ushuhuda unaoiishi, Joel Mungu ana kazi nawewe ndomana karuhusu hilo na hujadhulika, Kwa mwanaume kukaa na njaa siku hizo ni nyingi mno ndomana sauti ikakauka, unaandaliwa joel.. aisee Mungu ana kusudi na huyu mtoto. Hatokufa mpaka kusudi Hilo litimie wewe ni mtu mkubwa ni mtumishi wa Mungu ni kiongozi wa kitaifa.
Kosa lilianzia kwenda haja kubwa kuna maeneo kuna viumbe visivyoonekana kabla hujafanya kitu omba dua kwanza. Pale unapoweka uchafu huenda ni nyumban kwa mtu asie onekana kwa macho ya kawaida.Mungu ni mwema maombi ya wazazi wako yamepokelewa huenda hao nyoka ndio wenye msitu wao .Mungu aendelee kukulinda hakika ametenda
Msitu ulishindwa kummeza JOEL🙌🏽🙌🏽 Nani kama MUNGU wa Israel asiyesinzia wala kulala, atulindaye hata tusipojua. Asante Yesu
Amen 🙏
AMINA AHSANTE YESU
Amina
Ameen
Ashukuliwe bwana wa majesh Joel amerud salama mungu yu mwema
Kuna wakati Mungu hufanya jambo fulani ili tuu. Wale wasioamini uwepo wake waamini kua yeye Mungu asieshindwa na lolote yupo. Tuzidi kumuamini Mungu. Tuzidi kumtumaini yeye kwa kila jambo . Amina
Kabisa dear
USHUKURIWE YESU KRISTO kwa kazi nzuri Ulioifanya kwa mtoto huyu 🎉.
Ashukuriwe MUNGU anaemiliki Dunia na vilivomo ndio anaekadiria usku na mchana, sio yesu yesu ndo nani?
@@hemedysaidy5688Yesu ni binadamu km sisi. Na hana uwezo wowote. Muweza ni ALLAH peke yake.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Asante. YESU USIYE. FANANISHWA. NA. KITU CHOTE
Joel pole Sana mwanangu, hakuna Jambo gumu kwa Mungu, tulimsihi Sana Mungu akulinde na kukuokoa, na hakika amefanya, mama yako,baba yako na sisi watanzania wenzao wenye uchungu juu ya wanetu tulilia kwa kumuomba Sana Mungu.Hakika wewe NI mtumishi wa Mungu,huu NI ushuhuda mkubwa Sana Joel mwanangu, Mungu aendelee kukutunza mwanangu,huu ndiyo muujiza hakika.Mtumikie Mungu Sana ktk ujana wako na uzeeni pia.Aliyekulinda siku zote hizo NI Mungu,usimuache Mungu mwanangu Joel,mshike na kumtumikia daima baba🤲🧘🤲🧘🤲🧘,nakuombea mwanangu,damu ya mkombozi wetu ikutunzeee🙌🙌🙌
Amina na safi mana kwa kumtia moyo kijana wetu.
Nilisali sana mwanangu upatikane Mungu ni mwema aendelee kukubariki na akutimizie malengo yako mwanangu
Jmn mung ni mwem
Sifa Heshima shukrani na Utukufu vimrudie Mungu.
Ee Munu tunakushukuru sana, asante sana Yesu Kristo wa Nazareti...kwa jina lako miujiza inatendeka kila iitwayo leo.
Nikweli
😂😂😂
Joel ni mtumishi wa mungu amepitishwa kwenye tanuru la moto kama shedrack, meshack na abedineko ongera sana mtumishi wa mungu umeshinda.
