MISSION IMPOSSIBLE [23] SEASON 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @TigerKingazi
    @TigerKingazi 3 дня назад +205

    Chado kwastaili hii utapata mashabik weng sana maan huchelewesh kazi zako

    • @MabandaMarceline
      @MabandaMarceline 2 дня назад +3

      Hapoi wala haboi chado

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 дня назад +1

      Tayari anao,waonaje mission impossible ikianza hakua amefika 100k subscribers...lkn mission imemfikishia na anaelekea 200k🎉🎉🎉

    • @FatumaNtsonje
      @FatumaNtsonje 2 дня назад +1

      Kweli kbx ❤

    • @saadnamusa9501
      @saadnamusa9501 2 дня назад +1

      Sanaaa tu❤😊

  • @SamiraMohd-h9y
    @SamiraMohd-h9y 3 дня назад +67

    Like kwake ngwengwe jamani mtoto anakipaji mungu amzidishie.🎉🎉🎉apewe mauwa yake

  • @Gojo-e3f
    @Gojo-e3f 3 дня назад +171

    Anaesoma coment hii mungu akulinde umalize mwaka bila matatizo

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 3 дня назад +71

    Tulio furahi cheusi kuingia kwenye 18 za ngwengwe tujuane 😂😂😂 Mr manyonga chinja huyo katuchosha kwa umbea

    • @FATMARAHMA12
      @FATMARAHMA12 2 дня назад +1

      😅😅😅😅😅😅😅 cheusi na ngwengwe na begi 😂😂😂😂

    • @abdallahkhalikijuma4874
      @abdallahkhalikijuma4874 2 дня назад +1

      daaah kweli cheusi ni mmbea hatariiii😂😂😂🙌🙌🙌🙌

    • @Iamzaqee
      @Iamzaqee 2 дня назад +4

      😅chaumbea bag limemponza

    • @MugishaDorine-t6z
      @MugishaDorine-t6z 2 дня назад +1

      Cewusi abadirishe mavazi avaye siket kwawumbeya wak manyonga kacice hako kamezid😂😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 День назад

      Sasa akiwa na bonge😂😂😂

  • @Kidem_jau
    @Kidem_jau 3 дня назад +425

    Ahsanteni kwa sapoti yenu sana jamani najma nawapenda

  • @HamisiMalendula
    @HamisiMalendula 3 дня назад +106

    Cheusi anafanya vzr sana, 🎉🎉🎉kama unamkubali cheusi media gonga like 😊😊

    • @MaryWamboi-s8z
      @MaryWamboi-s8z 2 дня назад +1

      Jamani cheusi😂

    • @JasusiiCkang
      @JasusiiCkang 16 часов назад

      Cheusiiiiii mnyama...kaongezeka mwingne mjomba ake Ngwe Ngwe Motoooo

  • @FaridDeo
    @FaridDeo 3 дня назад +20

    Leo nimechelewa Ila aimanishi nisiseme kitu kwa good work… kwa chado wanaomtakia her ya Christmas and happy new year tia like

  • @MercyWamalwa-f5w
    @MercyWamalwa-f5w 3 дня назад +52

    Ila bonge na cheusi jamani nawakubali sanah🎉❤😂😂😂😂

    • @daudimasawa
      @daudimasawa 2 дня назад

      bonge na cheusi wanatisha

    • @DeeDan-sj1mr
      @DeeDan-sj1mr 2 дня назад

      Cheusi anamaneno meng xana

    • @khdj-x3w
      @khdj-x3w 2 дня назад

      😂😂😂😂😂nimependa cheusi alivyo chezea kichapo kwa manyongaa

  • @Barackjumah
    @Barackjumah 3 дня назад +50

    Nkisema nimewai nakuta nimechelewa jaman kwn mnalalaga humu , haya kutoka Kenya like tukisonga bc😢

