Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 512

  • @OmarSaidsaulSaid
    @OmarSaidsaulSaid 11 месяцев назад +6

    Asante ni sana jeshi la Tanzanie kwa hicho kitendo chenye muridufanyizia mwendelee n'a kazi kenye mulikabiziw n'a mungu verry good

  • @jamesoduororawo8379
    @jamesoduororawo8379 5 лет назад +3

    Hongera Sana Mr. Otieno tiji ler.

  • @MajaliwaBitomwa-qu7mc
    @MajaliwaBitomwa-qu7mc 6 месяцев назад +6

    Hongera sana sheji zetu kwakazi kubwa mlio ifanya Hao wafanyie serekali kazi mpaka kufa

  • @catherineernest-y2z
    @catherineernest-y2z 5 месяцев назад +3

    Asante sana kazi nzuri❤

  • @johnmlaya
    @johnmlaya Год назад +1

    Safi sana jeshi kaz nzuri,

  • @JosephChabai
    @JosephChabai Месяц назад

    Kazi nzuri za kulinda taifa letu mbarikiwe

  • @MoussaComedian
    @MoussaComedian 11 месяцев назад

    Asanteni sana watanzania, ndoa sasa ujirani mwema!!!

  • @TedyDaudy-c8t
    @TedyDaudy-c8t 5 месяцев назад +2

    Hongelen sana jeshi lapolisi mnafanya kaz nzuri sana mungu awalinde🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mwajumalugenja3895
    @mwajumalugenja3895 5 лет назад +4

    Hongereni sana ushirikiano no jambo nzuri bgp kwenu

  • @mikemukwana-zk4ye
    @mikemukwana-zk4ye Год назад +1

    Kazi nzuri our security mungu awape nguvu

  • @tysonphilip2094
    @tysonphilip2094 5 лет назад +6

    Kazi nzuri pande zote mbili

  • @jamesmarwa-ch8vw
    @jamesmarwa-ch8vw Год назад +4

    Many thanks from people's of Tanzania and Burundi.

  • @adamsonsimwawa
    @adamsonsimwawa Месяц назад

    Job well done 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aftapat5365
    @aftapat5365 4 года назад +2

    Mzee wetu umeongea kiswahili kizuri 🤣🤣😳🙏🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️

    • @TijoTiger
      @TijoTiger 7 месяцев назад

      Amejitaidi😂😂

  • @JamesTommas-p3y
    @JamesTommas-p3y 3 месяца назад

    Asante.san Kwa kazi nzur

  • @Mojabo-qi7sv
    @Mojabo-qi7sv 4 месяца назад

    Kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉mungu awabariki

  • @DafrosapusNgomb
    @DafrosapusNgomb Месяц назад

    Hongera sana police wetu watz kwa kaz nzur

  • @JhumarMungala-ey3sg
    @JhumarMungala-ey3sg Год назад

    Congretulations, burundi kiswahili limewapiga chenga ila no matter ndo ujirani mwema uo.

  • @ShadiaSwaibu
    @ShadiaSwaibu 4 месяца назад

    Hongeren sana jesh lapolis kwakanzinzr mliyofanya

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 4 месяца назад

    Hongereni sana na wanasura za kijambazi hatari

  • @MosesNtegeye-n1q
    @MosesNtegeye-n1q Месяц назад

    Ongelen Sana jeshi la polisi pande zote kwa ushilikiano mwema

  • @anyagenyekalangali-zt1xo
    @anyagenyekalangali-zt1xo Год назад

    Jeshi la polisi wanapaswa kupongezwa Kwa kazi nzuri wanayofanya

  • @AyubuJuma200o
    @AyubuJuma200o 6 месяцев назад

    kazi nzuri sana Mungu azd kuwapa maarifa

  • @EgidiMuando-mq3sn
    @EgidiMuando-mq3sn 10 месяцев назад

    Mungu awabaliki

  • @hekimasuleiman895
    @hekimasuleiman895 3 месяца назад

    Namshukuru Mungu, kwa Mimi kuzaliwa Tanzania

  • @munyemanavianney9454
    @munyemanavianney9454 5 лет назад +2

    Kiswahili sio sana .mzhe watu . lakini bravo mumefanya kazi nzuri

  • @ashukuliwe
    @ashukuliwe 3 месяца назад

    Kazi yenu nzuri tuendelee kuimalisha ulinz

  • @JonathanSamson-xf3oc
    @JonathanSamson-xf3oc 7 месяцев назад

    Hongereni San jeshi la ulinzi na usalama kwa kutimiza majukum yenu

  • @msafirially7849
    @msafirially7849 23 дня назад

    Kazi nzuri askari kwa kudumumisha ulinzi na usalama mipakani

  • @cyondocomedicyondocomedi6290
    @cyondocomedicyondocomedi6290 3 года назад +1

    Kwizera Jean.Bosco

  • @thieriniyorukundo2365
    @thieriniyorukundo2365 3 года назад +2

    Ongera sana kwa ushirikiyano na undugu wema kati y'a serkali y'a Tanzaniya na Burundi kwa kuwanasa ayo majangiri,endeliyeni na musi-mamo uyo uyo

  • @andrewkimambo1581
    @andrewkimambo1581 5 лет назад +9

    Viva Africa .. Thank you inspector.