Barikiw kw ujmbe! Ila tusaidiane khs hy majina, shadrack, meshack na Abednego hayo n majna ya miungu ya nchi ya Nebikadneza, jpo leo kwakutojua wengi makanisan leo huitwa hvyo kmbe n kosa kubwa linalomkosesha mkrsto asiingie mbnguni maana n heri kuchagua jina jema kulko dhahab na mali nyng( Mith22:1)
Mungu Mwenyezi Baba wa rehema asante kwa ulinzi wa huyu mtoto Damu ya Yesu kristo inenayo mema kila sekunde ikaendelee kumfuniks joell pamoja na sisi sote ameen
Inaumiza kwenye kiwango kisichovumilika. Hapo Nguvu ya Mungu ndiyo ilifanya kazi kubwa kumsikia tena Joel. Ni jambo ngumu lenye kukupa nguvu katka safari yako maisha yanayofuata akupunguzie ugumu wa aina yoyote ule.
Amtumainie Bwana ni kama mlima sayun usiotikisika, Asante Mungu kwa ajili rehema zako kwa huyu mtoto
Hongera kwa ujasiri mtoto mzuri ..Daaahh!!hii Ni zaidi ya thriller movie..Mungu ni mwema sana.
Pole sana mwanangu shetani ameshindwa juu Yako Mungu bado anakupenda sana usiache kumtumikia siku zako zote huo ni ushuhuda kwako
Mungu ambariki huyo babu aliempa msaada bila kujali😭😭 nimejikaza ila nimelia mwishoni😢... Mungu azidi kukulinda kijana shupavu
Hakika uyu ni shujaa mungu akutunze mwanangu
Mungu wa huyu mtoto ni Mungu asiyelala.malaika ndio waliokuwa wakimlinda huyu mtoto.
Yahn saana inatisha
Mungu ni moja t
Mungu wa mtoto ni asiyelala je mungu wako ni wakulala ,,,,au wamaanisha kuna waungu wengi,hiyo ni kufuru
Kweli kabisa Mungu aitwe Mungu
Sunaskiya kama alikuwa akisinzilishwa usiku mzima
Huyu mtoto amebeba kusudi kubwa la Mungu na adui anamuwinda,wazazi hakikisheni mnamfikisha Mungu alipomkusudia, Sifa na utukufu zirudi kwenye kiti cha enzi sio rahisi mazingira hayo akavuka salama
Ni nani ambaye hajabeba kusudi la Mungu Dunia hii?? Mbona mnaandika kama walevi
@@AgustaZailewanadamu wote ni sawa lakini kuna walioitiwa wito wa juu zaidi ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa Rais japo Rais ni mtu kama wengine
Sasa walevi tumeingiaje hapa? mbona mnapenda kutuonea?
@@AgustaZaile Huna unachoelewa ungeuliza ueleweshwe Nini maana ya kusudi la Mungu ndani ya mtu japo wote tumeumbwa na Mungu na usipende kujibu watu usiowajua
@estellesichone5216 peleka upumbavu huko
Mtoto ana akili huyu shuleni afanya vizuri saana,Mungu aendelee kumkumbatia.
Allahmdhulilah Mungu ni Mwema hawa walimu niwazembe ukiwa unatemvea na watoto wawenyewe hufai kuwaacha hata sekunde moja
Pole sana joeli wetu, Mungu ni mwema sana mwako mwanetu tunamshukuru Mungu kwajili yako Amina.
Alhamdulillah Yarab kwa kuwa salama adi leo pole mtt mzuri
Acha Mungu aitwe Mungu, katikati ya miungu hakuna Mungu kama wewe Yehova. Amina.
Joel Mungu anekuweka hai kwa kusudi umtumikie. Hata hao nyoka hawakukugusa kwa sababu Mungu alimtuma malaika wake kukulinda. Tafadhali ukiwa mkubwa usimwache Mungu. Mtumikie kwa nguvu zako na kwa roho yako yote.
Achukue kaz jeshin...dogo yuko vzr kivita
Mwanangu tumshukuru Mungu ukuu wake ni makubwa mno.hakika ametenda maajabu ya kushangaza hii yote ni kujidhihirisha kuwa Mungu yupo.mwananfu pole Sana.
Bado kuna maswali mengi sana kuhusu hili.
Tunamshukuru Mungu kwa kupatikana. Maana ilileta shida na mateso sana kwa ujumla
Asante sana Mungu maana furaha nimeipata kupotea kwa Joel ilinifanya moyo wangu uumie sana.Ila umepatika sasa ushukuruwe Mungu.