  • @MzakiruKapita
    @MzakiruKapita 3 дня назад +15

    Asante Chado huna nyodo kama watoto wengne wa bongo mov tukionyesha nia tunazitaka kazi zao wanaanza kuchelewesha eti wanatafta teshen....❤

  • @jacenorman86
    @jacenorman86 3 дня назад +182

    Mwenyezi mungu awabariki wote msomao comment hii🎉🎉🎉🎉❤❤pia atuvushe mwaka salama❤❤❤🎉likes nyingi🎉

  • @Shepherd-gc5py
    @Shepherd-gc5py 3 дня назад +28

    Tupo pamoja master chado let go Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SaumuNyale-s6h
    @SaumuNyale-s6h 3 дня назад +22

    Habari zenu yote naamn mko poa n mm pia nko fresh ..Mwaka waelekea kuisha naomba Mungu atulinde tuvuke mwaka salama ,,,,,Natuma salamu xangu kutok KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥♥♥.......Chado n wanao chukueni maua yenu mnaweza hatari 👌👌😘😘😘😘📌📌📌📌📌

  • @HosseniMasudi-k9q
    @HosseniMasudi-k9q 3 дня назад +18

    Salute sana kwa ili dude 😅 sio poa yaaan miziki tuuu sio poa duuuu wapi ngwengwe wapi mchizi cheusi like tumpen chado mwenyew

  • @zuluRaphaelItangishaka
    @zuluRaphaelItangishaka 3 дня назад +17

    leo niko wanane!big up sana team nzima ya mzee chado masta!love from burundi❤❤❤❤❤❤

  • @AshuraMuhammed-d3x
    @AshuraMuhammed-d3x 3 дня назад +16

    Mungu awabariki nyote mnaoangalia mission impossible mvuke mwaka salama ,from Kenya Mombasa kazi nzuri chado master❤❤❤

  • @katanadavid9446
    @katanadavid9446 3 дня назад +28

    Wa kwanza leo kutoka Kenya Mombasa. Kazi mzuri chado master

  • @AlhabeebKhan-ce8xm
    @AlhabeebKhan-ce8xm 2 дня назад +10

    Cheusi titii huyu mwamb mnafki na mbea yeye na mwanae bonge ila kiukwel part yen mumejitahid Kwa kweli pamoya 🫂 gang la chado❤❤❤

  • @emmanuelhellen1990
    @emmanuelhellen1990 3 дня назад +61

    Mungu atusaidie tumalize mwaka salama🙏tukiwa wenye furaha na amani tele🤲🏻🙏

  • @MwamuyeChimwaga
    @MwamuyeChimwaga День назад +5

    Like kwa ngwengwe apa jamaa zangu,,,dogo kacheza part yake vizur...aminia dogo langu..wapi like zake apa wangwana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FrankinaAntonioAntonio
    @FrankinaAntonioAntonio 3 дня назад +25

    Léo nimekuwa wa Kwanza naombeni likes zangu master chado

  • @benadethamwenda
    @benadethamwenda 2 дня назад +13

    Nawapenda wote timu mission impossible, mungu wa mbinguni awalinde dhidi ya mitego ya maadui ❤❤❤❤❤

  • @CathelineJuma
    @CathelineJuma 2 дня назад +11

    Mwenyez mungu tuvushe mwaka salama na wenye mafanikoo amima🙏

  • @BarakaDominick-o7d
    @BarakaDominick-o7d День назад +4

    kazi nzuri sana hongerin wana mission imposible mungu awabariki

  • @LuluSimba-o3c
    @LuluSimba-o3c 3 дня назад +56

    Mungu awabariki mnao angalia mission impossible

  • @Jamila_1996
    @Jamila_1996 3 дня назад +33

    Mzee wa misumari sikuhizi haongei sana😂😂😂 mwambieni siwezi kuishi bila yeye

    • @violetsagina7429
      @violetsagina7429 2 дня назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @MugishaDorine-t6z
      @MugishaDorine-t6z 2 дня назад +1