    • @erickmwaihoba2464
      @erickmwaihoba2464 5 лет назад

      Joseph nivizuli kuwakamata na kuwafikisha vyombo vya habar

  • @BenardAgwa
    @BenardAgwa 11 месяцев назад

    Good work

  • @obisikeclintonisraelamaoyo9696
    @obisikeclintonisraelamaoyo9696 5 лет назад +1

    Mbaka is Right

  • @lamecknelson8380
    @lamecknelson8380 3 года назад +1

    Asante sana na wakomeshe ili siku nyingine wasirudie tena

  • @JailosuwezoDavid
    @JailosuwezoDavid 8 месяцев назад

    Mbalikiwe saana kwa kuilinda apya yetu❤ naushilikiano mzuri❤

  • @barakasaiboku9986
    @barakasaiboku9986 3 года назад +1

    Safi sana makanda

  • @Juyycomell
    @Juyycomell 4 месяца назад

    Good job 👍👍

  • @RAMPA_Dee
    @RAMPA_Dee 3 месяца назад

    Haaa kama wamefungwa na serikali ya Burundi 🇧🇮 basi hao wamesha faliki.
    Hongera sana jeshi la Burundi na Tanzania
    Rwanda ni nduguzetu lakini tutawa shugulikia

  • @faridarashidi8907
    @faridarashidi8907 5 лет назад +10

    Msemaji wa police Burundi umechemsha huwezi kuiongelea Rwanda huo ni uchonganishi kama mnashirikiana na Tanzania hongera sana lkn uctaje nchi nyingine ugomvi wenu Burundi na Rwanda cc Tanzania hautuhusu umechanganya mada

    • @T_Darius
      @T_Darius Месяц назад

      Ngoja aongee maswala ya kufichaficha yameshapitwa na wakati, ukweli humuweka mtu huru

  • @magarindombe2304
    @magarindombe2304 2 года назад

    Hongeren policy kwa kuilisha usalama huko burund

  • @Samuelmagigekerato
    @Samuelmagigekerato 2 месяца назад

    hongera san

  • @nduwayoClaude-t7e
    @nduwayoClaude-t7e 6 месяцев назад

    Fanya kazi

  • @TokyobuckettsLive
    @TokyobuckettsLive 6 месяцев назад

    Tz pia iko na Otieno all the way from kenya

  • @francinendihokubwayo7822
    @francinendihokubwayo7822 4 года назад +4

    You people should know that Swahili is not his first language. He tried.

  • @cyondocomedicyondocomedi6290
    @cyondocomedicyondocomedi6290 3 года назад +1

    Kwizera Jean Bosco

  • @danielkoisulye3874
    @danielkoisulye3874 3 года назад

    Hongeren xan

  • @zainabumilanzi2909
    @zainabumilanzi2909 5 месяцев назад

    Mungu awasimamie asikari wetu nawaomba muwakate mkono mmojammoja kwa Kila jambazi wasiweze kushika bunduki

  • @PauloMichaert
    @PauloMichaert Год назад

    Duu hongereni kwakazi munanao Fanya

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Год назад

    Wauliwe hao wabaya sana wakikukuta ndani wallah wanauwa watu majambazi sio watu bora ukutane nasimba kuliko hao

  • @raisaafrica0255
    @raisaafrica0255 5 лет назад +7

    MUNG AWABARIK SANA KWA KAZ NZUR TANZANIA N BURUNDI MUKIWA HIVO AMAN ITAKUEPO

  • @BekaBoystudio-wl2wn
    @BekaBoystudio-wl2wn 5 месяцев назад

    Asanteni sana jeshi la polisi

  • @vincentalad-vw8gw
    @vincentalad-vw8gw Год назад

    Very unic

  • @LukascAmri
    @LukascAmri 6 месяцев назад

    Naipongeza sana jeshiraporisi kwakazinzry wanayoifanya

  • @kapayaomarry7783
    @kapayaomarry7783 4 года назад +1

    Kazi nzuri makamanda

  • @SetuPius
    @SetuPius 5 месяцев назад

    Kazi nzur

  • @danielkoisulye3874
    @danielkoisulye3874 3 года назад

    Axnt xan afande

  • @AlphanceNdomba-q8e
    @AlphanceNdomba-q8e 4 месяца назад

    Zuchu wangu wewewewwwwww❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @amismuhitira507
    @amismuhitira507 3 года назад +1