Nimejikuta naia sana😭😭😭😭ata chakuongea sina mengi zaidi yakumpa pole sana mwanangu
Pole sana Mungu ni mwema.Ila kuna uzembe mkubwa ulifanyika porini haiwezekani Waongozaji ambao walikuwa walimu waruhusu wanafunzi kutawanyika tawanyik afu ni porini😭😭😭🙏
Mungu wa rehema uinuliwe kwa muujiza huu wa huyu mtoto ulimtumia malaika wakamlinda ee baba asante kwa ulinzi wko🙏🙏🙏
Mungu wewe ni ebeneza , utabaki kuwa Mungu Asante Yesu Kwa ajili ya ulinzi juu ya huyu mtoto
MASHA ALLAH yani katumia akili sana kunipumzisha ile apate nguvu Kesho yake na kutafuta pakulala mapema kabla ya kuingia kiza ALLAH kakuvua hili na jengine yarabby
Na usiku ndio una mambo mengii ila Mwenyezi Mungu akamfanyia wepesii kila ukiingia usiku anampa usingizii mnzito hadii asubuhii isipokuwa hiyo siku ya siafuu Allah Akbar❤
sasa ukisikia mtu anasema nimemuona Mungu nikama iyo usiku ukifika analala akiamka kumekucha Yani wacheni Mungu aitwe Mungu
Mungu mkubwa sana
@@jacklinezombo5806 Mambo ya Mungu ni ya ajabu sana
AKI MUNGU WETU NIMUAMINI AKI
ALLAHU AKBAR
😭😭😭😭😭Jmniii nyieee mbonaa nmeliaaa,,unawezaa kusemaa hadithiiii Mungu wanguu😭😭😭😭😭😭😭
Pole sana jamani,lakini hongera sana kwa kupatikana kwa mtoto huyu jamani😩mtoto was mtu ni mugumu sana eti.
Pole sana maombi ya watanzania na wazazi wako mungu akasikia mungu aendelee kukulinda na kukutunza
Mungu ni mungu niliumia roho sana kusikia huyu mtoto amepotea halafu ukizingatia ni msituni.Mungu akupiganie hivyo hivyo.
Pole sana mdogo wangu Mungu anakupenda sana
Pole sana mtoto wetu Mungu ni Mwema amekutoka katika pori Moe sifa nyingi sana
ALLAH karimu kwa waja wake
🎉🎉 sifa na utukufu wake mungu aliye kutendea hayo yote na usimwache yesu siku zote za maisha yako.wewe umebeba kusudi kubwa la mungu ndio maana adui anafanya vita na wewe , endelea kutengemea mungu ,atakutendea mambo makubwazaidi ya hilo
Asante MUNGU kwa maajabu yako Hakika wwe ni mwema
Hakika Mungu ni mwm kwako,familia kiujumla mpeleke sadaka ya shukran kanisani,nilikuwa najitahid bundle lisikate kw kukusubir kw ham nikusikie kw mdomo wako nn kilikutokea.Uzembe ni wa huyo mwl.ambaye umemwambia umechoka anakwambia kaa,pasipo yy kubaki,hao wasichana wawil hawakuwa na kosa bali waliingiwa hofu baada ya kuona wamebaki wenyewe,waliogopa watapotea.ndo mana waliamua kuondoka.maamuz mazur kumuhamisha shule,coz kisaicology hawez kuwa sawa akiendelea kusoma hapo.
Hakika Mungu ni mwema,jina lake lihimidiwe daimaa❤
Ni Mungu tu ,ametenda .Na anakusudi na huyu mtoto.Utukufu Heshima ni zake.
Pole sana kijana wangu wewe ni mwanamume shujaa na mungu amekisaidia kwa usingizi mzito Ili usipate kuhisi hofu usiku wewe ni kamanda wa kesho mungu akubariki
Mwacheni Mungu aitwe Mungu 🙏🙏🙏
Kabisa
Amen
Mmh umepitishwa njia ngumu sana mungu ni mkibwa kwakwel anakupenda😢😢
Jamani usimuache mzunguu kwa maajanu alio kutendea Asante yesu
Asimuache muzunguu 😂😂😂?