      Nimuzuri anitafute basi tujuwane 🇧🇮🇧🇮 napenda wat wakinya harafu wafanye kazi yawo kwabid ❤❤

    • @ThomasLubeleje
      @ThomasLubeleje 2 дня назад +1

      Chado master we mkal baba

    • @vivianrweyemamu1555
      @vivianrweyemamu1555 2 дня назад +1

      Mwambie nishampenda tayr nahis kichefuchefu sijui nina ujauzito wake😂😂😂

  • @peterjeremiah7284
    @peterjeremiah7284 3 дня назад +10

    Big up sana chado master..nakuona mbali baada ya miaka kadhaa hv mungu akufanyie wepesi...

  • @SaraAa-e1j
    @SaraAa-e1j 3 дня назад +20

    Cheusi na bonge mnanimaliza umbea mwanzo mwisho😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JizzoSimba
    @JizzoSimba 3 дня назад +37

    Munanifulahish kila siku ndo maana nawahi kuhangalia movi zenu hongela sana hizi kutoka🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh 3 дня назад +10

    ila cheusi humezi hata mate kazi nzuli jamani nawapenda nyote timu chado ❤❤❤

  • @ourienswalee7386
    @ourienswalee7386 3 дня назад +11

    Mm wa kwanza Toka Kenya nipewe likes zangu

  • @famidaally2665
    @famidaally2665 3 дня назад +15

    😂😂😂😂😂 sina chakusema hii mvi amakweli inafurahisha🎉🎉🎉

  • @Elibarikijigita-r4r
    @Elibarikijigita-r4r 3 дня назад +77

    Mtoto wa nyoka ni nyoka
    Like za ngwengwe ziwe hapa
    Mimi niliona mapema mpango wa ngwengwe ❤

    • @HassanAlex-cm4tl
      @HassanAlex-cm4tl 3 дня назад +2

      Kama mimi 🎉🎉🎉🎉🎉pia nilijua tu

    • @NeemaLuambano
      @NeemaLuambano 3 дня назад


      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤​@@HassanAlex-cm4tl

    • @masterplan9544
      @masterplan9544 3 дня назад

      🎉🎉😂😮😮😮😢

    • @masterplan9544
      @masterplan9544 3 дня назад

      😮😮🎉😮🎉🎉😊

    • @AidatAmadi
      @AidatAmadi 3 дня назад

      Bonge nilikuA nimekumx

  • @AndersonLemayian
    @AndersonLemayian 3 дня назад +5

    Much love from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @JosephKituhu
    @JosephKituhu 3 дня назад +11

    Jamani nipeni like na mm leo kuwa wa kwanza ahsant muñgu

  • @PendoSamweli-g6k
    @PendoSamweli-g6k 3 дня назад +15

    Ila chado big up sana unatuwaishia movie au chelewi hongera kwa ilo 🎉🎉🎉🎉

  • @MwanahamisiSnilongo
    @MwanahamisiSnilongo 3 дня назад +37

    Nimekuwa wakwanza anaesoma mungua amsaisdie avuke mwaka salama

  • @Jayplaza-tb5tk
    @Jayplaza-tb5tk 2 дня назад +6

    Mzee wa misumari bwana aaah LAHAULA BONGE😂😂 ...Twend mishen imposibl.....

  • @DADEMUANAMBEOMAR
    @DADEMUANAMBEOMAR 3 дня назад +17

    Mimi WA Kuanza kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿

  • @JoharyAlly-h9v
    @JoharyAlly-h9v 3 дня назад +6

    hongera sana chado unafanya kazi nzuri sana kwanza napenda huchelw kutoa move hii ndo ilike napenda sana hii move

  • @SheMsaKHAlid
    @SheMsaKHAlid 3 дня назад +17

    Wakwanz mie tena jaman nawapenda sana fmly ya chad mast ❤

  • @J74251
    @J74251 3 дня назад +8

    Chado we wa Moto Kaka nakukubali hauchelewi na hukai kabisa big up sana bro 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤

  • @Zaizuuher01
    @Zaizuuher01 3 дня назад +8

    ahahaha nimecheka Cheusi alivopakatwa na kaka Manyonga 😂😂

  • @WinfredOvida
    @WinfredOvida 3 дня назад +8

    Nawakilisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 na kama shabiki wenu twawapenda mno, keep up your good work....bravo🎉🎉

    • @AnneOmukatia
      @AnneOmukatia 3 дня назад +1

      Yaani nhii flimu nikama chakula kwangu wee acha tu😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j 2 дня назад

      🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Gummie-x8y
    @Gummie-x8y 3 дня назад +25

    Ilaaa Cheusiii na bongee😂😂😂uchawa wanautendea haki

  • @JamilaRajabu-g8p
    @JamilaRajabu-g8p 2 дня назад +8

    Tamaa mbaya jaman tamaa zimemponza bonge na cheuc tiii😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MsafiriMwendele
    @MsafiriMwendele 3 дня назад +11

    Ila bonge cheusi anakuponza huo mwilii unaishaa huooo😂😂😂

  • @hanifahanifa7708
    @hanifahanifa7708 3 дня назад +8

    😂😂😂😂😂cheusi umbea hajaacha bado hadi wamtoe roho ubwa huyu

  • @HadijaHashimu-r3s
    @HadijaHashimu-r3s 3 дня назад +13

    kazi nzuri team chadoo ❤❤

  • @IshaOman-wq3rq
    @IshaOman-wq3rq 3 дня назад +11

    Chadoooooo🗣🗣🗣🗣🗣nakuita tena ,,hii muv bila cheusi na bonge utanifanya niugue mwenzako mi l like

    • @LatiffahAbdulmalik
      @LatiffahAbdulmalik 3 дня назад +3

      𝐤𝐚𝐛𝐬𝐚 𝐚𝐤𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐨𝐠𝐞𝐬𝐡𝐚

    • @IshaOman-wq3rq
      @IshaOman-wq3rq 2 дня назад

      @@LatiffahAbdulmalik na siku hizi hacheleweshi ni fast fast💪

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 День назад +1

      😂😂😂

  • @SelemainRashid
    @SelemainRashid 3 дня назад +11

    Dah ngwengwe unajua sana chocho zako za mitaa 🎉🎉🎉🎉

  • @fatumasephu-v1d
    @fatumasephu-v1d 3 дня назад +6

    🤣🤣🤣jamn nmecheka kwa saut cheusi kapatikan na mr manyonga🤣🤣🤣

  • @NyotaByaeseFrancisca
    @NyotaByaeseFrancisca 3 дня назад +8

    Nime kuwa wa kwanza USA 🇺🇸 Team chado master Juuuu

  • @andrewlukaku1581
    @andrewlukaku1581 3 дня назад +7

    mambo vp ndgu zangu kwema munajua mwanzo nilikuwa nalaumu sana participants wanachelewexha movie lakini nilikuja kutambua kuwa ni kazi ngumu baada ya kufatilia interview zao wengi humor wanakazi ko mpka apate gape unaweza akawa amebanwa job harafu ni sehemu yake kufanya ko anafelisha mfano ngwengwe hapo Hadi weekend ndo akashoot afanya mazoezi saa ngapi na kujisomea saa ngap duuuh big up hata hvyo naona wanawahi sana ndgu zangu chado mm nakukubali bro katika movie ulizo Tisha mm nazikubali movie zako zote hasa hiii na Ile problem hatar