    Ongeraa Sana Burundi natanzaniii tukopamoja

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 Год назад +1

    Ukikutana nao mchana huwezi kuwadhania

  • @OmmyBeezy-u3f
    @OmmyBeezy-u3f 6 дней назад

    DaaaAh hatar san

  • @lifemateus5283
    @lifemateus5283 3 года назад +1

    Lamentável isso

  • @ibrahimumatunda4449
    @ibrahimumatunda4449 5 лет назад +11

    hongera pia jeshi letu la Tanzania na la jeshi la Burundi kwa ushirikiano

  • @KwaruShijamaduru
    @KwaruShijamaduru Год назад

    Asant jeshi letu

  • @EdigeMpawemana
    @EdigeMpawemana Месяц назад

    Imagine uneza toka kuhustle tanzania either Kenya ama country zingine unatak kurudi nyumbani but pesa Yako ikaibiwa Na wezako.tabia mbaya watu Wa KWETU Burundi

  • @HadijaMohamed-x5h
    @HadijaMohamed-x5h 6 месяцев назад

    Shukuran Sana kwaushilikiano wen

  • @MariaLyson-y7d
    @MariaLyson-y7d 6 месяцев назад

    Mungu awaponye

  • @JudithKaembe
    @JudithKaembe 5 месяцев назад

    😭😭wapewe adhabu ya kulingana na makosayao

  • @victajuliusimshong9469
    @victajuliusimshong9469 3 года назад

    Mm kama mm ao watu waajibishwe iwe fundisho kwawatu wote tanzania pamoja na Burundi

  • @SupraBoy1994
    @SupraBoy1994 10 месяцев назад +1

    Wow!

  • @PascoYasata-tg4wf
    @PascoYasata-tg4wf Год назад +1

    Mama ushauri

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 лет назад +2

    Amen Amen. Barikiwa nyote. Amen.

  • @MinisterSam-hs7fs
    @MinisterSam-hs7fs 4 месяца назад

    Good

  • @joaquimcastrocastro5907
    @joaquimcastrocastro5907 Год назад

    Vizury sana

  • @stelabenitho2315
    @stelabenitho2315 4 года назад +2

    Hongera sana

  • @NsengiyumvaEmmanuel-e7j
    @NsengiyumvaEmmanuel-e7j 11 дней назад

    Wa nainchi ya Burundi hawa juwi swahili kbs

  • @JACASJacaspeterdor
    @JACASJacaspeterdor 6 дней назад

    Wapelekeni congo 🇨🇩 wapate chamtema kuni

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 лет назад +4

    Rwanda wanapokea wezi polis Burundi kathibitisha

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 5 лет назад +4

    Hongereni sana jesh la police.

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 5 лет назад +5

    Alhamdulillah kweli penye awakuwauwa mana warundi kwakuuwa wanajitaidi😔😔afu izoninjatu zinawasumbua jamani nkurunziza shenzi kbs 😏 😏 samekata kutoka kuutawala

    • @tatiya6883
      @tatiya6883 4 года назад

      urishudia wangapi mushenzi mbwa weee nyoko

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 4 года назад

      @@tatiya6883 🤣🤣mbwa mamako babako adiukomzima mxiuu wauwaji wakubwa nyie mburu kengewe

    • @zabibuilovemycountryofburu9156
      @zabibuilovemycountryofburu9156 4 года назад

      Wewewewewewewewewewe Ashura komanaukomazike pumu pumuliachooni mende nainzi zikwigie mdomoni koma kuzungumzia ichiyetu vibaya Ashura Kwani warundi niwauanji kuliko zingine INCi Ashura yani uko tz hakunawauanji Ashura kwanini hua mnazungumzia lNCiyètuvibaya

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 4 года назад

      @@zabibuilovemycountryofburu9156 🇫🇷👈

    • @zabibuilovemycountryofburu9156
      @zabibuilovemycountryofburu9156 4 года назад

      @@ashuraussein7582 nanyipia mkowauanji wakubwa nyie usitakikuzungumzia inci yetu vibaya ashura