Hakika Mungu anatenda,najaribu kufukiri ujasiri alikuwa nao huyu mtoto Kwa umri wake sielewi naona mauzauza,Ila nauona ukuu wa Mungu juu ya huyu mtoto 😢😢😢 daah
Dah pole San mtoto Mungu nimwema Sana nandiye mwenye uwezo amepigania akakuokoa
Siku nyingine ikitokea hali kama hiya kwamtuyoyote ukiona umepotea njia unahangaika bila mafanikio ya kuona njia Vua nguo igeuze njendani biashara imeisha
Amtumaini Mungu siku zote ndo ombi langu tuu.😊
Iyo Shule.Inafunga Safari Inazani Inapeleka Mbuzi Awajui Kama Watu
Hii nchi kila kona ni uzembe tu afu awawajibishwi wana wajibishwa wanaojitolea kusaidia
Dogo hongera sana maana ulikuwa chini ya mikono salama. Nyoka ni ishara ya Mizimu/Wahenga wako, walikuzunguka siku zote kukulinda na hatimae wakakuongoza njia.
Binafsi naamini kuna siri ya mafanikio yako ya maisha ya baadae huko porini ulikokuwa, una wajibu wa kutafakari siri hiyo vema, uijue na uiishi kama bado hujaijua.
Mizimu yako ni yenye nguvu sana, usiache kuikumbuka siku zote.
ALLAH alimlinda huyu kijana mm nilikua naomba na namuinea huruma sana
Joel pole sana Mungu ni mwema
Tunamshukuru MUNGU amesikia vilio vyetu juu ya huyu mtoto🙏
Eeeh mungu mtoto ameniuma sana aisee Asante mungu kwq kumrudisha nyumbani amepitia mateso makubwa sana aisee 😭😭😭dah
Mungu hajawahi kushindwa,nilimuuzia sendoz na mahitaji mengine mama yake mzazi cku alipokuja kumuhudumia mwanae hospital niliona Imani kubwa ya mama yake,Mungu ni mkubwa na kijana Ni jasiri mungu amtunze aje amkumbuke mama yake
Amina,japo natamani hivyo vitu ulivyomuuzia MAMA YAKE UNGEMPA TU BURE KAMA SADAKA KWA MUNGU WAKO KWA SHUKRANI YA KUMPATA JOEL😢
Hata hivo@@israelkisaila8401
Pamoja na hayo yote huyu nishujaa kama majaliwa nandege ziwani hakika akasome lugalo mwanajeshi shujaa
Joeli Uliniliza sana Hakika Mungu nimweza wa wote halleluya
Mungu ni mwema kwa kweli, tunashukuru Mungu kumuokoa huyu mtoto jamani🙏
Pole sana mdogo wangu huo ni ushuhuda tosha mungu anatenda
Mungu wa rehema halali wala hasinzii nitazidi kukutuza maisha yangu yote kama ulivyomsaidia mtoto huyu naamini utanisaidia na mimi pia
Pole sana mwanangu mzuri, so touching story!
Polee sana mdogo wangu nimeumia sana😢😢😢😢
Alhamdulillah Allah. Kadiir❤❤❤
MUNGU ni mkuu sana amemvusha joel
Pole sana dogo daaaaaaa inauma ila yote kwa yote mungu ni muweza wa kila jambo
Pole sana ndugu Kwa tatizo hilo😂😂
Allah ashukuriwe na aswali sana pia km anataka jeshi aingizwe na cheo cha kamanda full bila ya course
Huyu mtoto alitaka kutolewa kafara sema Allah amemsaidia, kumbuka alisema alikuwa na wenzake ambao wote walikuwa washapotea ukitafakari hao si binaadam walikuwa wanamzuga tu kiin macho
Inawezekana sana..
Kabisa aisee,Mungu ashukuriwe mno
kafar yamtu kupotea hmna hiyo je angeuawa mtasemje
Kwel Mungu ni mwema adui ameshindwa
Asante yesu umefanya maajabu kwa kumuokoa huyu kijana wa shule. Uinuliwe yesu.