  • @FatumaMtwana-h6h
    @FatumaMtwana-h6h 3 дня назад +15

    Ilike sana chado Leo mapema 🎉🎉

  • @Karimu.TV2
    @Karimu.TV2 3 дня назад +8

    ❤ngwengwe masta 😅 anatisha god jb

  • @BintalyB
    @BintalyB 3 дня назад +15

    Nmekuwa wa kwanza leo 😂😂kwa.chado naomba like zenu bc msininyime

  • @TinaKahindi
    @TinaKahindi 2 дня назад +5

    Cheusi wewe noma😂😂😂😂😂sana umbea

  • @OsiaMpyopyo
    @OsiaMpyopyo 3 дня назад +8

    Sema chado master baba 🔥🔥🔥🔥

  • @AshmilSalum
    @AshmilSalum 3 дня назад +8

    hhhhhhhh❤❤munajuwa nacheka nn😅😅😂😂😂🤣

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko 3 дня назад +25

    Kwan jmn like ni tamu au znamana gan Mana naona watu wanaziomb kwa fujo sijui kuna nn nyuma ya pazia izo like

    • @batuli-n8e
      @batuli-n8e 3 дня назад +2

      Ukiambiwa maana yake nitag nianze kuomba

    • @AyshaMuhajir
      @AyshaMuhajir 3 дня назад +1

      me pia nataka kujua

    • @DavidMkomwa
      @DavidMkomwa 2 дня назад +1

      Hahahahaaaha namm nazitak jmn mkipat namm niambiwe😂😂😂😂😂

  • @jasminemtavangu-n2e
    @jasminemtavangu-n2e 3 дня назад +22

    nani anaamini baba ngwengwe kweli hana huruma😱😱

  • @DianaAmon-h7v
    @DianaAmon-h7v 3 дня назад +16

    Jamn Leo wakwanza mm naombe like zangu hat mia tu zinatosha sijawah pata duh

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 3 дня назад +15

    Watu w mission impossible mmaonaje duandamane kwenda kwa CHADO MASTER tumulalamikie ili iwe inatoka kilasiku mana mm naona kila baada ya siku kama mbali ivi duuu comment hapo chin kama unaungana na mm🙏👍👇👇👇🤜🤛🤝🙏🙏🙏💪

  • @SalimuZimbwe
    @SalimuZimbwe 3 дня назад +14

    Nakubal kitengo kazi nzuri

  • @NeemaMatotola
    @NeemaMatotola 3 дня назад +6

    Nmefurah kwa kweli team chado ❤❤❤❤❤ wote

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 3 дня назад +11

    Mko vizul Sana hongela sna Mr chado 😍🤗🛍️🇹🇿

  • @ramagasper742
    @ramagasper742 3 дня назад +5

    Mzee wa misumari bwana aaaah allahaula Bonge 😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪

  • @jumannekahunie8153
    @jumannekahunie8153 3 дня назад +7

    Leo nimekuwa wa kwanza naomben like zangu

  • @HalimaZiggy
    @HalimaZiggy 3 дня назад +5

    yaan chado unatufurahisha vibaya mno❤
    more lif🎉

  • @SylivesterMethod-r6v
    @SylivesterMethod-r6v 3 дня назад +5

    mnanifurahisha maana mnatoa next ep on time. Good management.

  • @noellahmaneno
    @noellahmaneno День назад

    Movie tamu sana,haipoi haiboi big up sana washiriki wote mnatendea haki kila part ❤❤❤😊

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p 2 дня назад +7

    Manyonga ananifuraisha akiwa na hasira 😂😂😂😂😂😂cheusi anataka kumezwa 😅😅😅😅😅😅😅

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 2 дня назад +3

    Lahaahaula cheusi umepakatwa huku umekamatwa surual tanganyika jeki😂😂😂😂😂😂

  • @abdimussayussuf1626
    @abdimussayussuf1626 3 дня назад +14

    wa mwanzo leo, naomba like zenu

  • @SubiraKassim
    @SubiraKassim 3 дня назад +7

    Mungu awabariki kwa kazi nzur 🎉🎉

  • @gseh9277
    @gseh9277 3 дня назад +10

    CHADO NAOMBA NDIZI ZILE ULOPATA MOROGORO 😂😂😂😂YANI YALE MAMBO MI NDO I LIKE😂😂

  • @zarinasospeter-ms9ic
    @zarinasospeter-ms9ic 2 дня назад

    Have been watching this film from the start season 1 mpka wa sasa kwa kweli munajuwa sana❤️‍🔥 much love from 🇰🇪