  • @lutenganokajeti937
    @lutenganokajeti937 4 года назад +4

    Jamani polisi waoongezwe maana majambazi ni wauwaji! 👐 🖐

    • @miamujohn6535
      @miamujohn6535 3 года назад

      Hongelen Askari kwa Kaz yenu nzuri

    • @thieriniyorukundo2365
      @thieriniyorukundo2365 3 года назад

      Ukiteteya,ukisema kama si wajambazi,wameshikwa na silaha nyingi ,masase na boom 2,wewe unaonesha ni wandugu zako majambazi

  • @OsseasJulius-wm5sc
    @OsseasJulius-wm5sc Год назад

    Hao sio wa kuwaacha wapate hukumu inayowasitahili kisheria najua jeshi ra porisi navyombo vyote vya urinzi na usarama viko macho pande zote Tanzania na burundi shikamaneni kutokomeza uhalifu huu amani ienderee kuonekana hongereni Sana mungu awasimamie ktk majukumu yenu

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 5 лет назад +6

    Hawa waliwahi kututeka mliwa wa simba biharamlo walikua wanaongea kurundi walinipiga sana fimbo nashkuru mungu nilisalimika ila wametesa sana watu tanzania hata kuua tena sisahau ilikua siku ya kwanza ramadhani nimefunga na huku nafanyiwa unyama nilimlilia sana mungu kabla sijafika nilipokua naelekea niliskia baadhi yao wamekamatwa na kuuliwa asante mungu

    • @hankyi9884
      @hankyi9884 2 года назад

      Pppppqpqqà
      Pp
      P

    • @hankyi9884
      @hankyi9884 2 года назад

      Pppppp.
      p

    • @adnanjuma4657
      @adnanjuma4657 Год назад

      Mkubwa hovyo,huezi ongea bila kuyitolea mfano Rwanda that's not professional

  • @bedomanjohnson8026
    @bedomanjohnson8026 3 года назад

    Sm keep it up

  • @AbdalaJuma-d4t
    @AbdalaJuma-d4t 6 месяцев назад

    Abdallah juma
    Buruhdina

  • @AyubuSadiki
    @AyubuSadiki Год назад

    Happy majambanz wauwawe

  • @davidmwangaza9811
    @davidmwangaza9811 Год назад

    Polepole

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Год назад +1

    Vunjeni hiyo miguu mkifanya hivyo hayatakuja tena tanzania mnawachelewesha ondokeni na miguu mkiwaacha hawataacha wizi ndo kazi waliochagua

  • @Kajokejiking
    @Kajokejiking Год назад

    Hapa Kenya majambazi kama hawa huwa polisi wanawapiga risasi na hiyo file inafungwa tunaenda kazi ya kusaka wengine.

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Год назад

    Mungu wangu

  • @DizamngoniwambewuMtachi
    @DizamngoniwambewuMtachi Год назад +1

    Tanzania ndi dziko labwino Pilirani apolisi athu timakunyadirani

  • @ArahanJames-gc8qv
    @ArahanJames-gc8qv 6 месяцев назад

    Hatar

  • @jeaninewalda493
    @jeaninewalda493 5 лет назад +6

    Hawo majambanzi wataona mot watanzania

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 года назад +1

    Hofu yangu isije kuwa Wapinzani huko Burundi

  • @zakiaally5319
    @zakiaally5319 4 года назад +2

    Hongera

  • @shemahabonayo1287
    @shemahabonayo1287 Год назад

    Towa Rwanda kinywani mwako we shenzi. Iyo ni mchezo wakubomowa kambi za watu wenye mulikimbiza nyie wawuwaji. Mutaka kuingiza roho mbaya TZ. Inchi imewashinda kuongoza kazi kutesa warundi na kutukana rwanda. Asie juwa ya kesho tesa binadamu mwenzie. Awo watu ni ma baba wa familia munawakamata tu juu mutengeneze mambo yakufuza wa kimbizi. Ila kuna mungu anawaona.

  • @lazizerujanabose8802
    @lazizerujanabose8802 5 лет назад +29

    Ongera Musemeaji wa police yetu Burundi kuyiongelea police na nina kupa 20/20 kwa kiswahili fresh umeongea

  • @Chitukuta
    @Chitukuta 25 дней назад

    Ongel san jeshi la polisi kwa ulizi mzuli

  • @ntawugachirajoseph4239
    @ntawugachirajoseph4239 4 года назад +1

    Burundi muachee kuonea Rwanda banaaaaa

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 года назад +3

    Safi makamanda wote wawili, ila Burundi wana Kiswahili kizuri saana, angekuwa kamanda wa kule angeongea Kimarekani huku yeye Ni Mkisii😎😎😎