Pole mwanangu MUNGU akutunze🙏🙏🙏
Dah inaumiza sana kwakweli😢😢
Nimekumbuka story yakukanyaga mududu
It’s true unajikuta unapotea mahali ukienda kaskazini hupaoni
Kusini umepotea
Nimelia sana
Huyu mtoto alipotea hakukusudia
Ni uzembe mahali
Tumshukuru Mungu Ametenda mema
Mungu Akutunze zaidi Joel
Mungu anamakusudi na maisha yako.
Uyu mtoto anaakili sanaa
Pole san baba ila Mungu ni mwema
Yani ni kama ndoto❗❗... aisee Mungu akiwa ana kazi maalum nawewe atafanya mazingira yoyote ili upitie uje kuwa ushuhuda unaoiishi, Joel Mungu ana kazi nawewe ndomana karuhusu hilo na hujadhulika, Kwa mwanaume kukaa na njaa siku hizo ni nyingi mno ndomana sauti ikakauka, unaandaliwa joel.. aisee Mungu ana kusudi na huyu mtoto. Hatokufa mpaka kusudi Hilo litimie wewe ni mtu mkubwa ni mtumishi wa Mungu ni kiongozi wa kitaifa.
Joel wew ni jasir sana nakuombea ufanikiwe sana❤🎉
Mungu anakupenda sana Joeli,tulikuombea na Mungu akafanya,
Mungu Ni mkuu mungu tunashukuru kwa ulinz wako pole San clasment wangu johanes
Eeeh Mungu!matendo yako yatisha.Asante Yesu kwa ushuhuda huu
Pole San dear mungu ni mwemaa sanaa polee sanaa mkuu wangu dahayeee endeleaa kuongozaa vizur shulee yetuu
Mungu ni nani😭 ni Mkubwa kuliko milima yote..Apewe sifa aitwe Mungu🥺🙏
Dah kweli mungu ni mkubwa hakuna kitu kina shindikana kwake pole Joel kwa kuteseka huko mstuni mungu anakupenda sana Bado yani
Bwana anaweza kila wak
Huyu mtoto amebeba kusudi la Mungu ni malaika tu walikuwa wanamlinda Hakika Mungu ni mwema sana nimelia sana
Mungu kakulinda sana ila awo wenzako ndo walio sababisha sana kukuacha wakati umeenda kujisaidiya
Mungu ni mwema simu pia ni muhimu wanafunz wanapoenda sehemu kama hizo
Pole Sana mwanangu niliumia Sana Ila mungu ni mwema Sana baba tunakupenda Sana watnzania
Pole mwanangu Mwenyeezi Mungu akulinde
Hakika yupo Mungu wa watakatifu walali hata hasinzii, pole mtoto mzuri. Usiache kumtumikia Mungu.
Pole sana kijana mungu yupo sana na wewe inabidi mama achinje Bata awe badili yako ❤
Pole sana! Wapenzi wa mazoezi piteni hapa kuna videos za mazoezi ya kujenga mwili!
Kweli .maombi na machozi yaa .mama Joely mungu ameyasikia. Pole sana kweli hatutakiwi kukataa taamaa 😢😢😢
Vile muache mungu aitwe mungu
Kosa lilianzia kwenda haja kubwa kuna maeneo kuna viumbe visivyoonekana kabla hujafanya kitu omba dua kwanza. Pale unapoweka uchafu huenda ni nyumban kwa mtu asie onekana kwa macho ya kawaida.Mungu ni mwema maombi ya wazazi wako yamepokelewa huenda hao nyoka ndio wenye msitu wao .Mungu aendelee kukulinda hakika ametenda
Misitu ina mengi sana....mingine madhabahu ya watu.
Pole sana mpendwaaa❤❤❤❤
Mmmmmh uchawii tuu huo msitu ukafanyiwe maombi
Maskini pole mwanangu mungu akuepushe
SubhanaAllah Mungu ashukuliwe kwakweli na pole sana mtt mnzuri na family pia