  • @Tessoboe
    @Tessoboe 3 дня назад +7

    Chadoo chadooo maxter🔥🔥

  • @DEMONICKHERSE
    @DEMONICKHERSE 14 часов назад +1

    Chado wew ni fundi sana aiseee naomba sapot yako kam utapenda natamNi sana kuigiza ila sina sapoti yoyot na najisii naweza kabisa yan

  • @BenimanJacky
    @BenimanJacky 3 дня назад +8

    Hamniangushi kabisa asanteni sana kwa kazi safi😊

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 3 дня назад +5

    Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu

  • @JohnDamas-i9l
    @JohnDamas-i9l 3 дня назад +6

    Kazi nzuri sana chado 🎉🎉🎉

  • @JumanneIdrissa
    @JumanneIdrissa 2 дня назад

    Mwenyezi mungu ndie ajua kila kitu brother chado master kweli yaliyomo yamo unajua jina la master linaendana na film yetu love for you my brother chado

  • @PatrickSanga-wt8tq
    @PatrickSanga-wt8tq 3 дня назад +8

    Bado siku sita nikataze nikataze mtu kuja nyumbani😂😂😂

  • @rahmakigua4146
    @rahmakigua4146 2 дня назад +10

    Umbea umemtokea puani cheusi media😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AbdulrazakSwalehe
    @AbdulrazakSwalehe 3 дня назад +8

    Nawakubal vibay mnooooo❤

  • @binthasanialimwambodze5997
    @binthasanialimwambodze5997 3 дня назад +6

    Ngwengwe 😂umenikosha Leo umefanya cheusi aingie Kumi Na nane za manyonga

  • @PaulaElias-l1y
    @PaulaElias-l1y 3 дня назад +6

    Hata mim nimewahi leo jaman nampenda sana chado 🎉🎉

  • @HadijaMrimi
    @HadijaMrimi 3 дня назад +8

    Nakupenda sana chado na mama ngwengwe

  • @Faia-n9f
    @Faia-n9f 3 дня назад +12

    Jamani naomba like Chado Leo naomba like zango wakuanza ndio🎉 mimi

  • @SifaBitakwisha-y5y
    @SifaBitakwisha-y5y 3 дня назад +10

    Cheusi media 😂😂😂 mzee wa misumari amekuponya😂😂

  • @ZintoKizzy55-vp1om
    @ZintoKizzy55-vp1om 3 дня назад +6

    Nawakubali sanaaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sashaamoha
    @sashaamoha 2 дня назад

    LAAAAHAAUUULAAAH cheusi kula chuma ichooo🎉🎉🎉🎉🎉 maua yangu y ngwengwe tu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chieffofofoodinternational4102
    @chieffofofoodinternational4102 3 дня назад +6

    ❤wakwanza Leo 😂😂😂

  • @KidumeRashid
    @KidumeRashid 3 дня назад +4

    Lahaullaaa cheusi umeingia kwenye mttego ambao sio wako

  • @JeiyMusic
    @JeiyMusic 3 дня назад +7

    cheusi chawaaa udaku😂😂😂😂❤

  • @AugustinoWilson
    @AugustinoWilson 3 дня назад +6

    habar ya season nzima inaisha bila kumuona chado masta kitengo hatutaki kubabaake zenuu🤣🤣🤣🤣

  • @ManuariBakari-bc9on
    @ManuariBakari-bc9on 3 дня назад +10

    😂😂😂 et wakwanza kwahyo unataka nn

  • @AgostinhocosmeNambanga
    @AgostinhocosmeNambanga 3 дня назад +6

    Chado chado Master nakukubali sana brother 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